Naipenda sana nyimbo hii kwetu musoma nyimbo hii ikipiga Niko Mahali hunifanya mimi kufikilia nyumbani ❤❤❤
@JumamussaDominiko2 ай бұрын
Oy vp mwang
@MudMuho-zo9do Жыл бұрын
Nakukubali Saida mungu tufanyie wepesi tuuone 2024
@victoramaro93732 жыл бұрын
Saida Karoli the best of all the time 👏🏽👏🏽👏🏽much love ❤️ to Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 from Dominican Republic 🇩🇴 🇩🇴
@PolestarRamadhani8 ай бұрын
Mmmmmmh mungu akupe Maisha marefu sana kwa hii nyimbo huanga unanikumbusha home ikpongwa mmmmh❤❤❤❤❤❤
@mayanjatonny18962 жыл бұрын
Still listening till now!!!! Though am not understanding the language.... Big up Saida👍👍
@bamwonjoboraowen264411 ай бұрын
Bukoba from Tz.. Meaning they refuse me to marry you and I kill myself
@Rugarabam Жыл бұрын
Namukwata mumabele mzee kyeimuka njwerii. Namukwata omurubhunda ebyombo bya tika tika.... wow 👌 👏 😍 This language is so deep in meaning. 👌 saida kaloli ❤
@evancefesto Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@rosekalungi7188 Жыл бұрын
Japo kuwa siwezi kuongea kihaya sahii kwa sasa lakini napenda kuongea lugha yangu japo kuwa sina wakuongea nae hapa nilipo, muda wangu ni kuangalia nyimbo za saida nisisahau lugha gamgu kabisa,❤ much love from me, mtoto wa kushogo,naangalia kutoka Holland 🇳🇱
@erneuskairuki164611 ай бұрын
Karibu ndizi nyumbani nyumbani Niko DSM
@atugonzahappiness6379 Жыл бұрын
Kiukweli hii nyimbo inanifanya ni miss Tanzania sehemu za Kagera hatali Sana mama yetu Saida karoli
@care2302 Жыл бұрын
Hellow
@erneuskairuki164611 ай бұрын
Nyumban
@antoniosobral356311 ай бұрын
1:00
@yeremiah606110 ай бұрын
Namm pia namkubari saida karoli
@anordylucasy4472 ай бұрын
Kwan uko wap
@sarahsitati1117 Жыл бұрын
Even though I don't understand but wauuuu wire Yani moto ya kuotea mbali 😳, Kuna ka boy kadogo pale I like him mwaaaaaa ❤️❤️❤️❤️
@Rugarabam Жыл бұрын
Bakunyimee nyeiteee ( means if they don't give me you, I will kill myself) Bakushereke ninkwibaa, (if they hide you I will still u, yaani Wakikuficha ntakuibaa)
@EmaMakay Жыл бұрын
Yaan hii nyimbo hua nawakera nayo majiran zangu wa dar es salaam wanatamba na taarabu mi nataman na saida😊
@sylivesterconatus1616 ай бұрын
😂😂😂😂
@MalaykaSaid-j1c12 күн бұрын
We ni mm kbc tena naongeza sauti hadi mwisho
@oorosam2 ай бұрын
Nita hamia Tanzania nionage Saida kila siku na kucheza..Ngoma zake 🎉🎉🎉
@leokadiamelu31063 жыл бұрын
Ngoma nzito saidaa nakupenda bulle Mrs🤝🤝
@josephatbabilas73623 жыл бұрын
Hii ngoma huwa inanifanya nikumbuke Sana nyumbani ukerewe hasa wakati wa sikukuu
@ZachariaMayunga-xb8bg2 ай бұрын
Uko wapi aaivi
@winnieedson69373 жыл бұрын
Ngoma kali sna 🔥usiombe uende kwenye harusi za kimira kama kule kwetu musoma vijijini hlafu waweke hii ngoma wallah nimekumbuka mbali 😊
@joyceobila61522 жыл бұрын
Yaani wewe umenikumbusha mbali bwana yaaniiii😁😁😁😁😁
@salehefadhili4030 Жыл бұрын
Yani bas 2 bwan
@abelmalonja3375 Жыл бұрын
Kwani kabila ngani hilii
@juliethhouseofdesigns147 Жыл бұрын
@@abelmalonja3375 wahaya
@theonechage94692 жыл бұрын
This song makes me to remember those days
@PeterKimemia-nc3we10 ай бұрын
Sauti ni nyororo nakusikia. nikiwa Nairobi Kenya
@Grasshopper-m3d8 ай бұрын
Karibu tabata Dar es salaam tz 🇹🇿 tuisikilize wote
@user1836-u8l7 ай бұрын
Nasikitika watu wengi hawajui mziki ambao ukona art wanasyport upuzi ambao unaimbwa na watu wengine ambao wanajiita wasanii ila sio wasanii.
@EmmanuelDauson20 күн бұрын
Naipenda sana hii nyimbo kila nisikiapo nakumbuka enzi napika pombe za kienyeji nilikuwa napenda sana kuisikiliza
@JeraldSimon-y7u Жыл бұрын
Nyumbn ni nyumbn ...saida naukubar sana japo nipo uswahilini ila nazienzi nyimbo zilizo tulea
@rachelgilbert3617 Жыл бұрын
Thank you ! From Toronto, Canada
@elvisnyaranga4343 ай бұрын
Mara moja iyo rorya kwenye kigodoro ikipigwa iyo ilikua inanoga sana daah aya maisha
@NassoromingwaruMingwaru11 ай бұрын
Chochorii 🎉 nakubali sana mwamba kutoka kanda ya ziwa
@FredThomas-ib4kc4 ай бұрын
Inanikumbusha home kwe2 Kanda ya ziwa👍👍
@SABATOOKONDO Жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo japo sielewi maana yake.
@AgnessProsper20 күн бұрын
Apo mwanzo anamaanisha waninyime wewe nijiue wakufiche nikuibe
@makasiausenmokili378011 ай бұрын
Saidah the true definition of mama Africa
@BarackaSaim-ev3gk Жыл бұрын
From Kuma moto japan nyimbo nzur sana ❤
@deogratiusjoseph770 Жыл бұрын
From where huo utani sasa😂😂😂
@thabititz46223 жыл бұрын
Bukoba tunaweza Kazi Lendelee
@aminaabdi3228 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿💯 bukoba yetu
@TumainBinamungu9 ай бұрын
Kiukweli namkubali Sana mama yetu Saida ❤❤
@جنيد-ف9ق2 ай бұрын
Mazima nice song ❤❤
@florenceflorence73754 жыл бұрын
NYC tune am in SAUD Arabia enjoying
@ericacharles71685 ай бұрын
😢😢😢 nimepamiss nyumbani jamani😢😢😢
@Renardnho-gd8ib Жыл бұрын
Hatali sana mwana 2023🔥🔥🔥🔥🔥
@enjoomaliya13992 жыл бұрын
Wahaya , wanyambo , tujuane .
@stevedymesmusic Жыл бұрын
Munyankore from Uganda napenda lugha yenu kwasababu inafanana na kinyankore cha kwetu Bakunshereke ninkwiba
@RemidiusNicholaus-h1h10 ай бұрын
Namkumbuka sana mama yetu wa kiaya kwenye nyimbo zake zote
@ShabaniAyubu-m3m5 ай бұрын
Niko burundi rakini tunamupenda said
@patrickmalunde5577 Жыл бұрын
Haaaaaatari mzee huyu mama ni jembe kweli kweli, halafu namkubali sana means ananikoshaga kila dakika
@controlcil47747 ай бұрын
Yooo byaa wahaya tumbhoneke kashozi maweeee
@번영바이2 жыл бұрын
If u understand the message you will love it more. Utacheka na kulia 😀😀😀. Yamkwata omumabele omwami yaimukaaaaa.... Saida hatari
@lindilogistics734 Жыл бұрын
QqqqqàqQÀ
@Rugarabam Жыл бұрын
Ebyomboo bya tika tikaa.... bojoo . The meaning is something else and deep
@stevedymesmusic Жыл бұрын
He has touched her boobs and …...........😂😂😂😂😂😂love from Uganda
@felixmakinda7689 Жыл бұрын
Amobwata amabere omwami yaimoka?
@lilianestephanie78815 ай бұрын
Hapo virabuni vya pombe😂😂🙌
@adamoobausy33704 жыл бұрын
nilikua kadogo sana dah.leo namilik iphone asee dah 2021 nan tupo pamoja
@dottosamson96563 жыл бұрын
Pa 1 jembe umenigusa
@winnieedson69373 жыл бұрын
Mm nilikua darasa la NNE watu tunatoka mbalii tunakua kama kuku wa kisasa pedu🤗😊😊😊
@abdonfidelis95183 жыл бұрын
Me nilikua la nne pia
@felixmakinda76897 ай бұрын
Huku kwetu Kisii, katika jamii ya Abagusii tunasema, BAKONDINE NYEITE, BAKOBISE NINKOIBE. Wakininyima najiua! Wakikuficha nitakuiba.
@yousufyousuf132011 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤Kwer💃💃💃💃💃💃💃💃🇧🇮💘💐
@athumanyahaya4742 Жыл бұрын
Huu mzki unanikumbusha wakt wa sherehe 2009
@genturupius41184 жыл бұрын
Siku hazigandi Leo nimekuwa mkubwa!!
@avidiuselias41262 жыл бұрын
😂😂 kitambo
@teacherkaligodottonjigecha33282 жыл бұрын
KAZI za huyu mama nazikubali sana
@KulwaAbdalaa7 ай бұрын
nyimbo ipo vizuri san
@emmanuelnaisonАй бұрын
I remember we dance this song the hall night 🤣🤣🤣
@joyceobila61522 жыл бұрын
Safi sana Saida mtani wangu
@Kainerugaba256 Жыл бұрын
Language is the same as Runyankore of Uganda. I have to visit Tanzania
@omaryaman13123 жыл бұрын
ngoma kali saana
@nzeyimanajpetit17482 жыл бұрын
Lov you Saïda ❤
@makasiausenmokili378011 ай бұрын
Africa should be celebrating her
@joyceobila61522 жыл бұрын
Acha bwana acha bwana kama nipp ujaluoni kwenye parti ya mziki Usiku msibani acha bwana were😁😁😁😁😁😁
@elvisnyaranga4343 ай бұрын
Ww acha tuu rorya apo ifike usiku usipime akika tulikua tunaburudika sana
@AngelMasawe-q4g7 ай бұрын
Bahaya mpo mugumile😂
@StevenSimon-r9g Жыл бұрын
Kweli kagera Raha kwani we uko wp
@aheerezatarasisiotwin Жыл бұрын
Kinyambo language sounds like uganda westerner language
@stevedymesmusic Жыл бұрын
Yeah kinyambo na kihaya
@TumainBinamungu9 ай бұрын
Nakumbuka mengu ndgu zanguu😢
@elizeusmichael34638 ай бұрын
From 😂 USA nice
@josephsebastian3896 Жыл бұрын
Penda sana mama nyimbo zako
@FATMASADY-m9zАй бұрын
2024 my favorite songs 😊
@johnwanjala55902 жыл бұрын
yamkwata omumabele omwami yaimukaaa
@zambaramah43672 жыл бұрын
i remember where come from🇺🇬🇺🇬
@asupiaalbertoalberto81225 ай бұрын
Bom som apartir de Pemba Moçambique.
@IrineNekesa-k3y Жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana
@ThelespholyTheodimily-gu8xg Жыл бұрын
Jaman hatari sana twenden kwetu jaman
@budodianthony8094 Жыл бұрын
Saida kaloli tetemesha bokisii naikubali sana
@LinusElias-i5r Жыл бұрын
Nice dancing ❤
@PeterKimemia-nc3we10 ай бұрын
Nice ❤
@user-rr4uo1qj9lscvia11 ай бұрын
Thanks you so much Darling 💗 💓 💖 🎉🎉
@mudrickatymohamed55723 жыл бұрын
Saf sana dada
@hamisimatofali612 жыл бұрын
Ngoma hii waaah nailudiaga mala mia
@BabuMare-d8vАй бұрын
napenda Sana iyi wimbo
@Grace-s3f6p6 ай бұрын
All comments are in kishwahili kati ffee tugoinge wa 😂😂😂😂
@PhiniasAbdalah6 ай бұрын
ila hii Ngoma nipata demu mkali kweli
@halimajamaniamekuwamndeme96173 жыл бұрын
Nice song
@jumamangu25564 жыл бұрын
Kali kinoma
@SabanSalum-mc1mc11 ай бұрын
I love you saida karoli
@hamisichacha478 Жыл бұрын
Wow! Impressive!
@AzizaRamadhani-e9n Жыл бұрын
napend san hii nyimv tok utoton
@pastoryPatrice Жыл бұрын
Kanda ya ziwa
@benjamindenice533 жыл бұрын
Mabantu wameiba verses yako
@naturalbeauty60523 жыл бұрын
Ya wimbo upi? 😄😄😥
@KizzaNicodem4 ай бұрын
Sielewe anacho kiimba ila naupenda
@amidoserafimdacosta32489 ай бұрын
Very good
@fahimaahmed81nkinzo25 Жыл бұрын
I miss home
@assab31672 жыл бұрын
Kanikumbusha nyumbani uk
@RobertBudotela-i7y4 ай бұрын
Saida karoli 🎉🎉🎉
@yusufchikoko97832 жыл бұрын
Nice songs
@asteriamrkonk25513 жыл бұрын
Saida kalori bakunyime
@allyngazi12873 жыл бұрын
Noma sana
@maindasslokwa77663 жыл бұрын
@@allyngazi1287 Nice song am from Drc Kinshasa
@LucasEssinetaChissano-ix1wo Жыл бұрын
A musica mexe muitos coracoes ate hoje em mocambique
@sudybrown39736 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰
@edwardmashakajuma2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@hoseamsemne12164 жыл бұрын
YAAa
@limahlove7375 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤😍
@kakalovesimeone2532Ай бұрын
Kama huwu wimbo umeuna video mwaka 2024 tujuane
@EMMANUELRWEYEMAMU Жыл бұрын
Ewaaaa
@saifullahalick4076 ай бұрын
Please can someone translate this song into English.
@nixonkorirjeluget327010 ай бұрын
If you understand the language, Translate lyrics to me and many others, in the House, am from Kenya
@abuuzahoroally Жыл бұрын
Kama unaikubar goka layki
@namisironald61173 жыл бұрын
Nice and enjoyable
@thebluemakumbi72413 жыл бұрын
what the meaning of the song
@Rugarabam Жыл бұрын
Bakunyimee nyeiteee ( means if they don't give me you, I will kill myself) Bakushereke ninkwibaa, (if they hide you I will still u, yaani Wakikuficha ntakuibaa)
@zippygeek462910 ай бұрын
@@Rugarabam Wakisii wa Kenya pia tunasema nyeite (nijiue), ninkoibe (nikuibe).Asante sana.