#SAKINA

  Рет қаралды 38,248

nzwibaTVcom

nzwibaTVcom

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@clalanchemwa5006
@clalanchemwa5006 2 жыл бұрын
jaman kitwaz uko wap upo hai kweli ulikua unatuletea hingoma pale mwanga majengo karibu na soko mjinga enzi hizo.
@netvoicetv
@netvoicetv Жыл бұрын
asante sana ndugu clalanchemwa kumkumbuka kitwazi,,ukweli nikuwa kitwazi hajafa bado yuhai ukihitaji mawasiliano yake weka namba zako za whatsapp hapa tukusaidie kumpata.
@mwajunakisubi4210
@mwajunakisubi4210 4 жыл бұрын
Nimekumbuka kwetu mubarikiwe ndungu zangu muwe natuwekeya nyimbo kamainzo na mungu awalinde ndungu zangu
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
asante sana pamoja sana ndugu
@zabibuMussa-l7f
@zabibuMussa-l7f Жыл бұрын
Jamani raha ilioje mweeeee nakinyonga taratibu hapa.
@netvoicetv
@netvoicetv 7 ай бұрын
Asante mdau wetu
@lisaozokalonji7655
@lisaozokalonji7655 3 жыл бұрын
Tunaomba sana jamani mukuwe na tuwekeya nyimbo za kwetu Na Mungu awabariki wote tunawapenda 🇨🇦🇨🇦
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
ndio tutajitahidi kufanya kama unavyo penda lisa,tunakuomba usikose kutazama channel hii kwa more update videos.
@omarymtilikwa9738
@omarymtilikwa9738 4 жыл бұрын
safi xana ikondaa kutoka mwisho wa reli-kigoma
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
asante omary
@kevinkyanza1789
@kevinkyanza1789 Жыл бұрын
kweli.kweli.nami.nakumbuka.zilizo.pendwa.nipo.congo.brazzaville.qt.ya.plateaux.de.quinza
@amanihandsome8673
@amanihandsome8673 2 жыл бұрын
Wow wonderful kwetu mwaka bwari kikunda very nice napenda hizi marehemu katoto mungu akurehemu ulipo kaburini 😍😍😍😍😍😍♥️♥️💕💕💕💕
@netvoicetv
@netvoicetv 9 ай бұрын
Hakika umekumbuka mbali sana mdau wetu, pole sana na tuendelee kudumu pamoja ndani ya channel yetu.
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 4 жыл бұрын
menikumbusha mbali sana enzi hizo kigoma. tulikuwa hatulali. kwa kucheza ikonda. vumbi mpaka kwenye meno 😭😭 na dada yangu kesha kuwa marehem. alikuwa hashikiki nyumbani ! fom. sweden 🙏🏾
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
pole sana ndugu yangu,tunaomba tuzidi kubaki pamoja kupitia channel hii.
@wilondjakassa6344
@wilondjakassa6344 3 жыл бұрын
Pp
@Firelady22
@Firelady22 Жыл бұрын
Muwe mnaweka nyingi jaman
@netvoicetv
@netvoicetv 9 ай бұрын
Okey tutazingatia ombi lako mdau wetu, pia tunaomba radhi kwa kutokuwa active kwa kipindi kirefu. Hii ni kutokana na maboresho ya channel yetu tuliokuwa tukifanya ili kuwaletea vitu bora kabisa,kimsingi tuna hitaji suport yenu na mwa weza wasiliana nasi kwa kutumia whatsapp namba +255748478475 Net Voice TV. Naomba wafahamishe wengine if can plz.
@ZubedaManzai
@ZubedaManzai 10 ай бұрын
Nikiwa na mawazo tu nakumbuka nyumbani kwa kuweka bando niburudike na nyimbo za nyumbani axnteni xna wazalendo wetu ujumbe wangu tusisahau asili yetu tukubali tukatae kigoma ndio kwetu
@netvoicetv
@netvoicetv 2 ай бұрын
Haswaa! asante sana
@lisaozokalonji7655
@lisaozokalonji7655 3 жыл бұрын
Jamani mimi najisiki niko kwetu Baraka kubajoba ndio kwetu nakubuka mbali sana Binahamu yangu Chomo Dollar pumzika kwa amani mtoto wa shangazi
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
pole sana lisa na hongera kushiriki nasi mawasiliano kupitia channel hii,karibu tena siku zote.
@aimerancekizaalfani3076
@aimerancekizaalfani3076 4 жыл бұрын
Asante Sana kusikia ihi nyimbo ya ikonda kweli kbs tunakumbuka mbali kweli
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
AIME ahsante sana pia,tunaomba endelea kutembelea channel hii kila upatapo muda wa kufurahi na youtube.
@mauwamwilongelwamlongelwa9364
@mauwamwilongelwamlongelwa9364 4 жыл бұрын
Tunazipenda nyimbo zenu wanandugu yaani hadi raha watu wetu ekúnda yetu muongeze zingine wanatamaduni za kikonda yaani zinatukumbusha uwasilia wetu wa manabu zetu walivokuwa wakicheza
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
karibu tena
@ibrahimbora8805
@ibrahimbora8805 4 жыл бұрын
Najikuta mwenye furaha kusikiliza Ngoma za kwetu
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
ahsante!
@ommymp9058
@ommymp9058 4 жыл бұрын
Duuuuh unanikumbusha mbali sana enzi hizo
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
pole sana ndugu yangu
@hassanmaulidi8068
@hassanmaulidi8068 3 жыл бұрын
jamani wenye nyimbo kama hizi tuongezeeni jamani maaana hizi nyimbo zinatukumbusha mbali saana
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
ahsante sana tutajitahidi kuongeza nyimbo kama hizi,tunaomba endelea kutembelea channel hii kila upatapo fursa.
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 3 жыл бұрын
Sakina mkazyii waniyee.......
@netvoicetv
@netvoicetv 7 ай бұрын
Asante mdau wetu
@PangalasDamson
@PangalasDamson 3 ай бұрын
Ñakumbuka mbri❤
@netvoicetv
@netvoicetv 2 ай бұрын
Hongera
@see6671
@see6671 Жыл бұрын
@netvoicetv
@netvoicetv 7 ай бұрын
Asante mdau wetu
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 4 жыл бұрын
tuwekeni zingine. tuburudike japo tupo mbali ya inchi. nikisikiliza. hiyi nyimbo ya iko nda menifanya nikumbuke ndugu zangu. walisha fariki. 😭😭😭🙏🏾
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
pole sana ndugu tutazingatia ujumbe wako
@hadijaseif1202
@hadijaseif1202 4 жыл бұрын
Nimemkumbuka Sana kintu kwenye kinanda
@hadijaseif1202
@hadijaseif1202 4 жыл бұрын
Tatizo hamtuwekei namba za sim
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
pole sana ndugu yetu tunaomba kubaki pamoja nawewe kupitia channel hii.
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
namba zetu ni +255754826494
@PangalasDamson
@PangalasDamson 3 ай бұрын
Wenzangu hakuna mwenyevideoyake?😅
@netvoicetv
@netvoicetv 2 ай бұрын
Unahitaji video ya namna gani,real live au hata challenge yake?
@abidhussainofficial8669
@abidhussainofficial8669 4 жыл бұрын
Good
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
yes thanks mr Abid hussain and stay with us
@spychannelone
@spychannelone 4 жыл бұрын
Naomba ongeza na ngoma zile kalikali za kizamani tuendelee kuburudika.
@ramsotv7641
@ramsotv7641 4 жыл бұрын
Upo
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
asante tutaongeza ngoma zaidi
@mwajunakisubi4210
@mwajunakisubi4210 4 жыл бұрын
🤦🤦🤦🤦🙉🙉🙉🙊🙊🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@netvoicetv
@netvoicetv 3 жыл бұрын
asante1
Ekúnda(audio) Ekonda(audio) Ekunda(audio
6:51
The king Jay
Рет қаралды 8 М.
Akina mama walezi wa watoto:EBALO NA BATÙ ,[official video]
11:41
Kalu Mwana Fizi[Mbondo]
Рет қаралды 52 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 92 МЛН
这是自救的好办法 #路飞#海贼王
00:43
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 60 МЛН
POKEA BARUA by SUPER VIJANA RUMBA ( congolese party )
5:42
Rash revolution Photography
Рет қаралды 6 М.
#WALIMWENGU#SIO WEMA#TAMU#ZA UTAMADUNI#
9:47
NET VOICE TV
Рет қаралды 6 М.
QASWIDA MALEZI YA MAMA NA MSABAHA HAMISI KIGOMA UJIJI
7:11
NET VOICE TV
Рет қаралды 1,5 М.
Sakina   Uda Jazz Band
6:46
Power Nguzo
Рет қаралды 87 М.
silowamu nyarugusu_(icwa kemba)4k
7:28
Silowamu Nyarugusu F2 FMCT
Рет қаралды 49 М.
Mapigo Saba H 264
5:16
Amy Robb
Рет қаралды 148 М.
Ekúnda Sakina
7:22
chombelva
Рет қаралды 121
Nimwetu mumuno
9:42
modeste matenga
Рет қаралды 77 М.
Zegede Pendo na Patrick - Song by Shauri Mwenyewe
6:27
Samuel Masha
Рет қаралды 130 М.
Unakumbuka wapi mwana KIGOMA mwenzangu ukiona hii
9:02
Yoba1 Tv
Рет қаралды 19 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 92 МЛН