No video

RUTO YUPO KWENYE WAKATI MGUMU SANA| AMEANGUSHWA SANA NA WABUNGE WA NCHINI KENYA

  Рет қаралды 35,513

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 120
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Wabunge walipewa pesa.... Hakuna kitu unajua oscar... Geopolitics hujui.. Vitu vingine muwe mnakaa kimya tu kama sio uwanja wenu
@amosotieno4418
@amosotieno4418 Ай бұрын
Nyinyi hata hamna mnachojua...huyo ruto kanunua bunge na kanunua mahakama...
@DennisMalima
@DennisMalima Ай бұрын
Wajua wao hawajui nn kinaendelea hapa kenya...wabunge wenye washaanunuliwa na Ruto kila anachosema wao wanapitisha tu
@wizardundesputed2805
@wizardundesputed2805 Ай бұрын
Basi , hiyo sasa
@buzzafrique3700
@buzzafrique3700 Ай бұрын
Ni kweli ruto ni mwizi na anatumia kifua kupitisha hadi sheria haziko kwa constitution,amenunua kila mtu , wabunge , koti , ni dictator watu wamemuogopa but genz wamerise
@_bonfaceadera
@_bonfaceadera Ай бұрын
Wasafi TV make me your correspondent in Kenya. Haya mambo hamyajui vizuri.The protests were infiltrated by goons hired by politicians trying to settle old scores,preliminary investigations show these politicians are not from the opposition.
@joshuawenceslaus2466
@joshuawenceslaus2466 Ай бұрын
Very true
@SleimanMsellem
@SleimanMsellem Ай бұрын
Kuchambua ya Kenya tuu ya kwenu aaaa
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 28 күн бұрын
Hovyo kabisa..Tanzania kuna uchafu unaendelea serikalini but wamekomalia ya jirani..mcheewww wanaume ndevu
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx Ай бұрын
Huyu anacho kiongea hata Hana uhahika nacho😅
@edgar3998
@edgar3998 Ай бұрын
Watanzania wanajifanya wajuaaajiii lakini hamna wanachojua. Jadili ya kwenu ya kwetu tuachie.
@brianojiambo2814
@brianojiambo2814 Ай бұрын
Ningesema tuu vitu za Kenya jiepusheni nazo hamna habari ya kile kinaendelea kwa wabunge sasa hivi.
@broamz
@broamz Ай бұрын
Wabunge walilipwa na Ruto ili wapitishe huo mswada. Khs 2M kila mmoja wao kutoka mrengo wa chama tawala. Kwa hiyo Ruto anahusika moja kwa moja. Ruto na wabunge wake wote wanahusika.
@farusaimon3490
@farusaimon3490 Ай бұрын
Kwa mtazamo wangu, kauli ya kusema Mheshimiwa Rais Ruto anaangushwa na Wabunge wake, siyo sawa. Kumbuka, miswada mingi hutokea serikalini na kwenda bungeni, na wakati mwingine wabunge haohao hulazimishwa (katika mazingira yaliyofichika) kupitisha miswada hiyo. Mwache aone hasara za usaliti!
@user-gn1ul6vu2n
@user-gn1ul6vu2n Ай бұрын
Inakaa pia nyinyi mnataka tuwasalimie
@olivenyamvula6321
@olivenyamvula6321 Ай бұрын
Hamjui mwasema nini, wachaneni tuu.🇰🇪
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 20 күн бұрын
Kazi ya wabunge ni kula na kuharibu kenya
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 27 күн бұрын
Mambo ya kenya inawahusu nini. Kuleni zege kwenu yetu mtuwaachie
@OjiamboGodfreyMutumi
@OjiamboGodfreyMutumi Ай бұрын
Yeye ndio amejaribu kututawala kwa ki imla, akishurutisha wabunge wapige kura ya kupitisha sheria za kutukandamiza.
@msindimalugendo8252
@msindimalugendo8252 Ай бұрын
Mtangazaji unatafuta matatizo na wakenya, ngojawakusikie, unajidai unajua sheria ,
@spencermdave4237
@spencermdave4237 17 күн бұрын
Hataweza, ufisadi ndio tatizo. Hamumjui raisi wetu nyinyi
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Ай бұрын
Mbona ya kwenu uko bunge lote wapo wa chama kimoja amzungumzii
@lynnedarling1135
@lynnedarling1135 Ай бұрын
Siasa za Kenya tofauti sana
@AlainNyabirungu-wn1dl
@AlainNyabirungu-wn1dl Ай бұрын
Wakati Ali vamiya Congo ata endeleya Ku angushwa tu.
@OjiamboGodfreyMutumi
@OjiamboGodfreyMutumi Ай бұрын
Ilikuwa mpango wa America na yeye, aliingizwa madarakani ili atumike kuiba mali Congo.
@HashimSalim-yy1ix
@HashimSalim-yy1ix 21 күн бұрын
Viongozi Kenya walizoea kua wakenya niwajinga watapiga kelele siku mbili wanyamaze...wametuzoea..bt kla ktu kna mwisho
@janewayua5333
@janewayua5333 Ай бұрын
Kenya ni more fire
@festamwaibabile2190
@festamwaibabile2190 Ай бұрын
Jadilini Mpira ndio mnaojuwa
@user-fc3og1eo3x
@user-fc3og1eo3x Ай бұрын
Tatizo siyo wabunge kupitisha muswada tatizo wabunge wale walipitisha kwa sababu ya wingi wao ili wamfurahishe mh raisi wao na imekuwa Desturi za mabunge mengi ya kiafrika kupitisha miswada kandamizi ili rais aweze kuisani na wamekuwa wakifanya hivyo kiukweli hayo ni mateso kwa wananchi
@sabinaatema2065
@sabinaatema2065 Ай бұрын
Kuharibu sana anaongezea hawa watu wake mishahara surely,,,, walimu ,madakitari na hao hao ma police wake bado, aki ningekuwa leo mimi ni police singefanya kazi
@Bama959
@Bama959 Ай бұрын
Kinachobaki ni Tanzania pia
@wizardundesputed2805
@wizardundesputed2805 Ай бұрын
Hawa wanesema nini sasa? You should all do research on this issues ili mkuwe mnajua mnacho ongolea puga nyinyi 😅
@polotieno229
@polotieno229 Ай бұрын
Boss humumjui Ruto, Mchukueni mkae nae hata siku mbili peke kama mtamweza. Mpate mmeporwa kila kitu. Hatupigi nduru bure.
@FunnyChess-ns9vf
@FunnyChess-ns9vf Ай бұрын
Hakika wabunge walikuwa wana Nafasi kubwa sana ya kuzuia holi mambo kwa sababu issue nzima imeanzia kwao sasa sijui walilambishwa asahi hawakujua Hawa Magen Z leo wanampa wakati mgumu sana Rais wao I think hizi ni hujuma za kisiasa
@dailytalk2040
@dailytalk2040 Ай бұрын
I wish I was there to inform you what is happening, sababu nyinyi hamuelewi hata kidogo
@SundayNkaza
@SundayNkaza Ай бұрын
Tanzaniania kenya tujifunze viongozi nawana nchi kuweni makini hata kwetu yapo et kiongozi unamchagua uyouyo anakufinya mpaka unaandamana wao kwapesazet wanatembelea v8 sisi hata boda bado kila sehem wanakubana ukifungua ata duka kodizingine hatuzijui majina service lev wanachosha
@fredsabora2543
@fredsabora2543 Ай бұрын
Ruto alinunua wabunge
@hassanodiwa
@hassanodiwa Ай бұрын
Ruto ndiye ako na wabunge wengi bungeni so Kila kitu anataka afanye Kwa serikali anatumia Tu wabunge wake juu watapitisha Tu.This time around it's tit for tat,We are dealing with all our MPs together with Ruto
@shedrackmutalemwa7310
@shedrackmutalemwa7310 Ай бұрын
Mnaongea mambo ya Kenya je TZ vp?:miswada yetu mnaijua au iko sawa? Kodi za kimya kimya je? Tozo?
