No video

SAYANSI NI FALSAFA ZILIZOIBIWA NDANI YA QUR-AN|MAYAHUDI WAMEFUZU KUTENGENEZA VITU HATARI SANA DUNIAN

  Рет қаралды 34,170

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

#Adiltv #ShkSuleimanBinAbbas #DarsaLaShekhShahran #SheikhMselemBinAly

Пікірлер: 114
@husseinsaidilai7887
@husseinsaidilai7887 2 жыл бұрын
Kuna wajibu kuwa peleka watoto wakazame ktk elimu ili tuwe na majibu kwa allah asante sheikh
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Sio wtt sisi tuanze ndio watt wasome kaka
@alimwayama5490
@alimwayama5490 2 жыл бұрын
ww ni sheikh kweli jazaka llah kheir
@mohdzotv2676
@mohdzotv2676 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kwa kuzaliwa muislam
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 5 ай бұрын
Ma shaa allah
@neemafatu471
@neemafatu471 Жыл бұрын
Jazakallahu Khair.. kiukweli unasababisha Imani zipande
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
MASHAALLAH 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hilalikaumo3470
@hilalikaumo3470 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kwa elimu kubwa.Allah akuhifadh shekh wetu
@zubeirmohammedy6871
@zubeirmohammedy6871 2 жыл бұрын
Hazina kubwa sana kwa manufaa ya uislam kuwa na mashekhe mfano huu
@rahmakutitu4875
@rahmakutitu4875 Жыл бұрын
Maashallaa Mungu akuzidishie ulipopungukiwa
@MudrikKhalid-dm2de
@MudrikKhalid-dm2de 5 ай бұрын
Mashaallah
@abdulhida8291
@abdulhida8291 2 жыл бұрын
Tabaraka Allah khery
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah 💕
@mohammadidris7258
@mohammadidris7258 2 жыл бұрын
Assalamu alaykumu warahamatullahi wabarakatu mashaallah uko shekh mzuri
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Жыл бұрын
Pua masaa 24 kupumua ata ukilala ila viungo vingine vyote vinakuwa vinafanya kazi kwa uwezo mdogo sana.iyo sayansi NO
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Ukilala hujikuni ?? Hujambi hupumui hukoromi ?? Hujaskia mtu akisema anakuskia kwa mbali na alikuwa kalala hujaskia watu wakiongea usingizini hujaskia watu wakitenda huku wa melala ?? Ukisema vitu kaa ufkirie !! Unashangaa kulala watu wakiwa wamekufa wanaskia na wanasema lkn sisi hatuwaskii kaa kitako usome sio unakaa barazani kuangalia mambo yaso mana
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 2 жыл бұрын
shukran sheikh
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 жыл бұрын
Waalaykum salaam warahmatullah taalawabarakatuh Jazzakumllah Khery
@abdilillahramadhan9637
@abdilillahramadhan9637 2 жыл бұрын
Nilicho jifunza nikwamba tusitukanane shkh kazama hayandio mambo tunayo yataka
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
MaashaAllah....
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Sayansi haiwezi kuoiga Imani. Hakuna Imani yeyote iliyowahi kulishinda sayansi
@user-lx9hv7xv3z
@user-lx9hv7xv3z Жыл бұрын
We mgonjwa
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Sayansi inatoka ndani ya Qur'an sababu Sayansi ni watu Qur'an ni maneno Ya Muumba Muumba wa hy sayansi na hao wanasayansi Au sayansi ni kubwa kuliko Mungu kwa mtazamo wako eee
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Mbona wanasayansi wengi sio Waislamu. Gari,ndege,simu za kiganja,wa kwanza kufika mwezini,kunzisha shule,wasoi wengi,Sayansi ipo kabla ya Uislamu.00.570 ndipo unatokea Uislamu, Karine 6 Watu waliuishi vipi bila sayansi. * Nitajie Wanasansi 10 wenye Historia ya kipekee waliogundua vitu hapa dunian* Mfumo wa Ukristo shule ya kutosha kwanza ndipo ije Imani,Imani bila elimu mapungufu yatajitokeza tu
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 2 жыл бұрын
Amini amini amini amini amini amini yaarabi aramin
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 2 жыл бұрын
AllahuMubdiu
@mohammedbakhresa3823
@mohammedbakhresa3823 2 жыл бұрын
Subhanawah
@loveoman6655
@loveoman6655 2 жыл бұрын
Mashaallah .
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
Hii ni hazina kubwa. Video zake tunazipataje tuzidi kustafidi?
@mohammadidris7258
@mohammadidris7258 2 жыл бұрын
👋
@khatibumsekeni322
@khatibumsekeni322 Жыл бұрын
QURAN ni muujiza mkubwa.
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Жыл бұрын
Mmmh hii sayansi MBN uwongo ,mmh labda asiyesoma ndo atakubali ,eti kitu cha kwanza tumboni kuumbwa ni sikio
@mussamrope1934
@mussamrope1934 Жыл бұрын
Unabisha nn sasa ,njoo na hoja
@miramboofficial946
@miramboofficial946 Жыл бұрын
Nyie si ndio walewale wanaobisha mnasema hakuna adhabu kaburini ukifa umekufa mfano ukafa leo ukakutana na adhabu utafanyaje ? Karibu ktk uislam
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Sasa kitabu ni chenu na sayansi imo humo sasa mnashindwaje kuitumia waarabu wanapesa kutumia hiyo sayansi kuchimba na kuyatoa mafuta hamuwezi hatari sn
@sleimbh
@sleimbh 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abduljuma4944
@abduljuma4944 2 жыл бұрын
Mbona mtanzania wewe una rasilimali na huwezi kuzitumia Wala kuzifaidi huna hiyo jeuri
@abdulndete8969
@abdulndete8969 2 жыл бұрын
Ilo sikubwa zaidi kumcha mwenyez mungu ucje ukafocus kweny vitu vidogo
@barakashaban9698
@barakashaban9698 2 жыл бұрын
Suala la waarabu kutumia Sayans na kuchimba mafuta hilo ni jambo lingine muhim Qur-an imesha yaeleza yote ya kisayans pia kumbuka mwenyez Mungu hutoa neema tofaut kwa kila aina ya waja wake hvo basi waarabu wamejaaliwa rasili mali ya mafuta na wazungu wamejaaliwa kutengeneza mitambo n.k.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Kitabu sio cha waarabu ni kitabu cha Allah Mungu Na Mungu ni wa watu wote Angalia Elimu ilipo anzia utanielewa
@alhudaalhuda6733
@alhudaalhuda6733 2 жыл бұрын
Kwahakika ww malipoyako nipeponi kwani unatunza sana waislamu
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Mzee wa vina vya aaaaaa.....aaaaaa.....aaaaa
@abdulndete8969
@abdulndete8969 2 жыл бұрын
Unaleta mzaha dunia mapito usisahau katika zambi kubwa moja nikuabudu asiekuwa mungu
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
@@abdulndete8969 ,we kwendaaa hizi ni analogy tu... Kila mtu atumua njia zake kujenga ushawishi...Porojo porojo nyiiingi
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 11 ай бұрын
@@erickmichaelmugele2107 Elimu yako ndogo .... just why!!!
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Жыл бұрын
Mmh mtu akilala ni pua ndo inafanya kazi sio sikio huo uwongo mwingine
@miramboofficial946
@miramboofficial946 Жыл бұрын
Hayo ni maoni yako usitake kila mtu aamimi unachoamini wew
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Soma soma soma tena kaa kitako usome ipo siku utanishkuru
@mrishoally55
@mrishoally55 4 күн бұрын
Hoja huna wala elimu ya unacho kibisha huna ila uswahili tu
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Wayahudi ni watu waliostaarabika kabla uislam haujakuwepo,
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Mayahud mitume yao ni waislam unajua kama uislam ndio dini ya mwanzo Adam alikuwa Muislam hata Nabii Ibrahim alikuwa Muislam Kaa chini usome ipo siku utanishkuru baada ya kusoma
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Hivi ni kweli mtume alioa binti wa miaka 6?
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
Ni kweli alioa,vipi unasemaje?
@ibnually1512
@ibnually1512 2 жыл бұрын
Hata km ni kwel hilo haliwezi kuwa kipimo cha kujuwa kuwa yy ni mtume wa kwel au sio wa kwel
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Hata bibi Yako aliolewa na miaka SITA, ...hujui.?
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Hahahaha. Sasa mbona nyie ni dhaifu sana katika sayansi?. Acheni upambe nyie Quran ni kitabu Cha kipuuzi sana hakuna sayansi mle Acheni ujinga
@shamtesaid1377
@shamtesaid1377 2 жыл бұрын
Huijui Quran ndo maana unaongea vitu usivovijua ...hatari sana...pole Yako lakin
@abdulndete8969
@abdulndete8969 2 жыл бұрын
Cheka Leo ipo siku utalia
@aboubakarshaban8158
@aboubakarshaban8158 2 жыл бұрын
Usiwe mwepesi kuendeshwa na mihemko Kaka , mambo ya kisayans yamevumbuliwa miaka ya karbuni lakin Quran imezungumzia masuala hyo tangia Karne ya 7 Sasa unaanzaj kusema nikitabu Cha kipuuz , muongope Mungu wako bro. Wakat mwngne n vyema kukaa kimya
@athumanijuma6553
@athumanijuma6553 2 жыл бұрын
we ndo mjinga.... Quran sio kitabu cha sayansi (science) bali ni kitabu cha dalili(signs)
@barakashaban9698
@barakashaban9698 2 жыл бұрын
Kabhika akili yako imeishia hapo Qur-an ni KITABU ambacho kiko mbele ya wakati ndio maana kimeeleza mambo yaliyo pita na yajayo toka Karne ya 7 ambayo wana Sayans yamewasumbua kwa muda mrefu bila kupata ufumbuzi wakirudi kwenye Aya za Qur-an wanakuta yamesha elezwa toka zamani hivo mwenyez Mungu anatuonyesha kuwa KITABU hiki kimetoka kwake na mtume Muhammad ni mtume wa mwenyez Mungu kwakuwa alikuwa hajui kusoma na kuandika habari hizi kazipata wapi wakati alikua hajui kusoma wala kuandika sio jambo la kawaida kwa mtu kama huyu aeleze mambo makubwa kama haya wenye akili wanatafakari wanapata majibu KITABU hiki ni cha mwenyez Mungu. Wewe Kabhika huna akili ya kutafakari ndio maana una comment ujinga.
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Mmepewa maandishi wenzune wakawekewa kwenye Akili...hahahaha
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
Wewe umewekewa nini?
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
@@ramadhanilukambuzi9760 ,tuwaulize nyinyi wajuaji na mnajiona ndio mnastahili kila kitu na mmepewa kila kitu....
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
@@erickmichaelmugele2107 Kwa andiko gani linathibitisha maneno yako hayo?
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
@@erickmichaelmugele2107 Kwahiyo huna andiko linalokupa haki ya Mungu juu ya maneno yako?
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
@@erickmichaelmugele2107 Naona ulikuwa unahukumu kitu husichokuwa na Ujuzi nacho,kwa kukusaidia tu nakupa maelezo labda haujui ndiyo maana unacoment vitu havieleweki- *Dini tulioumbiwa wanadamu wote ni Uislamu na Muislamu wa kwanza duniani ni Mtume ADAMU na Mitime wote walikuwa Waislamu. *Uislamu huko wazi kwa ajili ya yeyote mwenye kumuamini Mungu mmoja na Mitume wake bila shaka atachagua Dini ya Uislamu. *Utajiri wa mali ulio nao,Elimu ulio nayo,Vitu ulivyovitengeneza hapa Duniani,Watoto wazuri ulio nao au Ukoo maarufu ulio nao hapa duniani;hivi vyote ni chembe ndogo sana kwa Mwenyezi Mungu kama haufati Misingi yake pamoja na Sheria zake ww,mm au Na Yule Tutakuwa ni watu wenye kupata hasara,aimanishi kwamba Wewe kwa kuwa unao ujuzi wa kubuni ndege,magari,madawa au chochote haimanishi tayari umeingia peponi,Maarifa yote tulio nayo wanadamu ni Ya Mwenyezi Mungu kwahiyo tunatakiwa kumnyenyekea yeye kwa kumuomba ktk njia zake alizotuweke na Mtu ambaye ni Bora kwake Mwenyezi Mungu ni yule anayepita ktk Sheria zake. *Quruani ni kitabu katika muendelezo hule hule wa vitabu vya Waislamu vya kale kama Sufii ya Mtume Ibrahimu,Taurati ya Mtume Mussa,Zaburi ya Mtume Dawd na Injili ya Mtume Issa,hivi vitabu vinne vilitumwa katika Taifa la Israel na Quruani imeletwa katika Karne ya 7 ili iwe ndiyo Katiba na muongozo ya Ulimwengu w
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 22 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,8 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 41 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 45 МЛН
MAAJABU YA SAYANSI NDANI YA QUR'AN  SHEIKH YUSUF KIDAGO
38:57
Kiungiza TV
Рет қаралды 2,1 М.
SAYANSI NDANI YA QUR AN 2 - SHK SULEIMAN BIN ABBAS
1:04:21
A5 Online Tv
Рет қаралды 9 М.
SAYANSI NDANI YA QUR AAN 15 - SHK BIN ABBAS
1:08:09
A5 Online Tv
Рет қаралды 4,9 М.
SAYANSI NDANI YA QUR AN NO 1 - SHK SULEIMAN BIN ABBAS
1:13:39
A5 Online Tv
Рет қаралды 24 М.
050 NYUMBA YANGU NDIO PEPO YANGU YA DUNIANI | OTHMAN MAALIM
2:02:46
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 78 М.
SAYANSI NDANI YA QUR AN NO 5  - SHK BIN ABBAS
1:17:43
A5 Online Tv
Рет қаралды 6 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 22 МЛН