Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1

  Рет қаралды 328,448

YahStoneTown

3 жыл бұрын

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪KZbin Link bit.ly/KZbinSalamaNa
Kajala Winfrida Masanja ndo jina lake alipopewa na Mama yake kipenzi alipozaliwa. Mama ambaye alikua akilitumikia jeshi la Polisi Tanzania miaka ya nyuma, ambaye alihakikisha binti yake huyu anakua katika maadili yaliyo bora na nidhamu yake iwe ya hali ya juu. So nini haswa kilitokea mpaka akawa si mtoto mzuri yule ambaye Mama alifanya kila aliwezalo kuhakikisha anakua hivyo miaka ya nyuma? Sasa ni Mama na mfanyabiashara anayejielewa tu. Ila yepi haswa ambayo yalishawahi kutokea kwenye maisha yake na ambayo hajivunii hata kidogo?
Mimi na K tunafahamiana miaka mingi sana, mara ya kwanza tulikuna kwenye michezo, kwenye uwanja wa basketball wa Pazi pale Drive In enzi hizo, skuizi nadhani panaitwa Ubalozi maana ni mkabala kabisa na ubalozi wa Marekani na uwanja umo ndani ya nyumba za Tanesco na sisi pia tulikua tukipaita hivyo. I remember alikua anakuja kucheza na sisi enzi hizo yeye anasoma Jitegemee nami nasoma Makongo Secondary School, hakua mchezaji mkaaali ila alikua na juhudi, na kwa mujibu wa maongezi yetu haya aliniambia ile pia ilikua ni moja ya njia zake za kutoka nyumbani na kupata kijihewa ivi, kwa kukutana na watu tofauti 😀. Sisi tulikua tukimshangaa kwa mitkasi yake mingi, alikua anatoka, yuko na marafiki ambao walikua wakubwa kuliko yeye na kama alikua na mambo mengi ivi. Ila huko ndo kukua sasa, maana unachojifunza wakati unafanya jambo ndo hapo unapoweza kujua kama ni zuri au baya na kama lina faida nawe au laa.
Next thing I know Kajala ni mpenzi wa producer mataaata haswa enzi hizo ndani ya P-Funk na kwenye story zetu za humu amezungumzia hilo kwa urefu haswa, vile walivyokutana, alivyokua anakaa nae, reaction ya wazazi wake na waalimu shuleni na mahusioano yao mpaka yalipofika tamati. Jinsi ambavyo walikua wakiishi yeye na PFunk bila ya Mama yake Majani kujua kama mwanae anaishi na mwanafunzi ndani ya nyumba yake na mpaka akapata mimba bila ya yeye kujua. Paula alipozaliwa ndo mambo yakawa hadharani.
Mapenzi yake na PFunk yalikua na mambo mengi ambayo niliyauliza kwenye episode hii ya 35, walikutanaje, waliendeleaje, wazazi, Paula na pengine watu wengine kuhusika na mapenzi yao hayo. Aliniambia mwisho wa siku ilibidi afanye liwezekanalo ili aweze kutoka humo na maisha yaendelee na akafanikiwa kukutana na mtu mwengine Ila na kwake naye mambo hayakua matamu kama ambavyo yalianza. Yaliisha kwa machozi na chuki ambayo anadhani iko upande
wa pili zaidi maana kwake maisha yamesogea na maombi yake ya kuanza upya yamebarikiwa.
Kajala amepitia mambo mengi kwenye maisha yake ambayo mengine anajivunia na mengine siyo hata kidogo. Kama kawaida, yangu matumaini utaokota mawili matatu humu na ambayo pia kama nia na madhumuni yatakufanya ushangae na kujifunza mwisho wa siku. Tafadhali enjoy!
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali kzbin.info/www/bejne/eabIYnt4acuhgrM
Follow:
Twitter: YahStoneTown
Instagram: YahStoneTown
Facebook: YahStoneTown

Пікірлер: 267
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 3 жыл бұрын
Hakuna kama mama kama unampenda mama yako achia like
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 жыл бұрын
👍
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Akuna asie penda mama
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 3 жыл бұрын
Mimi huanzia na description box. Nasoma kwanza maelezo ya Salama kuhusu mgeni. Kama na wewe unasoma na kupendezwa na maandishi ya Salama basi tumpe Like zote Salama & team!
