SAM ONE - MSOTO ( Official Music Video )

  Рет қаралды 230,127

SAM ONNE

SAM ONNE

Күн бұрын

Пікірлер: 736
@MweusiAlly
@MweusiAlly 2 ай бұрын
Dogo uko vizur sitamina kakitia sumu mpaka basi naomba like zangu mimi ndo wakwanza
@nasrikileo
@nasrikileo 2 ай бұрын
Songa kawa Inspire
@YohanaNgano
@YohanaNgano 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Davixdaix
@Davixdaix 2 ай бұрын
Kali
@modekaibasso1273
@modekaibasso1273 2 ай бұрын
Ushamba huo kwaiy kua wa kwanza ndo nn yan
@InnocentmkangaMkanga
@InnocentmkangaMkanga 2 ай бұрын
Big up dogo
@ErickEzekiel-lj8mu
@ErickEzekiel-lj8mu 2 ай бұрын
Sam one unajua sana mdogo wetu napend sana kazi zako utafika mbali unyam mwingi 🎧🎤🙌🔥
@LABO-b8o
@LABO-b8o 2 ай бұрын
Dogo nakukubali sana❤️🙌👏👏kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KennyDolphin
@KennyDolphin 2 ай бұрын
Wanangu dogo anajua tumpe maua yake❤
@Uncle-F-254
@Uncle-F-254 Ай бұрын
Dogo anaweza. I wish uchukue beat za p funk majani. Wewe umerudisha mziki wa bongo wa hip hop from kenya nakukubali sana
@mikedon254
@mikedon254 2 ай бұрын
Yo my g let's go Sasa 💯😎🇰🇪💪🙏
@Driverrapper
@Driverrapper 2 ай бұрын
Dogo toa Ngoma inayohusu ....watu kutekwa ...🔥🔥🔥Utaliokoa Taifa
@Nurdinimwakisale
@Nurdinimwakisale 2 ай бұрын
😂😂😂❤❤
@Nurdinimwakisale
@Nurdinimwakisale 2 ай бұрын
😂😂😂❤❤
@Driverrapper
@Driverrapper 2 ай бұрын
Afanye chapu maaana sasahv wanatubeba hadharani ndugu yangu walitaka kupita nae kibaha ...pale ...mchana kweupe peee na wa2 wanaona
@Driverrapper
@Driverrapper 2 ай бұрын
Changamka some...najua ukiamua One week Tyr chuma hewani
@Driverrapper
@Driverrapper 2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@EmmanuelMutunga-q2w
@EmmanuelMutunga-q2w Ай бұрын
Dogo tunakubali... much love from Kenya 🇰🇪
@RonackAluvala
@RonackAluvala 2 ай бұрын
Unyama kijana representative from Kenya
@JohnRaperJohnRaper
@JohnRaperJohnRaper 2 ай бұрын
Amazing ❤❤❤ Dogoo Nakubali 🎉🎉🎉🎉 sanaa 2 From ✨✨ Coast 🎉🎉🎉
@visasatv5015
@visasatv5015 Ай бұрын
From Kenya🇰🇪 Salute kwa dogo, bonge la Talent kazaliwa🔥
@LangxSheby
@LangxSheby 2 ай бұрын
Dogo unajua kinoma ila achakutumia vina vyamwisho tu nakuomba PIGA vina vyakati na mwisho utakua Bora zaidi yaapo🔥
@SimbaRemmy-ow4nb
@SimbaRemmy-ow4nb 2 ай бұрын
🎉🎉🎉chukuwa mapema janja
@EricNdayikengurukiye-m3i
@EricNdayikengurukiye-m3i 2 ай бұрын
Hongera kijana kwa kipaji chako🔥🔥🔥🔥 umeniongezea nguvu za kwendelea kusapoti hip hop
@simpleritiuspius
@simpleritiuspius Ай бұрын
Stamina afanye kitu na huyu mdgo wake basi❤❤❤
@Yah_Joeboe
@Yah_Joeboe 2 ай бұрын
Penzi jipya raha sana ona kaka @mbosso anavyotungiwa manyimbo hayo😊❤
@Chida
@Chida 2 ай бұрын
Nakubali sana Dogo uko poa ile kinooooma. Just power it
@WahidShambi
@WahidShambi 2 ай бұрын
huyu dogo stamina mtupu 🎉🎉
@emany667
@emany667 2 ай бұрын
Yani ile support watanzania wanapeanaga acha tuu,ndo mana 🇰🇪 hatuez wafikia tz kimziki
@rapperjay2455
@rapperjay2455 2 ай бұрын
Tutabakia nyuama 2
@mickychuku6444
@mickychuku6444 2 ай бұрын
we umesema ukwel😂
@TembeaNaBosaya
