SABRA awachana QUEEN DARLEEN na MUMEWE "Ndoa niliwaachia, Nipumzisheni nimechoka niacheni"

  Рет қаралды 19,153

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

#WQueenDarleen #Isihaka

Пікірлер: 112
@maryamm7765
@maryamm7765 3 жыл бұрын
Mungu amjalie ajifungue salama sabra
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 жыл бұрын
Amin
@fatumaadan633
@fatumaadan633 3 жыл бұрын
Amiin
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Amina 👏👏
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
Allahumma Ameen
@mumdons1743
@mumdons1743 3 жыл бұрын
Amin
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 жыл бұрын
Maashaa allah kumbe sabra nae ni mja mzito allah ibarik
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 жыл бұрын
Mnazidi kutucha nganya please fanyeni nguvu kumta futa Sabrah afanye naye interview bado tungali tuna sikia upande umoja tunaomba upande mwengine useme kiisha sisi wahamuzi wamambo tuta hamuwa. Sime yaleta kwetu ili tuamue? Bac leteni pande zote mbili Ili tua mue tafadhali 🤗🤗🤗
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Kabisa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Kwakweli
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
😂😂😂
@handsomebosz6607
@handsomebosz6607 3 жыл бұрын
Nampenda sabra
@hadijajumanne5493
@hadijajumanne5493 3 жыл бұрын
Huyu dada anapenda sana mitandao ya kijamii anaitukuza mitandao,haikuwa na sababu ya kujibu
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
Umeonaee
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 жыл бұрын
Hajawahi kumgombania mwanaume. Vile vijembe vya nn
@fidianishimwe4035
@fidianishimwe4035 3 жыл бұрын
🥰🥰🥰😂😂
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Sijui hapa mkweli nani dareen puunguza kidomomo urongwe kwa lipi shosti🤭🤭
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
ukiona m2 anasema ivyo ujue yeye ndo mrogaji darleen anaroga yeye
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 3 жыл бұрын
kwa mumume kumupenda inatosha iyo
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Sura yenyewe ngumu kama mwanaume afu anajishaua sana huyu malaya wa kike kenge sana mwanahawa
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
Apo chacha😀
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
@@mariamsuma3003 hahAhA😂msameh😂😂😂tumuelewe kampata is'haka kwaku bahatisha ndomana anajishauwa sna😂ukiangalia sabra ni mrembo kumzid ana shepu nzuri MashaAllah😘
@harunalitupile4949
@harunalitupile4949 3 жыл бұрын
Munazingua sauti ya mziki no kubwa kuliko kuongea atusikii
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
Umeonae😒
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Kwakweli mtihan ndoa ya uke wenza mimi ni Muislam lkn siwez mume wa mtu cmtaki na wangu pia sitaki aowe sitaki shida mimi ALLAH atanisameh tu maana ipo kwenye dini yetu lkn ngumu kumeza na hasa kizaz chetu hiki mmmh shida
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Nikwel lkn ukumbuke wanawake tupo wengi musipo kubali wafanye nusra basi uzinzi utakuwa mwingi 🤣🤣🤣🙈
@ashahahahahatwendenikwetut3826
@ashahahahahatwendenikwetut3826 3 жыл бұрын
@@zou7470 mm sjui hata nifanye nn!! Nikianza kuwaza mambo ya ndoa kuchangia mume nahis kufa
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
@@zou7470 kukubali c tatizo dear lkn mwingine akiolewa vishindo tena utafanyiwa + ushirikina weeh ujute km hujui shirki utaijua mimi akitaka kuowa aniambie tu nijue ntawaacha cwez vishindo labda hy mke mwenza awe mpole na mume akiwa muhadirifu hpo hamna noma lkn nining'inizwe roho mpk ifike juu ya mti sitaweza bora kaz yngu ndy iwe mume 😂😂😂
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
@@ashahahahahatwendenikwetut3826 njoo kwangu mi nataka nioe au mpaka mwanaume awe mwislam?
@fatmarashid2066
@fatmarashid2066 3 жыл бұрын
@@ashahahahahatwendenikwetut3826 tupoo wengi tusio na mioyo
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 3 жыл бұрын
Angepiga simu
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Wasituchoshe, nampenda Darleen inatosha 👌🤣
@afsanibitanga291
@afsanibitanga291 3 жыл бұрын
wapiliiiiii wooow
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 жыл бұрын
Ndio mambo ya uke wenza ay
@saidronya2231
@saidronya2231 3 жыл бұрын
Wa kwanza.... Like nying...
