Shida imekuwa kubwa sasa hivi. Maneno mengi ni ya kujikombakomba tu Asante sana Madame JESCA Mungu akutetee.
@JacksonMwalimu-se7fj6 ай бұрын
Asante mamangu, uku kwetu Kenya 🇰🇪 ata mikopo atupewi sisi wanaume, utaskia kenya wimen, wimen rep, ata ukuenda kuomba kazi na mwanamke atapewa yeye, imebaki tu kuolewa na wanawake
@claudemofi31936 ай бұрын
Asante sana mama yangu kwakulitambua hilo sababu wanaume wananyanyasika sana naawana pakukimbilia na dhani wewe ndo ungelipashwa kuwa kiongozi mku wa nchi ya Tanzania
@jafarimpawa82376 ай бұрын
Creative arguments, hongera sana mama yangu mama Samia akiona inafaa akupe wizara hii
@nyassa26076 ай бұрын
Hongera sana mbunge, wewe ndo mama wa bunge , Hili jamaume la wapi mbona hata sijalielewa , hovyo kabisa. watoto wakiume wanahalibiwa sana wabunge wakina mama lipigieni kelele sana kuwalinda watoto wote bila kuchagua jinsia
@binismail20296 ай бұрын
Duuh mama umezungunza point kiasi ya kwsmba Talents kama hawa wanahitajika Sana ktk bunge
@raphaelkessy73606 ай бұрын
Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Dada Barikiwa Barikiwa Barikiwa Barikiwa Barikiwa sana sana sana
@Salviiboy6 ай бұрын
Uyu mama aliyeongea mungu amtizame na ampetie mema zaidi
@TimothyPhilemon-i7f6 ай бұрын
Dada yangu umeeleweka vizuri sana. Shida ya mawaziri wengi, hawana hofu ya Mungu ndani yao.Nchi inahitaji toba ya magano ya kuzimu
@hafsalucky10886 ай бұрын
You are very right! Inch inahitaji toba, Tuliunganishwa na kuzimu tangu kipindi Cha Uhuru, ndo Mana tunapelekwa km Kondoo😭😭😭 9:57
@ombenezekiel62546 ай бұрын
MH: Mungu akubariki Sana yalikua maombi yangu sana namshukuru MUNGU amekutumia kusema hilo
@festodaud17816 ай бұрын
mama Mungu akulinde sn na akupe marifa zaid
@HamadaZubeirTahir6 ай бұрын
Mama Samia huyu Mbunge naomba aongezewe Mshahara tafadahli
@sanestar69426 ай бұрын
Hadi nimeskia kusisimka, inaonekana haya sio maneno ya kawaida, yana nguvu ya Mungu ndani yake. Hongera sana Mama Jesca.
@ModestSharia6 ай бұрын
Ninavyompendaga Jessca Yeye mkishamaliza yeye anakwenda Extra miles!👏👏👏
@tomsijohni6 ай бұрын
Mh mbunge umeongea point wanaume tulikua tume koswa utetezi bugeni. Ongera sana Mh.
@EliudKatamba-qu7fg6 ай бұрын
Wakipatikana wabunge kumi kama huyu mama haki ya mungu tutafika pazur
@CholoFaizaan6 ай бұрын
Ufike wapi? Unapotaka kufika hawa wabunge nihatari kuliko hao wanaowaongelea
@EligiusRichardGoldenboy6 ай бұрын
Unachosema nikweli Mungu kakutumia Vyema
@salumumchaga97176 ай бұрын
Umegusa kero ya kila mtu lazima kuwe na strong voice ahsante sana mama mungu akulinde kwa kugusa kiini cha maumivu makali kwa wanaume
@sheikhabdillahmassawe53026 ай бұрын
Hongera mama umesema kweli. Na huyu kigwangala ndiyo Mwisho wa kuingia bungeni tena awamu hii
@TumainTinabu6 ай бұрын
Great love ❤️ to mamaa mungu akupe maisha marefu sana
@jeromepantaleo83566 ай бұрын
Mbunge ana madini sana,big Up
@KevineKataka9 күн бұрын
🇰🇪🙏Bonyeniii ichi Tanzanian my God be with you Dada 🌹🇰🇪uku kwetu ni jahanamu ni kwa neema tu but neno litasimama milele na milele Amina 👍🙏
@simonmushi74686 ай бұрын
Hongera sana Madame Mbunge nimekuelewa sana Wewe ni Voice of Voiceless
@MashauriMashauri-u8q6 ай бұрын
Asante xn mama hakika ww ndiye mbunge mwenye maono! Kuna wanaume wamekaa humo tu hata hawaon na wao wanapiga makofi tu hawaon kuwa wanaume wametengwa,na wananyanyaswa na wanawake kisa tu mwanamke kapewa haki zote! Hapo usawa wa kijinsia uko wapi?
@petermwembezi59766 ай бұрын
Asante Sana 🙏 Kwa mchango wako mzuri Mh. Mbunge. Mungu akubariki ❤
Kumesha haribika Sana single moms wanazidi kujazana mtaani, ko mwanamke ameliona hilo
@WiliamMzava3 ай бұрын
Mungu wetu akuongezee wingi wa baraka,huu ndiyo ukweli mtupu, Mungu wetu alifanyie kazi tatizo hili.
@Africaamkenitznawenuso6 ай бұрын
Safi kbsa mbunge una maono vzr unaonambali sana bora ungekiwa samia
@halfaniabdallah62656 ай бұрын
Hongera sana mama. Mungu alishampa mwanaume uongozi mwanadamu hawezi kubadilisha ndiyo maana matatizo yamekuwa mengi siku hizi kwa kuwa mwanaadamu anataka kwenda kinyume na sheria za mungu
@gabrielkyando26326 ай бұрын
Kabisa broo
@BabuEdie6 ай бұрын
Haya ni matokeo ya kukubali kila mpango anaokuja nao mzungu na kuacha tamaduni zetu
@abduljuma78076 ай бұрын
Acha ujinga unashindwa na mwanamke anatoa point wanaume mpo mpotu
@faridhamad36786 ай бұрын
Dah huyu Mama kaongea point Allah amjaze Kheri
@fredymponji14236 ай бұрын
The problem ni kukataa hekima ya Mungu na sheria zake kwa kudhani hekima ya mwanadamu itazidi ya Muumba. Now it has bounced off.
@RamadhaniBendera-j1s6 ай бұрын
Big up
@antonigabriel-010yes6 ай бұрын
Umeongea hoja ila si kwenye hii serikali inayofuata utaratibu wa Dunia, chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@RozanaRobert-n3b6 ай бұрын
Kabisa kaka,, mpango wa dunia ni kuhiaribu siyo kujenga, Wala si uopo was Mungu
@ibrahimjuma97096 ай бұрын
Toka nimesikia bunge hii ndiyo mada ya maana kwa Tanzania
@livingmunisi59636 ай бұрын
Mungu akulinde madam jeska
@kamuzukamuzu33846 ай бұрын
Wako na ajenda moja wapatie wanawake benefits zote wanawake watajiona wako na power next step watafukuza wanaume kwenye nyumba walee watoto peke yao hapo ndio disaster ya jamii inapoanza , mashoga, lesbianism, uhalifu, madawa ya kulevya, naishi huku USA watu wote wako jela 80% wamelelewa na single mothers , huyu mama anaona mbali sana.
@iddykalisto81946 ай бұрын
Wako radhi kumuangusha mwanaume mmoja aliyebeba wanawake wawili ili kumuinua mwanamke mmoja
@GodfreyNgatunga-ps6pb6 ай бұрын
Wanaume mmekaa tu humo bungeni mpaka mama ameamua kufunguka asante.mama
@victorcephas36186 ай бұрын
Well said ubarikiwe sana nuru ya Mungu ikuangazie
@hamidulivigha6 ай бұрын
Uyu Mama Ako na Madini mengi mno kichwani. Kigwanala Kayakanyaga
@victorcephas36186 ай бұрын
Dunia ya magharibi inahubiri kutetea haki za wanawake na kumpa nguvu mwanamke ili kuwashusha wanaume kifikra na kiuchumi hasa kwa bara la Afrika. Lengo kubwa ni kufanya bara la Africa kukubali ushoga na kupoteza nguvu ya wanaume ambao watasimama kidete dhidi ya bara la Africa.
