Msiwe mnaweka mapicha ya kutisha sababu kuna watoto na sio kila mtu anapenda hayo mapicha yenu mara mtu macho makali mara mikono ya ajabu ya kichawi sababu hizi alama zote ni kuutukuza tu ushirikina na havimpi Mungu utukufu,,wekeni hata neno la Mungu inatosha
@myself41284 жыл бұрын
Asante mie nilizania mizimu ni mababu kumbe ndio majini yao?????mzimu wa mababu kumbe ndio majini laaah