Mungu akutunze umejitoa sana, unaupendo wa ajabu sana,naumeongea point
@AnitaForever-w2w4 сағат бұрын
Pongez sana kwa serikali pamoja na yote tume weza sana na mungu awabariki watanzania wote kwa umoja mugu aendeleee kututia nguvu imani yetu watu waokolewe zaidi kuliko miili 🙏 🙏 🙏
@E_smail4 сағат бұрын
hongera mwakinyo kwa kujali maisha ya watanzania wenzetu mungu akubariki na mungu awafanyie wepesi majeruhi wetu na awapumzishe kwa amani ndugu zetu waliotangulia🤲.
@dork87495 сағат бұрын
Big up kaka Mungu akupe nguvu zaidi
@VentureMbilima3 сағат бұрын
Dah! Brother mwakinyo mungu akuzidishie...
@posentemmanuel13514 сағат бұрын
Mwakinyo mungu akubariki kwa moyo wako wa utu katika jamii. Hakika mungu akushindie katika mapambano yako ya maisha na ngumi.
@user-to6up4hg2w5 сағат бұрын
Masha Allah you're the best champion Hassan other Mohammed Ali ❤❤❤ may Allah protect you brother ❤❤❤
@AishaNgoyi-vi2ku4 сағат бұрын
Kaka mwankinyo ubarikuwe ww na kizaz chako milele ❤❤❤
@kwayaviwawaparokiayabashne92813 сағат бұрын
Umesema kweli kabisa Ndugu Yangu MUNGU Akubariki Sana
@sospetershijah56195 сағат бұрын
Mungu akubariki na akuzidishie ulipopungukiwa Bro.
@inocensiafrancis67734 сағат бұрын
Barikiwa sana jaman. Ahsante sana kwa kujitoa kwako kuokoa ndugu zetu
@KevinGendo5 сағат бұрын
Mungu akuzidishie brother Mwakinyo Mfano mzuri .
@Abdurywarid5 сағат бұрын
Mwakinyo mm nijiran yako nakujua vzr sana tokea nyumbn ulikuwa unajitolea sana
@MussaIsandeko5 сағат бұрын
Kwa hali hii Gaza watakua wamepitia kipind kigum Sana kama Hilo ni jengo moja linatuliza hiv je yalo polomoshwa Kwa mabom na hakuna msaada mungu tusaidie katika kipind kigum tunacho pitia
@zuleikhakhamis33034 сағат бұрын
Tena kila siku asubuhi, mchana na ucku maafa tuu na mabomu na hawana waokozii hapa kabisa jengo linawatoa mavi mabichi Allah atupe hatma njema tumkumbuke Allah
@bettymwigune81504 сағат бұрын
Na mimi nimewawaza sana watu wa Gaza nikawahurumia mnoooo.
@EmilyTembo-pg6tg4 сағат бұрын
Ni mtihani mkubwa 😢
@nareensaleh49574 сағат бұрын
Yani gazza nizaidi yahiyo yani mm nalia kila siku nikiangalia video za gaza
@tiffanymo94535 сағат бұрын
💪🏽💪🏽💪🏽❤❤❤Much love to Our forces,champion Mwakinyo and some citizens for showing love by use their energy for the fight of rescue our people.Bless you 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🙏🙏
@HemedWanja4 сағат бұрын
Mashallah Muhammad Ali mwakinyo ❤❤
@AnnaJacobo-f4b3 сағат бұрын
Mungu akubariki sana
@DeoUrio-k6f5 сағат бұрын
Mwakinyo unaongea point sana , big up sio unaenda kupeleka chakula wakat watu wapo kwenye kifusi wanaitaji kichomolewa , kinachoitajika na nguvu na akili ya kuwaokoa waliopo kwenye kifusi
@MussaRashidy-eu8pe2 сағат бұрын
Dah we so bondia 2 Bali ni shujaa wa taifa mungu akubalik p1 na wote munao pambania ndug zetu Allah awabalik
@MwitaPetro-e9z5 сағат бұрын
@saf sana mwakinyo mungu akupe maisha malefu
@evansogutu41673 сағат бұрын
Mungu with capital M
@tiffanymo94535 сағат бұрын
Best champion💪🏽,bless you bro!🙏🙏🙏
@mwananganzi4 сағат бұрын
Big up mwamba Hassan Mungu akuweke
@MsNajma-j7e4 сағат бұрын
Mungu hawasimamie watoke sarama in Sha Allah kweri Allah kaleem
@pili47582 сағат бұрын
Ubarikiwe kakaangu
@YustoChiteto5 сағат бұрын
poleni sana wapendwa Mungu atawasaidia me naamini hivyo
@mohamedihashim74205 сағат бұрын
Mungu akubarik Brother kwa moyo wako na Awaweke mahala pema walio tangulia
@subiradavise39635 сағат бұрын
Mungu akubariki ume fanya kwa kiasi chako ndo upendo huo ili janga ni letu sote 🙏🙏🙏
@pili47582 сағат бұрын
Poleni sana muendelee na mioyo hiyo hiyo
@ConfusedMicrophone-rp5ku4 сағат бұрын
Umeongea point sana broo
@HamisiAbdallah-vu7fz5 сағат бұрын
safi Sana mwakinyo mwenyezi MUNGU akujalie
@Jurbeg5 сағат бұрын
🙏🙏🙏☹️
@NeyChazy-u3l5 сағат бұрын
Mwenyez mungu awatangulie mungu awatie nguvu
@NeemaMateleka5 сағат бұрын
Mungu akuzingile kaka na akutangulie sana
@ixheryusuph17484 сағат бұрын
ALLAH ALLAH...Nakosa cha kusema wallah nakosa kabisa jaman jinsi gani napata maumivu yasioelezeka tumbo la uzazi linauma
@mercychoya5 сағат бұрын
You're the best 🎉
@anithawidambe75435 сағат бұрын
MUNGU BABA TUNAKUOMBA UTUSAMEHE SANA SISI NI WAKOSEFU MBELE YAKO TUNAOMBA UWATOE HAO WALIOFUKIWA KWENYE JENGO KARIAKOO. WATOE BABA WAKIWA HAI ASANTE
@TechStock775 сағат бұрын
Mwakinyo✊️✊️💪💪💪🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@Kim19onlinetv5 сағат бұрын
Bondia mwenye matendo ya kiimani asante the champion
@PatrickDeogratius-i3j5 сағат бұрын
ALLAH BLESSING YOU ❤
@Bakariaman-qe4bs4 сағат бұрын
Moyo wa mawingu❤️
@mejumaabaraza39895 сағат бұрын
Masha Allah tabaraqallah ❤️🎉
@ConfusedMicrophone-rp5ku4 сағат бұрын
Saf sana mwakinyo mungu akubalik xana
@AivaniChitemaСағат бұрын
Wasanii wako studio kutunga nyimbo daah brother uko vzr nazan utabalkiwa pakubwa sana
@sinaninabahani96304 сағат бұрын
dah ALLAH Awajalie wote waliobakia watoke salama amiin. dah inauma sana
@rambostalon28885 сағат бұрын
Mwakinyo mungu akubaliki sana
@nuhujuma25305 сағат бұрын
Tumuombe sana mungu
@amisindondi45496 сағат бұрын
Big up bondia wangu
@joycefundikira36324 сағат бұрын
Watoke Mungu asaidie Kwa nguvu zake
@dork87495 сағат бұрын
Maji pia ni muhimu sana
@victormbinda10185 сағат бұрын
Hivi waandish tupo serious kweli? Jaman achen waendelee kusaidia badala ya kuhangaika na kutaka maswali yassiyo ya msingi.
@mataypanga52625 сағат бұрын
Tatizo kuna watu wanatafuta sifa badala ya kusaidia.
@LukooAnthony5 сағат бұрын
Safi sana kaka una akili kubwa sana na moyo wa pekee sana utafika mbali sana kaka nakuapia
@SalimRamsei-ok9el5 сағат бұрын
Ishallah
@MagehemaGodfrey5 сағат бұрын
Maneno yaliyojaa hekima na busara asante mwakinyo
@rajabukipara30086 сағат бұрын
MWENYEZ MUNGU Akuongoze CHAMPEEEZ!❤
@fistonnibigira1674 сағат бұрын
💯❤️❤️❤️👌
@AgnessAnthony-l1t5 сағат бұрын
Barikiweni mnoo Kwa kujitoaa
@gerjacob63764 сағат бұрын
Inauma. Ils Kwanini wasianze kuondoa kifusi hicho, kwani wakitoa hicho kifusi Wanaweza kuokoa watu weng na kwa urahisi zaidi.. Kwan hakiwrzi kuchukua zaidi ya siku 1
@emmanuelmarwa-r5n3 сағат бұрын
Kaka Hilo jengo halijamaliza kuanguka, ukitoa kifusi litaanguka lote. Ndio maana wanatoboa Kwa akili la sivyo hata wanaowaokoa wanaweza kufa pia wasipotumia akili. Naumia kwakua kazi Bado ni ngumu, zege ya ghorofa si masihara!
@mujunibikombo7645 сағат бұрын
Safi sanaaa umeonyesha mfano
@Salsabiil126 сағат бұрын
Upo sahihi kk
@anithawidambe75435 сағат бұрын
MWAKINYO UBARIKIWE SANA NA WOTE WALIOJITOA
@MathewNathan-yb2bz5 сағат бұрын
Safi sana mwakinyo
@FadhilEmanuel5 сағат бұрын
❤❤❤❤
@childrenincrisisfoundation5624 сағат бұрын
MBWA WA KUNUSA WA POLISI WATUMIKE ZAIDI KUTAMBUA MAENEO WALIPO WATU !
@KaramaHaji4 сағат бұрын
Hii ni point kubwa sana umeongea jambo la msingi
@emmyandrew86705 сағат бұрын
Safiii mwakinyo
@lodrickhubert90935 сағат бұрын
Ana utu na ubinadamu
@hellenchiristian33683 сағат бұрын
Jaman mnazidi kuhoj wakat mngewatoa jaman nataman ningekuwa na uwezo nikawatoe wote naskiaa maumivu makal sana😢
@ikulunimahalipatakatifu76425 сағат бұрын
UMOJA NI NGUVU , HESHIMA KWA KILA MTU ALIJITOA KUPAMABANIA NDUGU ZETU
@easternyerembe72716 сағат бұрын
Mwakinyo una lafudhi nzuri
@AllyMaya-yj3xd5 сағат бұрын
Mpe utamu
@HusseinNkuna4 сағат бұрын
Mungekua munawahoji watu baada ya kumaliza kuokoa watu mana watu hawajakula siku yatatu leo😢
@JumaMabrouck3 сағат бұрын
Samahn naomb kuliza ndug zangun watanzania. Je raia wakawaida nao pia tunaruhusiwa kushirik katika uokoz( namaanisha kufnya kazi yakutoa vifusi)
@judithkirenga99774 сағат бұрын
Wandishi punguzeni kuwahoji watu sana,watu wanakufa 😢😢😢
@maruumaru-c2s5 сағат бұрын
Twahaa simuon
@SalumMusa-f5l4 сағат бұрын
Kwan nchi Ina mastaa wangap mpaka umtaje twaha au kisa mwakinyo katokea vp kama angekuja twaha ungemuulizia mwakinyo ili ni janga la taifa Kila mtu alipambanie sio lazima mastaa tu ata mm na ww ikibid tushiliki kwa uwezo wetu ndomaana mwakinyo kasema inaitajika nguvu nasio jina au ustaa wa mtu
@bedsonjohn20515 сағат бұрын
Huyu jamaa yuko true sana
@ukhutfatumah11545 сағат бұрын
Mashallah wewe. Ni mfano wa kuigwa bondia hassan mwakinyo ubarikiwe sana
@rxanalluck50773 сағат бұрын
Harmonize hapa ndio mahali pakujipatia kiki yuko wap
@rukiaiddyyahaya95063 сағат бұрын
Mda unaotumia kurekodi mngefanya kazi
@Luckreadyog3 сағат бұрын
Uyu sasa jo mtanzania halisi
@ASMAFTAAH5 сағат бұрын
HONGERA SAAN MWAKINYO ALLAH AWAJALIE
@GodfreyMagembe-yw9or5 сағат бұрын
Mbona Mandonga sijamuona????
@SaidMahenge-c7v5 сағат бұрын
Mung hakup moy uwo uwo kak
@alfoncejohn21043 сағат бұрын
Waandishi wa Bongo Kila KITU ni kama Comedy.
@hidayasaid26894 сағат бұрын
Viwanda vya nondo tanzania vifungiwe chuma hazina ubora mutatumalza
Mwakinyo kwasasa muda huu tarehe hii me nishabiki yako milele kuna namna umenigusa kwenye maneno yako
@MtumwaKhamos5 сағат бұрын
Allaatakulip
@Zaynabahmed-ey4zu6 сағат бұрын
Nyie waandishi so muacheni apambane sasa mwamtoa kwenye mada
@farhannahkulishwaburekunam53605 сағат бұрын
Kwel8 mwak8nyo wambie ho mastar wanakuja kupiga picha tu kujionyesha wamefika wajitoe kubomoo ukut au kujitole kuondosha k8fusi kwa gari k8ende kutupwa kungine ili kupata nafasi ya kuokoa watu
@AllyMaya-yj3xd5 сағат бұрын
KUNA WATU WNAASEMA WAPO SLOW
@abuumuhammad71335 сағат бұрын
Manara huyo kaja na camera man wake yaani alichoshtuka tu manara hajaja na yule mwanamke wake ila amekuja kujionesha
@zackmwarabu72515 сағат бұрын
Safi sana bondia
@JeremiahChalle5 сағат бұрын
HAKIKA MWAKINYO NI MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII YETU
@naimasbuguza23955 сағат бұрын
DR JANABI AULIZWE VILE VIFAA ALIVYOTUMIA KUKATIA UKUTA WA MOCHWARI NA JENGO LA PEMBEN YA MOCHWARI VINAPATIKANA WAPI, VIFAA VIPP SHARP SANNAH VINAUWEZO KWAKUKATA SQUARE SHAPES
@rogatusmeleki16604 сағат бұрын
Vifaa nchii hii navyo changamoto Si vya kutoshaaa
@naimasbuguza23955 сағат бұрын
DR JANABI AULIZWE VILE VIFAA ALIVYOTUMIA KUKATIA UKUTA WA MOCHWARI NA JENGO LA PEMBEN YA MOCHWARI VINAPATIKANA WAPI, VIFAA VIPP SHARP SANNAH VINAUWEZO KWAKUKATA SQUARE