Ndo nimeelewa sasa. Sasa twende kazi kwa kunipa like zenu wadau🎉❤
@salummussa11399 ай бұрын
Ahaaa kw hio wale watu fulani wakiandamana wavae majembe itasaidia ?
@King_Of_Everything9 ай бұрын
👊✌️👍.
@nafoinvestimento96889 ай бұрын
Wezi wana mbino lakini wamessaidia
@MichaelMathew-j3f9 ай бұрын
Nguvu ya mkito ujue ni uleule!! Sasa maumivu yake weeee!! Ni hatari lkn hutakufa. Bunduki ina nguvu sana!! Mfano AK47 unaambiwa hivi, nguvu ya mkito una uzito wa kg 55!! Yaani ikikupata tu mara mmoja tu hivi bac ujue we ni kwaheri. Ni hatari kubwa sana ile bunduki ya Russia!!