Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 2

  Рет қаралды 41,109

YahStoneTown

YahStoneTown

Күн бұрын

Пікірлер: 103
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 4 жыл бұрын
Anajua kujieleza na ana elimu ya dunia na akhera Sallute to you dr mwaka
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 4 жыл бұрын
Dada salama make sure huyu mwamba anarudi aisee...... mtu wa 3 huyu nakudai baada ya speshoz na giggy make sure wanarudi mjengoni. Kama mwaka natamani ingefanyika atleast two hours ufahamu wake ni mpana sana na kwa sasa tunahitaji watu kama yeye zaidi kuliko hata mtu yeyote ili kusaidia kuamsha ufahamu wa wengine...... tuko nyuma sana. I hope utamleta tena na tunamuomba akikaribishwa next time akaribie. God bless you all wadau wa hiki kipindi kizuri 🙏
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 4 жыл бұрын
Dr.Mwaka katisha sanaaa...nimejifinza mengi sana na pia nimepata nafasi ya kumfahamu vzr...tofauti na nilivyokuwa namuwazia especially kipengele cha wake wengi
@peterbayo4677
@peterbayo4677 3 жыл бұрын
Salama wafundishe waandishi vijana namna ya kuhandle interview. Wewe ni mahiri na mweledi. Dokta Mwaka ni mahiri wa kujibu maswali. Hongereni sana!!??
@Coachsamwel
@Coachsamwel 2 жыл бұрын
Asante Sana Salama kwa interview hii... Nimejifunza na nilikuwa natafuta mno mwongoza njia kwenye industry hii kwa hapa Tanzania.. Huwa nahitaji sana kumiliki Clinic yenye kutibu watu kwa njia asilia I think dream yangu itaendelea kuwa Unstoppable kwa namna yoyote ile. Mwaka nitaonana na wewe aisee unipe tips
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 жыл бұрын
Asante doctor mwaka kwa madini mazuri me na pendaga sana kufatilia intavew zako pia ni rafiki mzuri wa boy friend wangu kwaiyo ww shem wangu
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Mtu akija kwako ajipange kwa maswali sio akaumbuka salute kwako.
@mercycathi3660
@mercycathi3660 4 жыл бұрын
Yani hii ni best interview ever!!..mimi naomba nijfunze zaidi kwa doctor Mwaka..tunasahau dawa zote za wazungu zunatoka kwa miti shamba na mboga. Sasa wamekubali mafuta ya mbagi ni dawa kubwa sanaa..doctor mwaka your the best!!your a awaken my brothet
@hopeobeth9806
@hopeobeth9806 4 жыл бұрын
Nilitamani muendeleee nimejifunza vingu mwaka uko vizuri
@mamunote3507
@mamunote3507 4 жыл бұрын
Mashallah Mashallah nakipenda sana kipindi chako Salama na tumepata Elmu kubwa kwa Dr Mwaka Alwah awabariki sana wote 😍 😘
@shamimshaban2969
@shamimshaban2969 4 жыл бұрын
You guys in Africa; you get better organic foods than us here in abroad
@zainabumashine3542
@zainabumashine3542 4 жыл бұрын
Napenda sana dada salama unavyo Hoji maswali Asante dct mwaka kwa maerezo yako
@ruhumakhadija8772
@ruhumakhadija8772 4 жыл бұрын
Hogera sana Dr mwanka na salama tumejifuza mengi
@ibrahimhamis7357
@ibrahimhamis7357 4 жыл бұрын
Sikuchoka kuiangalia interviee hii. Aisee imekua na muda mfupi sana. Shout out kwa Dr. Mwaka na kwa Salama Jabir. Salama wewe uko creative na unafanya tasnia kwa utofauti sana.
@henrymwamasage9434
@henrymwamasage9434 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua sana kujieleza lakini pia nadhani inatokana na usema kweli
@KaoratajrMD
@KaoratajrMD 4 жыл бұрын
Naamini ndani ya miaka miwili ijayo kipindi hiki kitaendelea kuwepo na Inshallah utamuita kijana Naseeb Abdul Juma (naamin atakua ametulia pia) motisha kwa vijana wengi sana
@bitegemurisho54
@bitegemurisho54 4 жыл бұрын
Naan watu kama doctor MWAKA wanaitajika kwenye jamii ili kubadilisha vichwa vya watu# fikra mbovu.
@samiraallykayitesi7642
@samiraallykayitesi7642 4 жыл бұрын
Nakupenda sana siwezi pita bila kuona nikikuona kwenye kipindi furani
@francisngomuo1955
@francisngomuo1955 4 жыл бұрын
Dr. mwaka kama mwaka na enjoy kuwasikiliza namuelewa sana salama kipindi kizuri
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
I really enjoyed this interview
@sassboy9360
@sassboy9360 4 жыл бұрын
Salama!!! You’re the best ever
@emmanuelkiondo5837
@emmanuelkiondo5837 4 жыл бұрын
Very smart guy. I never expected this from him. Well done Salama for bringing him to your show.
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 4 жыл бұрын
