Toa Maoni Yako na Ushauli Hapa Whatsp No 0733 999 999 Musa Kitale
@user_95838vicky2 ай бұрын
Kaka kazi nzuri lakn unafupisha sana jaman,vimezidi kuwa vipande vidgo vidgo uongeza mda kidgo
@nasrinahirwete81112 ай бұрын
Brother mimi kama mdogo tangia tupo mwananyamala fanya fasta kuiweka ewani
@Bakarisalehe-m1l2 ай бұрын
Nakubali kazi zako sijawahi kukupnga
@youngmoney96012 ай бұрын
Ikosawa ila tunacho taka sisi uimalize hìii
@Being_hammy2 ай бұрын
Ya motoooo mnooooo🔥🔥🔥🔥🔥
@SalomeKasisi2 ай бұрын
Uyu mzeeee anaigiza sanaaa mzee kamaaa♥️♥️♥️♥️♥️ laik zako baba
@RobertRahab2 ай бұрын
Yuko vizuri,zamani tukimuita mzee Chilo
@ashirafabraham43302 ай бұрын
Sio Mzee Chilo huyo nawe😂😂😂@@RobertRahab
@RobertRahab2 ай бұрын
@@ashirafabraham4330 watoto wa 2000 hamuwezi kumjua
@muniracheusi995511 күн бұрын
@@ashirafabraham4330kapuyanga😅
@UwamwizaHusnaАй бұрын
Me nampenda huyu mzee natamani angelikua babu yngu😂😂 hongera sna🎉🎉
@KhadijaJuma-uo7xm15 күн бұрын
😂😂,
@bahatimpilly53022 ай бұрын
Mzee Kama Ramadhan Kama...... Mzee wangu anajua sana kucheza scene zake, Muongezee posho ❤
@harmorayclassicbeibe77422 ай бұрын
Kitale utaniua mm jameni ntakupa zawadi gani kwa hii dunia ujue umuhimu wako kwa bongo movie dunia mzima??? Mungu akubariki na team yako muishi kutuburudisha jameni nawaombea maisha marefu ...nasubiri mtawala na mamake beka sasa
@jafarsalum68912 ай бұрын
Waleku waleku 😂😂😂😂😂😂 mzee nae kaua
@DidaAlly-iz1it2 ай бұрын
Movie iko vizuri sana rakini hamutoi kwa wakati na vipande vifupi mnoo na tunaitaji kufaamu hutokaji wake wa hii movie yenu Akika mko vizuri jamani tunawapenda mnajuwa kuigiza na najifunza vitu kupitia hii movie AIhamduIiIIah kwa sasa Akuna rafiki wa kweri jamani 😢😢😢 mpk naogopa huwiiii
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Kabisa mtihani kwa kweli😢
@GilbertSambaya9 күн бұрын
Me ndo sinag rsfik nakaak pekeang km mchawii😢😢😢😢😅😅😅😅🎉🎉😂😂😂❤❤
Salute mzee kama namsubiri nimuone mtawala Mwinyi Mkuu Afande kila
@SalamhRashidy2 ай бұрын
Da semen umejua mpk umejua tena hongera kpenz❤❤❤❤
@mungaroseif-yn6sb2 ай бұрын
Mzee ame-panic..eti waleku aleku..🤣🤣🔥🔥..lakini moto kama pasi..hongera..
@AshuraMnubi-qe4vy2 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti 😅😅
@allyomar93282 ай бұрын
😂
@mungaroseif-yn6sb2 ай бұрын
@@AshuraMnubi-qe4vy amepatikana off-guard hapa..🤣🤣...tezea Mzee Kama wewe..kazi wanayo
@Bintiali-kg3xe2 ай бұрын
Banaaaaeeeeee😂😂😂😂
@Bintiali-kg3xe2 ай бұрын
Banaaaaeeeeee😂😂😂😂
@robathalbertonamunda97622 ай бұрын
MANENO YA KUAMBIWA...Wala aingi apa hiiii moto sana BABU yake aishiii....fire sana💪💪
@DzamebeautyWinnie2 ай бұрын
ni kweli tuwe makini na watu wanao tuzunguka Yani mtu unapitia magumu kumbe rafiki Yako ndie chanzo eeeh mwenyezi mungu naomba unieke mbali na marafiki wasio penda maendeleo yangu movie nzuri yenye mafunzo mazuri kama umeipenda kama mm gonga like tukisubiri EP 4❤❤
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Kabisa yn na ubaya huwezi kumjuwa mbaya wako yupi maana wanakuwa wasiri balaa mtihani kwa kweli wabaya wote mungu atawalipa😢
@MaulidUbaya-d7v2 ай бұрын
Samahani Asante kwa upendo wangu Asante kwa muda wangu kwa maneno yangu,,,, asante kwa ubaya wako🔥👌🏾❤️🙏🏽
@AyeshaAyesha-tb9sf2 ай бұрын
Yaani huyu kama babu yangu mzee milonge Allah amrehem move inafundisha sana
@AboubakarOmary-g3x2 ай бұрын
Huyo babu yko mzee milonge ni yule mzee milonge aliekua anaishi gongo la mboto?
