Muulize anamfahamu JESUS. Anampango ganinae. Hilo ndilo jina linajulikana Duniani kote.
@ShafiiMrisho-q3n7 күн бұрын
Kweli kabisa Yesu Kristo ndie Njia Kweli na Uzima
@DeodatusPhabian6 күн бұрын
@ShafiiMrisho-q3n Amen. Ubarikiwe Kwa kuujua ukweli. Hakuna njia nyingine ya kupata uzima wa mile bila Yesu. Ukishampata Yesu hao wanaotalwa na umaarufu wao nikuhurumia tu. Wanateswa na shetani Kwa kivuli Cha umaarufu. Wangejua wange TUBU Maana wasipo tubu. Watalia na kujuta siku Yesu kurudu. Umaarufu wao hautakuwepo Tena.
@slengopito71355 күн бұрын
😂😂😂😂
@Bugandotalents61310 күн бұрын
Muache kuwatafuta watu maneno hukuwa na maneno ya kuuliza hadi uulize kuhusu diamond na alikiba hukuwa na maswali mengine acheni kuwadhalilisha wasanii wetu
@HASSANBAKARI-q9c11 күн бұрын
HUWEZI KUJULIKKANA NA WOTE,,,ILA EVER BLAZING ILITUSUMBUA SANA CLUB AKYAMUNGU 😊
@BinSultan-t5g8 күн бұрын
Kama sio wa kimataifa ila ukiwa wa kimataifa wa fani yyte Ile wadau wa fani hiyo wote dunian watakujua
@abdullahkazungu402511 күн бұрын
Msanii mkubwa anabeba beg mwenyewe bila shida njoo uku kwetu sasa😂😂😂😂😂
@ScopionScopion-zj9cd9 күн бұрын
berry Nenga mpaka cm anampa mlinzi ashike yeye hawezi kushika kitu chochote ashakua mraini
@BamwaleMtsoma-ff5ww9 күн бұрын
Hawandio watu wenyewe sioupate basi hataukinya ulioemutu akupanguse mwishowe unakuwa shonga😂😂
@badrudindaud10879 күн бұрын
Hawa design kina mondi mpaka shonde apanguzwe 😢
@ScopionScopion-zj9cd9 күн бұрын
hahahaaa
@menalikechildren88369 күн бұрын
@@ScopionScopion-zj9cd 😅😅😅
@McAdamsChiry11 күн бұрын
Muulize maswali kuhusu show yake sio km anamjua diamond..., kwan diamond nchi anazoendaga anawajua wasanii wote... maswali gan hayo???!!!
@RajabuanthonyRajabuanthony10 күн бұрын
Mbona kama umepank kk
@fadhilimhagama26509 күн бұрын
Mashwari ya kidwanzi
@Lastbornecadet11 күн бұрын
Hajui hata bongo flavour😂😂😂 sjui ilo jina la bongo flavour lilipangwa na nani😂
@RashidAli-jp5gv10 күн бұрын
Hii imenchekesha kwa kweli 😂😂😂😂
@jonijomk31079 күн бұрын
nimelia sana😢
@leskarmeikok89569 күн бұрын
Sugu
@calvoh97152 күн бұрын
muziki wa ma bongo lala, flavour ya mabonzo.
@Dottoselemanisaid10 күн бұрын
Waandishi wa bongo wambea sana sa mondi kwani kawaagiza wakamuulizie kama sean Paul anamju usenge tu
@AzaAzamhmod11 күн бұрын
Yan mpka mabausa wanashngaA😂😂waandishi na kinge...Sean paul mashalah yuko simple chen moja tu.kuja kwa harmonize sasa ...
@ZulfaKassim-q2v11 күн бұрын
😂 tuache kwanza..