Binafsi nimeinjoy sana leo nilitamani kipindi kisiishe Santeeee sana Salama
@aishajafa4139
@aishajafa4139 4 жыл бұрын
Dah salama hiki kipindi nakipenda balaa uko vizur sana salama
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
Umeongea bonge la point dr mwaka vyakula vingi vya east africa ni dawa, vyakula vya nje ni hatari sn last year niliumwa kijipu ilinichukua miezi3 kupona kutokana huku tunakula vyakula vya makopo
@sportsfocus8469
@sportsfocus8469 3 жыл бұрын
Ningependa Sana ungemuuliza kuhusu somo la kulala na kuamkaa
@gracenanyaro4793
@gracenanyaro4793 4 жыл бұрын
Nilichogundua kwa vipindi hivi vya salama, mtu akishaohojiwa mtazamo wangu juu ya huyo mtu unabadilika...kufupi kipindi hiki kinaondoa ile perception mtu anayo kwa mtu anamwona tu kwenye mtandao...inaondoa u- fake fake wote...maana halisi ya vitu kwa ground ni tofauti...
@zakarias7914
@zakarias7914 4 жыл бұрын
True
@mariammwasile4792
@mariammwasile4792 4 жыл бұрын
Asante dr mwaka na salama
@naasamson4905
@naasamson4905 4 жыл бұрын
Maelezo ya Dr.Mwaka yamejitosheleza
@fatmakombo7584
@fatmakombo7584 4 жыл бұрын
Dr mwaka uko vizur mashallah mashallah
@fafafafa7175
@fafafafa7175 4 жыл бұрын
Mrudishe tena 👌👌👌🙏
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Salama wewe noma unajuwa kuoji utatuteka sana tu
@abdulmissanga8049
@abdulmissanga8049 4 жыл бұрын
Salama umetisha mwaka kavunja sana big up
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 4 жыл бұрын
Ndg yng wee ni mtu muhimu ktk jamii zetu z kitanzania 😅😅😅🤲🤝🙏👍
@nasiwasumari3830
@nasiwasumari3830 4 жыл бұрын
Very insightful! Asante team Yahstone Town! Bless!
@khaleedpeyu2641
@khaleedpeyu2641 4 жыл бұрын
Smart guy!
@elizalwakatare8070
@elizalwakatare8070 4 жыл бұрын
Nimependa cheko la mwaka 😂all in all nimejifunza mengi 💪
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
Kabisaaaaa.Kanikumbusha nakicheko chamarehemu Kanumba
@najmasoudnaj8211
@najmasoudnaj8211 4 жыл бұрын
Shukran
@alexbrayson7296
@alexbrayson7296 4 жыл бұрын
Mwaka kama mwaka juma master mind kila la kheri kiboko jirani mwema
@shadyamuksin5043
@shadyamuksin5043 4 жыл бұрын
salama uko vizuri sana 👌👌
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Nilijua2 salama unachoma dawa. Kumbe na dr. Unakula dawaaaa. Wote kuleni gwara basi
@charsmlay4156
@charsmlay4156 4 жыл бұрын
Natamani nikae upande wa salama niminterview salama. Nina maswali mengi sana kwako Salama.
@rainesjohn5366
@rainesjohn5366 4 жыл бұрын
Interview tamu sana,cheko la Dr mwaka linanikosha
@rosemery542
@rosemery542 3 жыл бұрын
Vaa kiislsmu Salama
@OnlyRuky
@OnlyRuky 4 жыл бұрын
Daaha interview nzuri mpaka nimeona km fupi😇
@najma3268
@najma3268 4 жыл бұрын
Mrudisheni tena jaman, hatujatosheka kwakweli
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
*SALAMA* kwa maswali tu, ningekuwa na uwezo kila Mwaka ningekuwa TUZO. 😀👍
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 4 жыл бұрын
Interview nzuri sana na leo kuna maelezo kwenye description box by Salama. Asante nimeenjoy kusoma. Mimi binafsi tiba asili naikubali na nina cheti kabisa kutoka ANAMED. ila pia dawa za hospitali nakubali but most of all my faith, i believe in him, God the supreme.
@grancebeuty2443
@grancebeuty2443 4 жыл бұрын
Nilishatibiwa sikio na bangi,inatwangwa unawekewa matone kwenye sikio hutakaa uumwe sikio tena
@rosemery542
@rosemery542 3 жыл бұрын
Subhana Allah wewe mumesoma Quran halafu unamfadhili mwana muziki?
@sesyurio7609
@sesyurio7609 4 жыл бұрын
Mlete LISU nampenda sana
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
Ntafurahi balaa yaani
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Ila salama unajua kutafuta majibu yalipojificha
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 4 жыл бұрын
18:18 Salama u cracked me up with the look! 🤣🤣🤣 but Dr Mwaka ameemphasize kuna njia ya kiproffessional for bangi for chronic pain patients sio for teenagers for leisure. itoshe kusema. Mungu atusaidie
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 4 жыл бұрын
acha kabisa, the look 😂😂👊👊
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 жыл бұрын
Wonderful 👏🏻
@shamimshaban2969
@shamimshaban2969 4 жыл бұрын