@SalehMakwaya-v8y2 ай бұрын
Kitale kitale kitale we mpuzi hatari sanaaaa, bongo hii wakuacheee Bonge la Story sijawai ona aiseew
@Mwanajumahassan-tg3zg2 ай бұрын
Mzee kama ramadhan kama hongera❤❤❤❤❤❤❤❤yani yuwaigiza kwa makini much lov babuuu mungu akupe umri mrefuuu
@StarBwoiyz2 ай бұрын
Mzee kamaaa ramadhani kamaaaa🎉🎉🎉🎉🎉samahani mzee kwa kukuita kimaa
@MohamedMichael-f4j2 ай бұрын
Hiii movie n fire 🔥kama unaikubalii Kama mm usipite bila kulike
@SalehDaud-d4f2 ай бұрын
Dah nimecheka kwa sauti,,, leo nyie wakina zaii mmeatimba leooo
@MasauShidaАй бұрын
Kazi nzuri sana Mr. Kitale🇹🇿
@omaryrashidy3372 ай бұрын
Kama umefurahi kama Mimi kumuona babu yake Aisha chapa like Moja lakibabe😂😂😂😂
@leahzawadi51042 ай бұрын
Nmefrahi kwa kwel
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Namkubali sana huyu mzee❤🎉
@babykasaim219326 күн бұрын
Babu aisha kwa afya yangu 😅
@kombom3352 ай бұрын
@kitaleMkudesimba you are much talented my Brother umeumiza kichwa sana apa
@willyobiike5500Ай бұрын
OYAAA JAMANI NIWAAMBIE UKWELI, NTAKAPOMUONA HUYU MZEE KARMA MI NAKIMBIA HAHAHA NAKIMBIA MAANA ANATSHAAAA NI MERLIN😅😅😅😅
@habibaliuti3361Ай бұрын
Mzee khama sijui kama kiboko🔥🔥kama mzee Msisiri😂😂
@mohdhussein97492 ай бұрын
Mzeee noma huyu dah ananogesha mchezo mazeee😂😂😂
@bonifacegervas79362 ай бұрын
Mzee ramadhani kama🙌🙌
@RamsideMousah2 ай бұрын
Mzee kammah Ramadan kammah nakukubali sana Babu yangu haujawah kufeli
@Being_hammy2 ай бұрын
🔥🔥🔥 tunataka ya Ep 4 Chap chap Asee 😂😂😂
@MadingaMadinga-1402 ай бұрын
Amni usiamin wazee n hazin kubwa San kweny hili taifa,,, brother kitale tuna kushukuru San kwa kututunzia Hawa wazee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@willyobiike5500Ай бұрын
MBONA MZEE KARMA HAFIKIIII? MI NAOGOPAAA WAKUUUU😢😢😢
@ezekielmeshack83872 ай бұрын
Aiseeee hii ngomaa kali sana aiseeee.. huyu babu atariii sana
@Khadijamiraji-i2bАй бұрын
Umetisha mzee wangu unajua unanifulahisha😂 😊😊😊
@Ommywhity78 күн бұрын
Hahahahha uyu mganga mbona kaitikia salam ki huni huni hahahahhahahahahahaa😂😂😂 kazini kuna kazi
@Ommywhity78 күн бұрын
Babu yake aisha sio mchezo yuko vizuri balaaa 😂❤❤❤❤ ndevu zake zarangi ya kivyake
@حليمهالبلوشي-ز5ث2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂 ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Hongera sana kitale hii movie kali sana ina mafunzo makubwa mno❤🎉
@GraceChansa-r4w2 ай бұрын
The way I was waiting for this movie 😊 Thanks 😊
@NacirMendez-j5c2 ай бұрын
Ukitulia huwa unafanya kazi nzuri safi sanaaa kaka japo uliooteaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤ sound truck .mi inanikoshaaaaaa
@mwajabushaban68252 ай бұрын
Na wao wamekaa hapo na Babu Yao hawaondoki wamebak Babu babuu 🤣🤣🤣 babua zote msicheze na mzee kama ww 😂😂😂
@MoussaFahadi2 ай бұрын
Mzee sanadi pumzika mahali pema👏 tulikuchukia kwa kazi zako now ndo tunauona umhimu wa kazi zako😪
@VegasiAgusta2 ай бұрын
Babu aisha bola uvyokuja umxaidie aisha mzee ramadhani unamaono baraa❤❤❤
@patriciachangawa17542 ай бұрын
Mzee kama babangu Mungu akupe umri mrefu🤲🙏💞💞💞
@petervicent-k8y2 ай бұрын
kaka kwenye hii move nazan umeua kuliko move zak ambazo nishawah kuon honger sana kaka 👏👏👏👏👏
@scholamwasi2 ай бұрын
Nilkuwaga najua move yako ya uteja tu bro 👍 uko vizuri kama chado masta napenda sana move zenu❤❤❤❤
@IbrahimMkwama-m3n2 ай бұрын
Kaz nzur xna mwanangu!! Kitale mwamba🎉🎉🎉
@baraka-x2b2 ай бұрын
Mzee kma ni kiboko wa kucheza kichaw❤❤❤
@beautyibrahim84282 ай бұрын
Tena uchawi wake hatumii nguvu wala mabavu kama chendu anarogoa kistaarabu😂😂
@sniperislam45472 ай бұрын
😂😂😂@@beautyibrahim8428
@RobertRahab2 ай бұрын
@@beautyibrahim8428😂😂😂😂
@hashimuharuna91452 ай бұрын
Huyu mzee kama shughuli yake sio ndogo😂 kuanzia kwenye maneno ya kuambiwa, binadamu kote anakichafua na ndevu zake😂🙌
@nasrachimamy2 ай бұрын
San me nampenda mno😅
@OmanOman-hj7tv2 ай бұрын
Hatari anaweza zaidi ya sana😂😂😂😂😂😂
@ZakariaAhmed-i3o2 ай бұрын
Sana sana anajua huyu mzee
@hamisimatano-hh1uw2 ай бұрын
Mzee wakishua uyo bwana
@njamambwana37552 ай бұрын
Anaitwa Mzee Khama
@LukaiyaMuhamedi2 ай бұрын
Move atl kitale chukua mauwa yk ❤❤❤❤❤❤❤❤
@YusuphRama-ux6kg26 күн бұрын
namkubali sana mzee kama❤
@francehans3526Ай бұрын
Sema kitale mzee unajua sana Respect
@Shadia5446 күн бұрын
Nyieee mbona kali sana jamaniii 😢😢😢 uzazi huu jamaniii 😢😢
@shafiichusi18972 ай бұрын
ndiyoo mjomba ..🙌🙌🙌... mjomba ni Mama hii kazi ya moto...
@alinelumona88362 ай бұрын
Mzee wetu na kukubali sana baba mzee Khama Ramadhani unatisha baba upewe mahuwa ❤yako yaani Baba wewe ni tegemezi KBs ingekua hata ni kweli ulio nayo kwenye mahisha yako haki watu wasingekua na mahovu mengi maana wewe ni muhukweli Mungu akupe ujasiri aho
@mligoalex54782 ай бұрын
Mzee we2 wa moto sana 🙌🙌🙌🙌
@derrickmzungu47272 ай бұрын
Mzee kamaa Mzee yuko vizuri sana 😂😂🤣😂
@Velma-b3m2 ай бұрын
Tamu sana🎉🎉 ila muda ongeza alfu unakawia sana
@mwakiretililian35302 ай бұрын
Movie nzuri mno...ila muimalize mpaka mwisho...fan from Kenya
@OliversOliver2 ай бұрын
Move mzuri sana,,Hongeren
@SalmaMpwanda-xs2vj16 күн бұрын
Nampenda saana uyu babu ❤❤
@omarmkali36102 ай бұрын
Shkamoo mzee Kama 🤝 uko vzuri mzee wangu
@FatumaZuberi-x3v2 ай бұрын
Msiwe mnaichelewesha kaz nzuri mno
@ZenaAlly-ib1xo2 ай бұрын
Jamani move nzuri shida mnachelewa 😢
@shabanmwinyi81802 ай бұрын
Kaka kazi nzur sanaaa❤❤❤❤❤
@SaumuFadhili2 ай бұрын
Ma shall ah.....mzee...ramadhani.....seris....ya....kwako
@benardmukani9022 ай бұрын
Mzee kama nakukubali sana🎉🎉🇰🇪
@MwanaidiKishara-z3hАй бұрын
Move nzur sana ❤❤
@MaykoJoshuaАй бұрын
Mvi nzuli sana kiukwer nimeipenda
@CarolineImbwaga20 күн бұрын
So nice 🎉🎉🎉
@kelvinjoseph45452 ай бұрын
Mzee kama apewe mauwa yake ❤❤❤
@jphatactorАй бұрын
Brother kazi nzuri Sana kitale
@peterkija26032 ай бұрын
Umetisha sana Mwanangu Mkude simba mitini shagalaboti 😂😂
@JazminAdamzАй бұрын
Ramadhan kama oyeeee💪💪💪
@Sur-v9s2 ай бұрын
Kama ramadhan kama namkubar sana uyu mzee hana kazi mbovu kwenye sekta hii😂😂😂😂😂😂
@robsondalink62062 ай бұрын
Alooooh kitale baba have nothing to say, ila ongeza mda na usichelewe kutoa kazi❤❤❤
@HuruslaАй бұрын
Sema kupitwa 😂😂😂 waa kitale huna mfano 😅😅😅
@SHANIHAULE-v7g2 ай бұрын
Da semeni nimeona kazi yako na nimependa kaz ya umbea upo vzr😂😂,
@MonicaAgapitiBruno2 ай бұрын
Naomba kuuliza ingawa nyumbani kwetu miaka Mingi aijafika lkn hii sio mzumbe kijiji cha tangeni kweli samahani naomba nijue mbona kama kwetu ivi 🥰🥰🥰🥰🥰
@Being_hammy2 ай бұрын
Ndo kwenyewe
@MonicaAgapitiBruno2 ай бұрын
@Being_hammy naona mazingira ya home Kabisa hii hospital niliwai fika mara moja tu ni ya masister Aya karibuni kwetu mfike adi milioni juu Kabisa 🥰🥰🥰🥰😅nimependa Sana nimeona kwetu 😅😅
@SarahCelicius-su9sg2 ай бұрын
Tangeni mng'ongoni dear hapo ni mitaa ya kwetu kabisa
@Bad_Og262 ай бұрын
jaman kitale noma kama kwa kujua kuandika story. Bongo yote hakuna anae kufikia . Tunashukuru sana kwa kazi zako ,ur
@mmnn35792 ай бұрын
Jaman mbon inatesa sana kweli 🎉🎉🎉🎉🎉nimpend babu yake ya aisha ❤❤❤manshallah🎉
@MsalabaniReko2 ай бұрын
Uyu ndo mzee kama ramadhani kama namkubali kinoma noma
@RachelJulius-fh9nl2 ай бұрын
Namkubali sana Mzee kama ramadhan kama🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@ChjksHave2 ай бұрын
Yani kitare akitoa move ni Bala jaman ❤❤❤
@ShariphaSaid2 ай бұрын
Hongereni wote mko vzuri mmeuvaa uhusika vzuri sana
Mzee kaona sura ya kazi imeingia amekosea hadi kuitikia salamu😂😂😂😂
@FatmaAlly-w7pАй бұрын
Me nampenda huyu mzee Noma sn
@MatendoMenganyi-xq8lx2 ай бұрын
Jamaniiii, fupi sanaaaa ,dah ,we kitale hongera sn, ni noma sana, chezea mkude simba weye ,hatariiiiiii, kazi iendelee
@spartachize1222 ай бұрын
Yaani hyu mzee kwenye hizi scene hua anapita nazo kama mgambo kabisa..... He's so talented❤❤
@mohdsaad27362 ай бұрын
❤❤❤😊 kitale ukiikata hiii movie heee😂😂😂 si semi
@ZuhuraAbdallah-u9o2 ай бұрын
Kazi nzuri from oman❤
@MonieJoseph-u5uАй бұрын
Kama mzee kamba yuko humu ndani hakiharibiki kitu,show kali😂
@sikumbili2 ай бұрын
hii series imebeba uhalisia mkubwa sana, actors wamevaa uhusika sana, kuna muda story inapokua nzuri ikapata actors wazuri, kila kitu kinakua viral, haya location naifananisha na Mkuyuni - Morogoro, unaenda kuzifunika series zote kwa unyama huu big up Kitale
@AshaRamadhanissa2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu kitale nakupenda na umeweza hii movie Yallab akakupe afya njema na ubunifu zaid na zaid kwenye kazi zako Mzee kama mungu akupe maisha marefu pia umetisha tuzo yake apewe
@ashazuber65482 ай бұрын
Wallah ukipata babu kama huyu anaejua kila kinacho endelea yaan ni hatareee❤❤❤❤yaan Ana karima babu Aysha kiboko🎉🎉🎉🎉