Maashallah mahadhi ya Salim Ally yanagusa kwenye moyo wangu. Siwezi kuikosa sauti yake. Nasheed ni nzuri na inanitoa machozi
@kashmirsamir336711 ай бұрын
Wallahi😔😔🙏tutafakari Sana jamani hongereni Sana Allah awazidishiyeni nasi tupate kufaidika inshaallah❤🎉
@shabikiwasalimally163711 ай бұрын
Lahani ya nasheed hii itaishi kwenye nyoyo zetu kwa miaka mingi. Kwa kweli sijui niseme nini maana unanikosha I'm your fans forever. I love you Salim Ally for the sake of Allah
@Zayn-g9t11 ай бұрын
Mashaallah
@maryammas11 ай бұрын
maa shaa Allah 🎉maa shaa Allah
@salumjumasaid126611 ай бұрын
Mashalallah mashalllah
@SauzarAlly-w8i11 ай бұрын
Very nice ❤
@mamzain202111 ай бұрын
Mabingwa mmekutana hapa na kazi imetulia👌👌👌
@MaryamHassan-t3t11 ай бұрын
Amazing 👏 thanks 😊 God bless all of you 😊
@sharifathamid820511 ай бұрын
Hakika ukumbusho huwafaa walioamini yani inanipeleka mbali. Mahadhi ya ajaabu
@mamzain202111 ай бұрын
Mashallah mashallah vipenz mmefanya kazi katika hali ya ubora sana❤👏👏👏Allah awalipeni kheri nyote sheikh Adil Lbajoun na Salim Ally🤲🤲🤲😊
@shabikiwasalimally163711 ай бұрын
Maashallah maaashallah ila Salim Ally anatufanya tujione tupo a Uarabuni haswa kama vile tuko makkah
@mamzain202111 ай бұрын
@@shabikiwasalimally1637mashallah mashallah hakika kabisa mungu amlindie kipaji chake azidi kutuburdisha