Point 3 zitapatikana tu pale mtakapojifunga wenyewe.😂😂
@KakeSimba4 сағат бұрын
Wengoja one
@clauschaula20503 сағат бұрын
Mnajifariji.Poleni.
@joyceshayo57658 минут бұрын
Hahahaha,kumbe yanga hamna tena kuna simba B,sijui mnanielewa!😂
@charlesmahunaСағат бұрын
Hivi yanga kafungwa mara ngapi hadi sasa jaman nisaidien
@RaphaelSaetwa-c5qСағат бұрын
Yanga hii unaifungajeeeee achen wivu niny wanayanga kumb inawaingia mkiambiw klub yenu iko vp utan huoooooh!
@saidsuleiman17532 сағат бұрын
Utani wa Jadi😂😂😂
@awetumtengera11474 сағат бұрын
Kama mlivyopelekewa moto na yanga mfululizo mara 4 ,ubaya ubwege.
@SalvatoryMtunga3 сағат бұрын
Kwani Israel msimu huu alisajiriwa na nani? Alisajiriwa wa singida, sasa kolo mnahangaikia nini? Akili mbovu sana.
@awetumtengera1147Сағат бұрын
@@SalvatoryMtunga kabisa hawajitambui hawa,
@joyceshayo57654 минут бұрын
Simba ni chuo cha wachezaji mpira, ndo maana mnasjili kila tunaemuacha
@MsafirGervasСағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MussaSengeremaСағат бұрын
Kama huna akili2 unashindwa kuongea vitu vilivyokupeleka kwenye media, unaropoka tu mmh usemaji haupo hivyoo jiangalie sana kazi itakushinda, kamwe huwezi kufikia level wala kujilinganisha na alikamwe