Kiongozi kama huyu ambaye hajui maana na umuhimu wa wakala Hana lengo la kuchukua Dora, zaidi tunaweza kusema ni wakala wa CCM. Jamani viongozi wa jinsi hii ambaye mwanachama wake anapotea yeye anaona ni jambo la kawaida ; tia shaka kwake.
@salama11133 сағат бұрын
Mama mtumzima anaongea porojo kwahiyo uyo aliyopotea mnaonasawa
@danielkanso3 сағат бұрын
Duuu huyu kiongozi wa sau kanifanya nicheke bila kutaka