Salama in Canada we are still dealing because it is flu season even the gyms, restrants
@tazemuddinuddin4966
@tazemuddinuddin4966 4 жыл бұрын
Kipindi na kipenda hiki maana najifuza vitu vingi Laki Salama nikuwa mamuuliza Dr mwaka.anatibu magonjwa ya miguu
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 4 жыл бұрын
Nice one doctor mwaka
@شكران-ل6ظ
@شكران-ل6ظ 4 жыл бұрын
Hadi raha Masha-Allah kipindi kizuri sana.
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 4 жыл бұрын
Onger DR Mwak
@medicalphysicsbiomedicalen1707
@medicalphysicsbiomedicalen1707 4 жыл бұрын
I real enjoyed the interview. Much love from Italy
@ibrahimuramadhan526
@ibrahimuramadhan526 4 жыл бұрын
Nimeipenda hii int.
@art.ib6
@art.ib6 4 жыл бұрын
Mbna muda hautoshi jaman da salama
@salumochy987
@salumochy987 4 жыл бұрын
Hakuna sababu ya kushuka kwa adhabu ya mwenyezi Mungu!!? Maovu yote haya
@deogratiusgibson853
@deogratiusgibson853 4 жыл бұрын
WAHA tupo vizuri sana
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
True Waha asilimia kubwa wanaakili nahawana majigambo kama wamanyema
@samiraallykayitesi7642
@samiraallykayitesi7642 4 жыл бұрын
Please bring your product in Rwanda we need it
@zailulu7781
@zailulu7781 4 жыл бұрын
Salama mwite na wema sepetu 🙏
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
Wanini? Ataifundisha Nini jamiii kamawaka?.Atafute Watu magenous zaidi yamwaka aifundishe jamii
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 4 жыл бұрын
Salama Next interview Raqey Allarqya IviewStudios
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 жыл бұрын
Mgeni wa leo full nondo halaf anakicheko balaaa
@zarahally4275
@zarahally4275 4 жыл бұрын
Big up
@ms_caramel2688
@ms_caramel2688 4 жыл бұрын
Salama naomba nmba za dctr .mwaka
@glorianymuna8134
@glorianymuna8134 4 жыл бұрын
Nimenot kitu ili uwe na pesa lazima uwe na watu
@edsonnchimbi3595
@edsonnchimbi3595 4 жыл бұрын
Umetisha sana
@sarafinawado3263
@sarafinawado3263 4 жыл бұрын
Really enjoyed this interview👌🏾👌🏾👌🏾
@owlbig
@owlbig 4 жыл бұрын
Nice 🇧🇮🙏
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 4 жыл бұрын
Kipindi kimeishaje aisee! 😔😔😔
@ashafatuma3167
@ashafatuma3167 4 жыл бұрын
It’s true kila chakula ni dawa !!
@ashahamisi959
@ashahamisi959 3 жыл бұрын
Asalam alaikm warahmatullah wabarakatu mm nna shida nkimaliza kula any meal lazma ntafune mchele je ni upungufu wa nn na nifanyej ili niache?
@balegadaffi4472
@balegadaffi4472 3 жыл бұрын
Bangii babaaaa hpo hpo 😂😂😂😂
@jumakawambwa5176
@jumakawambwa5176 4 жыл бұрын
dope
@hadijakonyaki5580
@hadijakonyaki5580 4 жыл бұрын
Mashallah
@khadijamohammad473
@khadijamohammad473 4 жыл бұрын
Naomba namba ya doctor mwaka nnashida
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 4 жыл бұрын
Nice show aunty
@richartmichael9639
@richartmichael9639 4 жыл бұрын
Nimeipenda snaa hii inter
@zanuraselemani7256
@zanuraselemani7256 4 жыл бұрын
Yuko vizuri mwaka
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
I wish ingeendelea
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
shikamoo mlonge
@nassoralinassor1698
@nassoralinassor1698 4 жыл бұрын
Salama VP naisubiria kwa hamu
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 4 жыл бұрын
😀😀😀bangi
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 4 жыл бұрын
Jogoo!
@radirapavevo9605
@radirapavevo9605 4 жыл бұрын
Nono bangiiii
@samsungoman5626
@samsungoman5626 4 жыл бұрын
Kipindi kizuri
@tumaamaren8604
@tumaamaren8604 4 жыл бұрын
Mambo na watu pekeyako huyawezi
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Muda mchache 😒😒
@mpatekherry6211
@mpatekherry6211 4 жыл бұрын
Asante sana
@oscarchristopher4398
@oscarchristopher4398 4 жыл бұрын
8.. Know . 788i
@kgtdigital8379
@kgtdigital8379 4 жыл бұрын
Tazama huyu mzee anaetengeneza helikopta kzbin.info/www/bejne/pHu2eoVvrMl4h5o
@samiraallykayitesi7642
@samiraallykayitesi7642 4 жыл бұрын
Please bring your product in Rwanda we need it
Salama Na JOH MAKINI Ep 36 | KIUNGO Part 1
29:45
YahStoneTown
Рет қаралды 69 М.
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 23 МЛН
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 241 МЛН
Salama Na WANA SE6 EP75|  PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
24:30