@user-rt5iv4py2g
@user-rt5iv4py2g Ай бұрын
shida si wabunge shida ni ruto coz yeye ndio anawaamulisha,so ruto must go
@user-ji8qf6ic2u
@user-ji8qf6ic2u 29 күн бұрын
You get the story wrong.Binge LA Kenya lasimamiwa na Ruto.Mbunge yoyote was chama tawala hushurutishwa kupitisha chenye Ruto anasema kwakuhongwa ama kutishiwa maisha
@carolinekasiemeka9848
@carolinekasiemeka9848 Ай бұрын
Kaka tuliza boli Ruto summons them to state house and bribes them each 2 million. #Ruto MUST GO
@judyjaoko3397
@judyjaoko3397 26 күн бұрын
Fanyi research kabla kupauuka
@judychepkirui5313
@judychepkirui5313 Ай бұрын
Bunge na mahakama ni yake sasa, kwa hivo we deal with him perpendicularly
@user-zn4nw9kl5f
@user-zn4nw9kl5f Ай бұрын
Kwani ni lazima gani mjadili vitu hamvijui? C mtulie wasanii wenu waendelee kutunga nyimbo za kumsifu mama yenu
@tonniemwafrika6679
@tonniemwafrika6679 Ай бұрын
Zakayo must fall
@aliomari5254
@aliomari5254 Ай бұрын
Hawa hawajui mambo ya ruto wala michezo wanaporojatu nendeni mkale keki kule mtoni
@MosetiDismas
@MosetiDismas Ай бұрын
Wabunge walipewa pesa wao ni kama maraya
@sylvesterwanga7839
@sylvesterwanga7839 Ай бұрын
Hamna habari kuhusu Kenya 🇰🇪 kwa ukamilifu. Ruto, alinunua hawa wabunge ata kutishia wengine iliwapitishe huo mswada tatanishi. Ruto ni mtawala wa kimla
@razor772
@razor772 Ай бұрын
You guys are not even informed💔go dig more wacha kupayuka
@biggyshari3328
@biggyshari3328 Ай бұрын
Kwanza alivyoingia madarakani alinunua wabunge hyo inamana alitaka kuua upinzani sasa basi wacha tudeal nae sisi
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 Ай бұрын
Wabunge washatekwa na Ruto nilazima tu watapitisha hakuna namna ila tu nikutiwa adabu tu nawananchi ndio maana wamerudi kuomba msamahakwa wananchi
@carolinemuli1862
@carolinemuli1862 Ай бұрын
Mukiamka kama wakenya mutajua
@eddyrandu3127
@eddyrandu3127 Ай бұрын
Mzigo huu ni WA ruto.😂.
@MebakariMohamed
@MebakariMohamed Ай бұрын
Kuchambuwa ya Kenya ya kwenu aaaaaaaa
@MohammedAli-fp9vn
@MohammedAli-fp9vn Ай бұрын
Mswada hakupitiahwa na wabunge bali Ruto aliwaita wabunge wa chama chake akaeapa maagizo wapitishe
@abelkilawe8964
@abelkilawe8964 Ай бұрын
katiba ya kenya miswada yote inaanzishwa na bunge then inapelekwa kwa rais
@user-rc6ww6rx7n
@user-rc6ww6rx7n Ай бұрын
Kusema ya nchi ya jilani tu lla kusema ya nchini kwn aaaaaaaah mnaogopa ht kugusia dadeki
@ndondiafrika249
@ndondiafrika249 Ай бұрын
Sikubaliani na mtangazaji....Ruto mwnyewe alikuwa akiuza hii bill kwa wananchi. hadi alionga wabunge shillingi 2 million kupitisha. So lazima alaumiwe
@mduda_i
@mduda_i Ай бұрын
miswada inayopitishwa bunge la TZ mnaijua? au mnafatilia ya watu yakwenu Aaah
@benjaminevans5920
@benjaminevans5920 Ай бұрын
Huyo anayemtetea Ruto hamjui na angefanya hekima kwa kufunga hiyo mdomo... Ruto hana kosa kivipi ilhali yeye ndiye aliyewaonga wabunge kwa shilingi milioni mbili kwa kila mbunge ili wapitishe hiyo mswada?