@kazkaz1943
@kazkaz1943 3 жыл бұрын
Asantee sikuwah kuwaza kama huwa anaandika huwa nakimbilia comments tu
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 3 жыл бұрын
Mimi sisomi kabisa
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 3 жыл бұрын
@@samoocoolingsystem93 Kwanzia leo uanze kusoma huwa anaweka na yake usiyoyajua kwenye video.
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 3 жыл бұрын
@@kazkaz1943 haha😄 karibu🤗 ila kuna zingine haweki description kama ya Speshoz sikuona sijajua formular ikoje labda marafiki zake ndo anatudescribia.
@itshaluastyle
@itshaluastyle 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6vUk4uBZ9OJeZI
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 3 жыл бұрын
Ni mama mzuri sana kajala..Alafu ameongea point..wanawake wengi hawawezi ondoka kwenye abusive relationship,na watu wengi hawachukulii serious
@salimravino.6169
@salimravino.6169 3 жыл бұрын
Best interview,,, Kajala is DOPE,,, super tanzanian artist GOD bless you aunty Salama
@evaristmrope
@evaristmrope 3 жыл бұрын
Nampenda sana sister Kajala yuko very humble mwenyezi MUNGU azidi kumuweka zaidi na zaidi na amzidishie kipato chake cha kila siku
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 жыл бұрын
Ameen ameen ameen
@mwanahamisizonga9948
@mwanahamisizonga9948 3 жыл бұрын
Kumbe mtoto karidh tabia zakooo duuh
@enessJeremia-hi9fh
@enessJeremia-hi9fh 11 ай бұрын
Huyu ni mfano wakuigwa
@Richard_Range
@Richard_Range 3 жыл бұрын
Love this ladyy! Much love kajala! I remember meeting you samaki samaki ulikuwa na kina baby madaha and i gave you a hug 2015/6! 🥰
@rosekomanya2017
@rosekomanya2017 3 жыл бұрын
Tuliokuja hapa baada ya video ya Paula na vannyboy
@neemashayo1686
@neemashayo1686 2 жыл бұрын
Sikujua kama ntafika mpaka mwisho wa interview... humble lady, beautiful and very authentic. nime enjoy na nimejifunza big up Salama
@G.S985
@G.S985 3 жыл бұрын
Napenda sana interview za Salama,Kajala asante kwa kutupa somo la maisha,nakupenda sana.alafu wewe si mnafiki.
@theresiatarimo3616
@theresiatarimo3616 3 жыл бұрын
ya dunia ni mengi mungu hatakuacha hata upitie majaribu ya aina gani.ndani yako mungu yupo...ulipenda kuwa sista coz mungu yupo ndani yako...ilike that watu wasikudiscribe kwa ubaya .ilike you...you good.
@cynthiaprince277
@cynthiaprince277 3 жыл бұрын
Salama ur so good...u were born to do this
@ashasiaga3197
@ashasiaga3197 3 жыл бұрын
Kajala mtoto wakike akishakua anatakiwa aelezewe kila kitu hakuna haja ya kumficha hususan mapito ulio pitia
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Kwa interview hii Paula hana Kosa🤔🤔🤔
@mohamedinhoabeid560
@mohamedinhoabeid560 3 жыл бұрын
Daaaah!!! Maisha Haya!!! Unaambiwa hicho kipindi unatamani yoyote atokee mi nlikuwa nakupigia hesabu nikajishtukia, yaani nami ungekuwa wantaja hapo kwa Salama nyeee
@aishasulleyman5531
@aishasulleyman5531 3 жыл бұрын
duh ww nae
@issayahya1640
@issayahya1640 3 жыл бұрын
Nice interview hakuna sugar coating ki ukweli tunaomjua Kajala hajaongopa kitu. Alikuwa hustler kweli jitegemee
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
hila kajala ulimsumbua sana mama lakini mzazi achoki kwa mwane pia unabidi umshukuru sana wema kwa wema wake kama jina lake
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Mama uwa hachoki kwa mtoto wake jmn, hongera kina mama wote
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Kajal Mzuri mashallah anaongea vizuri
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 Жыл бұрын
Kweli mama ni mama na mama alikopitia hataki mwanae apite hongera sana Kajala, jitahidi na mwanao.
