Napenda sana ,song 🎻🌹 zako , MUNGU wangu amenihurumia sana ,sana be blessed my sister 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ,, songa mbele na huduma Yako ,,mungu akutangulie Kila kuchao ,,
@mildyon2 жыл бұрын
Utukufu kwake Mungu kwa kutumia dada Sarah. Nabarikiwa kila saa, amina
@samerbeainy16972 жыл бұрын
Napenda sana ...hakika Yesu ni mwema 🙏 🙌 👏
@nurukidakule94682 жыл бұрын
Barikiwa dadaangu mzuri, hakika Mungu baba ni mwema sana.