Рет қаралды 987
SAMIA KUTUMIA MAKONDA KUMFANYIA SIASA ARUSHA ITAKULA KWAKE
Kupe Hawezi kutuma kupe mwenzake anyonye Damu ya ng'ombe kwa niaba yake.
Matokeo kupe atakaenenepa ni yule aliye kwenye ngozi ya ng'ombe akinyonya Damu.
Wanasema siasa hazina marafiki wala maadui wa kudumu Bali maslahi ndiyo ya kudumu.
Upepo wa siasa ukimgeuka SAMIA aonekane ni mwanasiasa mvivu asiyetaka kuonekana field akiuza sera, Makonda na wenzake wataanza kutetea maslahi Yao Kisiasa kuliko ya SAMIA.
Hapo ndipo SAMIA atajua hajui siasa.