@mrjohn68
@mrjohn68 Ай бұрын
Watangazaji wa hovyo kabisa. Fanyeni basi research kidogo ndo msiongee mambo msiyoyajua. Kwa kifupi, wabunge walipitisha mswada kama walivyoagizwa na Ruto
@trendinggossip8692
@trendinggossip8692 Ай бұрын
😂😂 hawajielewi. Hawa hawajui kuhusu bunge lao ndio watajua yetu?
@Lukia-k6g
@Lukia-k6g Ай бұрын
He is cooked 😹
@ramagazet1362
@ramagazet1362 Ай бұрын
Fanyeni muangalie comments oscar oscar munaongea pumba hamjui maswala ya Geopolitics
@governorjosh
@governorjosh Ай бұрын
No you don't understand bro mps who voted yes to finance bill 2024 were bribed ksh 2 millions each by Ruto himself. So in that case we can't allow corruption.We demand every Kenyan be given ksh 2millions na watoke bungeni we want fresh elections.
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 Ай бұрын
Kama unajua jeuri na kiburi ya tuto utaelewa hata wanaopitisha wanatishiwa ruto sio binadamu nikuombe hivi chukua ruto mwaka tu umueke tanzania awe raisi utatamani umtupe kwenye dzimbalah
@gazanempireup2ditime133
@gazanempireup2ditime133 Ай бұрын
manze hamjui kwamba mswada ulitoka kwenye executive na masharti yakuipitisha pia humo.
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Ай бұрын
Hivi kwanini alituma jeshi la policie haiti na kwake kunavurugu.
@barakarobert1029
@barakarobert1029 Ай бұрын
Si ndio hapo yaaan kama vile awana police
@joshuawekesa7094
@joshuawekesa7094 Ай бұрын
Nyie hamelewi lolote ruto mhuni huyu. Aliwalipi wabunge million mbili kupitisha mswaada ,sasa wabunge wanamaangusha aje ama ni yeye mhuni to
@mwadabakonyezo6649
@mwadabakonyezo6649 20 күн бұрын
Hamuelewi kiini cha mzozo
@alkenia-luvchante.
@alkenia-luvchante. Ай бұрын
Wabunge na huyo mtu wao wote takataka hawajui lolote bure kabisa
@shuaibjuma8464
@shuaibjuma8464 Ай бұрын
That dude is actually clueless...infact I believe he doesn't know how a bill comes to be a success in Kenya endeleeni tu na kuwa mama ywaupiga mwingi lol
@supastar-kf4pb
@supastar-kf4pb Ай бұрын
Uyo.jama.aende.nyumbani
@FauziaJoseph
@FauziaJoseph Ай бұрын
Aki ndungu nikweli awa wambunge ndio wameleta vifo
@dalalimjinga.144
@dalalimjinga.144 Ай бұрын
Simuoni hassle madarakani mwezi 8 kamsaliti Putin
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 Ай бұрын
Oscar katika maisha yako yote usije jaribu kushindana na vijana wanao balekhe..ataka wame kukosea kua mpole hio age ni shida😂😂😂
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Ай бұрын
....jamani acheni haya masuala ya siasa, inaonyesha uekewa wenu ni mdogo na siyo ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga. Chimbuko la hili tatizo siyo Ruto. Ni Rushwa a miaka mingi. Hili siyo tatizo la Kenya tu. Ni nchi zetu nyingi za kiafrika. Tatizo la Ruto amejaribu kulitatua tatizo kwa kufunika rushwa. Mswaada wa fedha ulikuwa ni wa Ruto na serikali yake. Yes wabunge walitakiwa kujadili kukubali au kukataa. Lakini Rushwa ikaingilia. Angekuwa muwazi kwa wananchi na kuwaambia hali ya kifedha ikoje nchini labda wangemuelewa.