@AyoubKalippessa6 ай бұрын
Nimekukubari Sana you are awared person unasema kweli
@KhadijaMaftah-jf3tf6 ай бұрын
Wallah nimekupenda bureee bi mkubwa unajiamin na unajielewa.
@AbdallahFahm6 ай бұрын
Mashallah umeupiga mwingi mola akubariki
@mihayombawala83616 ай бұрын
Mama Mungu akulinde na akupe ujasiri zaidi, nilngekuwa mwananchi wa jimboni kwako hakika kura yangu ungepata 2025 utarudi Bungeni.
@samwelmwita19156 ай бұрын
Mama umetisha ubarikiwe sana napenda nioe binti yako
@jamesmboneko29526 ай бұрын
Huyo Mwanaume hajielewi kabisa, Yaan tunasemewa na Mwanamke lenyewe linapiga. HOVYO kabisa
@mafiask5756 ай бұрын
Huyu akaangaliwe vizuri.. pengine nae ni miongoni wa wanao suppoti ushoga
@misangasaidih87646 ай бұрын
Hahaha! Et Daktari. Tatizo la elimu za kuhonga
@MrNuurofficial6 ай бұрын
Tumia akili apo akiongea mwanaum hawez kusikilizw sana
@israelkisaila84016 ай бұрын
@@misangasaidih8764yani kamchana hatari😂😂
@Polycarp-do8kd6 ай бұрын
Mama Mungu akubariki sana , akuzidishe katika mema uyatakayo
@patrickcharles72946 ай бұрын
Asante sana mungu akutangulie mh hoja imeeleweka
@deogratiasnelson73816 ай бұрын
Asante mama umenena maana ishakua hatariii
@ErickBandushiEtien6 ай бұрын
Barkiwa sana mama yetu Mungu akutie nguvu akutie nguvu
@bahatiandrew50476 ай бұрын
Mbunge wa wapi huyu,, bonge la malkia🙌🙌🙌
@Mumewangu6 ай бұрын
Hongera sana mbunge mama kunywa soda nakuja kulipa
@JafaryChamungwana6 ай бұрын
daaaa yan mpk nimejisikia vibaya hongera sana my sister
@evancemichael54896 ай бұрын
Aliwahi kuongea Ndungai, kuwa mtoto wa kiume amesahaulika
@meryLeonard-is8ry6 ай бұрын
Bigup mama umesema na asante sana umetusemea uendelee kuongoza ktk jimbo lako
❤❤❤❤chukua mauwa yako mama na unapotokea nawaomba wananchiwako akurudishe tena bungen
@emmanuelwarioba68476 ай бұрын
Ishi maisha marefu mama unastaili kuludi bungeni
@ZainabSaif-sr9jj6 ай бұрын
Ongeza sautiiiii mama km mama jmn kweli sikuzote mwenye uchungu ni mama ona baba mzima sijui ht ameongeann kwanza ninawaswas naye pia hrf doctor why?
@KapeloJr-e3b6 ай бұрын
Hongera Sana mbunge MUNGU akulinde
@dalinktech6 ай бұрын
Mbunge wetu hoyee🎉🎉, Mungu akupe maoni zaidi.
@ezekielbkuyeko52416 ай бұрын
Daaah safi sana, "WE NEED A STRONG VOICE "
@geraldmanyogoto13586 ай бұрын
Hongera sana. Si tuu unafaa kuwa waziri wa wizara hiyo, nadhani hata ubenge unatakiwa uchukulie kwenye jimbo la huyo mwanaume asiyejiua shida ilivyo!
@piusdamian5946 ай бұрын
Mama wa kweli
@AbubakaliShabani6 ай бұрын
Mama yangu kipeenzi mungu akupe umri mrefu fanya kazi mungu atakuripa
@StadiusJustus-ck8xi6 ай бұрын
Uyu mbunge angestahili apewe huo uwadhifa wa icho kitengo barikiwa barikiwa barikiwa barikiwa barikiwa
@sebastianmusyebi-yv1hm6 ай бұрын
Kumbuken huyu jesca ni Dr siyo mchezo
@NelsonShirima-nm5im6 ай бұрын
Umeongea point mbunge watt walelew na pande mbili lakin watoto wa kiume wakiachwa kulelewa na wanawake tu ni rahis sana baadae kushindwa kujisimamia peke yao, inahitajika strong voice ili wawe hodar zaid
@NtuzuNtuzu3 ай бұрын
huyu mama anajitabua, marehem magufuli aliwaambia msjipendekeze,
@Pena-k1h6 ай бұрын
Mama hongera sana,maisha marefu kwako.
@AbdallahBakar-oc3ue6 ай бұрын
Mama upo vizuri sana
@Anza_tz6 ай бұрын
Mama kaongea kwa umakini sanaaaa.....Mungu akubariki mnoo
@marychuwa81596 ай бұрын
AKSANTE MUNGU kapatikana wa kuwaongelea wanaume
@skyboy_216 ай бұрын
Mama unastahili kupewa jimbo tena
@mwanyongamama44076 ай бұрын
Safi mama na ni wadhaifu Sana wanaume
@samsonyuves79236 ай бұрын
Nimekupenda bureeee❤❤❤❤❤
@PaulinaSemindu-ob3de6 ай бұрын
Dah nimempenda san huyu mama kwel tunawamama wanatutetea Bungen jmn Mungu akubarik sana mama.piga kaz
@gabrielkyando26326 ай бұрын
Your so smart,, apewe ulinziiii huyuu mbungeee
@vitalisantony2396 ай бұрын
Mungu akubariki sana mama kweli umeongea jambo la msingi sana
@siyayemduda20296 ай бұрын
Maana ya kiongozi kua na macho ya kuona mpk kesho
@mustafahlokol73386 ай бұрын
Huyu mwanamke aje Kenya jamani
@Mickson-o6l6 ай бұрын
Thanks mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤uishi miaka mia uikomboe taifa kwenye kizazi cha shetani
@IbrahiimMzee6 ай бұрын
Dah safi saaana yaani umeongea ukweli kabisa inasikitisha kama kuna wanaume wanaunga mkono mambo hayo na kuyafungia macho mambo muhim.. hivi kweli mwanaume hatambuliki umuhim wake kweli!!! Watu wa magharib hawatatulia mpaka watimize ndoto zao mbovu..
@FazilSway6 ай бұрын
Santee sana mama yangu kwakuona hilii
@imanbwanaa6 ай бұрын
I love you mama unapenda taifa pia unahofu ya mungu may God bless u❤❤❤❤
@ramadhaniabdulabdul6 ай бұрын
ubarikiwe sana mama
@tanzanian88476 ай бұрын
Daah.Safiii sana na hongeraa sana Mhe Jesca. Umeuipiga mwingii
@JimmyLipunge-mn5nd6 ай бұрын
Mara nyingi viongozi vilaza ndio wanaiga mambo ya maghalibi,
@amosmachibya18006 ай бұрын
Ahsante sana mama Mungu azidi kukupa maono zaidi
@SalumuAlly-d9q6 ай бұрын
Hapo si maneno ya kusema hayo
@moorzaheernyika80016 ай бұрын
Asante mama unajua xn
@SimonDaniel-lm6jd6 ай бұрын
Mama angu Mungu akutunze sana uendelee kupiga kazi
@barakayohana56856 ай бұрын
Mungu akubariki sanaaa
@VeredianaKalembi-gs4vs6 ай бұрын
Mama. Ubarikiwe sana
@anthonypatrice52476 ай бұрын
Sawa mama ubarikiwe sana
@Dr_Asam6 ай бұрын
Hii video naomba iwe ni wimbo wa taifa aiseee Mama Jesca yaaan ni 💯💯💯