SABABU 10 KUFELI KWA MAANDAMANO YA CHADEMA,WAZARAMO,VIJANA WA DAR,DAR MAISHA TU NI MAANDAMANO TOSHA

  Рет қаралды 9,806

Msomi News

Msomi News

Күн бұрын

SABABU 10 KUFELI KWA MAANDAMANO YA CHADEMA,WAZARAMO,VIJANA WA DAR,DAR MAISHA TU NI MAANDAMANO TOSHA
Tafadhali tufatilie kwenye mitandao mengine ya kijamii kwa jila la Msomi news...

Пікірлер: 81
@abdulkawingaabdulrahman-sc8284
@abdulkawingaabdulrahman-sc8284 2 сағат бұрын
Wazaramo ni wasomi wa hali ya juu sana na wanafanya maamuzi ya kufanya jambo kwa kutafakari mwisho wa jambo na sio wakurupukaji wa mambo.
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 сағат бұрын
Wasomi au legelege,😁😁😁😁😁
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 Сағат бұрын
​@@nakalikyumile3234ni wasomi na niwenye kujitambua
@elishajilungu1055
@elishajilungu1055 27 секунд бұрын
Hata kwenye panya load hawakurupuki wao nikupigwa mabapa nakukimbia kwenda kutafakari🤣🤣🤣🤣
@abdulkawingaabdulrahman-sc8284
@abdulkawingaabdulrahman-sc8284 Сағат бұрын
Uhuru wa Tanzania umeletwa na Wazaramo na Amani ya Tanzania mpaka leo hii ipo chini ya usimamizi wa wazaramo. Fuatilia historia ya Bibi Titi; Sheikh Dossa Azizi; Sheikh Abdul waheed Sykes na wengineo
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 сағат бұрын
Umechambua vizuri sana Hongera kaka
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 3 сағат бұрын
Achana na mambo yako ya ukabila ,ulitaka wazaramo waandamane ,mbona wew hukuandamana
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr Сағат бұрын
SAWA kabisa
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr Сағат бұрын
SAWA kabisa
@CheerfulDrumKit-du7qk
@CheerfulDrumKit-du7qk Сағат бұрын
Mhu muengeze shenzi kabisa
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 сағат бұрын
Kama wazalamo wakoivo unavo sema wataendelea kusindikiza wenzao kwenye mafanikio
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Сағат бұрын
Wazaramo ndioo wenye inchi yaoo hao wengine wotee wakuja tu na mzaramo mstaarabu hunaga shida na wala hanga'nganii madaraka mzaramo karidhika na umasikini wake
@BarakaSimon-xy9mp
@BarakaSimon-xy9mp 2 сағат бұрын
Imani ya mbowe aliamini Kuwa ni maandamano ya amani kumbe askari wapo kwa vita
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 сағат бұрын
Uko,sahihi bro mchambuzi
@GideonLenard
@GideonLenard 22 минут бұрын
Huyu choko kweli yani analeta ukabila kwenye mambo ya maana we msenge kweli yani
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr Сағат бұрын
Sidhani Kama Cha CHADEMA kimekwama kufanya maandamano. Seriously SERIKALI hakutaka maandamano hayo yafanyike, Siyo Kwa ulinzi ule, walikuwa maandamano ya IMANI, Kwa Hali hole ilikuwa Si Amani TENA.
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Сағат бұрын
Huku sio kufeli kwa chadema bali ni kufelu kwa demokrasia ya nchi nzima.
@LucianSanga
@LucianSanga 2 сағат бұрын
Mwongoo sana wewe kuandamana nikufikisha Ujumbe Munao Taka kupeleka Sasa ujumbe umefika
@MwakingweHabibu
@MwakingweHabibu 2 сағат бұрын
Maandamano yamefana vizuri tu na ujumbe umefika ila mpaka uwe na d2 ndio utaerewa
@Karimmveyange-y3j
@Karimmveyange-y3j Сағат бұрын
Nafikiri pia Walio zuia Maandamano wakisema kuwa ni uvunjifu wa Amani,wanamaanisha kuwa KUUA NA KUPOTEZA MAISHA YA WATU MBALIMBALI KUNAKO FANYWA NA POLISI, HIYO NDIYO AMANI KWA WATANZANIA. AU TUSEMEJE?? Ni jambo la ajabu na aibu kwa yanayo endelea
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 2 сағат бұрын
Wewe kweli unabwabwaja bibi Titi ni nani katika taifa hili nyerere alishirikiana na watu wa pwani akafanikiwa kupata uhuru wamewaona wapumbavu ndiyo maana waliwapuuza
@benardmassawa3599
@benardmassawa3599 3 сағат бұрын
Swali ni moja tu kwanini hamkuandamana Arusha na ukaandamane DSM ! Au tuseme mmemuogopa makonda! Nategemea ulikozaliwa ndo uanze kuandamana na siyo uende kwenye mikoa ya wengine
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 сағат бұрын
Wasitulete uchafu wao Arusha sisi tupo pamoja Na Makonda 💪💪💪
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 2 сағат бұрын
Watanzania aliyeturoga uhenda alishakufa na bahati mbaya sana dawa aliyotumia kulogea hakuna aliyemuonesha
@AndrewShiratu
@AndrewShiratu Сағат бұрын
Wazaramo wote niwanawake.kazi kula matembere tu.ndomaana mzaramo akiwa na laki 2 hawezi kutafuta pesa Ingine mpaka iishe.kwa hiyo sio watu watafutaji bari wamerizika na umasiki.
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 2 сағат бұрын
There is always next time. And in war, this is a battle "lost" but not the war. Hence the struggle continues with lessons learnt in this battle!
@ZahraBadri-k9q
@ZahraBadri-k9q Сағат бұрын
Acha kimombo CHAKO kibovu ...chadema ni saccos
@bundalamashimi3042
@bundalamashimi3042 Сағат бұрын
Malengo ya Chadema yamefikiwa ambayo ni kuieleza Dunia maovu ya kutekwa na kuuawa watu nchini Tanzania. Badala ya wananchi na Wanachama wa Chadema kufikisha ujumbe huu kwa Dunia polisi ndiyo wameandamana mitaana, wakaonekana kwa wingi kwa watu na wawakilishi wa mataifa ya nje, na kufikisha ujumbe wa Chadema. Inawezekana hili ndilo walikusudia viongozi wa Chadema na kupanga maandamano yafanyike Dar na wao walijiweka waweze kukamatwa kirahosi na polisi na Dunia ijue kukamatwa kwao kama viongozi wa chama maarufu Cha upinzani. Serikali imejikaanga kwa mafuta yake: polisi ambao ndiyo wameandamana na kufikisha ujumbe wa Chadema kwa Dunia.
@zaharamustafa-t1l
@zaharamustafa-t1l 2 сағат бұрын
Polisi wanatulinda la sivyo tungekuwa tunauwana sana
@AMUUNEWVISSION
@AMUUNEWVISSION 2 сағат бұрын
Hawa viongozi wa chadema wameuza chama Hilo sisi tulilitegemea walitaka waumizwe wasio na hatia Huo ni mchezo wa kisiasa
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j 2 сағат бұрын
Wewe mtangazaji ujitambui hata kama umesoma ,ila hata picha hujui kuangalia
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 минут бұрын
WEWE SISI TUNA JITAMBUWA MABWELE MABWELE WAKUPELEKWA KIJINGA KIJINGA WAPELEKE HUKO HUKO KWA WAJINGA WENZAO
@rajabuchambela4648
@rajabuchambela4648 32 минут бұрын
Hakuna mzalamo makini ww mkoa uliojaliwa Kila kt ndio maana mnakimbilia kwA wazalamo mnajua hakuna njaa nass tunawaita wakuja
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 2 сағат бұрын
Mwanafarisafa mweusi hata akili inaoneka nyeusi Uchumbazi gani Hu babuyangu
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew 2 сағат бұрын
Wewe acha ushamba wako huo, kwani nchi hii ni ya kabila la wazaramo?
@RamaMikidad-vm3we
@RamaMikidad-vm3we 2 сағат бұрын
Ukwli kwamba mtanzania muoga sana hawez kuvimba mbere ya gwanda ile istnshe kunamtutu pale na masjaveta magari yawashawasha difenda. Ukweli nikwamba baaz yetu waogasana
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 2 сағат бұрын
Hakuna MTanzania mjinga na hasa MTz mwenye uwezo wa kutafakari mwanzo wa jambo na mwisho wa jambo husika. Wa Tanzania sio waoga. Wengi wao wana uwezo wa kutafakari na sio watu wa kukurupuka kama wanaenda kunywa Mbege bila kujua madhara yake ni kupoteza nguvu za kiume hatimae wake zao wana Vuka mpaka kuwa fuata watu wachafu wasio ijua nini umuhimu wa Tohara.
@MichaelMatiku-v7o
@MichaelMatiku-v7o 2 сағат бұрын
Mbowe njoo tarime mjini tuandamane achana na vijana wa dareslam Wala chips police wenyewe wanaijua tarime
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 сағат бұрын
2011
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 сағат бұрын
Vijana wa dar wengi ni legelege
@evaemil856
@evaemil856 50 минут бұрын
Acha uongo. Waandamaji hawajafeli. Polisi wameamua kuvunja sheria. Polisi wanatakiwa kulinda Amani, kulinda mali. Ila ujumbe umefika Dunia nzima. Wewe ndiyo ovyo muongo. Mbeya Hawa police waliwafanyia hivyo hivyo. Dar Lissu aliporudi nchini mbona maandamano alikuwepo makubwa. Yaani acha kabisa maneno yako. Wangeenda Mbeya, mbona mkutano wao ulifungiwa?
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 2 сағат бұрын
MAANDAMANO YA CHADEMA YAMEFANIKIWA SANA DUNIA NZIMA IMESHAONA NA KIJUA KINACHOENDELA KTK TAIFA
@MursalJuma
@MursalJuma Сағат бұрын
Hii inchi nihatar xan iko siku watashindwa kuwazuia
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 сағат бұрын
acha ujinga Dar Kwa Sasa sio ya wazaramo tu
@LucyMambally
@LucyMambally 2 сағат бұрын
Hivi Dsm Kuna wazaramo? Mwandishi unatimika vibaya. Katafute Kazi nyingine hii huna huna Kipawa nayo. Unaeleza uongo.
@BarakaSimon-xy9mp
@BarakaSimon-xy9mp 2 сағат бұрын
Ni mitutu ilivyo waogopesha raia
@MuhaliHamadi
@MuhaliHamadi Сағат бұрын
Ww sema tu ustaarabu upo pwani hii ndio bandar salama na cio Kila mtanzania mswahili somen historia
@rajabuchambela4648
@rajabuchambela4648 57 минут бұрын
Chadema chamacha wachaga nawewe unasema wachaga wamejaa mbezi mbona hawajafauli maamuzi yao
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO Сағат бұрын
KWANINI NYINYI WATU WAKIAMBIWA NIWAGENI DSM MNATUKANA HIVI MWAMBUKUSI MBOE NA WACGAGA WENZIIE KWAO NIWAPI?
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 2 сағат бұрын
Yaani wewe akili huna kabisa wakati tunaandamana na Cuf yalikuwa yanafanyika wapi? Maandamano ya waislamu yalikuwa yanafanyika wapi? Chadema ni chama cha mashoga ni makunguru, watuulize Cuf ilikuwaje?
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 сағат бұрын
Hao wana ccm wna lingia mapolisi
@fabby1181
@fabby1181 2 сағат бұрын
Wamefanikwa kwa sababu wamechagua maeneo ambayo wanaweza kuwa exposed kwa haraka duniani ili dunia ijue nini kinachoendelea. Maandamano yamefanyika mioyoni inasha sana
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 15 минут бұрын
Umeeleza vizuri sana ila mzaramo hawezi kujua maana ya "exposed"!
