Ok kwa hivo Raila Odinga akienda Au tupigie zakayo kura aendelea tutesa wakenya..... ombi langu ni kua Baba asipate Au 😂😂😂 but vile kila mtu anaomba hivo ndio atapita....coz sioni Mtu mwingine serious ambaye anafanya campaign ya Au kama Baba.
@GeraldMaina-fw4zc18 күн бұрын
Hatulali tuliomba aanguke
@BenardHinga-z9f15 күн бұрын
Sasa wewe una akili, huwezi pata mkikuyu akiwaste time yake kwa izi upuzi