I ve never see a smart dj like this one in the world 🌍 Is very intelligent
@augustinenjagi625510 ай бұрын
Dj Sma badilisha hilo jina liwe DJ Smart you really know how to articulate issues
@djsma25510 ай бұрын
🙏
@uwezokinahi787010 ай бұрын
I second
@juliusjustin481310 ай бұрын
@@djsma255sure dj smart
@cleophasmkungu6234 ай бұрын
DJ Smart. Ila kweli bro yuko gud sana kwenye elaboration.
@mathiaslaurent75610 ай бұрын
@dj sma huyu jamaa ni mtu makini sana! Very smart haongei hovyo hovyo bali anaongea fact na madini matupu!
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM10 ай бұрын
Dj Sma is very smart ,ongereni SNS mnatuburudisha Kwa habari nzuri brother Sky unaweza.
@gochamso10 ай бұрын
Mwambieni aache udini gaza gaza kila siku
@djalasaleh10 ай бұрын
Hana udini. Wewe ndio ujielewi. Elimu Elimu......
@shd12m5510 ай бұрын
Af uyo mwamba mwenye tshrt black yuko na voice safi ya utangazaji
@silamnyama16424 ай бұрын
Nakukubali sana bro congratulations
@hassanmkufya286710 ай бұрын
Nimependa dj unajua kizungu lkn unangea kiswahili ckama hao wanaojifanya neno moja la kiswahili.. Kizungu kingi
@adetaurus4 ай бұрын
Your office is very beautiful😍 designer apewe maua yake 👏🏾👏🏾👏🏾
@eliacmaginya342910 ай бұрын
Aiport ya ethiopia nafkiri ndio airport ya kwanza kwa ukubwa barani africa na wana ndege za kumwaga ukiangalia kwenye uwanja. ndege za makampuni mengine ni chache sana ukilinganisha na ndege zao.Nafkiri uchumi wao mkubwa utakuwa unatokana na air transportation.Airport ya bongo kuna mida watu wachache sana lakini pale ethiopia sio mchana sio usiku utafikiri watu wapo mnadani wanatafuta viwalo.
@maryamtan68210 ай бұрын
Pale ni km njia panda ya ndege kutoka nchi zt zk pale.
@mamboshepea88884 ай бұрын
Wabongo wanafki wakubwa...mtabaki kusifia vya wenzenu tu...Magu alijitahidi kununua ndege wabongo tena wasomi wakaponda vibaya sana. Bora mfungage hayo mabakuli yenu maana wengine bado tunakumbukumbu. Huna hata haya kutoa mapovu kusifia vya watu vikija vyetu badala ya kusaport wanatoa matusi na kuvihujumu...shame on you😣😣
@AaAa-tf7sl4 ай бұрын
Kweli nishawai fika pale na hta ulali kwenye vitu unalala kwa room😂
@allahisone63864 ай бұрын
Room Zin lipiwaaaa si BUREE
@swazi-bmzwabusarawysd808310 ай бұрын
Pole na safari my favorite dj...Naimani fuse tunajambo linakuja karibuni in sha allah
@djsma25510 ай бұрын
💯
@ms_teeonly10 ай бұрын
Good to see dj sma and giant man on this
@abudoeugenio69034 ай бұрын
Upo saih dj Smah, Mimi nimefika na nimeona airport ya Ethiopia ni kubwa Africa na ndege nyingi sana.
@nassercurtis957910 ай бұрын
Bro Ethiopia wanandege mpaka jumbo jet, yenye uwezo wa kuchukua hata abiria mia tano na mizigo yao na wana ndege zisizopungua 180 kwa ujumla wa ndege zote zao ni taifa la 5 lenye ndege nyingi Duniani, kwa Afrika ni namba moja, Ikiwa kidunia namba moja ni Emirates, namba mbili ni Qatar air ways, namba Fly Dubai, namba nne nì Ethihad, namba tano ni Ethiopia Air lines.
@bandanahmiqassa10 ай бұрын
P.O.C Kwa namba duniani namba moja mpaka 3 ni delta airline american airline united airline
@theafricanprincevivecongo863210 ай бұрын
@@bandanahmiqassahell no, unaongelea international flight unaleta united airline
@givembwilo1414 ай бұрын
jaribuni kutumia lugha moja kwenye maongezi yenu,msichanganye kizungu na kuswahili
@Agent_HG10 ай бұрын
Brother Dj sma, sawa nimekuelewa kwa kuthibitisha sakata la, P didy.
@MkhayaSogadari10 ай бұрын
Na southa Africa nivo magari nimkopo
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Yaani mna maana hao marafiki zake wa msapoti kwa hayo aliyo ya fanya huyo Di DIY. Huyo ana laana kwa M.mungu amefanya lutwi kuliko firauni.
@jumaramadhan160010 ай бұрын
Kazi Safi Sana big 3 from sns salute 🫡
@saidabdulkadirmjahid825510 ай бұрын
Mambo vipi ! Skywalker's all time intro . Haha!
@mathiasmarwa899910 ай бұрын
DJ Sma nimefurahi sana kwa kusimulia machache ya safari yako. Zuri zaidi umedaka mambo mengi sana , tunasubiri mezani Kaka
@piusdeo938010 ай бұрын
Nakubali sana sns
@eliacmaginya342910 ай бұрын
DJ Sma kaongea sahihi namkubali mzee wa tafiti na kuconnect dot ingawa hajataka kuizungumzia kiundani. Kiufupi wasanii wengi wa nje ambao ni famous wanafanyakaz under satanic rules hata matendo yao ukiyataza utakonect dot ss inapokuja kutokea masanii unaenda contrary na matakwa yao kabla hawajakumaliza wanakutingisha kwanza.Utasukiwa kesi zenye karbu na ukweli maana skuzote pesa haishindwi kitu utataftiwa watu watakuchafua plus na ishu zako kupitia hiyo misukosuko utashuka kiuchumi ukibahatika kuchomoka hapo wanapanga njama za kukuuwa wala hutochukua mda so DJ sma big up nmeconnect dot.
@elchapojr63810 ай бұрын
DJ suma inaonekana ana mmind Didy😂😂😂
@rehemathoya875410 ай бұрын
Very interesting
@Supershopdubai-ck8td10 ай бұрын
Uyujama namkubali san anaakili sauti muonekano adilaha from 🇧🇮💐🙏🔥
@piusdeo938010 ай бұрын
Yup sasa kati ya hawa watatu
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Duu. Masikini diamond 💎 kumbe kaliwa😢kwa hiyo sasa hivi yuwaziii😅😊
@AhmedAhmed-z6m7t10 ай бұрын
Nawakubali sana SNS,Sky,Dj Smaa na Jacob
@Supershopdubai-ck8td10 ай бұрын
Good job from 🇧🇮💐🙏🙏🔥
@nichoojr.67474 ай бұрын
Daah hii kitu DJ smash kumbe Alishasema ukweli wotee
@SaraphinaKidoti-qe7gi10 ай бұрын
Sema huyu dj sma anakili nyingi saana
@noahlameck156410 ай бұрын
Mwamba dj sma karudi noma sana Fuse fact twaisubiria kwa hamu Love sana sns ila udaku waachichie wakina esco😛
@ridhiwankanjoe20784 ай бұрын
Huyo jamaa mwenye T shirt nyeusi Hana nanachokijua anaonea bila evidence
@MackameHassani4 ай бұрын
Presenter unajua una kipindi unarekodi alafu simu unashindwa hata kueweka silenci aiseee!!! Simu inaita wkt recording inaendelea inakuwa inaharibu na inakata sn. Weka hata kindege basi.
@sophiakimaro517410 ай бұрын
Ethiopia ni shida mwenyewe nilitokea south africa kupitia Ethiopia nusu nipotee Airport kwao jamani
@AliJussa10 ай бұрын
Sio kama hayo matendo ya Diddy walikuwa hawayajui, laa ila ipo namna Diddy ameenda kinyume na jamaa ambao wamempa huo utajiri, maana huo uchafu ni moja ya masharti yaao ila lipo alilo likosea
@tinershayo619110 ай бұрын
Angekuwa bongo na watoto
@princeimani80784 ай бұрын
Dj sam I want to know if diamond platnumz he knows p Diddy
@shabanimagambo238110 ай бұрын
Jamaa anasauti nzuri kinyama
@alexmugo315910 ай бұрын
Wazitoh,uku Kenya twawaskiliza
@homeandaway28114 ай бұрын
JACOB una sauti nzuri sana SANA ila inafaa zaidi kwa discussion kama hizi au matangazo/news ambapo unaonekana. Mimi ni mmoja wa watu walikuwa wanapondea sana sauti yako ukiwa unasoma news bila kuonekana, SORRY, NISAMEHE BURE, una sauti nzuri na uko vizuri una knowledge ya kutosha, uko fresh kabisa kwenye kazi, labda ongeza confidence kidogo tu, UNAJUA na UNAWEZA. Nimekuona nimejisikia vibaya kuwa nilikuwa naponda sauti yako bure, SKY huyu jamaa yuko mzuri ila muweke kwenye vipindi anapoonekana kama hivi.
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Msichume Dhabi ndugu zangu vizi sio vita. Huyu ana wala watoto wa wenzie jamani. Mbona hawali watoto wake
@chishengakaponya875710 ай бұрын
To be honest Ethiopia Airport it's best Airport in Africa. Am Kenyan and i travel a lot and i can agree on that.
@gudlacf343210 ай бұрын
AL
@Tareeq_Tryagain9 ай бұрын
Li Dj Sma ni li Google kinoma.. li mtu gani hili linajua kila kitu🤔🙌
@HomeboyTZ194 ай бұрын
Nilitarajia Mzungumze kwa angel ya Kisheria kuwa charges zake ni zipi na legal geound ikoje kwa charges hizo, lakini mna piga story tu, ni kina nani wanamshitaki, kwa makosa yepi na yamefanyika lini na sheria zinasemaje
@ESTHERKamala-qp7gi4 ай бұрын
Lahana
@piusdeo938010 ай бұрын
Nawakubali sana wanangu
@elishasaidi10 ай бұрын
Poleni sana wachambuzi, msimuhukumu Diddy kuhusiana na hili, kwa sbb chukueni kumbukumbu kuhusiana na kanye west kwa kile alichokuwa pitia kilimpelekea kuharibiwa cv na uchumi kushushwa na kuambiwa kuwa ana afya ya akili, lkn hayo yote yalikuwa ya kutengenezwa. Pia ya R kelly na hayohayo, na wengine wengi, sheria ni sheria marekani msizani kuna chochote kinachopindishwa hapa marekani, hawa wakitaka kukuangusha utaangushwa tu kwa aina yoyote, rais DN aliambiwa kuhusiana na maamuzi yake aliyokuwa akiyatowa kuwa anatakiwa kupimwa akili, hii hishu ni kubwa kuliko fahamu zenu. Kama hayo yote yalikuwa yanatokea inamaana mnataka kusema yeye alikuwa juu ya sheria
@zclassicfashionz15734 ай бұрын
𝐏𝐮𝐟𝐟 𝐃𝐚𝐝𝐝𝐲...a k a 𝐃𝐈𝐃𝐃𝐘 amekua maarufu muda mreefu jambo linaloanza kuwapa khofu watu weupe...ushawishi wa watu weusi nchini Marekani wazungu wanachelea wasije kuiteka marekani ila kila jambo na wakati wake walitupeleka kwao kama watumwa na sasa bado wanatka watutumikishe kwa mafanikio yao binfsi ila wakati utafika mtu mweusi kuwa huru....walianza na 𝐁𝐨𝐛 𝐌𝐚𝐫𝐥𝐞𝐲 wakaja kwa 2𝐏𝐀𝐂 bila kuchelewa zamu ya 𝐌𝐉 ikafika baada ya kumalizana na 𝐋𝐔𝐂𝐊 𝐃𝐔𝐁𝐄 uko S.A hawajaishia apo wakamteka 𝐑 𝐊𝐄𝐋𝐋𝐘 baada ya kutoa ule wimbo wake unahamasisha na kuipamba AFRICA kipindi kombe la dunia linaandaliwa nchini humo.... Walipomaliza wakamalizana na 𝐃𝐌𝐗 Kwa njia ya madawa ya kulevya, hawajaishia apo wakaona 𝐃𝐢𝐝𝐝𝐲 ni mtu wao wa karibu na wamemtumia sana kwenye maajabu yao ya laana na sasa wanaona kazi yake imekwisha lakini hofu yao ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anayejitambua kwaiyo wakimuachia nafasi atawageuka hivo basi ni vema wakamdhohofisha mape kwa kila namna wakaanza kumchafua kwa vishawishi wanavyopamba wao kisha watateka mali zake apo afungwe jera watakua wamemaliza malengo yao lakini huo sio mwisho wao bado wanaendelea tu. Baada ya hapo wanakuja kwa 𝐊𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐖𝐞𝐬𝐭,50𝐂𝐞𝐧𝐭 ajiandae japo yeye anadhani fitina waliyoiunda kumchonganisaha na 𝐃𝐢𝐝𝐝𝐲 katika mawazo yake anafrahia kukamatwa kwake lakini yamfaa afikrie mbali kwa sasa na ashiriki katika kupaza sauti ya kumuokoa mwenzake sio kumkandamiza. Baada ya ayo yote wanamalizia na 𝐉𝐚𝐲 𝐙. Dunia ya sanaa ktk upande wa HipHop na kampein yao katika mziki huu watakuwa wamemaliza sasa wasanii wa 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀 yabidi mjifunze kupitia haya...kwanza kabisa jihadharini sana na umaarufu usiokua na tamaduni zenu msipende sana mafanikio kuliko utu jitahid sana kutoa misaada kwa ndugu zenu waafrica kwa kuzitunza tamaduni zetu...watu weupe wanapoouna unashobokea mambo yao wanakuvuta karibu yao wanakupandisha kwa mikataba yao kisha wanakushusha kwa kashifa kibao ambazo ulifanya ukiwa nao kwa mitego yao. Kinachowaumiza hawa mastaa ni kwa sababu wazungu waliandaa mitego yao mapema na wao hawakushutuka katika ilo....IPO SIKU MTAIKUMBUKA HII COMMENT
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Kaka hayo ni yakawaida tu. Huyo alipewa usinga wa ujini alipewa cheo cha kuwaangamiza wenzake. Kwa hiyo hakuna hasara yoyote kwa hao mabosi wake
@matendoa.online80310 ай бұрын
50cent anacho fanya sio Powa . Roho mbaya ile .ni kama Una wish kifo Cha adui yao ….😊 sikaha kubwa kwawa black artists ni ngono …ina bidi wa amuke, wawe na umoja
@saidranzuga595110 ай бұрын
Nipen like moja
@godfreykarata37109 ай бұрын
Sns iko juuuuuuuu
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM10 ай бұрын
Jacob ,ooh !! Saut inafurahisha
@safarivahocha807710 ай бұрын
Watu weusi wanaonewa zaidi, hizi ni siasa za kuwashusha watu weusi. Rangi nyeusi inamtishia mzungu zaidi ya silaha ya nyuklia.
@FahmiAbdallah-x9w10 ай бұрын
Nd YNG SAMAHANI LKN JEE ,SS WENYEWE WATU WEUSI NI WATENDA HAKI?(KM NDIO THAN OK THANKS GOD au(ALHAMDULILLAH)LKN KM SIO ,SO HUWEZI KUIPATA HAKI KM SI MTENDA HAKI ,SORRY
@erickmisilakuba642610 ай бұрын
Ufahamu wako mdogo!
@rashidkatundu967410 ай бұрын
Sasa tunamsaidiaje😅@@erickmisilakuba6426
@barakambigi35229 ай бұрын
Nani anaonewa?
@Tareeq_Tryagain9 ай бұрын
Brother Sky ye ni mzee wakutafuta majina😁
@SalimKombo-xo4pq4 ай бұрын
Asaidiwe na nani banaa. Amewaharibu watoto wa watu. Je kama amekufanyia wanao utamfanya nini.
@heliudjulias774810 ай бұрын
Dj smaa sharom pole na safari kumbe urikuwa haupo ndio maana sipati fuse na fact naamini umerudi nipata madini mengi
@GeorgeChitemo-kt8sw10 ай бұрын
Anataka kujitoa freemason sasa freemason wanataka kuchukua mali zao sasa hapa wanampa muda kama akubari kuendelea na chama
@Oldskulgemini999110 ай бұрын
Wabongo mnamawazo meusi kinoma yani😂 nenda basi ukawasaidie polisi kwa ushuhuda😂
@l.marley_254210 ай бұрын
Ndivyo alivyokwambia??😂😂😂
@MuniraMziray-de5sd4 ай бұрын
🤝🤝
@fahmanalbulushi29254 ай бұрын
Duh sns miezi mitano iliyo pita mlisema haya ningependa mrudie hii kweli muda unaongea
@MariannaJoseph-uv2sp10 ай бұрын
Mimi bwana ni shabiki wa p didy ila ukwili nihivi sio kwakua nimtu mweusi hapana niushetani wao wanakosea mashariti frimason kwassbabu tu kujionyesha na kujisahau kwahiyo frimason wanafanya kaziyao kamailivo Michael Jackson R Kelly na wengine so chenye mwazo kina mwisho so amrudie mungu wake kambla hawajamuuwa hivo yan
@erickmisilakuba642610 ай бұрын
Asante kwa ufahamu mkubwa
@zuberisalum200410 ай бұрын
Acha mawazo hayo lzm iwe Freemason
@rogerslwitiko391510 ай бұрын
Loon ameacha Muziki sasa ni Swala tano anaishi Egypt
@Oldskulgemini999110 ай бұрын
Alishapoteza huyo
@tunsumegideonmwamboneke963910 ай бұрын
Sio kessy bana ni kassy as in cassandra , 😊
@NeemaSamson-ti8pc9 ай бұрын
Nimetokea kumpenda dj sma mnanisaidieje jamani kumfikishia ujumbe
@sundymolls967310 ай бұрын
Dj Sma Airbuss hawatengenezi ndege aina ya dream liner Boing ndio wantengeneza 😂
@ngusakabinza923810 ай бұрын
Mje na redio yenu jamani sisi masikini mnatumalizia MB zetu
@khalidsuleiman458810 ай бұрын
Hizo radio now ni digital watu wanastream online😂😂😂 1
@ussiussi341310 ай бұрын
Msimsahau na "The Game" naye ametoa ushahidi wa kuliwa na P na alikuwa anatoa hiyo story akiwa analia.
@edgerza375410 ай бұрын
Sky hiyo form six noma sana
@piusdeo938010 ай бұрын
Ila giant ndo habari kama hizi ndo anazivumbuanaga
@jumaamsuya59 ай бұрын
Kwakweli bando limeisha kialali nimejifunza sana gd
@allykwaya4 ай бұрын
Nchi hiyo ndo inapigania haki za Ushoga kwanini hii inakuwa kubwa kwa Diddy? Je hakuna wazungu wanaojihusisha na Tabia hizo na hatusikii kesi zao kwanini?
@fahmanalbulushi29254 ай бұрын
Sns mrejesheni Jacob kwenye meza tumemis swaga zake
@sharifahabsi500410 ай бұрын
Pamoja from 🇴🇲
@dennischarles852410 ай бұрын
Ni swala la when atapandishwa kizimbani
@selemanshaban749610 ай бұрын
SNS MKU VIZURI SANA
@Bama95910 ай бұрын
Tatizo wote hamjaishi USA 🇺🇸, hamjui tabia za wazungu zilivyo kwa watu weusi maana kesi za kubambikiwa no nyingi sana na pia huwa hawapendi mtu mweusi adumu na utajiri wake. Na Dj sma usiwe na uwakika 100%.
@piusdeo938010 ай бұрын
Nilikuwa nawasubilia vichwa vitatu hivi dj smaa sky na giant man
@mnyamwezijuma114010 ай бұрын
Kumbe uyo mwamba jacob ndo mwenye Jaiva hilo 😂😂😂
@patricknewguy818910 ай бұрын
Did he ???
@zuberisalum200410 ай бұрын
Karne yasaba mtume anasema muziki ni amali yashetannn
@ney_nation254410 ай бұрын
50 hawezi kumsikitikia diddy coz diddy alipita na baby mama wa 50
@user-pd8gx8ff6w10 ай бұрын
Strength of a woman. Shegy
@husseinmassawa718610 ай бұрын
Jay hawezi akaingia kwenye hiyo kesi kirahisi maana naye kwenye msala wa tupac yumo yumo😅😅
@King_Of_Everything10 ай бұрын
✌👍👊.
@DaudiMazengoMasterDTEM4 ай бұрын
Au wanahisi Blacks wanaweza msapoti mgombea mweusi wa Urahisi? Hivyo Wanawamaliza umaarufu na support ya Fedha?
@jasiri2510 ай бұрын
Leo meskia sauti ya yule jamaa mwingine wa sns😂😂😂 aisee anaitwa jacob kumbe
@piusdeo938010 ай бұрын
Vip unamkunali mwamba kama mimi
@jasiri2510 ай бұрын
@@piusdeo9380 sanaaa kk🤣
@mvuneboy628710 ай бұрын
Uyu jamaa Jacob anasauti nzuri.sauki yakipekeee
@erickswai69810 ай бұрын
sema hana pointi 😅😅
@PeterMalima-fc4tf10 ай бұрын
Sauti ya Jacob ni ya mamlaka sana na haiendani na muonekano wake
@safarivahocha807710 ай бұрын
Hawa watu wana mivitano ya ki gans, hivyo nilazima watungiane maneno. Kumbuka 50cent ni member wa Suprime Team ambayo ina uhusiano wakatibu na Bloods, wakati Diddy yuko Crips ambayo ni timu hasimu sana.
@PaulNdauka10 ай бұрын
50 Cent na Supreme ni Vitu viwili tofauti.....means ni maadui sana
@ESTHERKamala-qp7gi4 ай бұрын
Uyo liana zinamhachaje kuwapata watoto wake
@kibokibosho747610 ай бұрын
Haya sasa mzee alinunua ndege mkaanza kupiga kelele😂😂 ushuhuda huo wenzenu wanazo kibao
@kassimali368210 ай бұрын
Airport ya Ethopia ni HUB
@dingi-vk1tu10 ай бұрын
we sky do your research 50Cent ana beef na Diddy sababu mama watoto wa 50 alikuwa na changu wa Diddy so 50 anammind mshkaji sana tu
@mhabimina402310 ай бұрын
🔥🔥🔥👌
@Dolomitemusic10 ай бұрын
SNS 4 life
@kmotivation113010 ай бұрын
what come around goes around
@Bosskubwah45019 ай бұрын
HIO NI FREEMASONS ndo upate nafasi
@ibrahimaziz715810 ай бұрын
Yani huyu jamaaa ata akiongea ivi unaona km anasimulia makala gian men
@jamesshao5384 ай бұрын
Watu weusi wanasherekehe kuanguka mweusi mwenzao
@malkavoice257010 ай бұрын
Omario alifanya kazi na diddy lkn mpaka leo amedumaa nafikiri ni 7bu ya P.
@geofreydonald317610 ай бұрын
Naunga mkono 90% + inawezekana kweli amefanya maana feds wanaanzaga na uchunguzi na kupata ushahidi ndio wanachukua warranty na kukufata….Black American wengi wanapotoboa bata lao hua sio la kawaida mpaka wanakufuru…Hoods wanazotoka uhuni ni mwangi na ndiko walikotokea kabla ya kua maarufu…Ukiangalia ata series zao yale ndio maisha yao ya kila siku na ndio uhalisia wao na ndio maana mpaka mahakamani ata verse na video za nyimbo zao hua zinatumika
@NR-ll4sr10 ай бұрын
Ethiopian Airlines achana kabisa,midege, yao 🇺🇸 ingia toka,ingia,toka,i think kwa sababu wa Ethiopia wengi wapo worldwide
@fahadfaraj647410 ай бұрын
Uchumi wa Ethiopia moja ya mapato yake makubwa ni ndege so ni jambo la kipaombele na istoshe wanaiyo kampuni kwa miaka mingi mnooo zaidi ya miaka 60 kabla hao waithopia hawajatoka wao wanandege
@emmanuelmisalaba316910 ай бұрын
Kwani Rais mstaafu Hayati Ally Hassan Mwinyi ana wake wagapi?