@hildamakoka7108
@hildamakoka7108 3 жыл бұрын
You wanted to be a catholic sister- uliweka nadhiri Kwa Kinywa Chako na mungu Akasikia-so as a Christian you either go ahead and be a sister or break that nadhiri- it’s easy you just say a prayer and you will be free-spiritual warfare
@sweetnesskway9794
@sweetnesskway9794 3 жыл бұрын
Mmmh how .......is that prayer that easy
@neemakabelege6067
@neemakabelege6067 3 жыл бұрын
She is adorable ❤
@nyabaplussheila6541
@nyabaplussheila6541 3 жыл бұрын
Kajala ume fail kidogo hapo ume date na Harmonize lakini weye ni mutu good na naku elewa kwa kila kitu ata hapo unavyo shutumiwa sababu ya ku mleya mwanao you're so good...Hope everything will gonna be fine stay prying for your family especially your daughter even that She's dating a star too
@katanjeedward5040
@katanjeedward5040 3 жыл бұрын
Salama j ‘ unaweza mnooooooo☝️ila liko tatizo kwa wale unawaohoji
@damiankimaro8919
@damiankimaro8919 3 жыл бұрын
One of the best interviews in town with the best interviewer#SALAMA
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI 👇👇 kzbin.info/www/bejne/a4Wcdoloa9qJfac NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@edmundjosephchuma7360
@edmundjosephchuma7360 3 жыл бұрын
You are very creative. I like u my sister, ubarikiwe sana .
@mwanakhamisiissa3290
@mwanakhamisiissa3290 3 жыл бұрын
Kajala ulikua na hatari wazee wako wote police bado unatoroka nyumbani bila woga wewe kiboko sio mamba 😀😃
@wardadallu1820
@wardadallu1820 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@pachamondyismailthabit5175
@pachamondyismailthabit5175 3 жыл бұрын
Salam tuletee mkojani 😂
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Nice interview
@gloryappollo6471
@gloryappollo6471 3 жыл бұрын
Good interview
@chale0ify
@chale0ify 3 жыл бұрын
What I have noticed about Salama Jabir; Ana IQ kubwa (akili nyingi) Anaweza kumfanyia interview mtu tasnia na rika yoyote
@adelambeikya8363
@adelambeikya8363 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie kwa kila jambo
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kajala, I just love this interview and these two people in it...well DONE
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Mtu hachungwi Zaidi ya kujichunga mwenyewe
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
That's my mother in law Kajala i love the whole interview 😊😊
@maryamabradha8177
@maryamabradha8177 Жыл бұрын
She's a good mother
@monicakawanara1077
@monicakawanara1077 3 жыл бұрын
Fav actor, madam k
@philemonmgasha3670
@philemonmgasha3670 3 жыл бұрын
Winifrida nampenda sana
@honestyerasto
@honestyerasto 3 жыл бұрын
Napenda sana Salama akitumia neno "masikini" kama njia ya kuonyesha hisia zake.
@wanaupendotv7183
@wanaupendotv7183 3 жыл бұрын
Nimechelewa nampenda sana kajala mimi
@Academia888
@Academia888 3 жыл бұрын
Part 2 please
@2.12carrental6
@2.12carrental6 2 жыл бұрын
This story.... Nzuri sana
@fredfreddo9743
@fredfreddo9743 3 жыл бұрын
She's a great mum......t
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 3 жыл бұрын
Salam uko vizuri dada hongera sana
@linahcharles3981
@linahcharles3981 2 жыл бұрын
Kajala nampenda tu basi
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 жыл бұрын
Kajala Nakupenda unajitambua sana huna maringo ukihojiwa
@marrypatrick3276
@marrypatrick3276 3 жыл бұрын
Nampenda sana kajala
@namsamson3443
@namsamson3443 3 жыл бұрын
Hii interview nzuri sana
@joycekaiza8325
@joycekaiza8325 3 жыл бұрын
Salama mzuri bana
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
Salama na wewe acha maisha ya ajabu ajabu umri huo hujajifunza umuhimu wa kuwa ndoa khaaaaaa
@jacintabati6238
@jacintabati6238 3 жыл бұрын
Ila nampenda sana kajala
@marthangufala64
@marthangufala64 3 жыл бұрын
Aisee kumbe umesota pole sana had jela mwaka mmoja
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 3 жыл бұрын
Asante
@yustinageorge1771
@yustinageorge1771 3 жыл бұрын
Nakukubali sana
@mwigni2796
@mwigni2796 3 жыл бұрын
Kondeboy umeingia sipo hapa..
