Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 2

  Рет қаралды 138,718

YahStoneTown

3 жыл бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪KZbin Link bit.ly/KZbinSalamaNa
Huyu si moja ya marafiki zangu, as in si Mtu ambaye nafahamiana naye sana, ambaye nilishawahi kukaa naye muda mrefu na kupiga story, au kusafiri naye au kuwa studio wakati anafanya mambo yake au namjua mzazi wake au mtu wake wa karibu kwenye familia yake ila nawajua watu ambao wanamfahamu kwa ukaribu na watu hao ndio ambao walinipa mimi mawazo ya kutaka kumfahamu vizuri binti huyu hodari wa ki Tanzania bila ya hata ya wao kujua.
Baadhi ya Dada zangu walifahamiana naye kwenye kipindi cha msiba wa Marehemu Ruge Mutahaba, kipindi hiko kilikua cha masikitiko kwao na kwake pia. Nandy alikua na ukaribu mwingi na Ruge, alishawahi kumtembelea hospitali mara kadhaa na pia alikua na mawasiliano ya moja kwa moja na watu wa karibu wa familia kipindi kile ambacho Ruge alikua hana tena mawasiliano naye moja kwa moja. Siku ambayo Ruge alitangulia mbele za haki, muda si mrefu kabla ya hilo kutokea Nandy ananiambia alizungumza na nesi wa zamu siku hiyo na pia alimuekea simu kwa ukaribu na alimsikia akiwa anapumua. Wapi alikua wakati anapata habari hii iko kwenye maongezi yetu haya, humu pia utaelewa connection ambayo sisi binadamu tunayo na watu ambao tunawapenda na wanao tupenda.
Najua siku hazigandi kama ambavyo Lady Jd alishawahi kuimba na ndio nikawaza, hivi ushawahi kuwaza Nandy amekua kiasi gani toka msiba wa Ruge utokee? Unakumbuka baadhi ya maneno yaliosemwa juu ya career yake baada ya msiba ule? Tunafahamu kwamba alipoteza rafiki, mentor, baba na kama tochi yake. Mimi huwaza haya sana, na hilo la yeye kujidhatiti na kukaza mwendo ndio ambalo lilifanya mimi binafsi niseme you know what, it’s time.
Nandy ni MPAMBANAJI, anaupenda muziki na kama mtu mwengine yeyote mwenye jitihada basi Mungu humfungulia milango ya Kheri. Kaniambia humu kwenye maongezi yetu kwamba safari yake ya kwanza kwenda nchini Nigeria kwenye mashindano ya kuimba alimuambia Mama yake wakati yumo ndani ya ndege, alipomaliza hotuba yake fupi alizima simu na wheels up, to Lagos ambako alihakikisha anapigana mpaka fainali na kumaliza nafasi ya tatu. Si kitu kidogo kwa binti ambaye aliamua kuweka shule pembeni ili atimize ndoto yake, ndoto ambayo hata Mama yake mzazi hakua na taarifa nayo.
Siku zinakwenda, maisha yanasonga na yeye ameendelea kukimbiza ndoto yake na mpaka tunaenda mitamboni, Nandy ni mmoja wa wasanii wa kike wakubwa sana hapa nyumbani na barani Afrika na hata Ulaya na Marekani na ukitizama vizuri utajua kwamba huu ni mwanzo tu wa mazuri ambayo yatatokea katika maisha yake. Mimi na yeye tulizungumzia mahusiano hayo pamoja na kukimbiza ndoto zetu. Tuliongelea Bill Nas na kiwanda cha muziki wa Bongo Flava. Tuliongelea muziki wake na collabo ambazo amewahi kufanya. Hapo hapo nilitaka kujua pia yeye ni mtu wa aina gani na ni vitu gani vinamsukuma kutaka atake zaidi na sehemu ambayo anajiona huko mbeleni In Shaa Allah.
Yangu matumaini kama kawaida ni kwamba utajifunza mawili matatu ambayo yatakusaidia kupambana na mitihani ya maisha kwasababu tu umejifunza kutokana na sehemu wenzetu hupitia kwenye maisha yao.
