1)Nitabaki na Wewe 2)Baki nyumbani 3)Nakupenda 4)Adam na Hawa 5)Halali Nimekuoa 6)Mpaka Peponi 7)Vumilia Mke wangu 8)Kisa Nini 9)Nisamehe Sana Nasheed zote za Mapenzi za Salim Ally Romantic Nasheeds of Salim Ally.
Пікірлер: 37
@Malimbwimtoto5 ай бұрын
Mashaallah 💞 sn anasheed sf sn
@shabikiwasalimally1637 Жыл бұрын
Maaaasha Allah maaasha Allah Salim Ally kazi zote nzuri zimezidiana ubora ila zote zipo juu
Masha Allah Mungu ametukuka. Amekuumba na amekupa kipaji ambacho unakitumia katika njia ya kheir. Nasheed zote zimetugusa nyoyoni mwetu. Mungu akuweke wew ni zawadi kwetu. Tunakupenda sana
@BarakahSalum Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 maa shaa Allah kazi Nzuri bingwa Allah akuweke in shaa Allah uzidi kutuletea vitu vzr zaid
@asmasalum922 Жыл бұрын
Aaaaaamin aaaaamiin yarabb🥰 ✨💯
@Zayn-g9t Жыл бұрын
Superb....Salim ally 💯💖♥️♥️ your nasheeds always never gets old ✨ too much feelings 🥰✨ mashallah mashallah
💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Ni Zaidi ya upendo❤️❤️ Mashaallah , na kl moja inamshinda mwezake kwa uzuri na mvuto na kuburudisha moyo Mashaallah ❤️❤️❤️❤️Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah Mashaallah, ALBAM imetulia na INAMVUTO ndani yake Mashaallah Masha Allah❤️❤️❤️💯 hongera yako Salim ally ❤️💯 Allah sw akulipe kl lenye kheer hapa duniani na akhera inshaallah kheer ✨❤️ na akufanyie wepesi ili uzidi kutuburudisha na Nasheed nzuri inshaallah kheer ✨💯
Maaashallah Salim Ally unagusa nyoyo zetu. Ninajihisi nipo katika dunia tofauti nikiskiliza nasheed zako. Upendo unaoueleza unagusa hisia zetu.🥰🥰🥰
@asmasalum922 Жыл бұрын
💯💯 Kbs Mashaallah Mashaallah Mashaallah 💖💯
@Zayn-g9t Жыл бұрын
Fact💯💯
@mamzain2021 Жыл бұрын
Kwakweli ni tiba na kiliwazo kwa wanandoa hili album
@asmasalum922 Жыл бұрын
Kbs yaani, Mashaallah Mashaallah ✨💯
@Zayn-g9t Жыл бұрын
Kwa wanandoa lkn ieleweke ♥️😂
@mamzain2021 Жыл бұрын
@@Zayn-g9t yeah👍🥰
@faidhamohd8779 Жыл бұрын
Mashallah kaka kwa kipaji ulicho jaaliwa Allah akulinde na mahasid wasiokutakia mema kwakweli nasheed zote ni nzuri sana mashallah Allah akulipe kheri kwa hilo
@ummusulaish5586 Жыл бұрын
Nawezaje kuzipata hizi Nasheed ili ziwe kwenye simu yangu?
@BMSChasasa Жыл бұрын
Mashallh mashaallh mashallh mashaallh mashallh 💕💞💕 💕 Mashaallh mashaallh mashallh Salim ally allh akujaze Kila lenye kheri na akupe ujira ulio mkubwa katk maisha yko ❤❤❤🎉🎉