@TembeaNaBosaya 2 ай бұрын
Umbwa sisi 😂
@BàçksonSabore
@BàçksonSabore Ай бұрын
Walai kenya tupo nyuma sana
@Uncle-F-254
@Uncle-F-254 Ай бұрын
@@TembeaNaBosaya pumbavu zetu🤣🤣
@kingmbiliofficial
@kingmbiliofficial 2 ай бұрын
kaZi nzuri brother 🔥🔥🚨
@tobiasalois8045
@tobiasalois8045 2 ай бұрын
Respect Dogo Mwamba🔥🔥👍🏿
@Icon-hu7xg
@Icon-hu7xg 2 ай бұрын
Next stamina 🎉🎉🎉
@BenjaminKiza-d4w
@BenjaminKiza-d4w 2 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉 naku kubali sana dogo
@BeniadAjuna
@BeniadAjuna 2 ай бұрын
Huyu dogo ukute stamina alimzaa huko nje ya ndoa sasa amepona aje kistaa kaka mkubwa umeona huyu mwanao
@alfanboblice9150
@alfanboblice9150 2 ай бұрын
Mm ni mwana hip hop dam nikikupitisha atakae kupinga bas ana chuk na ww
@mwakshtv
@mwakshtv 2 ай бұрын
Punch line kama za STAMINA dogo apewe maua yake🎉🎉
@fathiafathia6324
@fathiafathia6324 2 ай бұрын
Big up kaza mwenetu
@lengoyamangoindakeni893
@lengoyamangoindakeni893 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 first comment 😊😊moto wa maana❤❤❤❤
@johnnyaundi5126
@johnnyaundi5126 Ай бұрын
Daaaah.... diamond apee huyu dogo collabo manzeee 🔥🎉
@FideleShukuru-l2h
@FideleShukuru-l2h 2 ай бұрын
Dogo anaweza 🛌🙏❤️👌🥳
@idrisamapesa2732
@idrisamapesa2732 Ай бұрын
Navyomkubal stamina Kwa 100% huyu dogo namkubal Kwa 200% 🎉🎉🎉
@dismasbarasa9618
@dismasbarasa9618 Ай бұрын
From Nairobi Kenya...kazi nzuri dogo
@BEKATOWN-dg7xm
@BEKATOWN-dg7xm Ай бұрын
Unapita bila kulike comment hii acha ROHO mbaya dogo Sam one ni hatar sana🔥
@Akili820
@Akili820 2 ай бұрын
Upo vizuri sana dogo,🇨🇩🇨🇩☝️
@chidi_don
@chidi_don 2 ай бұрын
Kali sana dogo unaweza sana 🔥🙌💯✊🏾
@faquiinusso
@faquiinusso 2 ай бұрын
Jikaje dogo mpaka maji waite uma tuka mozambique🇲🇿
@makilimsimu2451
@makilimsimu2451 2 ай бұрын
Stamina huyu kabisaaa
@mistahkeytvkenya4211
@mistahkeytvkenya4211 2 ай бұрын
Wooooooow young professor jay he's born again
@PallazoMc
@PallazoMc Ай бұрын
@@mistahkeytvkenya4211 usinfananishe prof. Jay na vitu vya ujinga
@SuaboMussa
@SuaboMussa 2 ай бұрын
U siache endele na kuna nyimbo ninao da we dogo noma
@mishakeboyzofficial4737
@mishakeboyzofficial4737 2 ай бұрын
Blessings kido Uganda 🇺🇬
@MwasalabaMwinyi
@MwasalabaMwinyi 2 ай бұрын
Huyu dogo stamina kamfunza au stamini huyu ni mtoto wake atakama ni wa nje ya ndoa
@hashimmac4032
@hashimmac4032 2 ай бұрын
Dogo una kitu utafika mbali kazaaa🔥🔥
@PembaWimbi-w2c
@PembaWimbi-w2c Ай бұрын
Ngoma ipo baridaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@MariamedardiSalafini
@MariamedardiSalafini 2 ай бұрын
Mungu akubariki mwenzangu umeshafanikiwa
@HusseinSadiki-w9n
@HusseinSadiki-w9n Ай бұрын
nataka kolabo ya huyu dogo na founder tz
@breezylovetz2916
@breezylovetz2916 Ай бұрын
Wanaosema producer hajaitendea haki beat imefichwa na dogo like hapa
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino Ай бұрын
Kweli dogo ana sumu Kali sana ya stamina
@realyraytham
@realyraytham Ай бұрын
🦁🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻unyama sana kaka
@claudepaluku1842
@claudepaluku1842 2 ай бұрын
Jouer à king of offre nouvelle parfaite music 💥💥💥💥🇨🇩
@bdreams2793
@bdreams2793 2 ай бұрын
Big up brother mdogo nakukubali from durban
@chandeemanuel6303
@chandeemanuel6303 2 ай бұрын
Dogo mkali anajua 🎉🎉🎉🎉❤
@dadychaps7527
@dadychaps7527 2 ай бұрын
Nomaaaa 🔥🔥🔥
@Menedja
@Menedja 2 ай бұрын
Sam Mwenye Freestyle zake 🎉🎉🎉 Go Ahead Young Rapper❤
@Superstars_Plascon
@Superstars_Plascon 2 ай бұрын
Wewe ni 🔥 kuliko yule anae jita dogo flani...... hiv😂 Tumpe like zake SAM anajuwa Sana
@ramaboystar4803
@ramaboystar4803 2 ай бұрын
Nikipaji sijajiforce ndo naflow bila force 🎉🎉😅😅
@hanstermatola-um5lk
@hanstermatola-um5lk Ай бұрын
Sam one mtu atali dogo anajua sana
@PetroMafuru
@PetroMafuru 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Akusimamie vyema katika shughuli zako za kila siku mdogo wangu hakika utafika mbali sana
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 2 ай бұрын
Shorwebwenzi naomba umbariki dogo na collabo Moja aende mjini kama roll model wake
@VivaSmart344
@VivaSmart344 2 ай бұрын
Hongera sana dogo. Ila chunga hao mashangazi wa Dar wasikubake.
@sirkapese2428
@sirkapese2428 2 ай бұрын
Michano kuntu kama stamina 💥
@revocatusdamasen8950
@revocatusdamasen8950 2 ай бұрын
Huyu dogo nimemsikiliza mara tatu zaidi
@Rapper-pz7sc
@Rapper-pz7sc 2 ай бұрын
Oooyaaaaaaaarespect Sana brother STAMINAshirwebwe. Aniunundani nikidkiza NAKUSKIA WEEWETUUUU. oya shorwe uschoke kusapirt kila kijaana anaekuja mbeleakao BROW. TEEEAAM #STAAMUINA MIKONOJUUUUUUU🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌💪💪💪💪 #DOGO UNAJUAAAAA🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Davixdaix
@Davixdaix 2 ай бұрын
Sanaa
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 ай бұрын
Noma sana dogo langu 🔥🔥🔥
@RahimNandumbi
@RahimNandumbi Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥kaka unaniagan gan nass mbona unatuchanganya iv..🔥🔥🔥👍🙏
@SwahiliInfo
@SwahiliInfo 2 ай бұрын
Kweli huchekeshi hucheki na kima! Kuuuubabake!! umetisha sana dogo sam
@collinslagat8881
@collinslagat8881 Ай бұрын
Ndugu Jirani....🇰🇪🔥🔥🔥🔥💯✔️
@izaboymtykwl
@izaboymtykwl 2 ай бұрын
We mkali ❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@meshack2559
@meshack2559 2 ай бұрын
Moro handZ-up, umewakilisha mitaa kijana unajua
@2pacbreg5
@2pacbreg5 Ай бұрын
Kali kaka🎉
@mohammedcutstv700
@mohammedcutstv700 2 ай бұрын
Tunaita HIP HOP 👊🏿
@katongaboyroy395
@katongaboyroy395 Ай бұрын
Safi sanaaaaaaaarrr kaza dogo
@charlesmakau3824
@charlesmakau3824 2 ай бұрын
Huyu ndogo mkali kwa rap na kuflow na beat, hila wimbo unakosa dhamira.... Naamini mtunzi atalufanyia kazi
@teabacknomoking9396
@teabacknomoking9396 Ай бұрын
Mwanangu nakubali miondoko na voko yako kaza Buti tayari umefika uwanjani God bless you
@JaredObinya-z3y
@JaredObinya-z3y 2 ай бұрын
❤ ana jua sna
@Davixdaix
@Davixdaix 2 ай бұрын
Sanaa
@ValeGessy-f5g
@ValeGessy-f5g 2 ай бұрын
Kinara tuko nyuma yako ,,,jikaze dogo ipo siku Allah atafungua
@moseskiiru1610
@moseskiiru1610 Ай бұрын
Great 👌 champ...Stamina prodigy
@didasmashwilili
@didasmashwilili 2 ай бұрын
Duuuh dogo wamotoooo 🔥🔥🔥 knoumaaa
@kamauskitske9821
@kamauskitske9821 2 ай бұрын
Dogo nyimbo noma bro🤗😂😂👌💯💯👏🏆
@EliaKimaro-h6k
@EliaKimaro-h6k 2 ай бұрын
Stamina mtupu good dogo nakuona mbali sanaaaa
@Davixdaix
@Davixdaix 2 ай бұрын
Kali bro
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 2 ай бұрын
Dogo yupo vzr big up kwake❤❤❤
@jacksonmunyao522
@jacksonmunyao522 2 ай бұрын
Dongo yuko vinzuri❤❤❤
@JamesKalory
@JamesKalory 2 ай бұрын
stamina amesubili nn abebe mtoto wake Mistral ya vina ❤
@DaglasMakewa-r5o
@DaglasMakewa-r5o Ай бұрын
Kaza butii selaaa...nikiwa kenya 🇰🇪 nasalute dogo big up good vybz ❤❤❤
@RonzeehRonnieeh
@RonzeehRonnieeh 2 ай бұрын
From kenya this is a masterpiece 🎉 hapewe maua 💯
@godfreymwakipesile2051
@godfreymwakipesile2051 Ай бұрын
Mi mtu wa Gospels ila nimekupigia laluti sam
@emmanueldonath4399
@emmanueldonath4399 2 ай бұрын
Dogo anajua sana mpak anakela, aise katisha sana 💪💯
@ravike1189
@ravike1189 2 ай бұрын
Vina kwa Vina ✌️
@AmazingPabloOfficial
@AmazingPabloOfficial 2 ай бұрын
Nani ame Iona kesho kama Mimi ,kule founder tz uku Sam One moto Kwa moto🔥🔥🔥kesho ina ngaa jamani
@AlAslanTV1
@AlAslanTV1 2 ай бұрын
keep on 🎉🎉🎉
@Tizo15-c7k
@Tizo15-c7k Ай бұрын
Yoo guys ila hawa watu watengwe wana dunia ya peke yao kwenye melody na mashairi noma san 🔥🔥🔥
@NicholusKahuha
@NicholusKahuha Ай бұрын
Kenyan 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 twakukubali..good vibes
@StevenBarose
@StevenBarose Ай бұрын
Nakukubali sana mdg wangu pambana 🎉🎉🎉🎉
@MariecloudineDusabe
@MariecloudineDusabe 2 ай бұрын
Kabisa dogo kaza muendo❤
@Florisvevotz
@Florisvevotz 2 ай бұрын
Dogo uko vizuri kabisa
@RobertRochb-g1x
@RobertRochb-g1x 7 күн бұрын
Brother we nimkali kabisa courage vraiment 🙏🙏
@HamenyaMpompo
@HamenyaMpompo 2 ай бұрын
Daaah nakubali
@IsayaUyaya
@IsayaUyaya Ай бұрын
Dogo nimekwelewa sana🥰🥰🥰
@ibbu-tz
@ibbu-tz 2 ай бұрын
Dogo yupo vizuri sana, jqpo kuwa anajisifia sana mwenyewe. Menejimenti impe mada mpya za kijamii tuone anapita vipi. Ila Dogo big up 🔥🔥
@RamadhanKhaiya-d7i
@RamadhanKhaiya-d7i Ай бұрын
Ako sawa ata kama anajisifia mwenyewe....iko wazi
@NdabagumijeMerci
@NdabagumijeMerci 2 ай бұрын
Nakubali saana some one utakua kama stamina
@3malis
@3malis 2 ай бұрын
Mistari ya stamina hii 😂😂😂
SAM ONNE JUKWAA MOJA NA STAMINA
9:18
SAM ONNE
Рет қаралды 85 М.
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 475 М.
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
SAM ONNE - OWEEH ( Visualizer )
2:49
SAM ONNE
Рет қаралды 296 М.
DAVY BOY -_- nakupenda _official video
3:13
Emanueli wilison
Рет қаралды 9 М.
Godfrey Mteule Likizo Official Music Video 4K
4:32
Official Godfrey Mteule
Рет қаралды 458 М.
Trur Story
3:50
SAM ONNE - Topic
Рет қаралды 994
MADAM ATAKA KUVUA NGUO KISA SURPRISE BAND
5:12
BongoStarSearch
Рет қаралды 487 М.
Founder TZ - Nitatokaje (Official Music Video )
3:13
Founder TZ
Рет қаралды 4,9 МЛН
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН