❤mbarikiwe sana natamani mrekod wimbo wawa geras,maishayetu ni bure ..nyie mikwaya kubw ya viwango ndani ya viunga vya jiji la Arusha..mna nyimbo nyingi sana kali za viwango tunoo wajua tunatambua mnaweza hata hudumakambi hata au mkutano wa zaid ya wiki hata tano bila kurudia wimbo mmoja ...mungu azidi kuwatumia kwa kazi yake ....
@kwamrombosdachoir110920 күн бұрын
Amen
@tonnymshana86117 күн бұрын
Kazi safiiiiii mnakujaaa vzr❤❤🎉
@IsayaSamweli-v4g20 күн бұрын
Mungu aedeleee kuwapigania nasi tunawaombea mwelendelee kutumika katika Bwana KWA MOROMBO SDA CHURCH CHOIR BWANA AWABARIKI SANA
@kwamrombosdachoir110920 күн бұрын
Amen
@cliveoanda880517 күн бұрын
Mbarikiwe sana. Wimbo mtamu sana
@EmmanuelMbwambo-w2f20 күн бұрын
Amina
@approniarichard492518 күн бұрын
Oh haleluyaa
@kwamrombosdachoir110920 күн бұрын
Amen
@kalebumashamba555621 күн бұрын
Mbarikiwe sana kwaya ya Kwa mrombu Kwa utumishi huu uliotukuka