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Hivi huyu Isihaka anapata hizi interviews nyingi na kufuatiliwa kwa nguvu hasa sababu yake ni ipi? Au ni kwa sababu kamuoa Darlene? Ama kweli ukitaka umaarufu jiingize kwenye huu ukoo utaongelewa kama dawa mara nne kwa siku. Tunachoka.
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Kwakweli napenda kuwa mke mdogo nitampenda mke mwenzangu kwa ajili ya Allah labda yeye anichukie mm ila kiukweli hakuna mwanaume wa pekee yako
@doreenkareem5817
@doreenkareem5817 3 жыл бұрын
Vp ukiwa mke mkubwa
@mariamibrahim3162
@mariamibrahim3162 3 жыл бұрын
Sabra namuelewa
@saladaniel9274
@saladaniel9274 3 жыл бұрын
G darling Umenichekesha 😜 Unatamba unajua kupendwa tuu Kaa kwa kutulia weweee 👉 Wanaume hawana formula
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbona hawana formula,hahahaaaaaaaa😭machozi ya raha ya comment yako
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Hajielew Huyu mwanahawa hajawah kupata mwanaume
@esperancakombat7797
@esperancakombat7797 3 жыл бұрын
Kwakwel hawana formula utaumbuka bure mwsho wa siku
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
Naam
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 3 жыл бұрын
Ish aka nimrongo angekua ana mapenzi angeondoka aka wachia mamboyenu
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Mwatuchanganya
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 3 жыл бұрын
uyu Sabra hataki kukubali Dada queen kuwa muke wa mumewake ila imesha bindi akubali Sabra iyo siyo tabiya zuri kubuhahibisha mume wako tena anakupenda sana na queen anaelewa.
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Isihaka muongo dareen ndio unamroga isihaka nenda huko
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
@@adijaniyonkuru9731 na huyo alie sema karogwa ana uhakika? Unajuaje kama mwenzio mchawi kama nawewe sio mchawi?mchawi Darren aliekuja kuvunja furaha ya watu.
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
Inabd sabra nae amfanyiwe interview maana wanatinganya sijui tumuamn nan n mbona walikuwa wanachrt?
@Fadhakir21
@Fadhakir21 3 жыл бұрын
Pole sana
@youngchua697
@youngchua697 3 жыл бұрын
CONGRATULATIONS QUEEN 👑
@starcostantine1795
@starcostantine1795 3 жыл бұрын
Sasa kama uliwaachia ndoa sasa unachopata shida kuongea ongea ni nini? Kama huuumwi na kijiba cha rohoni 😂😂😂tulia mama mwenzio aendeleee Gemu uliloshindwa wewe 😂😂😂
@zaitunimohd3617
@zaitunimohd3617 3 жыл бұрын
Kabla hajaingia daleen kwenye hii ndoa ilikua na amani jamanii ndoa za Instagram hizi
@faudhiaamerii6692
@faudhiaamerii6692 3 жыл бұрын
@@adijaniyonkuru9731 acha kumkumu mdad wawa2 ttz kizazi 2 lkn ni mung acha na maneno y mtanda on ili achafuliwe 2 Han kosa
@Rylee_kerrueche
@Rylee_kerrueche 3 жыл бұрын
Mh hao wanaopiga mziki mkubwa hata hainogi maana mtu hasikiki
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 3 жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu yaweza kuwa mke mkubwa aliondoka na ujauzito na mume hakutaka kulieka wazi tu
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 жыл бұрын
Kweli kabisa. Hawez Kusema
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
Huo ujauzito wa Sabra una siku zakutosha ata Is'haka aliwahi kuliongea sema Sabra alikua anaficha,kabla ata ya Queen kufanya ile party yake ya harubaini,in short ujauzito niwa Is'haka na Queen analijua hilo ni juu ukewenza hausafiki😒
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 жыл бұрын
@@nahimanamayassa8305 umeona ee?
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 3 жыл бұрын
@@nahimanamayassa8305 umenisaidia akili maana likuwa nashidwa kuelewa
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
@@wardaheluwa734 Ndivyo ilivyokua
@justinjoshua1059
@justinjoshua1059 3 жыл бұрын
Pole Chris, nasikia sauti yako sionzuri.naona unamafuwa.isiwe corona? 😂😂😂😂😂😂😁😁😁I'm joking
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Corona is not a joking thing..,people are dying.
@justinjoshua1059
@justinjoshua1059 3 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 so what?if u believe that is not utani I don't care.
@queenseptember4640
@queenseptember4640 3 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 kwan Malaria watu hawafi? Cancer? HIV? TB? HEPATITIS?
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
😂😂😂
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
@@justinjoshua1059 😂😂😂
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Hajandanganya bwana huyo mwanamke roho inamuuMa tyu akae atulie
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
true
@umakramzahor4836
@umakramzahor4836 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kwani aumia nini sheria wa 4
@fatmas7338
@fatmas7338 3 жыл бұрын
@@umakramzahor4836 kweli.ni sheria lkn sio rahisi kama unavofikiria hili ulisikie kwa mwenzio usombe likufike kusema ukweli tu uke wenza ni mgumu hasa kwa dunia yetu hii kwa ss watu tuliokosa imani ya dini yetu
@umakramzahor4836
@umakramzahor4836 3 жыл бұрын
@@fatmas7338 sikatai simgumu lkn yakishakufika inabidi uvumilie ww jali maslahii yako tu
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
@@umakramzahor4836 umesema kweli...aache kushughulishwa na mke mdogo afanye mambo yake...hayo mambo yata settle yenyewe
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Muache apedemukewake
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 3 жыл бұрын
Sasa mumeachwa mjishemedue vzr kwa nn mwaficha🤔🤔. Mwenyewe kashasema mumkome😂😂😂
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
Sabra amekosa hekima....
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 3 жыл бұрын
@@hadijasalum6373 wamwache sabra wetu
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 жыл бұрын
Kuna mwanaume alinisumbua sana nilipoamua kuachika hakuwahi kusema kuwa ameniacha alificha sana na watu walivyokuja kujua akawa anatangaza kuwa namtumia sms za kumpembeleza wakati sikuwa na muda huo
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 3 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 Ndivyo walivyo awo wakina hawa,*hawana* wema wanaume😒Umeshaona sasa kma apo Sabra yuko right kuweka wazi kua ameachika?!wenda kesho is'haka au uyo mwanahawa wake watakuja kutangaza ayo ayo yaliokutokea!
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 3 жыл бұрын
@@nahimanamayassa8305 kabisa tena
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 жыл бұрын
walitaka tu kuficha sabra amecha achika kitambo
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Wee kumbe htr bac
@Cyper255
@Cyper255 3 жыл бұрын
Isihak yupo kwenye wakati mgumu sana. Inaonesha hakumshirikisha mke mkubwa uamuzi wa kuoa
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Kabisa
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 жыл бұрын
Karibu kumshirikisha wa kwako
@amunaamai8631
@amunaamai8631 3 жыл бұрын
hhhh mambo nimagumu
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 3 жыл бұрын
Sabra ni muongo yupo na mumewe anatabia tu ya Kukana hata yule kaka aliwah kumpost na mtoto wa yule kaka lkn alipoulizwa aliMkana pia
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
Nikweli alaf hajui kucheza na hisia zake....anakurupuka tu hapo ndipo anapompiku darlin
@alsam4881
@alsam4881 3 жыл бұрын
Huo mziki kwa nyuma unakera sana ni kelele tupu studio , wangepunguza sauti ya mziki wakati wanawahoji, inaonekana wafanyakazi hawapo vizuri kwa kazi yao,inabidi warudi chuo kujifunza tena.
@dianarobert3989
@dianarobert3989 3 жыл бұрын
Wanajua nini ndg yangu umbea tu
@maxwellking9399
@maxwellking9399 3 жыл бұрын
Alsam@ Redio hizi zimejaa ubabaishaji na hazina weledi hata kidogo (luck of professionalism) ndio maana ha zikifungiwa mimi naona sawa tu siku hizi. They have a long way to go in order to learn better.
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Hawa alisema mume wake pekeyake mbona hapa anasema tunapendwa wote
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Chizi huyu
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 3 жыл бұрын
Kwa sababu awajapatanishwa
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 3 жыл бұрын
Tumuamini sabra ndie hataki shobo
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 3 жыл бұрын
Hhhhhhh
@munmun_stepup6900
@munmun_stepup6900 3 жыл бұрын
Mke ndio mkweli
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
Swabra pole mwenetu
@gabrielibyaese827
@gabrielibyaese827 3 жыл бұрын
😷😷😷😷😷 since you american tumeshoka tuuuuuuu
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 3 жыл бұрын
Sabra mange alikwambiyaga uhachike ila ahukusikiya
@ramasonkalujefa4620
@ramasonkalujefa4620 3 жыл бұрын
Watu wakutaka ubea mtadaoni mtapata tabu sana kujua ukweli, mbogo bwana hahahaaa shika moho bogo mitadao
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,4 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
QUEEN DARLEEN NA MUME WAKE ISIHAKA KWENYE HARUSI YA ESMA & MSIZWA
10:53
QUEEN DARLEEN - "MAPENZI Ninayopata, Na ENJOY Sana, NITAZAA Sana"
8:50
Global TV Online
Рет қаралды 46 М.
18+ | S*xual rights in Islam | #MuftiMenk | #ShWaelIbrahim | #DrMSalah
57:41