Mimi kwa mawazo yangu naona tumuombe Mungu mapenzi yake yàamue katika hili manake kama wachungaji wa nje hapa tz ni wengi kama ni mipango wa Mungu abaki hapa basi Mungu mwenyewe afanye njai ili mtumishi wake aishi kihalali watu wapate huduma za kiroho walakini kama si mapenzi yake basi mtumishi arudi kongo mara moja ili nalo hili lipite wapendwa
@leahmwagiru49992 жыл бұрын
Pole mtumishi wamungu
@amiriramadhani76312 жыл бұрын
Pole sana mama na asikofu
@bbss86232 жыл бұрын
Kuna kitu nyuma ya pazia uhamiaj tuambien ukwel kumbuken mungu sio wa mchezo anajib Tena kwa moto
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Naww pia mama ukamatwe ukawajibike huko ww lete tantalilatu kwenda huko mnajua tz Shambala Bibi mjijietu fatenisheria nakamaamtakiwe ainabudikuondoka
@haarunsaidabdillahi40822 жыл бұрын
Watendaji wa serikali ya TZ ni hovyo sana. Pesa nyingi za walipa kodi zinatumika kizembe ambazo zingetumika kuwaondolea kero za maisha. Tunaishi Europe miaka mingi lakini wazungu hawatufanyii ushenzi huu wanaofanyiana Waafrika ndani ya Africa.
@upendoraphael40902 жыл бұрын
Nikweli Kaka. Ulaya tunaishi myaka namyaka. Lakini hawatusumbuwi. Ila afrika shida tupu. Nakuna wakimbinzi Huku ulaya. Hawateswi hivyo. Kikubwa Tu usivunje sheria. Lakini. Tanzania imezidi. Kila MTU niharamu. Yani Mungu wafanyiye uwepesi.
@abdulomary61282 жыл бұрын
hivi unajuwa maana ya USALAMA WA NCHI? kuna waasi, majambazi makachero wanatumia kivuli cha dini,michezo nk. huko unako ishi ulaya unatangaza dini kama huyu? ngoja siku ukitimuliwa ndiyo utajuwa wazungu ni watu aina gani, tuache na nchi yetu tupambane wenyewe
@smartonlinetv51442 жыл бұрын
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viko himara na viko makini sana. Ivo hapo Kuna tatizo ndio maana anafuatwa.
@abuuramadhan80932 жыл бұрын
Hv nyie uhamiaji mnabembeleza raia wa nchi nyingne fukuzen
@twarikmuditwarikmudi7091 Жыл бұрын
Nyinyi acheni ujinga ss kama kunajambo taratibu za nchi nikuteka watu
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Huyu mama anajua alichokifanya mumewe huko congo yaani na wewe ungeondoka nae congo nawe utapotelea hukohuko
@husseisalimumaula38672 жыл бұрын
Kweli watanzania mambumbumbu yani mpaka wakongo hawataki kuondoka washaona hapa ndio sehemu ya kupiga kwa kivuli cha dini.
@indalesiohenery6124 Жыл бұрын
Ee MUNGU wa mbinguni oneksna
@mamanimama26182 жыл бұрын
Mama bigapu Sana wewe nimama hodalisana
@warakawayohana28962 жыл бұрын
Kuna ulakini hiyo kesi maana kesi za uhamiaji sio kama ugaidi
@yusufmohamed88742 жыл бұрын
Basi huyo babu anajambo ambalo sisi hatulijui na vyombo vyetu vinalijua.
Ama kweli yamewakuta, mtu asiyewafahamu anaweza kuwaonea huruma. Wengine tunamshukuru Mungu kwa maana anavuna alichokipanda Rum 12 :19Ninyi mnachokipitia Ni kisasi Cha Mungu wa kweli aliyesema kisasi Ni juu yangu. Tubuni kwa uovu wenu. Eti Askofu, Askofu tapeli !!! Mimi nawadai hela yangu ya kiwanja. Mbele za Mungu hapo bado
@bahatimellita66192 жыл бұрын
Pole sana ndugu
@estakapufi75822 жыл бұрын
Na hii tz ukiona mtu anasakamwa hivi ujuwe kunakitu sio bule mbona wa congo wengi tz hawajafanyiwa ivyo huyu atakuwa tapeli tena mshilikina kaona kapata mapoyoyo wakuwatapeli akifikilia congo hakuna wakumsikiliza sasa hataki kurudi kwao🤣🤣🤣🤣🤣
@frankwarembosaloon53162 жыл бұрын
Watanzania hakili hamu hivi hamujuwi kwamba WAFRICA wote niwamama mmja akili hatuna ujingahuhu ndo unaotumaliza nani mwenyehati yakujuwa alikotoka
@bbss86232 жыл бұрын
Inaskitisha sn watumish wa mungu sijui kwa nin mnakuwa HIV mungu anawaona
@simbarajabu41572 жыл бұрын
Mkongo huyo akahubiri dini kongo uko na wanapigana vita , wanajeshi hao wanatafutwa kwao, wakija hapa wanajifanya wachungaji
@mohamedkhamisali65352 жыл бұрын
Atakua anamatatizo mumeo jeshi lett lipo makini sana
@abuuramadhan80932 жыл бұрын
Ataatuletea kizaz Cha kongo
@ivana98372 жыл бұрын
Kama ubalozi Congo wamempokea mtu wao na kuridhia arudishwe nyumbani sisi ni nani tuseme ameonewa. Akatafute vibali arudi Tanzania au ahamishie huduma Congo
@saimonijonas43562 жыл бұрын
Kama vipi aache kuhubiri.Misukosuko itakoma.Akili kubwa itaelewa.
@estakapufi75822 жыл бұрын
Hajavamiwa sema mumeo anavunja shelia za nchi awe na vitambulisho
@mwanamutemi2 жыл бұрын
Kama amevunja sheria Umemsikiza Mwenyekiti wa Mtaa huo ? Uhamiaji wamevunja sheria na amri ya mahakama NGOJA FAGIO LA MAMA DHIDI YA WAZEMBE WANAO JIONA mungu WATU, KAMA VILE YULE LENGAI OLE SABAYA WA HAI ALIE GEREZANI SASA !!! FAGIO LAJA !!
@ambakisyemallango39112 жыл бұрын
Kwani ni mkewe huyo? 😣😣
@ambakisyemallango39112 жыл бұрын
Ester huyo mama alinyang'anya mume wa mtu. Huyu alikuwa mby , make mdogo wa Mzee mwamfupe.
@bbss86232 жыл бұрын
Hizo mama ni figisu za kidin watu wenye makanisa njia Hy ndio wanafanya hivyo kumkomoa
@simbarajabu41572 жыл бұрын
Muhamiaji haramu huyo
@justomwandelile13822 жыл бұрын
Kwana huyo sio mtanzania serikali yetu ipo imara sio ya mchezomchezo vyo mbo vya ulinzi hongera Sana kwa kazi Nzuri Sana huyo Mama mchuguzeni ni muongo hatali kila rikizo anaenda Kongo wakati no mtumishi wa serikali pia huyo mine wake hayo majina anayotumia kweli in myakyusa ? Sio kweli fuatilieni kazi Nzuri serikali yetu
@bakarimuhamedbakari36052 жыл бұрын
Sasa mbona unamtetea sana mama au ndo umasikini utakuandama Sasa ? ingekua mtz congo unafikiri ungebembelezwa Kama anavyobembelezwa uyo Babu? Ww mama ww
@bonnyngowo75672 жыл бұрын
Idara iliyooza ni UHAMIAJI.WaEthiopia Wasòmali wanapita boda ya Tarime,Horohoro,Holili na wanakamatwa Makambako.Inaingia akilini?
@tanzanite99442 жыл бұрын
Sasa kama ni waCongo wanaogopa nini kurudi Congo? Au Bongo imekuwa Tamu zaidi.
@jescamosha13272 жыл бұрын
We nae,kama hujielewi Hata kama ni mkongo mbona hawataki kusema alipo?kama yuoi central ni central ipi hiyo isiyojulikana?acha kuropoka upuuzi ww,ingekua ni baba yako ndo anafanyiwa hivi ungejisikiaje?acha kuropoka wewe,kwani Tanzania kuna wacongo wangapi?acha kuropoka mxiuuuuu Tutaka kujua Askofu kapelekwa wapi hilo ndo la muhimu
@naturelle10972 жыл бұрын
Hata kama mhamiaji kuna taratibu za kumuondoa mtu nchini pasipo kumfanyia vurugu. Hii kesi na maelezo ya mke wake inaonesha kuna kitu nyuma ya pazia. Afu kama huduma yake huyu mzee wengi wanakiri kuponywa kwanini mnashabikia kufukuzwa kwake. Kwani wakongo sio waafrika wenzetu ? watanzania jifunzeni kuwa na upendo ili na nyinyi mkisafiri you experience the same. Acheni chuki!
@upendoraphael40902 жыл бұрын
Muombe Mungu. Tanzania iendelee kuwa na amani. Lakini. SIKU ikitokeya Mungu akafanya Yake. Ndipo mtajuwa ukimbinzi Ni nini. Au vita Ni nini. Nyinyi Kwa nyinyi hampendani niunafiki Tu.
@simbarajabu41572 жыл бұрын
Anapiga pesa kwa jina la yesu, kwani kongo c wapo tena wanapigana vita akahubiri uko
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Umeonaee
@joycenicodemus.22322 жыл бұрын
Kwanini wanag'ang'ania Tanzania siwarudi wakae kwao congo walishaona Tanzania ndio sehemu yakuleta dini zauongo ili wapige pesa.
@abuuramadhan80932 жыл бұрын
Kwnn wanambembeleza wamfukuze kwn wanashindwa kitu gn
@anastziapetro85852 жыл бұрын
Nakuchukia. Sn ww mzee acha fimbo yamgu lkuchape shetn ww
@badenbensoni75162 жыл бұрын
???????????
@sarahbampenja55702 жыл бұрын
Asiyejua MAANA hawezi jua JIULIZE ni watu wangapi wa mataifa mangapi wapo wanahubiri dini tena wengne wa ulaya ebu jiulize tafakari huyu baba nguvu na karama aliyo nayo ndio inakuwa kizungumkuti hata hivyo kuna kanuni na taratibu kwa nini wasimpeleke mahakamani hakika hii ni dunia tunasahau kuwa kuna maisha baada ya kifo na ni maisha ya MILELE .ATAITOKEZA HAKI YAKO KAMA NURU. Zaburi 37 :6. Hata YESU KRISTO NDIYE YEHOVA WALIMKATAA.UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI TU.TUOMBEANE WOTE NI WA MUNGU HAKUNA AJUAYE KESHO YAKE.TAFAKARI KWA KINA TUKIO HILI .MUNGU ATUSAIDIE SANA
@salimaamnobe21322 жыл бұрын
Twawaombea MUNGU wa Tanzania inchi yenu iwe na amani ya kudumu la sivyo mtakuja kujuta Congo mta iona chugu hamna hata sifa moja ya kulea wakimbizi juweni sote ni wa Afrika mbona Ulaya wa Afrika ni wegi tu! ila kama kuna wa kufukuzwa ana fukuzwa kihalali tu mtakuja kujuta duguzetu rudi bado mapema