@abdullahkazungu402511 күн бұрын
Ata beg ywabeba mwenyewe bila shinda njoo kwetu sasa
@badrudindaud10879 күн бұрын
Umesahau yule mwengine mwenyez mvaliaji herini puani simba ama simbi
@DirectorRich20249 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣
@FrankEnock-q4q6 күн бұрын
😂😂 mpka shingo inainama
@SafayaPlatnum-zz1dz6 күн бұрын
Mshamba tu amekuja kufanya nini sasa mana huwezi kwenda sehemu usio ijuwa Wala aina ya mziki wanao ufanya sema kakausha hataki kuonekana kama anawajuwa mana mngeanza kutengeneza makundi wabongo sio mchongo
@HermasJustin10 күн бұрын
Laabda angeulizwa kuhusu mziki wa Congo DRC apo sawa ila Tanzania baado sana.
@adambakari927610 күн бұрын
Tanzania wenyewe tushakimbia kwny mziki wetu tunaimba satail ya sauz na Nigeria alf oooh nitaipeleka mbali bongo fleva😂
@_Wayiva_mukuta_jean7 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🫶🏻
@joyhylton790111 күн бұрын
Yea Sean Paul My country man. Please make sure to see Zuchu and Diamond. 🇯🇲
@salumomar523411 күн бұрын
Waoo ndoo nani
@Bmsecret11 күн бұрын
@@salumomar5234mkunduo 😅
@salumomar523411 күн бұрын
@@Bmsecret kwani kuna jipya kashasema ata kuwajuwa hawajuwi, wasanii ata gramy hawana Sasa Pana wasanii apooo, wambie wende kwa pddy wakakazanishwe sauti ukooo
@salumomar523411 күн бұрын
@@Bmsecret kaskilizee Messi ya konde boy mjomba usilale achana na msanii domo ata kiengereza hajuwi, ana kiengereza cha yes na no Cha form 2 hahahahhahaa
@JeannetteManirambona-o6m11 күн бұрын
@@salumomar5234😂😂😂jmn
@deejay__best11 күн бұрын
Sean Paul Namsikia Toka Shule Ila Azeeki Uyu Jamaa Aise
@G.r.e.a.t.I.Q7 күн бұрын
Lakini WABONGO wanamjua mpaka Babu yake wa kwanza!😅
@ScopionScopion-zj9cd11 күн бұрын
huyo P Diddy mwenyewe alikua hamjui Simba kamjua siku ile wakati wakuangalia movie chumbani
@tumamwinyi40211 күн бұрын
😂😂😂
@JosephzakayoPius10 күн бұрын
Hahahaha 😂🤣🤣🤣🤣 umetisha sana mkuu
@KhadijaMasoud-d2z9 күн бұрын
Anabeba bage yy mwenyewe hawa wa kwetu sasa😮
@kwisa489911 күн бұрын
Sean paul ni msanii mkubwa sana ndugu zangu msimchukulie kawaida rudini kwene Bio yake amuwezi kumuuliza habari za Dai ,pia tujifunze kukubaliana na ukweli
@KhadijaMasoud-d2z9 күн бұрын
Yes tngu mm nasoma sasa ni mshangazi wa watoto wa3 hapo mm tu mwanzoni ilikuwa kipaumbele maisha wenzangu wana watoto6 seanpoul kitambo sana enzi za Intro kwa zanzibar 😂
@menalikechildren88369 күн бұрын
Kwel kabisa, kafanya kazi na Enrique Igleasias, Shaggy, Bandit, Rihanna, almost wasanii wengi wa kubwa na America na Europe kafanya nao kolabo
@davidlminzi7 күн бұрын
Bongo wachache wanajua muziki kwa mapana yake...
@tommie2547 күн бұрын
Sean Paul knows Kenyan music
@solomonizeson5 күн бұрын
Sasa natamani inakujaje kama hawafaham hii dharau hao wanapokuja Nchini lazima wagoogle msaani gani mkubwa nchi nayo enda
@BeatriceKitembe-gs9si7 күн бұрын
Hakuna mziki bongo.. Eti umeshawahi kusikia Dimond.... Dimond umjue wewe.. Yeye Han shida naye mtu mdogo sna kwake
@Juliusnamale0377 күн бұрын
Nyinyi udhani Tanzania ujulikana hata Africa 😅😅😅😅 Kenya ndio kusema
@lilianmsengi5296 күн бұрын
Huyu jamaa Sean Paul ana dharau sana kwanza hapo naona kama ameisukuma hiyo mic.
