SAKO KWA BAKO NA TIGO Song🔥💥🔥🔥📡📡📶📶

  Рет қаралды 388

Prince stephano

Prince stephano

Күн бұрын

SAKO KWA BAKO ni msemo wa Kiswahili unaomaanisha tupo bega bega, Pamoja kila hatua na kwenye hii sisi #Tigo tunasheherekea kua #sakokwabako na nyie wateja wetu zaidi ya milioni 20. Na wateja wetu wamesema wametuchagua kwa sababu:
📌Tuna mtandao wa 5G wenye kasi zaidi ya 1GBPS.
📌Mtandao wa 4G uliobereshwa na unaopatikana kila kona ya Tanzania. Yani kila sehemu yenye mnara wetu ina teknologia ya 4G
📌Tunakuletea vifurushi vya Saizi yako vinavyokupa thamani ya pesa zako
📌 Tumekuletea #Tigopesasuperapp mpya iliyoboreshwa na kurahisisha miamala kidigitali
🤩Yaani, huku kwetu mwendo wa Sako kwa Bako tu, unyo kwa unyo, Pamoja na wateja wetu zaidi ya milioni 20.
💙Endelea kufurahia mtandao wa watu💙
#sakokwabako
#tigoliveitlobeit
#pamojakilahatua
#tupopamojabegakwabega
#hatuachanisisi

Пікірлер: 2
@abdallahramadhani2437
@abdallahramadhani2437 3 ай бұрын
Hili song la sako kwa bako kutoka tiGO ni balaaaa sana, hakika tiGO haina mpinzani... Sako kwa bakoo!....
@princestephano5496
@princestephano5496 3 ай бұрын
@@abdallahramadhani2437 Ewaaa🤝
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 38 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 3 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 7 МЛН
Professor Jay feat Alikiba - CALLING (Official Music Video)
4:26
ProfessorJay
Рет қаралды 742 М.
JavaPoint Bunju wafaidika na Tigo Fiber
3:50
TIGOTanzania
Рет қаралды 97
Kikundi cha Ngoma cha Wabondo Sembe Safi kutoka Kigoma
10:39
UrithiHeritage Festival
Рет қаралды 23 М.
Alichojibu Koffi Olomide kuhusu Diamond na Christian Bella
2:55
Millard Ayo
Рет қаралды 181 М.
Alikiba - Nahodha (Official Music Video)
2:56
Alikiba
Рет қаралды 257 М.
Dk Mathew MASASI - Penzi sio La Dawa Dada Amegeuka kuwa Simba
7:35
Mario dattany
Рет қаралды 32 М.
Japhet Zabron - Umefika Ft. Obby Alpha (Track 2)
4:31
Japhet Zabron
Рет қаралды 37 М.
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 38 МЛН