Wallaah nampenda Sheikh Said Kinyogole kwa ajili ya Allaah
@SociedadeSust12342 жыл бұрын
Mashallah Sheikh Kinyogoli God bless you everyday Amiin
@issmuking39873 жыл бұрын
yaaan mm wallahi nikiwaskiliza masheikh wangu wallahi wanaongea vzr na wanaelimisha makafiri vzr Allah awalipe ujira usiokwisha masheikh wetu walimu wetu wazaz wetu Manabii wetu pamoja na kipenz chetu muhammad s a w ameen
@wadudi27412 жыл бұрын
Màashallaah
@huseinshedrack61803 жыл бұрын
Mungu ni mwema, Ahsant sn Mungu wng kwa kunitoa kwenye ukristo na kunileta kwenye uislam
@muslihmohd36853 жыл бұрын
Mashallah Allah azidi kukuongoza na atuzidishie uongofu sote pamoja insha'Allah
@hansmswagara27893 жыл бұрын
MwenyeziMungu azid kukujaalia ndug
@azizimatahuka20127 ай бұрын
Allah akupe kheri nyingi kuingia ktk dini ya kweli
@DuliBrillant-mr8er7 ай бұрын
MashaALLAH bro ALLAH azid akupe mwangaza katika kuufata uislam inavotakiwa
@HappyKiteboarder-du9th7 ай бұрын
Mashallah
@aishahazary40973 жыл бұрын
Masha Allah.ALLAH akupe nuru kwenye maisha yako ustadhi Kinyogoli.
@abuuabuu91703 жыл бұрын
Maashaallah
@omaryally1983 жыл бұрын
MASHA ALLAH ❤️❤️🙏 mwenyezi MUNGU awalinde.
@kawtharalbarwani13373 жыл бұрын
Amiin
@lisauroble312 жыл бұрын
Nawapenda sanaaa ktk midahaloo yenu mungu awainuwe lewo kesho peponi allhandulihi vidume mpo vizur nguvu moja njiya moja ALLHA AWAINUWEE KTK UKWELI HAKII
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Jamaniee? Nimerudi tena kucomments hawa masheik wetu Tuwaombee kwa Allah awalinde na kila balaa.
@hamisishabani407211 күн бұрын
AAMIIN!!!
@mohamedkibwana7558 Жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheyr masheikh wetu
@rahmatahmed18713 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu....Najivunia kuwa mwislam wallah..Allah awahifadhi masheikh wetu na uwajalie thabit kwa kila kitu...sheikh kinyogori Masha Allah tabarak Allah.
@maherzain6153 жыл бұрын
Saidi kinyongoli moto wakuotea mbali💪💪
@fadhilikawambwa51593 жыл бұрын
aisee natembea kifua mbele kwa kujivunia uislamu na yote haya ni kutokana na hawa waaadhili wetu wa kiislamu. ALLAH SW awape umri mrefu ili watu wafaidike na neema hii ya wahadhili wetu.amin
Allah Akbar! Allah akuwekee hadhina zetu Mashekhe wetu.
@fatumjumaa55633 жыл бұрын
masheikh wetu twawashukuru kwa kutufahamisha na kutuelimisha sisi na wakristo mungu awahifadhi
@Ahmadasshii-raazy88883 жыл бұрын
Allah awajaalie pepo yaa juu masheikh zetu
@johntay88133 жыл бұрын
Kaka yangu Said kinyogoli na walimu zetu waki islam Allah akuifadhini kwa kazi mnazo pata katika kuelimisha ndugu wakiriston
@ummurasul82303 жыл бұрын
MaashaAllah TabaarakaLLAH Mungu awazidishie nyooote....
@mustafasalehmwanamilongo2173 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha mema duniani kaburini na kesho ahera
@maliamhotimaliamhoti53023 жыл бұрын
Allah awahifadh masheikh we2. Nawapenda kwajil ya Allah.
@suberasubera6413 жыл бұрын
tunawaombea Allah awaweke namuwe naafia njema
@mariamjuma31253 жыл бұрын
Mashallah hostadh Saidy unafata nyayo za hostadh Mazinge Mungu awazidishie Umri mrefu usio Zeeka🤲🤲🤲 Pamoja na masheikh wetu wote Mungu awalinde na awalipe pepo Firdauss Inshallah Amiin
@zulfahussein67843 жыл бұрын
Allahummaa Aaaamiiin Yaa Raab
@sakinat25273 жыл бұрын
Amiin Amiin
@hadijamandanje61893 жыл бұрын
Amiin amiin Ya Rabiialamin
@fadhilikawambwa51593 жыл бұрын
amin
@mordally3 жыл бұрын
Masha Allah ustadh Kinyogoli
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Maashallah.....MBU kipeo Cha tatu’ Yaani ni (MBU MBU MBU )...! Maashallah Maashallah ‘ Said kinyogoli ama hakika weye ni msumari Kwa wagalatia...!
@fadhilikawambwa51593 жыл бұрын
hahahahah nashukuru kwa kunilewesha hapa nilikuwa sijui hahahah
@fatimaomar11723 жыл бұрын
Hahaha Mashaa Allah
@saidosaido56473 жыл бұрын
Sasa said unakuja kali ikija jihad tuna kula kichwa,muhim wakristo bado niwadgo mbele ya masheikh wakiislamu hawana ilmu wanajitahidi tu wanafundishwa na masheikh wakiislamu tena mafundisho mazuri mashaallah
@adammanyendi75772 жыл бұрын
Mungu awajaalie mashekhe wetu amina
@alhadjmugisha52163 жыл бұрын
Jamn napta rah san kW muhadhara km hii nawapnda san masheikh zet kwaajil ya Allah ,Allah atup mwsho mwem atukutnish pia ktka pep yke
@ajumaakange14833 жыл бұрын
Kinyogori nishidaaaaa Allaah akupeumri mrefu
@saadaabdallah-zy8vv Жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu yenye mafanikio
@abdalaauame38633 жыл бұрын
Mashalla ustaz kinhogor,wafundishe wa juwe ukwell ili wafuwate 👐👐👐👐👐
@mohamedkibwana7558 Жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheyr masheikh wetu
@yusuphmohamed8560 Жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh hapo Sheikh Said Juma Kinyogoli uko sawa kwa mujibu wanavyokwenda hai rafiki zetu wa upande wa pili.
@missrukia96613 жыл бұрын
Mashallhaaa shekhe kinyogili
@khadijaalmasi96863 жыл бұрын
Wahadhili mungu awaepushe na kila Shari maana mnafanya kazi nzuri
Nawapendeni kwa Ajili ya Allah nawaombea kwa Allah awape umri mrefu Allahumma Amiiin
@demereramadan94983 жыл бұрын
Amiiiiiin
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Alhamdulillah kwakuwa muislam
@kawtharalbarwani13373 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Nakusikitiya Omar usijaribu tena kufanya mujadala na Said kinyogoli huyo ni kiboko tena kiboko Allah Akbar 💓
@ABAELECRTONICSAR-ok5xf8 ай бұрын
kinyogoli very genius allah amuifadhi
@hamisijm84373 жыл бұрын
Masha aĺlahy masheikh Kwa mafundisho mazuriya Bilayashaka Wameelewa Swadakta
@jakayakigoda583 жыл бұрын
Wote ni bora kufuatwa kwa kila mmoja kwa wakati wake Ni nyinyi tu msiokuwa waislam hamuelewi, wote hao ni waislam. Fuateni Uislam
@wariditambi86792 жыл бұрын
Nawapenda sana mashekhe wetu mungu awape mwisho mema na ss pia Amin
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲 🤲
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Maashallah kumbe a najua maskini. Sibola Asilimu tu
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE is Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, wants you to do. So you too can be SAVED!
@habarugirahassan8552 Жыл бұрын
1
@meekman18053 жыл бұрын
Maashallah jazakumullahu kheyr
@azadida8013 жыл бұрын
Mashaallah sheikh Kinyogoli mwamba mwamba kabisa
@hafsaali79763 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah shekh wetu
@hamadibabu33213 жыл бұрын
MashaAlla
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Allah wakbar
@abuyunusmohamed69613 жыл бұрын
Ushauri wangu mtumie mbinu ya dr zaik naik.Hamkashifu mtu wala hakuna takbir au haleluya.Ni heshima tu na utapenda kusikiliza
@husseinahmed52162 жыл бұрын
Mbinu za hawa wa kwetu ni mtihan sana" wabidilishe mbinu iwe mbinu za kistaarabu Zaid kama afanyavyo dk naik itapendeza sana
@muslimsalimmuishee55413 жыл бұрын
Shehe mungu akuifadhi kabisa nakupenda sana kwaajili ya allah ninadaangu nataka kukuozesha
@mwanashazingas66843 жыл бұрын
Yani mmi vyenye na muelewa huyu bwana kinyogori kushinda vyenye najielewa mmi masha Allah
@maherzain6153 жыл бұрын
Wallahy ako fasaha kabisa hata namuelewa vzr sana
@mohamedturanardan88713 жыл бұрын
Murtad Yahya Omar umeuza dini ya kweli ya uislamu kwa thamani duni? Allah atuhifadhi yyarabb. Ameen
@lazaroekela Жыл бұрын
Wewe askofu muda sio mrefu mtasilimu ❤❤❤❤
@abdulhalimsadick22513 жыл бұрын
manabii wote salama na aman viwe juu yao wamekuja na ujumbe mmoja ambao n lailahailallah..
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
Masha Allah
@omanomqn43453 жыл бұрын
Mashaallah shekhe said kinyogoli,,, mashaallah umefafanua vizuri sanaaaa
@amurisabiti70373 жыл бұрын
Rehma na Amani kwa ma sheihk wetu Barka'llahu feek, Mazinge na wenzake mwisho mwema kwenu
@baaliyanuun4163 жыл бұрын
Ustz Said uko pow ssna dah ww ni atar sana
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
Yaani hii inaitwa nipe nikupe allah akubarik shehe wetu kinyogoli
@lisauroble312 жыл бұрын
Kinyogor nae uko vizuri allhandulih
@mysalakatele23493 жыл бұрын
Nashukuru kuwa muislamu na ningekuwa mkristo ningesha Hama maana uongo mtupu
@mossesjovenari94573 жыл бұрын
YESU Atakuja siku ya mwisho kuwachukua walio wake je wewe umo?
@aliabdalla92973 жыл бұрын
@@mossesjovenari9457 hatokuwa na muda huo maana nyinyi munaomzushia kumwita Mungu sijui mutakuwa na hali gani siku hiyo
@jumakhamis2263 жыл бұрын
ALLAH AWAJAALIE KHER MASHEKH WETU
@omarikijazi52412 жыл бұрын
Kazinzuri mashekhe wetuuu
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Tunashukur kwa hili
@khamissalim74373 жыл бұрын
Mashallah
@junicnamuwenge69572 жыл бұрын
😨😨😱😱😱🇺🇬🇺🇬 mungu awasaetiye waesiremu
@pablooo4197 Жыл бұрын
Kwanza jisaidie ww kwenye lugha ya kiswahili😂😂
@jakayakigoda583 жыл бұрын
Namkubari sana Kinyogoli
@jamilshisia59293 жыл бұрын
MashaAllah
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Saidi tunakuona Mbali saan. Unarithi mazinge
@hadijamandanje61893 жыл бұрын
Mara nyingi mwanafunzi anampita mwalimu,naona Kama anampita mwalimu,mpaka mwenyewe mazinge anachanganyikiwa,Allah awasimamie mashehe wetu na awalipe pepo ya juu kabisa,amiin amiin Ya Rabiii
@chire4574 Жыл бұрын
Sio tu kumrithi..atamzidi..kwa vile ametulia
@Rukaka_jr3 жыл бұрын
Kinyogoli ni MESS wa waislam muda wowote anabadili matokeo
@zumrasaidi66003 жыл бұрын
Allh awape nguvu mashehe wetu
@kwaleboy60643 жыл бұрын
Mungu awalinde walimu wetu
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲
@cabylake23202 жыл бұрын
Allah akbar Allah akbar Allah akbar masheikhe wetu Allah awazidishie umri 🤲🤲🤲
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Mashallah Allah
@moshantoj3 жыл бұрын
Kwani mnaogopa nini kuweka video full?
@suzanaagustinookelo49533 жыл бұрын
Hawajiaminiiii ata kidogo hawajiamninii
@zaburionlinetv62453 жыл бұрын
Fuatilia clip iliyo kamilika ktk channel hii hii au ZVP, kupitia KISHK ONLINE TV
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Ifatilie kwenye chaneli ya Biblia ni Nuru ya Dunia lakini ukisikiliza kwenye channel za kiislam wanaedit sehemu za muhimu zote
@muslihmohd36853 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 angalia zote usipolia maana apo tu hamna la kusema
@khamisseif98703 жыл бұрын
Takbiiiir Allahu akbar
@wariditambi86792 жыл бұрын
Nakupenda kinyogoli kwa ajili ya Allah
@danielp41472 жыл бұрын
Mimi ni mkristo ila dini ya kiislamu nimeipenda maana ina mwabudu Mungu wa kweli
@mohamedkibwana7558 Жыл бұрын
Karibu katika uislamu ndugu yetu. Uislamu ndio dini ya haki na kweli.
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
Karibu kaka hakika dini mbele ya mwenyezimungu ni uislamu Quran 3:19
@rezikomer95523 жыл бұрын
Nampenda sana kinyogori maneno yake ni makali
@allyally10773 жыл бұрын
Uislamu dini ya hali na kweli waAllah
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Hivi Hawa wakristo wanasoma kweli au wanabebaga Ile bible kama fashion mtihani wallah
@hadijamandanje61893 жыл бұрын
Yaani wanajali kuwa wakristo tu bila kujali bila kujali ndani Kuna nini
@charlesmapunda59053 жыл бұрын
Tunaibeba na tunajua haina Majini wabaya wala wazuri kama Quran ya waislamu inavyo sema Majini waliipenda dini hiyo na waka Slimu sasa uliona wapi Mtu akaenda mbinguni kwa mgongo wa Mjini? Hapo ndio muamke nyie msiojua mnamtukuza Mungu yupi mpaka hapo.
@salmaathuman91563 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 soma vitabu acha ngonjera 🤣🤣kazi kubeba vitabu kama vya shule mkiwa kwenye mihadhara fashion show hakuna munalojua ndo maana majibu hakuna unaulizwa vingine unajibu vingine ziro kabisa endeleeni kubeba mizigo ya vitabu kama book school 🤣
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 uislamu unataka majini na binaadamu wote wamuabudu Allah Huu ndo ujinga wenu mkubwa hamujui jini kaumbwa kwa ajili gani
@alliabdullah61803 жыл бұрын
Safi sana shekhe juma kinyogoli ila hapo kwa yesu muizi unenikwaza labda kama unakusudia yasu wa wakuristo sio huyu wakwetu
@mastermacheni9323 жыл бұрын
Wakristo mbona wanyonge Sana au tunaongopeawa makanisani
@fadhilikawambwa51593 жыл бұрын
huo ndio ukweli
@abdulrahmanmussa44793 жыл бұрын
Sheikh said mashaallah balaaaaa unajua pakupiga hahaha dah taratiiibuuuu
Kusema ukweli jifunzeni kuwa wastaarabu na kuzungumza kauli za hekima na busara.Jifunzeni kwa dr zaik naik
@ramathedon40013 жыл бұрын
mtu ujibiwa kwa kebei vile atakavyo uliza kwa kebei
@tugabiz42863 жыл бұрын
Namna utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa.
@aflahabdula40842 жыл бұрын
@@ramathedon4001 kweli kabisaaaa
@hamisishabani407211 күн бұрын
HOJA HUJIBIWA KWA HOJA!! JICHO KWA JICHO!! JINO KWA JINO!! HAWA JAMAA ZETU WAKIRISTO,HUWA HAWANA HOJA NA WALA HAWAJUI HATA WANACHOKIFIKISHA KWA WATU!! WAO KAZI NI KUTANGULIZA CHUKI TU NA KEJELI,ILI KUJARIBU KUWASHAWISHI WATU KWA PROPAGANDA ZA KUUCHUKIA UISILAMU,ILI IYONEKANE KUWA NI DINI YA AMBAYO NI YA KIKATILI KATILI HIVI DINI AMBAYO SI YA AMANI KWA WATU,NA WAISILAMU KWA UJUMLA WAONEKANE SI WATU WAZURI KWA JAMII,NA HATA IKAFIKIA WAISILAMU TUKAITWA NI MAGAIDI!! HUU NDIO MTINDO NA TABIA YA WANAOJIITA WACHUNGAJI,MAPADIRI NA MAASKOFU WOTE,NI KUIPAKAA MATOPE UISLAMU.KWA MAANDIKO AMBAYO WALA HAWAYAJUI UNDANI WAKE KULIKUSUDIWA JAMBO GANI KWA UMMA.HIINDIO DASTURI YA WAKIRISTO HUTUMIA MAANDIKO AMBAYO HATA HAWAMTAMBUI UNDANI WAKE!! NA NDIO MAANA INABIDI WAELIMISHWE NA WAJIBIWE KWA NAMNA WALIVYO!! WATAELEWA TU!!! MAANA WAO USTAARABU HAWAUJUI NA WALA MAANDIKO HAWAYAJUI!! WALILO BAKI NALO NI UROPOKAJI TU,NDIO UNAO WAPONZA!!!
@harunibilali36453 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@bidafumbuka8553 жыл бұрын
Mbona mwalimu wa kiislam hajajibu hoja ya qurani 82:2 Mohamed anamkunjia uso kipofu😃😂😂 lakini kwa Yesu vipofu wanaponywa kumbe waislamu vipofu hawanachao kwa Mohamed, matajiri pekee ndio wananafasi kwa Mohamed.
@salihymhene453 жыл бұрын
Alijibiwa 👉 mitume nao ni binadamu wanakosea lakini palepale akikosea kurekebishwa na Allah na akarejea. Jengine ni lipi?
@bidafumbuka8553 жыл бұрын
@@salihymhene45 wapi Mohamed aliomba msamaha kwa kosa lake la kuua akasamehewa?
@binahmedjuma86813 жыл бұрын
@@bidafumbuka855 Waislam toba zetu ni baina yetu sisi na Mwenyezi Mungu anaepasa kuabudiwa pekee, hakuna sehemu kwa mtu wala yeyote tunayekwenda kuungama kwake.
@ibraringi80723 жыл бұрын
@@binahmedjuma8681 ase jamaa umejib vzr
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Yani raha
@aliyyuhibu35612 жыл бұрын
Kwa SoMo hili yohana omari umepigwa ,safi sana kinyogoli.
@azizimatahuka20127 ай бұрын
😅 kinyogoli bhana
@abasmwika343211 ай бұрын
Kinyogoli yuko very technical hawa Wakristo hawamuwezi
@@usenilweya4236 na wewe yesu wako alopata kibano msalabani ndo alivyowafundisha
@petrofabian45233 жыл бұрын
Wanapost upande mmoja baada ya kuona hawana points
@godisgreat18453 жыл бұрын
Mimi nawashangaeni makafiri wa kikristo mnamkataa Mtume Muhamad kwa kutumia quraan toeni aya kwenye biblia mumkanushe maana hiyo quraan imeteremshiwa Muhammad ili biblia iwe kitabu cha Mungu