@simonmnango19679 күн бұрын
He probably knows Diamond Platinumz but why give him free publicity. A good businessman promotes his own brand
@hassanparamana221511 күн бұрын
mzee wa TEMPTATION, GET BUSY 🔥💥🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@rukiamadati3368 күн бұрын
Hata mizigo kabeba mwenyewe siyo nyie mnabebewa😂😂
@eliuskamwelwe10189 күн бұрын
Ye mwenyewe kashachoka😂😂
@M-barakaRajabu8 күн бұрын
Asa umekuja kufata nn uku kama wasanii wa bongo uwajuwi unakujaje sehemu ujuwi kama wanajuwa mziki kama sio umama uwo
@WakiaMasha6 күн бұрын
Kwani ni lazima?????
@NuhJuma-rd3gb9 күн бұрын
Me only know abari yenu
@JenniferJackson-m5t9 күн бұрын
Nampendaga huyu jmn ni crush Wang kbs😂😂😂😂
@BongoPlus8 күн бұрын
ohhhhh me too i'm your crush !!
@TwobirdTwobird10 күн бұрын
Muache unafiki wandishi wa habari mkalibisheni mgeni vizuri yeye kasema hanaieshimu sana ya muziki na siyo kumtambua msani mmoja mmoja Tanzanian🤔
@yusuphmpate168910 күн бұрын
Wasanii wa Tanzania bado mna Kaz sana
@dreusebiusjmikongoti2485 күн бұрын
Shanapalaa 💪
@massoudsaid78196 күн бұрын
Dully sykes anamjua huy ila mond na kib hawajulikan
Huyo ni first class ya wa sanii duniani,huwezi kumuuliza kama anamjua diamond
@herijaphet10 күн бұрын
Syo mbaya, sasa ndiyo atawajua kashafika kwao. Kuna ukubwa na ukongwe. Kujua kitu kunaletwa na sababu. Syo mnabeza kila kitu. Na msihusudu watu km wazungu enzi za ukoloni. Acheni upumbavu. Kuweni na akili hata za kuvukia barabara basi
@ZakiaAlRamadani7 күн бұрын
Sisi wenyewe harumfahamu😂
@TesileaiaNestoly11 күн бұрын
Khaa uyu kaka mkavu 😂😂😂 ata kuzuga nawajua wap tena ana fikilia kabisa alafu I don't know them kheee😂😂😂
@ScopionScopion-zj9cd11 күн бұрын
cheni moja2 halafu msaani mkubwa kinoma ila uyo mke.wa. P Diddy sasa ebn minyororo kama mtumwa kafugwa shingoni
@VenantMshema10 күн бұрын
Mbana hivyo Tena 😂😂😂
@KhadijaMasoud-d2z9 күн бұрын
😂😂😂hupendaga comment za wabongo mm
@IamLastPrince_10 күн бұрын
Sean paul ana nia mbaya kusema umjui mtu imaanishi uko na ubaya nao kwa sababu inawezekana kuwa kweli ajui ayo majina
@MrA24G10 күн бұрын
@iamlastprince wenzetu ulaya hawana muda wa upuuzi watu wapo kikazi zaidi wamemalza.Hamjui huyooo mnamjuwa nyinyi ambae mitandao ina circulate humu.Marekani ina majimbo 50 na kila jimbo lina sheria zake mfumo wake na kila kitu.Kuna wazungu ukiwauliza mambo ya kwao hawayajui sembuse ya humu.Kaja kikazi afanye kazi simple
@devidjav35833 күн бұрын
Wabongo mnadhani diamond na kiba ni wasanii wakubwa😂😂😂
@fridageorge28099 күн бұрын
Anajishauwa tu! Sura yake tu inaonyesha anaujua vizuri wimbo wa comasava!
@kassimkalole88347 күн бұрын
Hajui bwana komasava na Jamaica wapi na wapi
@kassimkalole88347 күн бұрын
Hata Jason Derulo mwenyewe hamuwezi Paul
@KhadijaMasoud-d2z9 күн бұрын
Nimekumbua ujio wa Shagi madada poa walikodi nusu ya hotel bahati mbaya akaja na mupenzi wake wakwetu wakala hasara😂😂
@EdnaWilliam-f4c6 күн бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@BigmoneyF..X7 күн бұрын
Why are you surprised SP not knowing Diamond , he knows Fuse They Got a record togetha ..
@KayBishop-n8q9 күн бұрын
Kasema simjui diamond siyo Ali kiba kwanini asimjue ali kiba Wakati anafanya nae show
@leskarmeikok89569 күн бұрын
Huyu jamaa ameleta dharau ya wazi wazi
@deogratiasbav11 күн бұрын
Huyo amesahaulika kitambo tena habari ya mziki hana
@qtrqtr80169 күн бұрын
YEYE NI NANI AKO DOWN KI MUZIKI NYIMBO ATAIMBA NI ZA KITAMBO
@MohammedJaizan-yf5yt11 күн бұрын
Waandishi fanyeni home work yenu kabla ya kuuliza maswali
@kiatu11 күн бұрын
Unapidhani bongoflava ni muziki maarufu 😅
@vinny.morales8 күн бұрын
Sasa amjue Alikiba na Diamond ili iweje?😂
@RojaKit10 күн бұрын
Muulize Khaligraph Jones na simpo boy wa Kenya anawatambua. Ila Mondi hadi aliwe ndio ajulikane😂😂😂😂
@josephntungiye6232 mbwa mla mafi wewe shule hujakanyaga sawa na mamako nyinyi wote hadi mliwe na wanaume ndio wadogo zako wapate chakula. Idiotsa. Fckn fo*l.
@muh422512 күн бұрын
Yni Tanzania ovyoovyo ss ndo maswali gn ayo..yn ppl are just there to drag ppl down wtf...ss unauliz swal ilo il uprove nn?
@MsNajma-j7e11 күн бұрын
Wasenge sana wandishi wa habari wa tz uyo domo anamsaidya nn mbaka hamjue
@hesbornhamisi17343 күн бұрын
Portuguese Jamaican henrique Sean Paul 🗡️🗡️🗡️🗡️⚔️⚔️ great sheriff show top notch extravaganza promo for juiciest expensive concert addicts the tour living up to the satisfaction !! Happiest sixty nine Sean Paul birthday 🎂🎂🎂🎂🎈🎈 bash selfie 🤳🍔🍔🍔🍔🤳🤳🤳 Champagne 🍾🥂🥂🥂
@MaduhuSeen10 күн бұрын
Kwan mkimjuwa nyie diamond razma na yeye amjuwe achen hvyo
@imrannuhu27846 күн бұрын
Kwani mimi mnanijua
@agwalubifaridah707911 күн бұрын
Sasa watz mnalia nini kama Sean. Paul amesema hawajui Dai na kinanc mkubali tu...😂😂
@rufuskeja64908 күн бұрын
Huyu jamaa namkubali sana sio msanii wa hovyo. Tena sio lightweight kama pofu la bia. Ni bia zito yenyewe hii... nazipenda sana baadhi ya ngoma zake zina mshiko na maudhui makali. Nkutolee mfano ...ngoma moja inaitwa "nuh no go so" 🔈🔉🔊.....(From yuh never lie with another man inna bed 🛏️ ✋😵🤗 Tell dem mi seh nuttin' nuh go so) (And yuh never sex a gyal when she under code red ♥️🍒 😋💕😵 👐Tell dem mi seh nuttin' nuh go so) 😂.... Kama unaipenda hiyo ngoma gonga like!!!
@BongoPlus8 күн бұрын
Umetisha kaka!
@MauroZaratte-r4r11 күн бұрын
Hahahaha 😂jamni si lazimishe vitu ambavyo hakuna
@HighTemper-x9e11 күн бұрын
Sean Paul ni sawa na mrisho mpoto ....wasanii kama Jason Derulo wanamjua diamond yeye ni mtoto mdogo sana
@redtk297111 күн бұрын
WE NI KUMA USIEJUA CHOCHOTE
@josamjoel207911 күн бұрын
Sean Paul ni msanii mkubwa sana afu Diamond anajulikana Africa na baadhi ya sehem huko Marekan sio kweli kwamba anajulikana dunia nzima hata p diddy alivyoulizwa alikuwa hamjui ila ndio wakajuana pale
@isayamsisika625511 күн бұрын
Utakuwa umezaliwa juzi, uyo Jason ni kinda sana
@Lastbornecadet11 күн бұрын
@@isayamsisika6255uyo Jamaa kazaliwa mda kidogo Ila cm amepata nyuma Sana ,na kipindi analelewa yawezekana walikua naishi shamba 😂 saivi Kuna watu walifungwa jela kipindi Chino hajaanza kuimba usikute hawamjui eti😂
@Lastbornecadet11 күн бұрын
Sio kosa lako , ulizaliwa na kukulia shambani alafu cm umepata chelewa sana
@FahadAli-ni5eu11 күн бұрын
Hueziamini km anakaa jirani na shaggy na watoto wao ni marafiki
@AwaziRajab11 күн бұрын
Kosa Kubwa Wana Habari Ndo Wajinga Sasa Mtu Kaja Na Mambo Yake Wewe Unaleta Habari Za Daimond Ali Kiba Hu Ni Ujinga Uyu Ni Star Kimuziki Sasa Ukimuuliza Habari Ya Daimond Au Ali Kiba Aya Ni Matumizi Mabaya Ya Akili Aipoti Ebu Angalieni Wana Habari Wenye Kukaa Apo Wengine Habari Zao Uswazi Alaffu Wanakuja Kukaa Aipoti Na Maswali Yao Ya Ovo Ambayo Hata Mtoto Ataki Kuyasikia Unazani Ajui Kama Kuna Mwanamuziki Daimondi Anajua Anajua Kutokana Na Daimond Kufanya Muziki Na Wasanii Wa Marekani Anajua Kama Daimond Ndo Taifa Lake Lakini Akisema Ajibu Maswali Ya Ovo Mtamuandama Mpaka Mtaitaji Yeye Amuelezee Daimondi Kuliko Wewe Umuelezee Yeye Kuusu Daimond Wenye Akili Wamejua Swali La Kijinga Na Ajapenda Kujibu Ujinga Kwakua Akuja Kimuziki Amekuja Kutalii Wana Habari Acheni Maswali Ya Usumbufu Kwa Watalii Mana Kile Anachokikuta Tz Ndicho Ataenda Kukitangaza Kama Anakuta Usumbufu Ataenda Kutangaza Usumbufu Maswali Gani Ayo We Muziki Wetu Daimond Ndio Anakaza Kuvuka.Mipaka Bado Anapgwa Majungu Oh Ali Kiba Ali Kiba Alianza Kuimba Zamani Aliwai Kufanya Kazi Na Wamarekani Daimond Ndio Dereva Wasanii Wote Wajitaidi Kuakikisha Wanakua Pamoja Na Simba Mana Akitoka Kwenye Gemu Msitegemee Muziki Kuvuka Zaidi Ya Apo Kwenye Bongo Move Tumeona Kanumba Kupotea2 Move Zipo Lakini Azivuki Tumebaki Na Comedi Na Maigizo Ya Kichawi2 Kujenga Kizazi Cha Kichawi Tz Ebu Kuweni Na Matumizi Mazuli Ya Maulizo Yenu Mnajizalilisha Bule
@mtwabryan45696 күн бұрын
Mwandishi fala Sana rudi shule
@andrewstephen79229 күн бұрын
Tafuteni kolabo jamani mjulikane
@KhadijaMasoud-d2z9 күн бұрын
Bongo flever ameitaja kma kwa kiswahili nani kaskia hili
@daudidaudi96410 күн бұрын
Huwa nawaambia ila mnakuwa wabishi Colĺabo nyingi za huyo diamond wenu huwa zinabakia kuchezwa tu bongo halafu nyie na akili zenu za limbukeni mnasema eti wa kimataifa. Ni kama kupata nafasi ukapiga picha na ronaldo ukaweka kwenye profile yako kujisifia eti nyie marafiki kumbe ronaldo mwenyewe hana hata habari kama alishawahi kuwa kwenye picha kama hiyo.
@nicksonwekesa954910 күн бұрын
Sean Paul: It's good to be back. The MF: It's you first time?
@rufuskeja64908 күн бұрын
😂😂😂 hiyo joke ni kali! Thanks.
@mimibusarachibu11 күн бұрын
Halafu anamfollow Mondy😂😂😂kwanza Mondy ana followership kubwa kumliko😂😂😂burukenge tu
@Lastbornecadet11 күн бұрын
Tatizo followers na subscribers wa wabongo hua ni inactive😂 ndomana DIAMOND Ana subscribers wengi Ila anashindiwa views mpaka na rema😂
@rajumrecords71111 күн бұрын
Eti komasava...😂😂😂😂. Mnatafuta Kiki Kwa Star wars Dunia. Nenda Disko Vumbi ukaulize kuhusu Komasava. Huyu ni Msanii wa Dunia kama ulivyo muona very simple.
@HighTemper-x9e11 күн бұрын
Dunia ipi ? Huyu haingii hata kwa chrisbrown ....Sean Paul ni kama mrisho mpoto Wasanii wa dunia ni kina Drake kina Kanye west sio huyu Banana Zoro
@josamjoel207911 күн бұрын
@@HighTemper-x9e sorry ila utakuwa umezaliwa juzi
@isayamsisika625511 күн бұрын
@@HighTemper-x9eujui kitu wewe uyu ni miongoni mwa ma big giant wa mziki duniani 😂😂😂😂
@rufuskeja64908 күн бұрын
😂😂😂🤝✋ tosha bhana! Ataumiza watu mbavu jmn. Hatuna hela ya masaj.
@DeeDan-sj1mr11 күн бұрын
Xax tutamlazimixha awajue wakat kaxema hawajui😂😂😂
@beatbyrich28917 күн бұрын
HAHAHAHAHAH THIS IS SEAN PAUL hahahahahaahahahahahahahaha safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@VibeScott9 күн бұрын
Ata yeye atumjui fala yeye
@mahewasamwel90016 күн бұрын
Sean Paul hawezi kuwajua hao wapiga kelele wenu mnaosema wasanii alaf awajue wana status gani mpka sean Paul awajue
@mimibusarachibu11 күн бұрын
Tuko tofauti, Kuna watu tuko Afrika ila tunajua sana yanayofanyika sehemu nyingine halafu Kuna wale wasiojua chochote! Kwa hiyo hatuwezi tukamlaumu
@Jay_Humble-h8f11 күн бұрын
Aache ujina sean paul anamjua diamond_Platnumz yan Diamond amefanya ma hit song na wasani wakubwa marekani na isitosh zote ni hiti sema amekata kukubali kama ana mjua ili asijidai
@MrA24G10 күн бұрын
@@Jay_Humble-h8f wewe jay sijui umezaliwa wapi wenzetu hawapo hivyooo kwanza hawapendi misifa.Mimi nlimuona Bill clinton hapa znz alikuwa simple tuu.Hawana sifa wenzetu na hawapendi shobo za kijinga kila mtu na time yake na hawana muda wa umbea umbea wa kijinga.Halafu kwa wenzetu msanii ili ajulikane sanaaa awe na impact ktk jamii.Positive si unaona kina Rihanna, bono wana support education na vitu vizito undp wapi.Shobo shobo hawana.Ndio walivyo kaishi nje utaona walivyo hiyo time ya kupiga story za umbea hutakuwa nayo.
@qtrqtr80169 күн бұрын
HUEZI JUA KILA KITU
@careemdulla16299 күн бұрын
Unafiki tyu tafuteni kazi za kufanya achaneni na maisha ya watu
@JamesMwandoje11 күн бұрын
Sean paul hta mier si mjui....kna dharau kabwege Ako ila Tz anaijua afuuu Sean Paul ni shoga
@NtakarutimanaIriho11 күн бұрын
Hmmmm Huo anachukua mashoga sana naona humufwatiliye wewe
@JamesMwandoje11 күн бұрын
Sanaaaaa
@Lastbornecadet11 күн бұрын
Muandishi aliendaa maswali yake vizuri tu ,ila bahada yakumuona mwamba sean paul akapagawa vyote vikapanguka akajikuta maswali yanamuendesha 😂😂 meaningless questions ever😢 tatizo mkiambiwa fanyeni tuitions mnakua wabishi
@MrA24G10 күн бұрын
Issue @lastbornetcadet tukasome tuache upuuzi.Ukiwa muandishi wa habari na unakutana na international artist kwanza uwe umepangilia both Questions katika level ya kimataifa,level ya kikanda,level ya kijamii,historia yke kidogo ili umma uweze kumuelewa au kukumbushwa.Tatzo hatupendi kusoma that's why.
@denson.d.johnmsabi319411 күн бұрын
Huyu Jamaa n kama T.i.d mpaka dharau, hv kwa dharau za T.i.d unahisi anaweza kwenda Kenya akakubali anamjua Otile brown 😂😂😂😂
@michaelthobias996711 күн бұрын
Hawajui kwanini adanganye mziki wetu haujatoboa
@josamjoel207911 күн бұрын
Huyu ni Jamaica sio mmarekan inwezekana hamjui kweli diamond Africa nzima anajulikana lakin sio ulaya na Asia yote
@@AwaShabanmengi ya hivi ata ukilikamata ni huruma tuu, maana ata kujieleza shida
@SeifJuma-l8t11 күн бұрын
Sasa kama yeye awajui wasini wetu wa Tanzania ata na sisi atumjui atoke zake
@nashnene632611 күн бұрын
Kwan yeye ndio nan? Hatumjui sisi pia
@williamkeita151911 күн бұрын
Uwezo wake enzi hizo ashapitwa na wakati
@britonkanumba682811 күн бұрын
Kajisemea tu ila anajua kabisa kuna wasanii Tz
@Kasika-hi6hf11 күн бұрын
Anaweza kua anajua but hawajui majina mzee, tusiwe tunafosi, Tanzania bado hatuna international artist
@HenryNuhu11 күн бұрын
Mbona anatembea kama kipov
@PapiiMalvin11 күн бұрын
Presenter rudi shule 😂😂ume choma aisee
@rasvuaimarley404911 күн бұрын
Namkubali kijamaica km kawa
@fatmasalim829311 күн бұрын
Huyu ana dharau vipi humjui diamond au ali kiba hii ni dharau
@Mbinga_019 күн бұрын
Apo Sean Paul ndo yupi
@BinSultan-t5g8 күн бұрын
Bila shaka ww ni WA 2000
@Mbinga_018 күн бұрын
@BinSultan-t5g Nakuletea watu mia wa miaka yenu ya tisini iyo alaf tuwaulize Sean Paul ni yupi kama watamjua
@G.r.e.a.t.I.Q7 күн бұрын
Ebana! Kafanana na Anu(Anuar)!
@muzafarsharif946511 күн бұрын
Kumbe kwao ni jamaica sio america
@LutenganoCharles-d7t11 күн бұрын
Nasikitika tu kwamba atajuta kuja tz akiwa anaperfom amuulize rickross alitaka kulia kila akitaka mashabiki waimbe nae bahati mbaya ngeli haipandi mashabik ako bzy na selfie nyimbo zake hawazijui, amuulize wizkid na tiwa saveji shaw ya wasafi festival kinondon wabongo wengi hawajui nyimbo za kingereza wanamzk wa nje wanapata shida saba kuimba nao mashaki mwanzo had mwsho wa shaw
@josamjoel207911 күн бұрын
Njia za huyu jamaa unazijua lakin 😅😅😅😅 sio rap au hip hop ni nyimbo na zinaimbika kinyama acha kabisa
@MrA24G10 күн бұрын
2004 alifanya show hapa diamond jubilee mashabiki walikuwa wengi tuu.
@Mrmohadi.OFFICIAL11 күн бұрын
Ana wajua ban anatuzuga tu
@AmosMagesa11 күн бұрын
Amemleta Nani bongo
@SINDANOALY11 күн бұрын
Kwanza huyo nimnafiki mshamba usimjuwe diamond hiii tanzania 🇹🇿 utamjuw nanni