Naomba kujua , Hii ni parokia gani na kwaya gani ? Live performance zao nimezipenda sana next levels next levels hizi - halafu wanapiga sana hizi old schools za wakongwe , BIG UP SANA ! mpo wap nikipata chance niwatembelee....halafu huyo Jerry haachi noti anashika zote na za ziada mixer ma octave ! Hongereni sana ! Nimewapenda sauti hazina Mbambamba ! Nime notice pia huyo bonge saut ya nne atakuwa ni mwalimu sio kwa kuwa balance huko vijana hahahaha ! Kazi nzuri kazi nzuri mno
@michaelnyalusi6269 Жыл бұрын
Marian Faith Healing Centre
@gekopatric8356 Жыл бұрын
Hatari sana
@mkohoexperience73222 жыл бұрын
Nimependa
@sebastianmutuku31382 жыл бұрын
Very nice
@frankkomba9397 Жыл бұрын
Safi sanaa
@wenceslausmwacha4473 Жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@imanimwakinga49342 жыл бұрын
Jamani mmenikumbusha nyumbani safi sana 🥰🥰
@gonzalob77742 жыл бұрын
Master Jerry,🙌
@Heavenlychoralmelodies. Жыл бұрын
Much love from kenya
@michaelnyalusi6269 Жыл бұрын
Thanks you, love you Back
@joackimochenge62702 жыл бұрын
Nice one.
@octavianlordvickmuniss71272 жыл бұрын
Hapo ni kanisan na ibada inaendelea ???
@DavisWangodi2 жыл бұрын
Amazing for sure
@michaelnyalusi62692 жыл бұрын
Shukrani sana
@isaiahechesa47952 жыл бұрын
Baba yetu please
@michaelnyalusi62692 жыл бұрын
I don't have the video yet
@nonkuria9559 Жыл бұрын
Please Baba yetu
@GeorgeSimbeye2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@gabrieljesus10182 жыл бұрын
Hii kwaya inaitwa??
@novatusdonald74062 жыл бұрын
Asante
@michaelnyalusi62692 жыл бұрын
Asante pia kaka
@mmrhyoutubechannel39332 жыл бұрын
*Hi dear, Your video is so Nice, but your video is not properly performed on youtube, and also, have found some problems with your channel. If you want I can help you with how to grow your channel to monetization and provide you with some tips.*
@michaelnyalusi62692 жыл бұрын
Ok help me
@michaelnyalusi62692 жыл бұрын
0745464151
@mmrhyoutubechannel39332 жыл бұрын
@@michaelnyalusi6269 can you conversation to email