Tafadhali Enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali kzbin.info/www/bejne/eabIYnt4acuhgrM
Follow:
Twitter: YahStoneTown
Instagram: YahStoneTown
Facebook: YahStoneTown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 143
@melkizedeckelsonmbise4424
@melkizedeckelsonmbise4424 3 ай бұрын
"Unadhani yeye (Ruge)ni mpenzi wa maisha yako" very emotional 😢...nahs kimoyo moyo jibu lilikua ni YES
@azzannassor6080
@azzannassor6080 Жыл бұрын
Kafunga harusi kapata na mtoto tunamuomba tena 😭❤️❤️
@blueplatform9943
@blueplatform9943 3 жыл бұрын
Nimependa swali la ushindi umemuuliza nandi “Ruge ndio mpenzi wa maisha yako?” Nimependa Tecnical ya nandi kukwepa hili swali japo wote swali hili lilifanikiwa kuwaweka emotional It was ver nice interview respect team nzima special thanks to @salama
@ommymrocky5816
@ommymrocky5816 3 жыл бұрын
Sureee
@pettystarford_tz69
@pettystarford_tz69 3 жыл бұрын
Kusema kweli i lyk every thing done kwenye hiki kipind because it makes us ambao tunandoto kubwa kujua dada na kaka zetu walifika wapi... I shed tears sometyms when listening story za watu and i laugh alot at tyms the only thing nnadiscover through this interviews ni kwamba hamna kinachoshindika mtu akiweka jitihada zake .. kwaio kama hio ilikua lengo la kipindi hiki bas umefaulu kimahudhui ... God bless u i am inspired
@alshabje7185
@alshabje7185 3 жыл бұрын
Mtoto mzuri Sana nakupenda nandy ukizumza ukicheka uko powa ❤️💋
@mercyranners8030
@mercyranners8030 Жыл бұрын
plz tunaomba another interview baada ya harusi if possible
@mamapelyekelye9799
@mamapelyekelye9799 2 жыл бұрын
Best interview kwa kweli... Salama mualike tena Nandy wakiwa na Nenga please... Penda wewe salama.. U ma best presenter ever
@celinekenedy870
@celinekenedy870 3 жыл бұрын
Itabid cku moja muosha aoshwe, episode iyo ije iwe ni JESICA NA SALAMA.😂😂
@jeanyves8934
@jeanyves8934 3 жыл бұрын
Kweli nime enjoy this interview. Moja kati ya interview nzuri za #Salama Jabir #Nandy sweet as well 🍭 ♨️♨️♨️
@tinalucas6284
@tinalucas6284 3 жыл бұрын
Nandy jmn nimempenda bure
@mageroanna5248
@mageroanna5248 3 жыл бұрын
Nakupenda nandy
@jacquelineniyo8177
@jacquelineniyo8177 3 жыл бұрын
Where is part one??
@samniza1763
@samniza1763 3 жыл бұрын
Loved it!
@najma3268
@najma3268 3 жыл бұрын
Nandy anaongea vzr mashaallah
@sebastiankulaya2432
@sebastiankulaya2432 3 жыл бұрын
Watu wajifunze kwa salama
@callmangumbo1552
@callmangumbo1552 3 жыл бұрын
Sema haya mahojino ya vitu vilivyopo na vijavyo na vilivyo pita so itabidi ,watu wajirudie hukojiwa au ndio imepita kwa kupita au matukio yakitokea itabdi watu waje wahojiwe Tena
@haskao77
@haskao77 3 жыл бұрын
Salama is the best. No mpinzani bongo nzima.
@mussakepha
@mussakepha 6 ай бұрын
Good bless you
@isdoripascal1967
@isdoripascal1967 3 жыл бұрын
She killed it💯
@doricekaizirege8153
@doricekaizirege8153 3 жыл бұрын
Best of the Best Presenter Salama🙌🏿❤️
@salashbooben2580
@salashbooben2580 3 жыл бұрын
She's not the best she's the queen but the best is ALIA MUHAMMED @thisisaaliyaah from WASAFI MEDIA
@mjsaidkeya822
@mjsaidkeya822 3 жыл бұрын
Nawapenda sana
@danielhaule155
@danielhaule155 3 жыл бұрын
Best female presenter bongo nzima till this time
@kithnathan5721
@kithnathan5721 3 жыл бұрын
salama akifa labda ndo tuona mwengine anachipukia, ila kwa sasa mhhh hakuna kama yeye... nmeona Zamaradi na kipindi chake nikadhani laaaabda atafanya jambo kubwa ila loh kaharibu zaidi, Salama ni Salama
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
No doubt, Salama is the best presenter I have ever seen in Tanzania, anajua ginsi ya kuuliza maswali ya muhimu
@salashbooben2580
@salashbooben2580 3 жыл бұрын
Apana una kosea huyo sio best kwa sas bali ni queen of presenters wa kike tanzania nzima ila best female presenter kwasas ni ALIA MUHAMMED @thisisaaliyaah kutoka WASAFI MEDIA (TV) (refresh)
@salashbooben2580
@salashbooben2580 3 жыл бұрын
@@kithnathan5721 kiukwel salama ni queen of female presenters bongo but kwasas sio best ila best ni ALIA MUHAMMED @thisisaaliyaah kutoka WASAFI MEDIA (TV) (refresh)
@salashbooben2580
@salashbooben2580 3 жыл бұрын
@@joezeno8 is not the best but she's the queen but now the best is ALIA MUHAMMED @thisisaaliyaah from WASAFI MEDIA (TV) (refresh )
@mamysiagerld1385
@mamysiagerld1385 3 жыл бұрын
Nkikumbuka nilivoamaga shule bila kumwambia mtu yeyote.siku ya kufungua shule wiki limepita nkamvizia mama kenda kazini ndio nkamwandikia barua nlikuwa Sina hata simu duh. Mama zetu wanavifua sana
@AfiSoul103
@AfiSoul103 3 жыл бұрын
Kitoto kisweety hichi Masha’allah
@kendradamas8063
@kendradamas8063 3 жыл бұрын
Part 1 pls
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 жыл бұрын
Woyooooo Nandy ❤ LEOLEO ni Nomaaaaaa 💥💥 🇧🇮🇨🇩
@aminasaid7657
@aminasaid7657 3 жыл бұрын
Part 1 hko wpi plz
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 жыл бұрын
Wow ❤️❤️❤️❤️
@stevenmashallo9756
@stevenmashallo9756 3 жыл бұрын
My dream interview salama uishi sana nikifanikiwa natamani nikalie icho kiti alipokaa nandy nikujibu
@bonusinch2572
@bonusinch2572 3 жыл бұрын
Amen kwako
@pamanyango8917
@pamanyango8917 2 жыл бұрын
Inshallah🙏🙏🙏🙏
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Nimefurahi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Nandy bhana, napenda ulivyocheka 😀😀😀
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Жыл бұрын
Nandy 😍♥️🔥🔥🔥
@gracemfangavo4824
@gracemfangavo4824 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Salama ukoje lkn et ni yang au ni yako
@lightstudioproduction
@lightstudioproduction 3 жыл бұрын
Okay
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 жыл бұрын
Nice
@youngchua697
@youngchua697 3 жыл бұрын
Sema tennnnaaaa
@priscajubilate205
@priscajubilate205 3 жыл бұрын
Nandy unakula bila kunawa
@hamyrhai9957
@hamyrhai9957 3 жыл бұрын
part 1 ipo wap? Duu
@elizabethsakina9987
@elizabethsakina9987 3 жыл бұрын
Where’s part one??
@ramlangenya6325
@ramlangenya6325 3 жыл бұрын
Part one🤷‍♀️
@munirachambuso6830
@munirachambuso6830 3 жыл бұрын
Nandy ❤️❤️❤️
@dripboy2026
@dripboy2026 3 жыл бұрын
Sasa part 1 I'll wap
@ayshunamir7801
@ayshunamir7801 3 жыл бұрын
Part 1???
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 3 жыл бұрын
💥💥💥
@jmaxyuppie3186
@jmaxyuppie3186 3 жыл бұрын
Sad i start watching part 2 instead ya part 1 😢
@icecream2684
@icecream2684 3 жыл бұрын
🥰
@juliusngowi952
@juliusngowi952 3 жыл бұрын
Part I iko wapi??