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 3 жыл бұрын
Salama yupo makini sanaa
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 3 жыл бұрын
Yaan cku hz una be have knakike,mpaka unasukaa!!!!!🤗🤗
@mobrahdaddyo6515
@mobrahdaddyo6515 3 жыл бұрын
So briliant!
@harunadaaprincesaidi5522
@harunadaaprincesaidi5522 3 жыл бұрын
SALAMA HAKUNA KAMA WEW TANZANIA I SWEAR TO GOD UNAJUA SANA WATANGAZAJI WOTE WA BONGO HAMNA KITU WEW NDO KING OF INTERVIEWS
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 жыл бұрын
Nampenda Sana kajala kwa kweli
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 жыл бұрын
big up kajala
@hassanothman5390
@hassanothman5390 3 жыл бұрын
Thanks
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI 👇👇 kzbin.info/www/bejne/a4Wcdoloa9qJfac NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 жыл бұрын
Salama mwarabu hajui kuhusu mawigi 😂😂
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI 👇👇 kzbin.info/www/bejne/a4Wcdoloa9qJfac NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 7 ай бұрын
Nayipenda sana kabisa umeongea sahihi
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 жыл бұрын
Tuwekeeni MR BLUE MBONA HUYU MTU MNASKIP AU KWA VILE SIO RAFIKI WA SALAMA
@johannahakim8470
@johannahakim8470 2 жыл бұрын
Wema anakuwaga Na ROHO nzuri tu
@priscaligaga1197
@priscaligaga1197 2 жыл бұрын
Salama Ur the best
@ghoskali2086
@ghoskali2086 3 жыл бұрын
Thanks for uploading 1st part
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI 👇👇 kzbin.info/www/bejne/a4Wcdoloa9qJfac NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@habonimanayusra8729
@habonimanayusra8729 3 жыл бұрын
Nawapenda sn
@franktimothkisimbo5354
@franktimothkisimbo5354 3 жыл бұрын
Mama zetu wana hurumaa saanaa
@ydtv9167
@ydtv9167 3 жыл бұрын
Nakubali
@oliviernsabimana455
@oliviernsabimana455 Жыл бұрын
Nakupenda sana zaidi kuwa wewe nimkatoliki
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 3 жыл бұрын
Nice kajala
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 жыл бұрын
Salama tuletee NASEEBU NYANGE tafadhari
@mariambarry1009
@mariambarry1009 3 жыл бұрын
Love u
@sabahaabebe3085
@sabahaabebe3085 3 жыл бұрын
Much luv kwako sister K 🌹❣️
@jacintabati6238
@jacintabati6238 3 жыл бұрын
Kumbe Paula kaiga hapa
@ghoskali2086
@ghoskali2086 3 жыл бұрын
Wowww!!!
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI 👇👇 kzbin.info/www/bejne/a4Wcdoloa9qJfac NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@emmyrehema9161
@emmyrehema9161 3 жыл бұрын
Salama mtu wangu Sana
@bosskazii9383
@bosskazii9383 Жыл бұрын
Ukweli
@juliethndomba1552
@juliethndomba1552 3 жыл бұрын
Tumesoma wote saint Agness Songea
@nyakimorikyanduru895
@nyakimorikyanduru895 3 жыл бұрын
Sautii iko chini sana banaaa
@rhodarobert9285
@rhodarobert9285 3 жыл бұрын
So sad... watoto wajifunze kutokuchanganya shule na Mambo mengine
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 3 жыл бұрын
Salama barua ya posa hujui
@florajulius4247
@florajulius4247 3 жыл бұрын
Haka ka story ka kajala Ni Paula wa pili
@jacintabati6238
@jacintabati6238 3 жыл бұрын
Exactly
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 жыл бұрын
Nampenda kanjala ananga dharau kabisa na Kiki ako humble sana ❤️❤️
@floraflora9490
@floraflora9490 3 жыл бұрын
Kajala interview yako itakuumbua paula amechukua cv yako
@hubertanthony7846
@hubertanthony7846 3 жыл бұрын
Kila siku namuomba sana Mungu anisaidie nielewe Kiswahili mapema ili niwe naelewa interview zako Salama
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
INAUA KWA DAKIKA 10, IFAHAMU PILIPILI HATARI ZAIDI DUNIANI 👇👇 kzbin.info/www/bejne/a4Wcdoloa9qJfac NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@dianaferdinand7546
@dianaferdinand7546 3 жыл бұрын
Hichi ulichoandika ni kingereza eh??
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 3 жыл бұрын
Nani kakuandikia hapo
@itshaluastyle
@itshaluastyle 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6vUk4uBZ9OJeZI
@marthakayombo1020
@marthakayombo1020 3 жыл бұрын
Love kajalaaa
@luchomodise
@luchomodise 3 жыл бұрын
Nikki mbishi ajae basi
@ecefahcompany6973
@ecefahcompany6973 3 жыл бұрын
Salama tunaomba uteletee wema sepetu😍
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 3 жыл бұрын
Kweri na yeye
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 3 жыл бұрын
Salam turetey na madam wema
@sporahsende9738
@sporahsende9738 Жыл бұрын
Napenda sana kajala anavoongea
@fridamark9418
@fridamark9418 3 жыл бұрын
Namesake 😘😘
@happinessmartini8567
@happinessmartini8567 3 жыл бұрын
Umekosea hp kwani kilema sio mtu ujafa ujaumbika
@josephphanueltv7846
@josephphanueltv7846 3 жыл бұрын
I wish ungefanya kpnd na wanaigeria's ghana
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 3 жыл бұрын
Kajala ulikua na usichana m'baya sana kama mtoto wako sasa hivi mungu awape nguvu sasa tuletee Fayma maana huko aliko hali maututi kasalitiwa na bikra
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
🤣
@a.856
@a.856 3 жыл бұрын
🙏
@kudraamri9253
@kudraamri9253 3 жыл бұрын
Tuletee zamaradi mketema
@amazing_grace5392
@amazing_grace5392 3 жыл бұрын
Asante Jesca kwa kutubadilishia gauni😆
@bskpstationery5388
@bskpstationery5388 3 жыл бұрын
Jaman hiyo sale ya kazini loooo!!!
@josephk90
@josephk90 3 жыл бұрын
😅😅😅
@amazing_grace5392
@amazing_grace5392 3 жыл бұрын
@@bskpstationery5388 Najua kama ni sare
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 жыл бұрын
Hahaha
@itshaluastyle
@itshaluastyle 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6vUk4uBZ9OJeZI
@marymaige6466
@marymaige6466 3 жыл бұрын
So sad
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 жыл бұрын
Jamani JESCA ANAKIJUNGU MASHALLAH
@oyay2821
@oyay2821 3 жыл бұрын
Kilima cha raha hicho
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 3 жыл бұрын
Mhhh
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 жыл бұрын
Mimi huwa naskia Raha sana NINAVYOONA HICHO KIJINGU
@lm6373
@lm6373 2 жыл бұрын
Yarabiii kumbe kajala ni mweusi ? Harmonize unajuwa ni mikorogo ?
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 35 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 52 МЛН
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор #cat #топ
0:33
Лайки Like
Рет қаралды 1,6 МЛН
He understood the assignment 💯 slide with caution x2
0:20
Carlwinz_Official
Рет қаралды 7 МЛН
Парень рассекретил измену своей жены😳
0:57
Bro is a menace☠️
0:20
GNAN EDITZ
Рет қаралды 28 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
0:49
Yoeslan
Рет қаралды 22 МЛН