@rajabuchambela4648
@rajabuchambela4648 Сағат бұрын
Kwanza atawewe ni mzalamo sema unijui t ukiongelea ccm ndio chama la wazalamo na mikoa yt pwani
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 сағат бұрын
Watu wa chuga sio machoko
@rajabuchambela4648
@rajabuchambela4648 52 минут бұрын
Wewe unasema wazalamo wanakula tembele ndio maana wamelegea wewe ujui kitu mabondia wakuu wengi ni wazalamo Kuna mchaga bondia au mnyatusa nyie midomo tu dar ndio chuo Cha mafunzo
@RazakiMstafa-m4k
@RazakiMstafa-m4k 42 минут бұрын
Tufanye kazi tuache promo wengine wana wajomba nje
@Pedropaulo-f3k
@Pedropaulo-f3k 2 сағат бұрын
Polisi achane kuonea
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO Сағат бұрын
SABABU NI KWAMBA CHADEMA DSM HAIPO WENYEJI WA MJI DSM NI MZARAMO MNDENGEREKO KWA MAENEO YA TEMEKE WATU HAO CHAMA CHAO NI CUF NA CCM WANACHAMA WENGI WA CHADEMA NI WATU WA KUJA AU WAGENI
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 сағат бұрын
We nawe kwani dar ya wazaramo basi Kuna wahindi wazungu ilala yote yawarangi mbezi yote ya wachaga mbagala yote ya makonde Yani Kila mtaa na kabila lake wazaro lamda asilimia ten
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 сағат бұрын
Nikweli mchambuzi wameenda kufanya maandamano kwenye chimbuko la mashoga
@ZahraBadri-k9q
@ZahraBadri-k9q Сағат бұрын
MBOWE mwenyewe shoga
@amitaimtaita6676
@amitaimtaita6676 15 минут бұрын
Nani kakwambia yamefeli
@rajabuchambela4648
@rajabuchambela4648 Сағат бұрын
Ubaya ubwela wewe unijui istoria vizuli nyelele nchi kapewa na wazalamo
@EzekielKandonga
@EzekielKandonga 2 сағат бұрын
Maandamano afadhali yangefanyika Mbeya au Arusha,Mzalamo ni Muoga kazi kupiga kelele mdomoni tu Matendo Zero.Pili Chadema Wangefanya Campaign za Chini chini na kutafuta njia Mbadala ya Kuwapiga Timing Police na Si Police kuwapiga Timing Wao.Kuna maeneo mengi Viongozi wa Chadema Wamefeli katika Suala zima la kuweka mpango kazi wa kuandamana.
@omariKalyango
@omariKalyango Сағат бұрын
Hamna mpya
@SaidKondo-i2t
@SaidKondo-i2t 2 сағат бұрын
Mbona mbeya yalifeli, Huna akili wewe,
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 3 сағат бұрын
CHEDEMA WAMEJAA NIDHAMU HURUMA HESHIMA NA USTAARABU SANA
@MbokaRechadi
@MbokaRechadi 2 сағат бұрын
Ujumbe umefika
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani 2 сағат бұрын
Matokeo ya timu zetu simba na yanga ndio yalisababisha maandamano kudoda.
@CheerfulDrumKit-du7qk
@CheerfulDrumKit-du7qk Сағат бұрын
Tetetetetstsgete
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 Сағат бұрын
Nonsense
@MathiasLima-b7v
@MathiasLima-b7v 2 сағат бұрын
Wewe kama nani hujitambui
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc 2 сағат бұрын
Wwe unajitambua unashibiki chma chama shoga
@ZahraBadri-k9q
@ZahraBadri-k9q Сағат бұрын
Sababu kubwa ni watu wameichoka chadema
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 2 сағат бұрын
Mmbwa wewe haujui Historia khanithi mkubwa wazaramo hawaja husika ktk kuleta uhuru Mwl Nyerere alienda wapi kusomewa Dua na kufundwa kambi ilikua wapi. ? Kama ulikua haufahamu Mwlm alienda kufundwa Bagamoyo kwa Shekh Ramia Hao wa kina Bibi titi Mohamed hawakua wapambania uhuru? Ni wenyeji wa mkoa gani ? Shida yenu mkitoka bara mnakuja na Majembe yenu mjini
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 Сағат бұрын
Kilichofanya maandamano kushindwa ni kujipanga walivyojipanga Polisi kuzuia maandamano. Sio swala la uzaramo au vijana wa Dar. Mbona yameshawahi kufanyika maandamano ya Chadema makubwa tu hapa Dar.
@AbdallahUlimwengu
@AbdallahUlimwengu 2 сағат бұрын
chadema kafanikiwa kwani lengo ni kuonyesha uma dunia nzima imeona
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 2 сағат бұрын
Waandamanaji ndio wamefanikiwa. Maana mw/kit amekamatiwa kwenye maandamano. Na sio nyumbani kwake ujumbe umwfika
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 2 сағат бұрын
Chadema is only part in Tanzania to serve tanganyika
@AbdallahUlimwengu
@AbdallahUlimwengu 2 сағат бұрын
mamluki wewe
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 23, 2024 | Mchana
30:58
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 354 М.
Johnson Sakaja - Mimi Ndio Gavana Nairobi, Sio Gachagua!!
16:28
Radio Maisha
Рет қаралды 21 М.
MAANDAMANO HALI YACHAFUKA, LISU AFATWA NA POLISI KWAKE
17:17
Daniel Mwasha
Рет қаралды 62 М.