@anicyaedward5605
@anicyaedward5605 3 жыл бұрын
Party one mm nimeimaliza ndo nikaanza hii mbona
@kulsweetmatanda4593
@kulsweetmatanda4593 3 жыл бұрын
part one iko wapi
@rehemacharles6159
@rehemacharles6159 3 жыл бұрын
I like Nandy
@evaristmrope
@evaristmrope 3 жыл бұрын
So nice interview Salama na Nandy
@silvanusremmy9575
@silvanusremmy9575 Жыл бұрын
Sasa ndio mpaka useme kuwa WAZUNGU walikupokea.?
@untolddraculla
@untolddraculla 3 жыл бұрын
Part ONEEEEEEEEEEEE??????
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 жыл бұрын
Eeee
@imanuelmwaipopo3520
@imanuelmwaipopo3520 3 жыл бұрын
Salama namba 1 iko wapi sasa
@alshabje7185
@alshabje7185 3 жыл бұрын
Salama uko powa ❤️
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Inaelekea nandy umemzoea sana salama
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Wamezoeana
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
@@khadijahali4837 ndioo mana wanaongea kirafiki zaid
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
@@naamohamed9964 😁😁😂😂
@fatumasuleymanashurambinda6880
@fatumasuleymanashurambinda6880 3 жыл бұрын
Jamani ndugu zangu wa mwa nza tanzania kilmahewa shule ya nyamanoro anay weza kunyambiya kuhusu mwalim bunango yeye nimwanamke ana fundisha hisabati na sayans wa shule ya nyamanoro c naweza kumpata je? Yeye yuko hai au alisha kufa naombeni mnisaydiye👃🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@lizabethrich4952
@lizabethrich4952 3 жыл бұрын
aka kaujinga chenu cha kueka prt 2 kabla ya 1 mtu atakatwa mshaara apo
@gracemalashi8358
@gracemalashi8358 3 жыл бұрын
😘😘😘😘😘
@jumayussuf4481
@jumayussuf4481 3 жыл бұрын
Nandy anatumia left hand
@josephmnishi5295
@josephmnishi5295 3 жыл бұрын
Mbona part one haionekani??
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 жыл бұрын
Mbona ipo mimi niliiona
@christinemangaza5758
@christinemangaza5758 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙌🏽🙌🏽🙌🏽❤️
@davidsonvevo910ksubscriber5
@davidsonvevo910ksubscriber5 3 жыл бұрын
hamna part 1
@christinahillary3417
@christinahillary3417 3 жыл бұрын
Ipo itafute
@mrs2918
@mrs2918 3 жыл бұрын
kumbe anasomesha mdogo wake na kuhudumia familia ndio sababu hawataki aoleweeee dah familia ni nuksi wakati mwingine
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 3 жыл бұрын
We acha tu
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
😍🥰🥰🥰🥰
@makayabanzi2929
@makayabanzi2929 3 жыл бұрын
Nandy kumbe ni left hand
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 жыл бұрын
Dah ameshindwa kujibu billnas asijisikiyi vibaya☹️☹️☹️
@saumrashid8086
@saumrashid8086 3 жыл бұрын
Umeona eeeh ajibu tuu mwenzake afrah jmn
@annapriscus6689
@annapriscus6689 3 жыл бұрын
Why part 2 while part one wasn't uploaded 🤔
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
Party two ipo Angalia vizuri
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 жыл бұрын
@@shangwekamando2599 kauliza part 1 sio 2 ila hata one ipo
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 жыл бұрын
@@shangwekamando2599 kauliza part 1 sio 2 ila hata one ipo
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
MAKALA MAALUM - Chanzo na sababu za mtu kukosa hamu ya kufanya mapenzi👇👇 www.mrbunduki.com/2021/02/matatizo-ya-kukosa-hamu-ya-kufanya_13.html?m=1
@anniemmacy6909
@anniemmacy6909 3 жыл бұрын
I love her jmn
@kithnathan5721
@kithnathan5721 3 жыл бұрын
tunasubiri part one.... hahahahah
@PesaMadafu
@PesaMadafu 3 жыл бұрын
😂😂😂😂❤️
@mwanaidsalehe1109
@mwanaidsalehe1109 3 жыл бұрын
Nandy ana akili sana.
@marianajoachim9411
@marianajoachim9411 3 жыл бұрын
Mbna part 1 sion ni mimi tu au?
@hemedisalim5522
@hemedisalim5522 3 жыл бұрын
Ata mm nimejaribu kuisachi ila wap
@halimasulaimani848
@halimasulaimani848 3 жыл бұрын
Ipo mbona
@agathathobias8690
@agathathobias8690 3 жыл бұрын
Ilichelewa lkn Sasa ipo
@happinesskaali4750
@happinesskaali4750 3 жыл бұрын
Nandy😘😘
@annakbunga8377
@annakbunga8377 2 жыл бұрын
Nahapo mshukuru Sana Ruge ungekuwa pekeyako siungedata ww 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sadanassor4992
@sadanassor4992 3 жыл бұрын
Da salama part one ipo wapi ?
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 3 жыл бұрын
Mbona ipo mie nimeiangalia nimeanza one nimemalizia hii
@sadanassor4992
@sadanassor4992 3 жыл бұрын
@@teddyndungurusabnu4792 ilianza kutoka no 2 tulivyo lalamika da salama ndo akaweka no 1
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 3 жыл бұрын
Okay
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Nice inteview
@lazamwa1
@lazamwa1 3 жыл бұрын
Demu muongo, story yake haileti maana, alishaambiwa na kaka yake ruge kuwa ruge ameshafariki, simu gani tena alipiga, wakasali alafu akafariki?? n
@bashirujafar2510
@bashirujafar2510 2 жыл бұрын
♥️♥️♥️
@josephmaganga7351
@josephmaganga7351 3 жыл бұрын
We nandy humsikilize diamond
@sekhammwambusa1653
@sekhammwambusa1653 3 жыл бұрын
Hasikilizi Wasafi hata mshindani wake zuchu hamsikilizi
@farahanjuma1714
@farahanjuma1714 3 жыл бұрын
Huoni hayamtumzima kuliamkono washoto au ndowafuasi washetani
@amaliajoseph2493
@amaliajoseph2493 3 жыл бұрын
Jamn ina maan hujui kama kuna left hand na hawawez kutumia right loooooh
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 жыл бұрын
@@amaliajoseph2493 uongo mbona boss wangu anatumia shoto lkn hali kwa mkono wa kushoto yy hata mwanae
@halimahalima1186
@halimahalima1186 3 жыл бұрын
Hata mm najua hivyo wanatumia kushoto kila kitu lkn sio kwenye kula
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 жыл бұрын
Kwaninakula nyie Kama Mavi ni yake
@estershayo476
@estershayo476 3 жыл бұрын
Yan mnahukumu hata vitu visivyo na maana.
@fatumaseleman5700
@fatumaseleman5700 3 жыл бұрын
Iki kipindi uwa kinarushwa saa ngapi
@paskaziamathias7423
@paskaziamathias7423 3 жыл бұрын
Saa 3:00 ucku kila alhamic
@fatumaseleman5700
@fatumaseleman5700 3 жыл бұрын
@@paskaziamathias7423 asante
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 3 жыл бұрын
Linakula kw kushoto cjui chooni vipi haram alaiki
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
Atakuwa left handed, inatokea
@gracedaudi4703
@gracedaudi4703 3 жыл бұрын
Kwan hamjawaiona w2 wanao2mia mashoto
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 103 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 63 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 2,8 МЛН
Роналду совсем другой! 😱
0:45
КиноСклад
Рет қаралды 2,4 МЛН
DO YOU HAVE PARENTS LIKE THIS?
0:19
dednahype
Рет қаралды 32 МЛН
Три с половиной в дюймах, ууу..😂
0:56
Ты же девочка 2 👧🏻🤣😋 #comedy
0:26
Fast Family LIFE
Рет қаралды 2 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
0:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 29 МЛН
МИША ПЛИТОЧНИК
0:19
KINO KAIF
Рет қаралды 10 МЛН