Рет қаралды 78,728
#mapishiyakiswahili #nyamayakunyambuka #nyamalaini #nyamayamandi.
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
Mahitaji:-
Nyama ya kondoo kifua
Kitunguusaumu na tangawizi vijiko 2
Ndimu
Mafuta vijiko 3-4
Garamasala kijiko cha kula
Manjano kijiko kidogo
Beefmasala kijiko cha kula
Paprika kijiko cha kula na nusu
Pilipilimanga kijiko kidogo
Chumvi
English recipe follow the link➡️ • Soft & tender mutton m...
For more swahili videos follow mapishi ya Zanzibar ➡️ / @villagelife2024-g3r
Husna laltia ➡️ / @husna_laltia
East African foods ➡️ / @eastafricanfoodsrecip...