naomba nitangaze kuwa shabiki wa Dullah kindakindaki kabisa kuanzia leo hii...this guy is smart and funny too...yaani amerelax mpaka basi.
@princessbim60962 жыл бұрын
Dula anajua anajua mpka anajua tena
@isihakarajabu44952 жыл бұрын
salama unajua🙌🏿🙌🏿
@OfficialA836402 жыл бұрын
Dullah Muongope Mungu rudi kwa Mungu wako baba yako alipo unampa adhabu
@bintqassimidarous16362 жыл бұрын
Da Salama tunaomba utupandishie show ya zembwela na godliver wa jua kali
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Aisee, nimecheka sana na nimekuelewa Dulla..
@godfreymwandoje1222 жыл бұрын
Dulla anaweza sana tunamkubar sana❤❤❤👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@salumuseif33242 жыл бұрын
Nimeipenda interview jamaa anafunguka
@gracemamuu59372 жыл бұрын
Yani hiyo sehem ya mchukue nenda nae nime cheka mpaka basi
@iddyally71272 жыл бұрын
Cool salama jtm
@ziyandamhlana87762 жыл бұрын
Goood interview big up salama
@officialbntrasool52232 жыл бұрын
Huyu bwana muwaz san🤣🤣
@MRiki032 жыл бұрын
Kuingia mbinguni ni issue ndogo sana sema watu hawaelewi tu Yaani kwa uwazi na ukweli alionao Dulla Mungu anamhesabia haki cause najiskia proud kutumia Ndele and haogopi kabisa
@jamilajuma3783 Жыл бұрын
Unajibu poa
@ashumohd21922 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 wallah dullah umenichkesha saana dahh🙌
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Kwahiyo jamaa anaroga mashabiki
@moricemizambwa81252 жыл бұрын
#biGuP salama na dulla makabila,🤝...
@ashurajengela39262 жыл бұрын
Napenda watu wanao funguka 🤣🤣😂
@nicksonnovart57882 жыл бұрын
Ni unyama kabisa!
@bintqassimidarous16362 жыл бұрын
Na show ya Salam sk
@officialbntrasool52232 жыл бұрын
Et mchukue nenda nae🤣🤣🤣
@mussakhamis23772 жыл бұрын
Msanii gani ww hujiamini
@dilipdab37142 жыл бұрын
Dullaa
@omarimbuchele81692 жыл бұрын
Dula makabila see useme wacheza wampila wengi wametokea uswahili na singeli imetoka uswahili ndio wanaipendq
@yuscoversace82052 жыл бұрын
Dope
@obenitejailos70072 жыл бұрын
KILOSA MY DISTRICT
@kayalaonlinetv2 жыл бұрын
Third to comment
@tiffanyakramJr8142 жыл бұрын
😂😂😂🤗
@yvettekap88852 жыл бұрын
Kumbe dulla ndiyo hutu???nime mpenda bure
@rahmatgateka64612 жыл бұрын
😀😀😀😀
@Chamageu2 жыл бұрын
✌
@mereyamhomesmariamhomes34642 жыл бұрын
Hii singeli zamani ilikuwa inaitwa Mnanda? Au nafaninisha
@Nderemi7862 жыл бұрын
Hapana mziki wa singeli umeanzia katika vigodoro uswahilini.... Kulikuwa na ma dj wanafanya free style kupitia nyimbo za taarab...