Ase pole Sana Dada mkumba likini mungu ajakuwaja mapenzi ya kweli hutoka kwa mungu lakini shatani ni muongo baba wa uongo Dunia zima. Yeye mungu yuko pamoja na watu wote
@christinahaule-p8iАй бұрын
duuu yani uyo Jackson nilikuwa na wasiwasi naye kila siku anangangania kumlala tuu pole kwa matatizo yaliyo kukuta na iyo mimba ndio kiboko yani na huo usingle mother na family yote inakutegemea ila uyo mama Sayuni ni mama wa ajabu sana yy kazi yake ni kukigawa tuu na kupata mimba zisizo elewekaa simurizi hii inatufundisha sana pongezi kwa Lucas lumba ❤❤❤
@mourine-o37 ай бұрын
Kwa simulizi ya Leo imenitoa machozi kwa Kua historia inaendana kabisa Na Maisha yangu Ila Mungu anisaidie niwe Na mwisho mzuri
@AminaOmar-z9b7 ай бұрын
Amiin hobbty mm imeniuma sana man tunavo umiya m2 ana kudhulum laki 5 laki 4 tu una wazimu jee pesa za nyuba nzima
@wertqwe83267 ай бұрын
Wallah we mkka nakupenda bure asante sana kwa muendelezo wa simulizi yako❤❤🇰🇪🇰🇪
@FatimaRamadan-s4f7 ай бұрын
Mungu hamtupi mja wake pole sana daa mungu amsamehe mamako na ss atuongoze inshallah tusihafilike na dunia
@Lovelovely6607 ай бұрын
nyote, punguzeni pongezi kwa sayuni kwa tamthilia zote alizopita🎉🎉
@SummymaddyMaddy7 ай бұрын
Wazazi wengne mungu tusamehee haya sayuni pole lkn jiali ww kwanza
@josephineuwizeye82507 ай бұрын
Sayuni pole sana mama yako umusamehe!❤❤❤
@samsung-zb3xi7 ай бұрын
Jamani nimriya mpakabasi wamama Sayini wako akina mama musome iyi Simulizi mx namuelewe uyu mama nimuzazi kweri mimi kivyangu siningemuseshaga tena omwe ningetafuta nginsi niyicome😁😁😁😁😁ngoja nisikia mwisho Asant Lukasi kutupa mafunzo🎉🎉🎉🎉🎉
@ZainabMosa-n3n7 ай бұрын
Kka habari yko pole na kzi nakutakiya usiku mwema Asante kwa simulizi mzuri sna Nampa pole sna ndungu yngu mungu amfayiye wpsi
@AnnaMundia-d3o7 ай бұрын
Maisha ni mtihani kweli . Shukuran Lucas
@FaithPeter-j4w7 ай бұрын
Daah hapo kweli 💃💃💃💃💃niko dani 🎉🎉🎉🎉
@fetreshazKhamisi7 ай бұрын
Yani sio sili hyu mama ake sayuni ananichwfua sana Yani ningekuwa mie. Ninheiya hrada wabonoe shezi zake Yani nakutumia pesa unajenga nyumba kwenye kiwanja Cha mwanaume nimeumia sana🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@scollamwanisisi27397 ай бұрын
Huyo mdogoako wapili amesahau kwamba,, ulijitoa sana kwao,, sayun ulikuwa mjinga sana Kila saa unawaza kwenu ukome kabsa
@RahelKalume-j3l7 ай бұрын
Asante kaka lucas kwa simulizi nzuri inamafunzo sana bila matusi inaelimisha sana🎉🎉🎉❤❤❤ but huyo mama sayuni anafaa kufunzwa adabu mama asiye na shukrani huyo
@scollamwanisisi27397 ай бұрын
Nilianza kupata wasi wasi na Jackson alipomlazimisha ku do nae,, na mala yapil tena,, nilihisi kitu kabsa,, sayun pole
@Bhokewaibe7 ай бұрын
Yaan huyu boss wa pili wa sayuni alimchukulia kama mdogo wake jamani mungu amubariki
@khadejarajab80077 ай бұрын
Huyu mama sayuni anawezaje kujenga nyumba halafu hati jina la mume tena kaishia kubeba mimba na kutoa sayuni kazi unayo kitakulamba kitu kwa mara nyingine tena utalia sana
@rehemanifasha55247 ай бұрын
Asante sana kwa muendelezo 😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉
@ZainabAli-rq8lg7 ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥Yani pataaaamu.
@LeahLissu-x5w7 ай бұрын
🎉🎉❤❤❤ wakwanza chukua maua yako❤❤
@AgnessLorry7 ай бұрын
Wa mwisho ❤❤❤❤
@RoseMbuya-cn5dg7 ай бұрын
Mashabiki WA Lucas mko wazima nione like zenu
@IsaberaEster7 ай бұрын
Nimewahi kaka lukasi mauwa yako🎉🎉🎉🎉
@scollamwanisisi27397 ай бұрын
Ant Zena inamapozi sana aiseee❤❤❤
@saumunyadzua7 ай бұрын
Wazazi wengine hata bora mungu asingewapa kizazi maaana sikwamtesa mtoto wake hivyo
@rizmwMwriz-mf2cu7 ай бұрын
SAYUNI pole kwa maisha ya changa moto
@AgnessLorry7 ай бұрын
Jamani natamani nikuone lucas ❤❤❤❤
@AgnessLorry7 ай бұрын
Naomba namba yako
@avelinabaluhya28046 ай бұрын
Sijapenda upumbavu wa Sayuni,kwani yeye ni msaada wa ukoo wote,nakuwablock akajikausha tu,he,amezidi sana huyu hata Mungu anamshangaa
@lareineminah13536 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 MUNGU ana mshangaa kweli😂😂😂
@nurafedrick3787 ай бұрын
Huyu mama sayuni nn mbaya nayy yani mwanaume amekuchukulia nyumba yako jasho lamwanao leo hii tena umeenda kuzaa tena halafuu unatoa mimbaa loo kazi kweli..
@asmajuma-kp8jq7 ай бұрын
🎉🎉🎉 nliisubiri sana😢😢
@francksylvester78447 ай бұрын
Nimewai nzur sana
@mwanaibrahim32887 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉maua yako bro Lucas
@FarajaKaywanga7 ай бұрын
Yan sayun ww nimubishi sana mwananguu unakela sana yan
@ReginaBenjamin-ij2ec7 ай бұрын
Tuwaombee sote wazazi wetu kuna mida wanatuumiza xana daaaaaaah
@NailatYahayamkova-yu9qu7 ай бұрын
Wa 5❤❤❤🎉🎉
@StellaMrawa7 ай бұрын
Kila siku tunapata elimu ya maisha Asante sana kaka Lukas ubarikiwe sana
@GloryMalisa-f8m7 ай бұрын
Imenigusa sana jaman maishani mwangu na jal sna familia kuliko kujijal 😢
@Pretty227507 ай бұрын
Habari umesha ipata kwa mwenzetu jitahidi ujijali maana hakuna wa kukujali baada ya majanga yakikutokea japo hatuombi Baya litukute 😢
@lareineminah13536 ай бұрын
Amka apo kisikukuti kitu
@HareemaMct7 ай бұрын
Huyu mama ake sayuni kiboko😂😂😂
@ZenaidaDaniel-r9d7 ай бұрын
🤣🤣Yan huyu mama anapenda pipi kijiti😋😋
@TeklaNdekeja7 ай бұрын
Nimechelewa sana lakni nasema ante lucasi kwa mwendelezo wasimliz y binti sayuni huyu mama roho ya mtakatifu awe juuyake aweze kusamin familia
@bentahmasiemo27427 ай бұрын
Families are toxic, kama sisi tunaofanya kazi ugaibuni kinaturamba proper.
@rauhiyasuleiman46267 ай бұрын
Mama sayuni ni mama wa hovyo jaman na han uchungu wa mwana kwa kweli
@samsung-zb3xi7 ай бұрын
1:36 Sayuni ayonimafunzo ushauli warafikiyako haukufanyiya kazi masikini kirakitu kwako nimajanga weye hawukumusoma Jakson pare artibadiri maerewano ungeshituka wanaume ndivire warivyo kesho atakwambiya nisamehe sikujuwa kama unamimba utamusamehe apo ndomunaniuthi wanawake mujipendeye kaka wabosi biraivontakucukia
@melissaivanyi7 ай бұрын
Nimetengea sana jamani❤❤❤
@JacksonKimbigaro7 ай бұрын
Simulizi nzur zinafundisha
@salmarajabu16267 ай бұрын
Pole sayuni wapi wazizi km huyu mama
@mariammtaki6 ай бұрын
Jamani izi family zetu ni shida tu
@VincentOnsarigo6 ай бұрын
Kali sana
@ZenaidaDaniel-r9d7 ай бұрын
🤣🤣jamn mama sayuni anapenda kuolewa akhaa🤪🤪yani unapigwa mpaka mimba kutoka lakn bado unang'ang'ania 😏😏😏😏
@ZainabAli-rq8lg7 ай бұрын
Wacheza na waziri wa nyege na huduma za kitandani raha anazopata azijua mwenyewe😅😅😅😅😅nacheka kama mazuri hivyo.
@lareineminah13536 ай бұрын
@@ZainabAli-rq8lg😂😂😂😂😂😂 mbona waziriiiii😢😢😢😢
@ZainabAli-rq8lg6 ай бұрын
@@lareineminah1353 🤣🤣🤣🤣🤣utaelewa tu
@MwasityAbubakar7 ай бұрын
Ivi kwann watt wa maskin tunapitiaga magumu Ivo katika maisha adi nimelia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ZenaidaDaniel-r9d7 ай бұрын
😢😢Yani watu tunao amini watutie moyo lakn ndo kwanza wanatuhumiza unatuma pesa💸💸 hata Asante hupati Yan shida tupu☹️☹️☹️
@ErizabethToyi-bb8mb7 ай бұрын
Pore dadaangu sayuni
@Regina-p6r3 ай бұрын
Pole sana dada
@Salma-id4yl7 ай бұрын
Wakumi.na.mbili❤❤❤
@Munira10447 ай бұрын
Wow
@dionisiadionis99037 ай бұрын
Jamani machozi yananitoka mm najisikia vibaya kilichonikuta sitosaau wanasema wakubwa awakosei lakini naumia mpaka kesho
@fatimafoaani22637 ай бұрын
Hayo ndo maisha tuliyopangiwa wanadamu japo siyo wote wenye magumu pole sana dada sayuni,na asante pia Lucas Lumbasi kwa story yenye kutupa nguvu ya kukaza moyo ili tuzidi kujitafuta kimaisha ❤❤❤❤
@omanss2687 ай бұрын
Yani hao wanaume wapo shemeji yanguyuko hivyo😅😅
@jennytugara94707 ай бұрын
Sayuni pole zake kuna wazazi wanafikiri Watoto ni kitega uchumi. Tena hafanyi chochote anachotaka kukinga mkono wajameni!!!!
@saumunyadzua7 ай бұрын
Mamake sayuni anaolewa mpaka anakera
@ZenaidaDaniel-r9d7 ай бұрын
🤣🤣mama anapenda kunyanduliw akhaaa😏😏
@jennytugara94707 ай бұрын
@@ZenaidaDaniel-r9d hata mimi sasa namgawa bure lol😀😀😀
@candidekaneza85877 ай бұрын
@@ZenaidaDaniel-r9d😂😂😂😂😂😂
@racheluwda65527 ай бұрын
Asent mungu kwa siku ya leo naomba like zangu 🙈🙏🙏
@rahimaaaaa56827 ай бұрын
Pole sayuni mm nisinge muamini mama maan ulivyokua unaishi nae ajakupenda kbs 😢😢
@gladyssamba83707 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@vailethvennance46517 ай бұрын
Mmmmmm kweli sayuni unamoyo Mimi nisingeweza na kuliko kuwa na mama Kama uyo Bora niwe yatima 😅
@SalimaEdwin7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🙏
@dianandabirorere63657 ай бұрын
❤❤❤
@dashuushu68837 ай бұрын
Waoooo🎉🎉🎉🎉🎉
@awaynaaaa34907 ай бұрын
Ndiy nimewah au
@omerrashed90807 ай бұрын
❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@UbaNsineno7 ай бұрын
😂😂😂hy make sayuni yn Ana pepo la ng.... au nn yy n mimba kila mwaka jmn
@ElizaSada6 ай бұрын
Anme anm😂😂😂😂😂
@chrismdawi35247 ай бұрын
😢😢😢
@roothaa38437 ай бұрын
Ant Zena nangojea
@judithminyoso4297 ай бұрын
Asante kaka lucas
@FarajaKaywanga7 ай бұрын
Huyo mama Ako au alikuokota maana hatasimuelewagi
@IrakozeAnna7 ай бұрын
Pole sayunu
@Admu-s2z7 ай бұрын
Ya ante Zena tunasubiri
@ZenaidaDaniel-r9d7 ай бұрын
🤔🤔umhuuu kila nikijaribu kuwa wa kwanza 🤪🤪 nakuwa wa 20 jaman tupe kitu
@AeshaSaid-pe3tn7 ай бұрын
Mmmmh dunia ina mambo hii
@SamsonMzehe7 ай бұрын
Huyo jack nimuaji Hana huruma
@AbelinJoselini6 ай бұрын
We lucas bana badilisha namna unavoigilizia sauti yawanawke atuwekag mideko iyo mda wote mda mwingine tuko seriaz sio poa ujue
@kibibi78267 ай бұрын
Kama mwenye hii simulizi unasoma izi comment nakwambia bichwa lako yani madhila yote unayofanyiwa na kupitia bdo tu walea familia nzima khaa
@lareineminah13536 ай бұрын
Amepitirizaaaaa😢😢😢😢
@vailethvennance46517 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@saumunyadzua7 ай бұрын
Jamani mimi mwenzenu na pata laana maana sina moyo wa subraa kabisa na chukua nyumba naibiga bei tukose wote kabisa😢😢
@Pretty227507 ай бұрын
Tatizo ni kuwa hakuna makubaliano iliokuwa kati ya mama na mwana kuwa alikuwa akituma pesa za mjengo,afu kosa la bidada yetu nikuwa wkt alinunua kiwanja huenda alikiandika kwa jina ya mamake hivyo akapata njia rahisi ya kukiuza maana km alikuwa ameandika kwa jina lake haingekuwa rahisi kukiuza,tena mamake ni kama zuzu kwa huyu mwanaume maana alipaswa kutokumwamini kwa kupitia mahangaiko yote ambayo aliyo mpitisha hata km aliona ni vizuri kukiuza alitakiwa kuhakiki kuwa hati ipo kwa jina la mamake sayuni hiyo ingekuwa afadhali 😢
@saumunyadzua7 ай бұрын
@@Pretty22750 kweli kabisa hilo nalo neno
@marthasonia50057 ай бұрын
😢😢😢🫣
@AlexSosolo-n5o7 ай бұрын
Wa 57 leo jamani like zenu
@stellamwanda23127 ай бұрын
Hapana huluma zilimzidi jamani duuuu
@candidekaneza85877 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AshaAbedi-nw9xd7 ай бұрын
Ivi jmn nikweli kuna wamama wanaroho ngum kiasi icho kweli mmh
@avelinabaluhya28046 ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana,kumbe Jackson alivyomchoka Sayuni akaamua kudai kwa nguvu ili kulipia fadhila,mh,hakuna cha bure kutoka kwa mwanaume
@MwanamkuuOmar-n5r7 ай бұрын
Mm ishawai kunitokea hiyo
@MaryamomaryShaban2 ай бұрын
Ila mbn simulizi hii umeisimulia kiuvivu sana jmn
@NuruAbdullah-h7g7 ай бұрын
Kwani huyo mama hayuni kazi yake ni kukigawa tu nakupikea mimba au kwakua hakilipii bas anakigawa tu 😂😂😂😂😂😂😂 ila mama wahivo yataka moyo
@ZenaidaDaniel-r9d7 ай бұрын
🤣🤣mama anapenda kunyanduliw 😜😜😜
@MwanamkuuOmar-n5r7 ай бұрын
Sai siamini mwanaume yeyote ila kutokana n mawazo n hali yangu ilizorota
@MwanakomboMangwe7 ай бұрын
Mama sayun angekuwa mama yangu sidhan kam ningemsamehe kwenye maishe yangu yote
@FarajaKaywanga7 ай бұрын
Koma Sasa nahuyo bhana wakoo
@ElizarhobiMotabo5 ай бұрын
Dar naona hiyo story nikama mm nadisiwa hapo wazaz bhana bas naona mama sayun nikama mamangu mm dar badiriken
@Sss-b9w6f7 ай бұрын
Waooo 21❤❤🎉🎉🎉😢😂
@Ivyagua7 ай бұрын
Santi Lucas
@MwanamkuuOmar-n5r7 ай бұрын
Nilipenda mtu km hivyo sayuni nikatiwa mimba n nika achwa iyo kitu yauma tena mm alinichite n mzungu
@linnerphilip42607 ай бұрын
Ila jmn akina mama tujifubze hata ka mtu unemzaa kina wazaz bhn