SAKATA la TUNDU LISSU LAFIKA PABAYA - WALIOTAKA KUMUUA WALITUMWA na NANI? MJADALA MZITO - FRONT PAGE

  Рет қаралды 11,383

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SAKATA la TUNDU LISSU LAFIKA PABAYA - WALIOTAKA KUMUUA WALITUMWA na NANI? MJADALA MZITO - FRONT PAGE
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 52
@globaltv_online
@globaltv_online 15 сағат бұрын
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@wallacemngoma794
@wallacemngoma794 12 сағат бұрын
Hawa wachambuzi wetu wanaochambua habari za Mh. Lisu baadhi ni waelewa lakini huyo mmasai anachanganya au labda hakuelewa maelezo ya Lisu vizuri au ndio hao wanaoitwa?
@EmanueliThomas
@EmanueliThomas 12 сағат бұрын
Mnaongea pumba hamjui bunge lilisema mtoro pia watatoa ushahidi lini je akienda polisi atawafundisha
@rashidyardo7929
@rashidyardo7929 13 сағат бұрын
Nafasi ya Waandishi wa habari katika sakata la shambilio la Tundu lisu Iko wapi? Mimi binafsi nadhani mnatakiwa mjitathimini.
@NeemaJohn-n9r
@NeemaJohn-n9r 14 сағат бұрын
Utajichunguzaje mwenyewe? Miaka saba hata jalada bado halijafunguliwa alafu mtu kavimbiwa zake maharage huko anasema tusubiri, tusubiri nini?
@rashidyardo7929
@rashidyardo7929 13 сағат бұрын
Nafasi ya Waandishi wa habari katika sakata la shambilio la Tundu lisu Iko wapi? Mimi binafsi nadhani mnatakiwa mjitathimini.
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 14 сағат бұрын
We Masai ufai kuwa mchambuzi unazunguka sana
@WilfredChomo
@WilfredChomo 3 сағат бұрын
Zingatieni hotuba ya Tundu Lissu,"Jambo hili liwe siri au wazi?"Mahakama ilisema liwe wazi.Hii imempa Lissu fursa ya kulisema jambo hili wazi
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 сағат бұрын
Wewe vipi? Poilisi hawachunguzi chochote! Unang'ang'ania ,oo hajaenda polisi kuwaambia cjui nini,, awaambie nini,kwani hawajui? Kwa nini sasa hivi-c amesema sasa ana pa kuanzia kwa sbb ya bw.Michael Clifford ametoa ushahidi unaohusika huko ktk kesi yake ya madai ya kufukuzwa kazi,Ebo!
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 сағат бұрын
Polisi cio kwamba wameshindwa,balii hawataki kuchunguza;.hiyo ya kusema Labda polisi wana muda wao kuwajuwa-kwani alipotaja kuwa makonda aliongoza watu wawili,je,unategemea polisi wamtaje makonda? "Nyawambisa uburwere kelelo kilimbwira -mficha ugonjwa kilio kitamuumbua! Kwa hiyo hao walowaficha wahusika wacha kilio kiwaumbue!
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 14 сағат бұрын
Wameshindwa Tangu 2017 MPAKA SASA NANI AMEKAMATEA JALADA LIKO WAPI ? LISU ALIYOSEMA NISAHIHI WACHA USHAHIDI UKAMILIKE WALIOHUSIKA MKONDO WA SHERIA UFUATE.
@PhilipoNyari
@PhilipoNyari 12 сағат бұрын
Mmasai Anaongea Nini Hapo? Hebu Aongee Mtu Mwingine Bwana Mtu Walitaka Kumuua Na Anasema Hadi Sasa Anatembea Na Risasi Mwilini Mungu Alivyo Wa Ajabu Hakutaka Afe Binaadamu Mna Roho Za Kinyama Sana Ni Nini Mlichotaka Kumuulia Binadamu Mwenzenu? Hizi Mali Na Fedha Ni Za Kupita Sipati Picha Mtu Anayepinga Mambo Wanayotendewa Wenzake Itakuaje Siku Akisikia Imebisha Hodi Kwake Je Ataenda Kulalamika Polisi? Maana Anafurahia Kusikia Mwenzake Amepatwa Na Matatizo Na Alimanusra Afe Usifanye Mchezo Kuua Mtu Damu Ya Mtu Ni Mbaya Sana Na Itakutesa Maisha Yako Yote Na Kuingiza Familia Yako Kuilipa Hii Hadi Senti Ya Mwisho
@WilfredChomo
@WilfredChomo 3 сағат бұрын
Wanahabari acheni viherehere.Msijifanye mabingwa wa kuchanganua kila jambo.
@gidongailo7174
@gidongailo7174 7 сағат бұрын
Wachambuzi mmemsikiliza vizuri kweli TL? Kasema kuhusu danadana za serikali kwa miaka yote. Hakuna wala jalada la uchinguzi
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 10 сағат бұрын
Huyu masai mbona anasema mambo bila mpangilio mwache mtu aseme amalize halafu uulize au useme Lissu siyo mjinga huu ni wakati sahihi wa Mungu 🙏🏼🙏🏼
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 9 сағат бұрын
Hivi wewe mmasai aende unaposema aende polisi wakati anayetajwa ni bosi wa mkoa je watamhoji?pili kama taalifa ya tukio ilikuwa ijadiliwe bungeni kipindi kile lakini ikaondolewa kinyamela na bunge likashindwa kujadili mbunge kushambuliwa polisi wangeweza ?wakati wanapewa maelekezo na amri Toka juu ?wakati mwingine tutawalaumu bure polisi lakini kumbukeni nao ni binadamu na akuna binadamu anayependa kulaumiwa
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 9 сағат бұрын
Huyo masai mtoeni nje tu maana mtaonekana wote vihiyo wa fani hiyo, kwanza nina mashaka alisomea wapi uandishi wa habari?
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 9 сағат бұрын
Huyo masai ni chizi au, umeshaambiwa serikali ua awamu ya tano ilihusika na tukio hilo, sasa anategemea hiyo hiyo iliyohusika itoe taarifa kwamba ikubali kuwa ilihusika masai ulisikia wapi kitu kama hicho, mi naona una shot kidogo kichwani, maana hata maelezo yako hayaeleweki
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 сағат бұрын
Lengo lao nani? Umma wote unataka,dunia nzima inataka kuwajuwa wahusika!
@mwalyoyoalexander2758
@mwalyoyoalexander2758 15 сағат бұрын
Background music iko juu, tunashindwa kusikia vizuri mjadala
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 15 сағат бұрын
Lazima wajuulikane sababu alifanyiwa unyama kama sio binadam mwezetu Kwa sababu za kijinga
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 14 сағат бұрын
Uyo jamaa mwenye mapengo ana akili wakati polic mia2 awaja chunguza kwamaana Wana lindana sasa sijui anaongea pumba gani
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 15 сағат бұрын
Maishani mwangu huwaga napata ukakasi sana yani kukwona mwanadamu mmoja yupo tayali kukatisha maisha ya mwanadam mwenzie kwa niaba ya maisha ya kidunia
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 8 сағат бұрын
Huyo masai aende kuchunga ng"ombe, awaachie wenye fani
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 8 сағат бұрын
Lisu jamani usifikili kakosea anajua lilipo na hapo kaona yupo vizuri
@Wakateezo
@Wakateezo Сағат бұрын
Miaka 7 n midogo san kWa kesi km iyo P DIDY kashikwa kesi zake ni miaka ya 90 uko
@HarsonNjau
@HarsonNjau 15 сағат бұрын
Anasema kwenye hii hamna uwezekano wa kumpa jaji maelekezo😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 14 сағат бұрын
Huyu masai hajui kitu toeni huyo akachunge ng'ombe
@FarajiIsumaily
@FarajiIsumaily 12 сағат бұрын
Kunahak Gani yatendewa lisu mnayoijua nyie waandishi
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 8 сағат бұрын
Ndugu hatuna jeshi Tanzania zaid ya majambaz
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 12 сағат бұрын
Akili sio.kuvaa suti.mjinga wewe
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 14 сағат бұрын
We Masai ufai kuwa mchambuzi unazunguka sana
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 10 сағат бұрын
Toeni mziki wenu au punguza sauti
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 11 сағат бұрын
Hili Swala La Lisu Wala Halihitaji D2.
@lucaskiswizah7097
@lucaskiswizah7097 11 сағат бұрын
Muwe munaita wasemaje wenye weledi
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 13 сағат бұрын
Uvhambuzi wa mazuzu na machawa
@evodiusrweyemamu2348
@evodiusrweyemamu2348 14 сағат бұрын
Duu maasai sijamsoma kivile
@lucaskiswizah7097
@lucaskiswizah7097 11 сағат бұрын
Muwe munaita wasemaje w
@PhilipoNyari
@PhilipoNyari 12 сағат бұрын
Nina Hamu Ya Kujua Hili
@johnkaleli
@johnkaleli 15 сағат бұрын
Masai anaharibu kipindi
@johnkaleli
@johnkaleli 15 сағат бұрын
Masai simuelewi kabisa
@ZakariaMwinuka
@ZakariaMwinuka 14 сағат бұрын
Masai atulie kwanza
@gregoryRukiza
@gregoryRukiza 15 сағат бұрын
NINYI NI WAJINGA. MNADHANI WATANZANIA NI WAJINGA KAMA NINYI. MIAKA 7!SERIKALI GANI INAITAJI MDA GANI. WACHENI KUTUDNGANYA. HATA HUYO BIBIKUKU ALIKWENDA KUMWONQ KAMA YUPO HAI?
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 10 сағат бұрын
Hahaha Gregory kweli umechoka kwa kweli mambo ya Tanzania yanakera, mtu kama mh Lissu miaka 7 sasa hakuna lolote kwa serikali Lissu awaburuze tu mahakamani Kenya 2010 wanevadilisha katiba na wanataka tena kuibadilisha Bunge linamtaka naibu raisi aachie kiti atoke Tanzania maneno ni mengi na lawama pasipo uajibikaji Shame on Tanzania goverment
@NsanyaMwasire
@NsanyaMwasire 15 сағат бұрын
Tuko pamoja
@VictoryMTarimo
@VictoryMTarimo 12 сағат бұрын
Wachambuzi machawa
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 13 сағат бұрын
Kesi haina kichwa ! Kakurupuka !
@daudzabron5514
@daudzabron5514 13 сағат бұрын
Ulitaka kichwa kipi, je Alishambuliwa au hakushambuliwa??, Je. Selekari imefanya Nini Hadi hivi Sasa Kwa kipindi cha miaka Saba
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 10 сағат бұрын
Wamlete Dereva alio mkimbia kwanza alio kuwa Uberijiki
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 9 сағат бұрын
Dereva wa nini wewe wakati ishu yoote iko wazi, wewe uko nchi gani
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 8 сағат бұрын
@@AbelJohn-tx4in ishu gani wewe pimbi huna hata unalolijua dereva ndio mwenye ushaidi kamili
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 14 сағат бұрын
Uchambuzi wa mazuzu
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 4,4 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 35 МЛН
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 1,5 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
#52 - #MLAFI - #MAU MPEMBA - #FUMBUA MACHO
13:20
Mau Mpemba
Рет қаралды 4,9 М.
WATAFICHIKA HADI LINI? FUATILIA YA TIGO, LISSU, NA SERIKALI YA TANZANIA
50:23
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 86 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН