She is a real vocalist haitaji auto tune u my inspiration ruby u along with Angel Bernard are my role models I love singing hoping someday my voice gets like dis gosh
@millenmlay5266 жыл бұрын
Yeah
@handromedia56116 жыл бұрын
Kama unaamini waimbaj wote wakike bongo watasubiri sanaa kwa ruby, gonga like ako kudamshiiii
@afrarugakingira58626 жыл бұрын
Ila ruby.....noomaaa
@teddykipera21755 жыл бұрын
Watangoja sanaaa
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Nyimbo yake ya una magali mangapi nzur
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Gauni lake zur yeye na nandy mam is weyewe
@asmatabdallah13684 жыл бұрын
Tenah wata subili sanaaaa 😘😘
@zakayomoshi12706 жыл бұрын
Kama unamkubali #ruby gonga like hapa tuende sawa
@innocenciagaspary77736 жыл бұрын
Huyu Dada hatar sana
@youtubedinda42566 жыл бұрын
Waoo you're so amazing
@gdonestar22726 жыл бұрын
waoooo
@neydtz68266 жыл бұрын
Kama unamkubalii rubby ngonga like twende Sawaaaa piga chini nandy
@susanjohn75156 жыл бұрын
Aise dogo namkubal toka akiwa church balaa tena saut yake imechuja si kama zaman
@zaituniyusuphjuma4156 жыл бұрын
Wdada watz mnavipaji ila vinadidimizwa sijui kwanini ruby upo vizur sana dada hongera sana
@khadijatwaha71236 жыл бұрын
Safi sana
@jaysballoh226 жыл бұрын
Angekuwa nchi za wenzetu angefika mbali sana
@aminamtenga11336 жыл бұрын
hongera sana
@elizabethjoseph36976 жыл бұрын
Zaituniyusuph Juma yeah
@larickmtui28526 жыл бұрын
Zaituniyusuph Juma gigy hunyanyuliwa maana hachomoi
@SUPREMEDIGITAL6 жыл бұрын
Likes za Ruby tafadhali,Most talented Buth...
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Sana tu jaman ruby ndio mambo yote whiteney wa bongo
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Ana kipaji kama esta wasira anaimba nyimbo za kina Whitney balaa muoneni vile vile
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Ana Mavoko huyo hatar na luga inapanda
@Ranaso3 жыл бұрын
Ruby performing "Listen" got me crying like a child. ☺😭😭
@pesamingi2752 жыл бұрын
I hated to see how she’s underrated while she has real Vocals kushinda wasanii wengi bongo. Don’t argue with me!
@wankyroshna55446 жыл бұрын
Apo akuna cha vanessa, nandy wala maua.. ruby ni hatar. Shez the best tz femel vocalist
@sweetbertrwezaula44396 жыл бұрын
WANKY ROSHNA acheni ujinga hamjui mziki, uyo anaimba nyimbo za watu mwambie aimbe zake. Amemshindwa nandi atamuweza Vanessa
@ngolokagrace26666 жыл бұрын
Daaah
@wankyroshna55446 жыл бұрын
Kwhyo umemanind?
@lily4real4496 жыл бұрын
Aaah vee mtu mwengine bhna
@annamassawe88206 жыл бұрын
Ruby anajua but vanessa ni next level#sio wa nchi hii pls pay respect to her
@roseenock21666 жыл бұрын
Yaani ruby hafai kufananishwa na msichana yeyote muimbaji tz ana kipaji cha pekeee na anajua kukitumia but nakupenda sana mpenz😍😍😍😘
@leahchallomachibya17916 жыл бұрын
Rose Enock yupo Anaitwa angel magoti
@sophicatesalim97575 жыл бұрын
Uyu anahitaji surport jamani daa uko much ok
@rebecajohn93436 жыл бұрын
Daaah huo wimbo wa listen umeutendea haki yaan Kama wako KEEP GOING BAE😘😘😘😘
@kirstyrodgers8206 жыл бұрын
umeona eeh....yan kaua asee
@scolasticadonard85996 жыл бұрын
Rebeca John kabisa yani
@chubeally52935 жыл бұрын
Mashallah rubi no one(1)no any nandi,Vanessa,and maua compare.
@chubeally52935 жыл бұрын
Big up rubee
@oliviaegidius7543 жыл бұрын
Kama Beyonce mwenyewe alivyouimba,mwili umenisisimuka sana
@mwakatembo67424 жыл бұрын
Yes, that's my Ruby!!! Gonga like hapa kama unamkubali sana uyu dada
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Acheni masihara yote huyu mtoto ana kipaji jamani feeling wow👌🔥🔥🔥
@bettyprosper89116 жыл бұрын
Dah ruby unajua nkikusikiliza nakuwazia mbaliiiii dada yng , bongo si mahala pako nje ungeshatoboa zaidi ya hpa aiseee ur so so talented ruby , yaan i love watching ur shows maana huboi unaimba vzr sanaaa jmn kama Angel Bernad live anaimba vzr sana yaan
@stephenmalilo98336 жыл бұрын
Wanafanyiwa promo wasiostahili badala ya kuinua vipaji halisi. TZ must change aisee..........!! RUBY RUBY RUBY........you are something else aisee......asiyekubali hajui mziki.......!! Wengine watasubiri sanaaaaa........
@chubeally52935 жыл бұрын
Mashallah rubee go a head forevermore.
@irenelukungu11506 жыл бұрын
ukisikia vipaji ndio hivi sasa wengine nyota zao tu ndio zinawabeba,penda sana ruby,maua sama
@hellendaplleth59436 жыл бұрын
Nic
@sesiliasebastian68676 жыл бұрын
me too rubyy na maua sama
@reginajulius44176 жыл бұрын
Irene Lukungu
@deborahallen70456 жыл бұрын
9c rubby Yaani 😘😘😘😘😘😘😘
@glorymarandu67895 жыл бұрын
fire ruby
@ilovejesus93036 жыл бұрын
Best female vocalist in Tanzania with Jd comando. Jamani asanteni kumuita atumbuize
@farajablaise60366 жыл бұрын
ruby kwan ww unahaja ujienda studio ufanyiwe mxng cjui nn... maana unavyoimba live yan kama nasikia redion...... yaan mm sijaona mwanamzki anaeweza kukuzid ww APA Tz.... basi tu figisu za watu wasiopenda uendelee.. ila ww ni No1... mtoto unaimba ata Afrka sijaona mm bado wakukuzdi.. waoneshe madogo kuwa ww ni Dada LA Madada. Hongera Mungu azd kufanya uzd kujua zaid.
@rosekachuchuru16536 жыл бұрын
Not only in Tanzania Ruby is the best vocalist in the whole Africa if you are arguing tell me what female vocalist can sing like her? I am waiting..... for the name
@JohnMwarabu-wi7jc10 ай бұрын
Tiwa savage, simi
@idrisamdangi38486 жыл бұрын
Ww ni fundi ktk mafundi wa bongo km unmkubl #Ruby nipe zng twende saw👇👇hapo chino👏👏 #Mesic 4life🎹🎸🎤
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Sauti ya whitney Houston, unaweza ruby pongezi kwako, so Talented.
@nohatredbutlove57866 жыл бұрын
Kama na wewe hujamuona Jokate kama mimi hem gonga like
@NeemaMedia6 жыл бұрын
Ahahahaha 😂🤣🤣😂😃 harari umeona we🤣🤣🤣🤣🤣🤣umefurahisha mana nimekodoa hakuna kitu
So amazing💕😍 dahhhhh yani wewe ni shida jamn that why me love you so much ❤❤❤❤❤
@rosefrank57706 жыл бұрын
umenikomesha kwa vocal ya kupendeza na perfect performance cc ❤😘you
@ketchouch43396 жыл бұрын
Ruby usilale mbona we fireee mwaaaaa
@selinamwakiluma79686 жыл бұрын
kweli aamke aache kulalala
@irenesluiter44966 жыл бұрын
Whitney Houston wa bongooo 🙏🙏umebarkiwa mama mshukur mng kwa hyoo
@fatmamasoud62436 жыл бұрын
Rubyyyy🔥🔥🔥🔥🕜💥💥
@gracepatric17606 жыл бұрын
More fire ruby
@edgergerald69256 жыл бұрын
Fatma Masoud dada rub nice
@yasminebakari7652 Жыл бұрын
I don't know why watanza you underrate her she is an international talent
@blessingkizega63856 жыл бұрын
Yani unaimba vizuri huemi wala nini wew ni noumaaa😍😘😘😘
@janethmollel96186 жыл бұрын
Leo ndio nimejua uwezo wa Ruby ni wa kiwango kingine... Akimpata mtunzi wa nyimbo pevu hahaaaa.....hakuna wa kumfikia bongo hata mmoja. I salut u Ruby
@abdulshakour80056 жыл бұрын
💓💛💚 ruby good vocal sis.😘
@glorianikiza87766 жыл бұрын
unajua ruby
@zouzouzoulaika61492 жыл бұрын
Mimi ni mtu hapendi show her feelings in music but for Ruby ntapakaa rangi face 😂❤❤❤❤❤❤
@carolshiru43746 жыл бұрын
Wow such a blessed voice 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@sophyabdallahabdallah5236 жыл бұрын
Ruby mwenye saut yake👌nandy akasome...
@mussamussamussa84446 жыл бұрын
🔥🔥 hawa ndio waimbaji wa kuwasapiti Mashallah
@ashamruma99906 жыл бұрын
Jomoni rubby wangu hatariiiii
@rissabellajovial38876 жыл бұрын
Asha Mruma ni shida huyu uwiii
@mayelias42076 жыл бұрын
wacha weeee anga za wakubwa izi wozaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥
@juliethibrahimu54996 жыл бұрын
My best female artist naluelewaga kupita maelezo
@blackgold56056 жыл бұрын
wow she's amazing 😙😙😙😙😙
@aishamm12086 жыл бұрын
Kama ukokenya n unamkubali hamisa acha like yako
@salimaamir55616 жыл бұрын
Tunakwenda Sawa penda sana micha mma dylan
@majaliwagessler44436 жыл бұрын
Yani mimi nampenda hamisa sana kama ningekua karibu na hao wanaomsema mabaya wangenikoma wao
@aishamm12086 жыл бұрын
@@majaliwagessler4443 😂😂😂😂mbavu zangu
@munam71046 жыл бұрын
Mimi siko Kenya but ni mkenya l like hamisa
@shaniahrachma31146 жыл бұрын
aisha mm huyu ni ruby na namkubali sanaa pia frm 254🔥🔥🔥
@stelahjoelyjoelt2036 жыл бұрын
Dada rudi uko vizur sana nipe na mimi kampan na me na weza kawewe
@neajon6176 жыл бұрын
hyu dada ni shida jaman anastahili tuzo
@mariamhussein6059 Жыл бұрын
Much love vocalist 🥰🥰🥰
@nassoryussuf36394 жыл бұрын
Jidejaydee na rubby ndo wasanii wa kike peke yao ndani ya Tanzania yetu. Most legendaries
@AmFootball-bm5nm8 ай бұрын
Ukiona ruby anasema hakuage kwa hakapela ujue ni mtego kama sub tatu za nabii 😆🤣😍😍😍
@nurhambadru37726 жыл бұрын
BRAVO 👏 👏 👏 you nailed it Ruby
@younginspired38995 жыл бұрын
Naombeni mnaomfananisha huyu Dada muwache Mara moja, hii ni level nyingine kabisaa
@razansalim5326 жыл бұрын
gonga like hapa kama unamkubali ruby
@tamalijafari83116 жыл бұрын
Absolute amazing Whitney Houston wa bongo ❤❤❤
@soleilnkizinkiko59586 жыл бұрын
Rubi...je t'aime énormément et tu as un talent exceptionnelle et une voix angélique. moi suis Congolaise #+243
@JohnMwarabu-wi7jc10 ай бұрын
Ruby mwenyewe kavaa kama mzungu fulani hivi ♥️♥️
@saadahamza38566 жыл бұрын
Nmekua nikifatilia sana mashindano ya kuimba ya nnje, like the four, american got tallent na X-factor, watu wengi wamefanyia cover this song, nawaza kama ruby angelikua nnje, bazi angekua miongon mwa walo cover vzur ths song, she know how to sing
@tickonell6 жыл бұрын
Ruby angekua nchi za wenzetu yani msanii mkubwa saaaana. This is my artist. Mungu saidia Tanzania ifke kipindi tujue kutofatisha kati ya usanii na kupendwa.
@JacksonAudi5 жыл бұрын
Jmn hizo notes👌Nakupenda bure Ruby!
@noelamtesigwa68193 жыл бұрын
❤️❤️Ila nguo ilimnyima uhuru akawa anaishushashusha
@sheillaezekiel73286 жыл бұрын
big up for the Ruby, the song was amazing like Beyonce
@sophyabdallahabdallah5236 жыл бұрын
Ila uwo mpasuo umekaa sehem mbaya unakunyima raha yakujiachia😕
@queenteranne9452 жыл бұрын
This is a star, she has vocals 🔥🔥
@christinetimothy58056 жыл бұрын
Jamani umenisisimua mwili jamani. Hongera Sana good voice
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
Nilichogundua rubi hiyo nyimbo yamwisho ya rianah ndio favorite song yke maana anaipenda kuimba na anaipatia sana kam rianah mwenyewe 👍🏻
@lisahcharles40355 жыл бұрын
Ur so amazin sis i ril lyked u 4 ril kip on it u wil be wher u olweiz drim...ur my rol model RUBY
@Jeff_Tz6 жыл бұрын
Umejitahidi Ruby kwa listen ya Beyonce Sis.Beyonce hatareeee😀😀😘😘
@iky1836 жыл бұрын
Ruby and barnaba classic are naturally vocaled..if that's a word
@nainaiblack67364 жыл бұрын
Namuelewa sanaaa anajua mpka anakera
@samirasuleiman84556 жыл бұрын
Ruby uko na kipaj mdada...keep it up,,Nakupenda htariiiiiiiii
@salimalaquimane26403 жыл бұрын
Nakupenda sana ruby akeee
@djdon97066 жыл бұрын
Shenz kabisa hizo punch wakijaribu kina nandy watapasuka ruby u the best female vocalist tz anaebisha asimame na amlete wa kwake,
@dodoshavu4886 жыл бұрын
deejay don santeee kwa niaba yake sichoki kuangalia hiii jaman
@eileenremmy85766 жыл бұрын
deejay don Whitney wa tz aiseeee
@blackwidow47806 жыл бұрын
Purely Gifted from heaven's 😍
@zuhurashamsan73426 жыл бұрын
Hongera bi Dada sijaona aisee hapa Tz kama wewe.amazing voice
@raphaelkopwe44646 жыл бұрын
My number one best female in this country
@paulhenry31104 жыл бұрын
ruby your more than gold wangekuplomote kama zuchu amin ungekua wa kidunia
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Nakukubali sana *Rubby* 😘😍💋💕🔥🔥🔥🔥
@latifagogola18636 жыл бұрын
fire fire fire fire fire fire rubyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii penda sana wewe
@salumymbury79005 жыл бұрын
Mamae Mara bukuuuu ruby bongo Bahat mbaya
@elisantejudika58286 жыл бұрын
naona unasoma comment huku unaangalia gonga like
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Hiki. Kidada kinajua Sana Bas tu nyota haijatakasika ❤️❤️❤️❤️Majeshi
@edghamoses61896 жыл бұрын
naomben like za huyu mdada akika ni fire achana nao wanao bebwa kwa nguvu za media waw peke yako tu waweza simbaa Dada
@fatmakombo75845 жыл бұрын
Ungekuwa nchi zilizoendelea ungekuwa milionea kwa sauti yako my dear
@nohatredbutlove57866 жыл бұрын
Kwa maoni yangu ni hivi. Ruby ni best kwa sauti ya kuimba kwenye stage. Lakini kwa mashari na sauti mzuri ya kwenye CD Nandi namuelewa zaidi.
@bahatimmependezamwanginda52026 жыл бұрын
Rubby una sautiiiii Tanzania hakunaga
@williamnassoro236 жыл бұрын
Uko vizuri Dada angu kaza mwendo, me naona kama unakaribiana na Selena Gomez hongera sana.
@doricemassawe51286 жыл бұрын
aseeeese nimesisimka
@rachelkem16986 жыл бұрын
her voice is unique ..killed it
@rosefrank57706 жыл бұрын
wakwetu wachakaze yani we mamba na kiboko pia@iamrubyafrica #goshoa wedi
@kacheali47776 жыл бұрын
Pongez sauti Mungu amekubarik c haba bado umwimbie tu.Hio nguo jaman mbele aibu tupu jistrii Kama waenda Mahali public
@chidybwax80806 жыл бұрын
Noma sana media angalien vipaji nikama hivi eti nandi nae ahic kumshinda huyu mdada maisha yake yote
@hadijaabdallah54776 жыл бұрын
Nandy akatiwe vidole uko
@chidybwax80806 жыл бұрын
Asante kwakulitambua hili kubebwa ndo kwingi
@Abbykipenzi6 жыл бұрын
Nandy chupi tu mbele ya huyu dada
@magrethjeremiah48436 жыл бұрын
Safiii mdada
@jamesmakundi95646 жыл бұрын
uyu akiacha dharau atafika mbali sana
@zenasoud33996 жыл бұрын
I can comment for this u make me fly ruby
@alliancemugisha2736 жыл бұрын
am I the only one with goose bump when I heard it jeeeeeeezzzzzzz
@yasmineamandi86026 жыл бұрын
Sifagiriagi miziki ila huyu ruby amenisisimua
@HusnaSimbila11 ай бұрын
Najiangalizia zangu leo 2024
@hopebeatrice67906 жыл бұрын
Unatisha wakimbize wasichana wote mama nakukubali💖💖
@jamillahmohamed44316 жыл бұрын
Goooo gooo ruby u did ❤️❤️❤️
@sajraally99095 жыл бұрын
Omg I love so much gash🤗🤗
@neyab20536 жыл бұрын
Yan kwa vocal za uyu Dada adi vee akanyangi
@dotomohd91566 жыл бұрын
Ney Ab vee mbwembwe nyingi huyu anaimba ametuli kama serina dion
@jelvinvampos5 жыл бұрын
Pay respect to vee she is a king #sheking
@chubeally52935 жыл бұрын
You're Whitney Houston no2
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
We ndio ruby adi nasisimka wallah we una jua
@catherinenyerenda28766 жыл бұрын
nkupnda bureee Ruby 😘😘
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Salmada Laquimane mm pia dah
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Hatari
@alelasaidy23066 жыл бұрын
Sautii kinandaaa...maaashaaalah😻😻🙌
@sophicatesalim97575 жыл бұрын
No 1 like u ma super star
@hajiharuna7866 жыл бұрын
Mkali mkali atareeeeeeeeeee oyoooooo nakupenda my sister
@lightsomi2106 жыл бұрын
Ni wewe tu mwingine hajapatikanaga
@sophylite6 жыл бұрын
Keep it up dear
@agnesmhando27486 жыл бұрын
nomaa
@neynaelias82657 ай бұрын
Mungu hakupi vyote❤❤
@aishakombo20375 жыл бұрын
Unajua mumy, live unaweza saana, ua no 0ne
@ishercisse73026 жыл бұрын
Celine Dion wa bongo bg up mamaa sio kwa voice hyo nandy atasubir sana