@nikkithe2rd383
@nikkithe2rd383 Ай бұрын
kweli kaka
@KaburameHamisi-fm7fo
@KaburameHamisi-fm7fo Ай бұрын
Oscar dunia ya sahii siyasa nyingi wabunge wanafanya anacotaka raisi mnacagua mapendekezo ya mkuu si kuteteya wanainchi
@ChireGriffin
@ChireGriffin Ай бұрын
Rais ndo kwalipa mpaka wapizani wapitishe
@barnaba3037
@barnaba3037 Ай бұрын
Tatizo sio wabunge tu.Tatizo ni ahadi za uongo. Yan naona mawazo ya Dudu baya kuhusu uchambuzi wa Kenya ni ya juu mara 100 zaidi ya hawa wawili
@athumanmlamba4372
@athumanmlamba4372 Ай бұрын
Watauzuia vp wakati walihongwa million ya pesa kupitisha bajeti, tatizo la viogozi wakenya ni mafisadi sana hivi wamenunu ndege wa natembelea na
@allyalhussainy1216
@allyalhussainy1216 Ай бұрын
Huyu Oscar hajui lolote linalo endelea... Yaonesha siasa zampiga chenga waliopitisha ni wabunge wa upande wa Ruto kisha atasema vipi sio raisi ni wabunge? Na master plan ni Ruto
@alibarisa7739
@alibarisa7739 Ай бұрын
He fail cz he paid the mps to pass the bill.so yeye ndie amejiangusha. He keeps on buying the members of parliament to pass every bill for his own benefits.
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 Ай бұрын
Oscar akili yako bado sana
@arthuroduor7253
@arthuroduor7253 Ай бұрын
Sorry my friend first learn about budget making process in Kenya before addressing us
@Bama959
@Bama959 Ай бұрын
Mpumbavu sana huyo ruto, alitukashifu sana sisi wa kongo akashindwa kujua kwamba yote hulipwa hapahapa chini ya Jua
@gazanempireup2ditime133
@gazanempireup2ditime133 Ай бұрын
Naskia mnafungia trousers kwa high waist, said Ruto
@williambenedict6074
@williambenedict6074 Ай бұрын
im jus here listening to all this ridiculous trash... Tz y'all kno nothing bout what's going on with new govt in office.. Leave us alone.. Y'all sound goofy asf whenever y'all speaking yah minds and making suggestions lol..
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 Ай бұрын
Huyu Oscar Oscar anaongea non sense kbs, ebu chukulia Toka umekuwa ukaanza kufatilia siasa za hapa kwetu Tz ni lini Serikali ishawahi kupendeza au kupeleka muswada wenye ubovu wa kiwango Cha kimataifa alafu mbunge wa chama tawala akapima kura ya hapana. African politics are the same! The Head of the state is The Head of Parliament as well as Judiciary. There's no so called separation of power or Independent State Organs. You got me bro May be this is not your ground or it is but still amateur!
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Truth
@user-fc3og1eo3x
@user-fc3og1eo3x Ай бұрын
Na huo ndo ukweli hata kwetu hivyo hivyo Mara ngapi bunge letu lenyewe limepitisha miswada kandamizi na Rais anasaini na inakuwa Sheria Sana sana vyama tawala hupiga kura ya ndiyo kwa sababu ya wingi wao miswada kandamizi inapitishwa
@TheJetSetter101
@TheJetSetter101 Ай бұрын
You guys just stick to your Yanga/Simba football shenanigans! Ya Kenya kabisa hamyafahamu. Leave us Kenyans to sort out our issues with our president/MP's. Hakuna ya ukabila huku, it's a fight against bad governance, period!
@candyngeny8272
@candyngeny8272 Ай бұрын
That's I am also thinking....how is our country their business...their country is fucked up and they are here discussing issues of another country...
@rehemaali9248
@rehemaali9248 Ай бұрын
You people don't know what you're talking about. Do proper research beforehand. Stop yapping
@user-wb6lm2qk3s
@user-wb6lm2qk3s Ай бұрын
Poorly analysising ,we're after finance bill,this is new generations gen z Deal with your samia tz hawajui katiba na nights , Kenyans knew theirs rights unlike tanzanians
@Mammy-eq7ef
@Mammy-eq7ef Ай бұрын
Hamjui mnacho kiongea nyiny tulieni
@isaacmokaya7140
@isaacmokaya7140 29 күн бұрын
I think you guys know nothing about kenya.
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 Ай бұрын
Ongeleeni simba na yanga, hamjui siasa ya kenya 😂😂😂
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Ай бұрын
WASAFI vilaza sana😂😂😂... Hiyo Bill ameimepeleka mwenyewe Raisi Ruto.. Sasa unategemea Wabunge Watapinga... Ruto ndo Jipu.... Ameondoa Bill yake mwenyewe 😅😅
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu Ай бұрын
Kama kaiondowa kwanini bado waandamane nakuharibu mali? Kuna siasa inayo jificha na sio hio bill ndio chanzo.
@Cao_ZeKai
@Cao_ZeKai Ай бұрын
Unprofessional... Wachambuzi wa mpira kuchambua siasa, Wasafi mnatuangusha sana
@danielmgalla558
@danielmgalla558 Ай бұрын
Oscar kuna kitu kinaitwa party caucus, wabunge pale walifanya kile rais anawaelekeza kwenye hizo party caucus, na endpo hata mmja wa chama chale angevote no, Ruto huyohuyo angedeal nae
@hilarymayende
@hilarymayende Ай бұрын
This guy's doesn't know what is happening in Kenya they are just bucking they need to do research
@alfredmhana235
@alfredmhana235 Ай бұрын
Kaomgea fact wakenya hawajielewi na hii ni biasha ya kina odinga tuu.
@cHin91O
@cHin91O Ай бұрын
Hakuna mjualo buana nyie jadilini mipira tu na kwa uchambuzi huu ni wazi siasa za Kenya hamzifuatilii kabisa!
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
Hahaa uchambuzi wenu unaonyesha hamjui kabisa what was behind it all kwanza huo si muswada ilikua ni bajeti, pili Kuna vitu vingi mnoo vilihusisha serikali ya Ruto yote na sycophants wake, wabunge sio target kusema wabunge wamemcost Ruto hiyo si sana ishu ni serikali yake, n Ruto alitoa ahadi nyingi mnoo ambazo katimiza less than 10% wala si wabunge subject ni Ruto .
@FauziaJoseph
@FauziaJoseph Ай бұрын
Akuna kitu President anawesa vitisha peke yake bila wambunge.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Ай бұрын
@@FauziaJoseph uliskia interview ya Ruto Sunday? Nenda kaangalie then utajua wht I suppose to mean.
@BillyJames-l6x
@BillyJames-l6x Ай бұрын
Huyu jamaa anasema nn sasa??
@AlexKimani-jt6pe
@AlexKimani-jt6pe Ай бұрын
Wambunge walilipwa million 2kupitisha huo mshwanda
@FauziaJoseph
@FauziaJoseph Ай бұрын
Nani aliwalipa kila mp wakikuja mbungeni kila moja anawakilishanga upande wa kwake, kile kinahanisha wameogea na watu wao
@FauziaJoseph
@FauziaJoseph Ай бұрын
Kile kina maanisha wameogea na watu wao ,sasa Ruto apo ako na makosa akusema peke yake ,lakini kunawale wamelipa vijana kualivia Ruto kazi
@rosemanyonge9995
@rosemanyonge9995 Ай бұрын
Clearly u have no idea whats goin on.........ruto has bought both national assembly and the judiciary. They are playing his tune,eleweni hilo vizuri
MAHALA ALIPO MAKONDA, SIRI NZITO
2:59
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
MIAKA 60 UHURU WA KENYA NA MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI
30:50
Wasafi Media
Рет қаралды 3,4 М.
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 556 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 459 М.
GEN Z WAKUTANA USIKU WA MANANE WATOA TAMKO KALI NA MASHARTI MAGUMU KWA RUTO
10:30
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН