Saves!Mganga mpumbavu is down.mtume mkali alimunyorosha pamoja na huyo babu Tale wake.Mama Raf is...

  Рет қаралды 7,877

Thee Raf Show

Thee Raf Show

Күн бұрын

Пікірлер: 190
@JanetKenyatta
@JanetKenyatta Ай бұрын
Uyu mtoi nikama ako na siri ndani yake bt kuna cku atakuja kufungua roho na awambie bt mupereke polepole me naye naona kuna kitu pia mama rahaf anajua bt anaficha😢😢😢
@SaidaAwour
@SaidaAwour Ай бұрын
Kabisaa
@aishadaba7045
@aishadaba7045 Ай бұрын
I second you
@MwangalaEverlyneNelima
@MwangalaEverlyneNelima Ай бұрын
Peleka mtoi kwa apostle Joshua afanyiwe total deliverance
@AyubuSaidi-b5s
@AyubuSaidi-b5s Ай бұрын
Leo mmenifurahisha hamkutaka kusikiliza maneno ya mganga very good hamtakiwi kumsiliza
@lucykatuku3306
@lucykatuku3306 Ай бұрын
Shindwe katika jina la yesu Amina. Damu ya yesu inaokoa maisha milele na milele Amina.
@joy123-mago
@joy123-mago Ай бұрын
Mapepo hayana nguvu kwa jina la yesi
@marionnanjala1806
@marionnanjala1806 Ай бұрын
Mungu amepigania huyu mtoto sana akaokolewa before afikishe, Mungu ni mwema
@rahema907
@rahema907 Ай бұрын
Huyu mtoi ako na mambo mengi sana ndani yake
@Marry-u8m
@Marry-u8m Ай бұрын
Glory to God mama Sara una FAA mfunge nakuoba sana kwajili ya familie yako 🙏🙏🙏🙏🙏hivi vita mtashida vita
@MitrovidahWanyoike
@MitrovidahWanyoike Ай бұрын
Amen watajua mungu wetu si wakuzimu kama wao😂😂😂
@evelinemose9959
@evelinemose9959 Ай бұрын
Hao waganga hata wakichapwa na wire yenye iko moto hawaezi sikia haki wachawi na waganga mungu anawaona na mlaaniwe kabisaa
@lenismokeira5056
@lenismokeira5056 Ай бұрын
Abby ameyapitia kweli Mungu akulinde abby
@DaianaMakangai
@DaianaMakangai Ай бұрын
😢😢😢 raf muache stori mingi endeleeni na safari pliz 😢😢😢
@marionnanjala1806
@marionnanjala1806 Ай бұрын
Dada Sarah shukuru mungu sana raff na Eric
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 Ай бұрын
Raf omba ww uombi kabsaa.....tumeni fire
@davidkariuki7951
@davidkariuki7951 Ай бұрын
Mganga this time round, Yesu ni Bwana you have to admit 🥺🥺🥺🥺🥺🥺
@salimsandi-p7p
@salimsandi-p7p Ай бұрын
Let's surport these teams Dangulo,Raff, beka aki they fighting through faith and teaching us a lot
@johnndunguMbugua
@johnndunguMbugua Ай бұрын
Glory be to God for sending mtume to rescue
@joycekianira4881
@joycekianira4881 Ай бұрын
Ngata ngata okwaa ezemwananooooo namiliki visima ....ama kweli siku ya nyani ikifike miti yote uteleza mnganga mjinga mrefu mpumbavu chuma chako kiimotoni this round utatii😅😅😅😅😅
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti Ай бұрын
Kweli 😂😂😂
@SaidaAwour
@SaidaAwour Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂naroga vichina
@joycekianira4881
@joycekianira4881 Ай бұрын
@@SaidaAwour Haraka haraka haina baraka...pole pole ndio mwendo na pia ngoja ngoja huumiza matumbo ezemwananooooo ngata ngata kwaa 😅😅😅ezete ezete eloi eloi ushaelewa eeh 😅😅😅😅mnganga ananichokesha akili kucram hizi vitu zote mungu niongoze akh🙏🙏🙌🤲🤲
@OscarKibet-iw8xo
@OscarKibet-iw8xo Ай бұрын
Kumbe umegrammar
@SaidaAwour
@SaidaAwour Ай бұрын
@@joycekianira4881 😆😆😆
@FELLYGATHONI
@FELLYGATHONI Ай бұрын
Raff munafaa mtoe dhabibu ya kumshukuru mtume..amefanya kazi ya mungu kwa roho safi hatakama mmemsumbua hakuloose hope na nyinyi..
@HappynessJose
@HappynessJose Ай бұрын
Mnganga anaambia madam Sarah pua kubwa ameonanje kila Mtu anakasolo 😅😅mungu awabariki sana sana awaongezee nguvu zaidi na zaidi nawaombea sana
@MuthamaMacelina
@MuthamaMacelina Ай бұрын
RAF omba na uwe na Imani jinsi ambavyo Mtume amekwabia
@akothchristine4752
@akothchristine4752 Ай бұрын
Mama Eric unajua sana nguvu za YESU KRISTO okimwona mgaga achilia moto osiwe na hofu mukemeee
@margitm7207
@margitm7207 Ай бұрын
Hakuna kama Mungu jinalake nikubwa hakuna lingine
@beatrizbibiana130
@beatrizbibiana130 Ай бұрын
Mganga kishipa ashindwe pepo may almighty God protect this girl
@ruthmwaura238
@ruthmwaura238 Ай бұрын
Ezemwaaa,is down na vile shifuna ni karembo
@ngenynaomi
@ngenynaomi Ай бұрын
Amen mtume mfunze adabu kabisa 😮😂
@2ndlast539
@2ndlast539 Ай бұрын
Raff huombi umenyamaza tu mbona?
@abookirogers6808
@abookirogers6808 Ай бұрын
Raff you're told prayer is everything. Pray
@florencebosibori9961
@florencebosibori9961 Ай бұрын
Hasikii
@salimsandi-p7p
@salimsandi-p7p Ай бұрын
Enzemwonanoo wan,ukonchini 😂😂😂
@RuthKibiriti
@RuthKibiriti Ай бұрын
I think after mama Taff akipatikana, sister Sarah should create time as early as possible and one on one wakiwa na Abigail wafikie APOSTLE JOSHUA aadmit maagano yote aliyofanyia waganga ili yaweze kubomolewa for the girl to be set free🙏🙏🙏
@اسماءاحمد-غ2ح2ث
@اسماءاحمد-غ2ح2ث Ай бұрын
Mary m huyu mganga ni kiburi sana,naomba awe amekufa
@roseobegi
@roseobegi Ай бұрын
Hii ngadangadangwo inasumbua....😢😢
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov Ай бұрын
Mnaiona hiyo ❤❤❤ makofi kwa mtume
@ssjxnx4933
@ssjxnx4933 Ай бұрын
Mganga mjinga mpumbavu😂😂😂😂
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 Ай бұрын
Abigail anajua vitu mingi sana ...ni kweli..waganga au wachawi,,,mtoto akifikisha 16 years huwa wanafunga ndoa
@PhilesOngono
@PhilesOngono Ай бұрын
Raff husiwaienda mission bila bible please
@ZolufaMas-ie4un
@ZolufaMas-ie4un Ай бұрын
Huyo mganga anasumbua sana mtie fimbo za mgongo
@paullelei7993
@paullelei7993 Ай бұрын
Raff tumia mgono ya right kukemea mganga
@JacklineNyabokeOsiango
@JacklineNyabokeOsiango Ай бұрын
Acheni kuogea mambo ya mababu apo ogeemi mambo ya mungu ,.mtaaanza kurudisha dada Sarah nyumba ,n venye Ako n nguvu ata mganga anamuogopa
@gladnesskirigha8777
@gladnesskirigha8777 Ай бұрын
Vile Mungu ameanza lazima atamaliza. We thank you LORD for you are faithful.
@salimsandi-p7p
@salimsandi-p7p Ай бұрын
Nganda ngadangwa enzemoo wan,😂😂
@arieyajacqueline9980
@arieyajacqueline9980 Ай бұрын
😂😂😂😂😂izete izete nalo iloi is down, who is like JEHOVAH ELOIHIM ,OUR GOD IS GREAT
@GladysKalu-r6t
@GladysKalu-r6t Ай бұрын
😂😂😂😂Adi nyimbo zake tumezikariri mungu tusamehe😅😅😅😅😅
@LizaLee-d8h
@LizaLee-d8h Ай бұрын
😂😂😂😂 eti chukuchukuumba God 🙏 forbid 😂😂😂
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov Ай бұрын
Nyie nanyi kazi nikuziimba nyimbo za mganga tu mpaka mmezikalili jamani mnamambo mengi akiwatemelea ndo mtazijuwa zaidi si bola mnene kwa rugha kama mtume🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov Ай бұрын
Nyie nanyi kazi nikuziimba nyimbo za mganga tu mpaka mmezikalili jamani mnamambo mengi akiwatemelea ndo mtazijuwa zaidi si bola mnene kwa rugha kama mtume🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov Ай бұрын
Nyie nanyi kazi nikuziimba nyimbo za mganga tu mpaka mmezikalili jamani mnamambo mengi akiwatemelea ndo mtazijuwa zaidi si bola mnene kwa rugha kama mtume🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab Ай бұрын
Usiombe maji raf sikiliza mtume amesema mbona humuele ww utaharibu
@SaidaAwour
@SaidaAwour Ай бұрын
Ezie mwonano waaa😂😂😂😂aky uyo mganga ameona mengi acha nikuelezee 😂😂😂
@MaryMgabe
@MaryMgabe Ай бұрын
Kumbukeni hamtakiwi kunywa maji au kitu kutoka kwa watu huko
@sarahnusra
@sarahnusra Ай бұрын
Tatizo ya Raf hajuwe kuomba 🤦🏽‍♀️Dada Sarah ana mshinda kuomba ajikaze ama ajifunze kuomba 🤦🏽‍♀️ please 🙏
@rosewamanfuhah4251
@rosewamanfuhah4251 Ай бұрын
Huyu mganga is soo darering eti atageuza Mtume Mbuzi?
@PaulineLina-m3l
@PaulineLina-m3l Ай бұрын
Wacha tu kwanza nicheke😂😂😂😂edete edete Lia loi loi ezemwooo.mbaka naroga kichina😂😂😂😂we Kwa shetani hakuna idles nikujituma😂😂😂
@Princesssharleene
@Princesssharleene Ай бұрын
Jamani raff tembea na bibilia ama holy water pia huyu mtoto mpelekeni pole pole mkimaliza missing kaa na yeye muongeleshe atawaambia cz ni kama Kuna siri kubwa Sana ya Hao watu ako nayo
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 Ай бұрын
Hata usipochunga walikuwa wanamtumia kama mkeo
@hffalkurbi3812
@hffalkurbi3812 Ай бұрын
Mapepo hayana mamlaka in Jesus name Amen
@mariangeruofficial4875
@mariangeruofficial4875 Ай бұрын
This are the battles am going through right now spiritually, AENDE AKIENDANGA!!!
@SaidaAwour
@SaidaAwour Ай бұрын
Kubweka got me on stairs 😂😂😂😂😂😂😂😂
@eunicefaida8977
@eunicefaida8977 Ай бұрын
Shindwe pepo mchafu ashindwe mganga hawezi kuoa Abigael ashindwe 😢
@VAa-nb1odviolette
@VAa-nb1odviolette Ай бұрын
Huyu mtoi ako na mambo mengi sana ndani yake😮😮😮😮😮
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 Ай бұрын
Mimi napenda mama saraa anajua kuomba masha allah
@ReneryNambsBinJKS
@ReneryNambsBinJKS Ай бұрын
In the blood of Jesus Christ RAF all of your family are blessed and there is a powerful gift you people you have it is maybe you haven't noticed it yet why is it that all of your bloodline is being haunted sorcerer's.
@resperadhiambo
@resperadhiambo Ай бұрын
Dada Sara raff musiogope achilia moto free 🔥🔥🔥🔥
@EzrahOpech-hx5sr
@EzrahOpech-hx5sr Ай бұрын
Ezemwo😂😂😂😂😂😂 kwenda kabisaa mganga mjinga mpumbavu
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 Ай бұрын
😂😂😂mi ucheka unikome unikome kaambae ni wale wake wenza wanao sutana kwa uzushi 😂😂
@aysha8507
@aysha8507 Ай бұрын
Ila mganga anasura ngumu kama uchumi aisee kakomaa kwajili yakupiga kelele kila saa😂😂😂
@evelinemose9959
@evelinemose9959 Ай бұрын
Amen Ameen praise te lord even though mtume n mkali amefanya kazi isiyokuwa rahisi. Amen
@gozakoth8466
@gozakoth8466 Ай бұрын
Dangadang achoki mungu uwamalize
@shinehusnah6572
@shinehusnah6572 Ай бұрын
Mamashifuna mbona hutoi sirii nawew ulikuwa bingwaa ona mtoto anatumika na mungu hadi anatoa siri ...pia ww mama fungukaaa na ukirudi huko tunakumaliza
@moraamorash
@moraamorash Ай бұрын
Mtume angemfunga hy😢 ndioo wafike kwanza na omba waja kusikisa mganga please
@damarismwaura1455
@damarismwaura1455 Ай бұрын
😂😂😂aty hapa hampitii wee ngoja viboko
@ساليبولندا
@ساليبولندا Ай бұрын
Muwombey.sana😢😢😢huy.mutoto😢😢😢akonasiri.ndaniyake😢😢.akonasiri😢😢😢mungi😢😢😢mumgwang😢😢
@PaulineLina-m3l
@PaulineLina-m3l Ай бұрын
Yaaa ninikama hajaamini mama yake so akipata rafiki.wa kiroho stamwambia Kila kitu
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 Ай бұрын
Ombeni guys wacheni kuongea mutaongea bade
@jacklinerudisi5116
@jacklinerudisi5116 Ай бұрын
Raff maombi umuhimu, jikaze kabisaa napenda dada Sarah vile anaomba aki command I like the spirit na hivo ndio mungu hutaka usimpee mchawi sikio hata kidogo. Waiting to meet mum Raff I Jesus name 🙏🙏
@VAa-nb1odviolette
@VAa-nb1odviolette Ай бұрын
Mtume mukari kabisa❤❤❤❤❤❤❤
@LucyNjoki-wt2po
@LucyNjoki-wt2po Ай бұрын
Huyu mganga n nimuoga sana😂😂😂
@Teresamoraa-pg9kn
@Teresamoraa-pg9kn Ай бұрын
😂😂😂tangatanga iko chini kwa mchanga
@PhilisKundu
@PhilisKundu Ай бұрын
Mungu anawesa yote
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 Ай бұрын
Si atakua ana baka ama atakua anaowa 😢
@MoureenGesare-u7j
@MoureenGesare-u7j Ай бұрын
Yaani ako chini lakini ngada nngadangwa iko mdomo wake
@FaithNthenya-q1z
@FaithNthenya-q1z Ай бұрын
Yaani ile design tumecram hizi maneno za mgaga wacha tu😂😂😂😂
@ruthnjeri1116
@ruthnjeri1116 Ай бұрын
Haha mganga kamesomea matusi😂😂
@gakyjaklin450
@gakyjaklin450 Ай бұрын
Raff iyo sweat ya red mtoto abigael ako nayo si poa please asijaribu kuivaa mkitoka mkimaliza mission please
@JacklineNyabokeOsiango
@JacklineNyabokeOsiango Ай бұрын
Round Ii Hana kyake atatatii mungu nmungu
@AyubuSaidi-b5s
@AyubuSaidi-b5s Ай бұрын
Raf huyo mtoto mnaye mjadili mponae kwanini elkeze kwanza mjadala KWA mama ambae hampo nae hayo mengine mtayajadili tu mkipata mama Raf hapo mnazitu kupoza mda halafu hamuombi kabla muondoke unatoa Mguu lazima uombe kwanza
@everlineeverlinewamalwa243
@everlineeverlinewamalwa243 Ай бұрын
Na ww mtoto mfupi mpumbafu mapua kama firimbi ei ngatangata Ako na matusi 😂😂
@virginiagichero-j9v
@virginiagichero-j9v Ай бұрын
Ati anatoa siri😂
@TabithaTabitha-t6s
@TabithaTabitha-t6s Ай бұрын
Mganga mrefu mkonde mkubava ako chini
@mercymwanzia2761
@mercymwanzia2761 Ай бұрын
Karonga kichina ako chini😂
@hawahawa8441
@hawahawa8441 Ай бұрын
Raff mbona aombi jmn😢
@beatriceouma
@beatriceouma Ай бұрын
Ombeni mungu direction raf
@WeddyKathambi-b6g
@WeddyKathambi-b6g Ай бұрын
Funzeni Abigail maombi jameni
@maggieshi690
@maggieshi690 Ай бұрын
Dada sarah shetani ni muongo ulidanganyiliwa uuuwe watoto wa wenyewe but mwisho kama si raff Erick na watume wa Mungu wewe ungeuliwa na mtoto wako aolewe na huyo king harafu mwisho atolewe kafara ombeni kabisaaaaaa na mujifunguanishe na hizo maroho Mungu anapendaa familia yenu msirudi nyuma hata iweje😮
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu Ай бұрын
Glory to God Almighty for his mercies endures forever,ni lazima shetani ashindwe na utukufu umrudie Mungu.
@JacklineNyabokeOsiango
@JacklineNyabokeOsiango Ай бұрын
❤❤❤❤❤🥀🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹kwa mtume
@johnndunguMbugua
@johnndunguMbugua Ай бұрын
Kwani Eric alienda wapi,ni swali tu
@Imeldaikoha
@Imeldaikoha Ай бұрын
Ako maseno bt hawezi ungana na raff kwa hii mission coz mtume alikataa
@gozakoth8466
@gozakoth8466 Ай бұрын
Raf musikunywe maji usidanganywe na mutu yoyote ujiulize angalia na macho venye uliambiwa
@TeresiaMburu-u8t
@TeresiaMburu-u8t Ай бұрын
Mungu ni muweza vyote na hakuna wakati atashindwa bora tuweke tumaini letu kwake
@centrineomar5958
@centrineomar5958 Ай бұрын
Always follow simple instructions prayers
@EstherblessingNjoki
@EstherblessingNjoki Ай бұрын
Aunty raff eshivuno mama olinasio
@EuniceWai-cq3gi
@EuniceWai-cq3gi Ай бұрын
Shetani ashindwe raf apate mmake
@ساليبولندا
@ساليبولندا Ай бұрын
Mwambiy azizi😢😢awawongoze😢😢😢
@PhilesOngono
@PhilesOngono Ай бұрын
So mfalme ashaoja asari
@SHARONCHEPTOLO-n1s
@SHARONCHEPTOLO-n1s Ай бұрын
Ngada eehsee mwanooo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@rosekalu309
@rosekalu309 Ай бұрын
Raff mmeambiwa msiongee na watu lkn hamsikii
@MwangalaEverlyneNelima
@MwangalaEverlyneNelima Ай бұрын
Mumeambiwa musiongee na mtu munasema muulixe vichwa zenye si nzuri pia misikule kitu hata maji kwa boma ya mtu raff
@Zuuh107
@Zuuh107 Ай бұрын
Izete izete nalolilo chinii😂😂😂😂 mwapiga story tena baada muendelee na safari ombeni jaman mkimaliza mission mtazungumizia hayo 😢😢Mungu nanyi mmpate mamaRaff
Zelensky Announces Talks with Russia / End of Martial Law?
13:55
NEXTA Live
Рет қаралды 1,1 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Tulifika penye walimtesa mama Raf but....😭😭💔see what we found
1:55:59
CHURCHILL SHOW S1E3 PART 2-3
13:49
Churchill Television
Рет қаралды 991 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН