SEHEMU YA PILI YA SOMO LA KUSHINDA ROHO ZA MADENI

  Рет қаралды 55,190

CHIEF APOSTLE MTALEMWA BUSHIRI

6 жыл бұрын

Пікірлер: 133
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 3 жыл бұрын
Amen
@petermudagale8015
@petermudagale8015 2 жыл бұрын
Good teachings
@mycustomer6796
@mycustomer6796 3 жыл бұрын
Hakika nitalipiwa deni na kutoka katika utunwa wa roho ya madeni,,ahsante yesu!
@Raminlee27
@Raminlee27 2 жыл бұрын
Amen apostle
@hoglawawuda8145
@hoglawawuda8145 4 жыл бұрын
Amen..pastor unanitia moyo
@pidiusdominic3673
@pidiusdominic3673 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@ochuodhoisaya9017
@ochuodhoisaya9017 5 жыл бұрын
Wonderful teachings, BE BLESSED CHIEF
@Lilian-su9jv
@Lilian-su9jv 2 жыл бұрын
Apostle pray for me because Niko na madui in my spiritual ray.kuna mwenye amesema nimejunga Na maubiri za kitanzani .Na happy spirit ya kusikiliza maubiri ikatoweka ndani mwangu.
@chorwett
@chorwett 6 жыл бұрын
Wow......It’s the first time I am watching this man of God.....all I can say is Major 1 is an amazing mentor and the anointing of God upon this Apostle is too much. I bless the name of God of Major 1. Apostle Mutalemwa you are a blessed man of God. I honour the anointing in this house!!!!
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 3 жыл бұрын
Hakika Mungu amejifunua ndani yako . Binafsi nimemshangaa Bwana Mungu atukuzwe kwa neema hii kubwa.
@felisteraloys8157
@felisteraloys8157 6 жыл бұрын
Thank for the teachings dad,may God bless you and increase You in Jesus Name.
@sophykedogo9738
@sophykedogo9738 2 жыл бұрын
I receive Amen 🙏 Amen 🙏 Amen stay blessed Apostle
@mkomolej.a.848
@mkomolej.a.848 6 жыл бұрын
According to Proverb 19.17 ISV "Whoever is kind to the poor is lending to the Lord the benefit of his gift will return to him in abundance" Oooh...! GOD, I submit the case AMEN
@Rachel-ni7jy
@Rachel-ni7jy 3 жыл бұрын
Bless you pastor for is word Of God iam total blessed and I didn’t not know about this. God bless you indeed 👏🏽👏🏽👏🏽
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
apostle mtalemwa Mungu alibariki na zaidi kukupa maisha marefu tuendelee kupata speech adhimu zilizokwenda shule
@SonofMajor1
@SonofMajor1 6 жыл бұрын
Am ready missing Chief aisee...powerful teaching mnooo.Am Implementing it and am blessed when helping the needy. The give you blessings and make you happy. Ahsante sana Chief Apostle kwa mafundisho i love you sana.
@mariamapuga1829
@mariamapuga1829 6 жыл бұрын
Asante Chief .Nakupenda sana Chief.
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 4 жыл бұрын
Hata kwenye mtandao tunakupata hatujaokoka ila tunakufatilia vizuri tunakuelewa amen
@lanimadato7624
@lanimadato7624 2 жыл бұрын
Mariam Benjamin nipo katari doha Ameen
@edwardmachemba4323
@edwardmachemba4323 5 жыл бұрын
Hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa, mtumishi nimekuelewa sanaaaaa piga injili Baba
@teddymnange2499
@teddymnange2499 3 жыл бұрын
Hakika nimekuelewa Sana,tayafanyia kazi naamini Mungu amelipa madeni yangu
@peaceanexavery7197
@peaceanexavery7197 6 жыл бұрын
Amina, nitalipa kwa jina la Yesu
@NicasRichard
@NicasRichard 29 күн бұрын
Napokea kwa jina la YESU
@doriskivesa6264
@doriskivesa6264 6 жыл бұрын
Ah powerful nimebarikiwa sana
@kajujumary6729
@kajujumary6729 3 жыл бұрын
Powerful message I love it.
@joycemushi248
@joycemushi248 3 жыл бұрын
Yesu nilipie madeni yangu yotee napokeaaaaaaa kwa jina la yesu
@Devothakimei
@Devothakimei 6 жыл бұрын
somo lilieleweka sanaa, Mungu akutunze
@damarisgatwiri1587
@damarisgatwiri1587 9 ай бұрын
I receive in Jesus name
@AlexanderMwinzi
@AlexanderMwinzi Жыл бұрын
Hapo apostle
@happyjohn7630
@happyjohn7630 3 жыл бұрын
Sijawahi sinzia nikiwa nakusikiliza man of God .my god bless you uwa nailewa bible Yan km nimeenda shule Mungu akubariki sana
@pastorchrissumary5997
@pastorchrissumary5997 6 жыл бұрын
Nice preaching straight forward
@tumaswai819
@tumaswai819 6 жыл бұрын
That's my mentor chief Apostle nimebarikiwa mnoooooo kupita maelezo
@Rachel-ni7jy
@Rachel-ni7jy 3 жыл бұрын
I receive in Jesus name,have mercy on us lord 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@helenaelinipenda9543
@helenaelinipenda9543 3 жыл бұрын
God bless you chief apostle
@mariamapuga1829
@mariamapuga1829 6 жыл бұрын
Powerful
@Lilian-su9jv
@Lilian-su9jv 2 жыл бұрын
Niombee mtumishi MTU Anita shika nyuma kiroho Na kunirusha.naitaji baraka ya yesu.
@mchungajisecilia8029
@mchungajisecilia8029 3 жыл бұрын
Uishi milele mtumishi wa Mungu
@lailatlasway7188
@lailatlasway7188 6 жыл бұрын
Nice brother
@favouredfreda283
@favouredfreda283 5 жыл бұрын
Leo nimejifunza neno kubwa sana nitalifanyia kazi kwake mwenyezi mungu
@user-em6bg9ue2d
@user-em6bg9ue2d 4 жыл бұрын
Asant chef uyo anaesema ohhh yes ananikera acha tumikirize Chef kaziyaketu ooooh Yes acha tusikiye Neno
@doricaxnsemwa5427
@doricaxnsemwa5427 5 жыл бұрын
Songa mbele Mtumishi wa mungu
@rutagandajohn337
@rutagandajohn337 5 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen
@jinasasabuni2419
@jinasasabuni2419 Жыл бұрын
Nabalikiwa sana na mahubili haya
@nyansomunda571
@nyansomunda571 5 жыл бұрын
Nimeelewa neno barikiwa baba I receive
@bahatinella4074
@bahatinella4074 3 жыл бұрын
Asante Sana kwa kuamsha akili
@arthurmwakanyamale7651
@arthurmwakanyamale7651 6 жыл бұрын
Asante mweeeeeeeeeeeeeee
@ignasmchila5377
@ignasmchila5377 5 жыл бұрын
Kwa kweli Yesu amenilipia deni
@thomasgodfrey8421
@thomasgodfrey8421 5 жыл бұрын
Mungu akupe mafunuo zaidi.Umesema kweli wa Mungu.
@johntausi1375
@johntausi1375 3 жыл бұрын
Jaman vifungo vyamadeni vimenifunga muda mpk nikayakatia tamaa nimeonekana nimezulumu mana kilaelanapata nalipa madeni ikaatua nikasema mungu Hi I zambi niyangu nimeyumba sana achanijipange kibiashara lkn kumbe nimejua namna yakulipa nanitatii jaman mungu akubariki
@SaraMtei001-fe2yp
@SaraMtei001-fe2yp 9 ай бұрын
Kwakwel yesu amelp maden yangu yote
@rutagandajohn337
@rutagandajohn337 5 жыл бұрын
Barikiwa
@joycejumaa7181
@joycejumaa7181 4 жыл бұрын
Namini nimelipiwa Deni langu na Yesu
@johntausi1375
@johntausi1375 3 жыл бұрын
Mungu a sante
@lyingamwazyunga7823
@lyingamwazyunga7823 6 жыл бұрын
Ohhh yes
@alnordngonyani164
@alnordngonyani164 4 жыл бұрын
Ameni apostle I receive
@lyingamwazyunga7823
@lyingamwazyunga7823 6 жыл бұрын
Asante sana Chief wa watu 10G+
@aishagodelive8102
@aishagodelive8102 3 жыл бұрын
Ubalikiwe
@yohanaezra1059
@yohanaezra1059 6 жыл бұрын
Barikiwa Chf
@janemsema8391
@janemsema8391 5 жыл бұрын
Mungu akubariki apostle mtalemwa
@annahayasanday7174
@annahayasanday7174 3 жыл бұрын
Leo napona
@julianamsofe6445
@julianamsofe6445 6 жыл бұрын
poweeeer
@rozamuhadohaysi9724
@rozamuhadohaysi9724 4 жыл бұрын
merci pour votre évangelisation
@tumainkivamba2153
@tumainkivamba2153 6 жыл бұрын
GRACE
@lyingamwazyunga7823
@lyingamwazyunga7823 6 жыл бұрын
Best somo ever hakika tumepata dawa ya deni iyeeeee
@janetngana9237
@janetngana9237 5 жыл бұрын
lyinga mwazyunga MUNGU atusaidie sana
@mollelshange2412
@mollelshange2412 5 жыл бұрын
Amina
@doreenkagusa6432
@doreenkagusa6432 5 жыл бұрын
Amen
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 3 жыл бұрын
Umeongeya Kweli Mtumishi
@annajoseph425
@annajoseph425 3 жыл бұрын
I receive
@deborahndosi9138
@deborahndosi9138 4 жыл бұрын
Eeh Mungu wa Major one naomba unirehemu n kweli nilikuwa sijui Kama n wewe Bwana ee Mungu nisaidie kuwatendea mema watu wote ninao wajua na nisiyo wajua
@AlexanderMwinzi
@AlexanderMwinzi Жыл бұрын
Welcome Kenya makueni ulete ufunuo iii
@dorcasmaina5169
@dorcasmaina5169 Жыл бұрын
Naomba kulipiwa madeni
@revmusafiripatrick7817
@revmusafiripatrick7817 4 жыл бұрын
Namimi mungu anilipiye. deni la 10mill
@lightnesselia765
@lightnesselia765 5 жыл бұрын
mmmmh ila jamani, one day yes mung atarudi kumlipa kila mmoja sawa na matendo yake
@dullyprinc7886
@dullyprinc7886 6 жыл бұрын
harafu uyo anashika maiki anaongea kweli jamani acha tusikilize neno muhemko Wa nini wore tunashangwe tukiliweka atasikika nabii
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 4 жыл бұрын
Usijaribu kuaply huu mfano kwenye ofsi ya watu eti uwaite wadaiwa nakuwapunguzia madenu yake utapata kesi ya uhujumu uchumi huu mfano ni wakiroho zaidi ,
@Grace-ts2rf
@Grace-ts2rf Жыл бұрын
I hope you have abandoned those chiefs, oh yes na mengine... Semeni Amina katika roho
@lilikaaya2605
@lilikaaya2605 2 жыл бұрын
sehemu ya kwanza mbona siioni humu youtube
@carenesendi4623
@carenesendi4623 5 жыл бұрын
Natamani ungekua hapa karibu nije kwenye kanisa lako
@sigudaud2301
@sigudaud2301 Жыл бұрын
nimebarikiwa asubuhi hii mnoo sikujua miaka minne kuna hii kitu na ninateseka aisee
@agneshassan4712
@agneshassan4712 3 жыл бұрын
Mtumishi umenipinya ninashinda nikikwama naomba wenye pesa.sinaga bahati ya kupata .kumbe nikikwama nisaidie muitaji aloechiniyangu
@modekaimgisha2684
@modekaimgisha2684 6 жыл бұрын
Iyeeeeeeeeeee
@dullyprinc7886
@dullyprinc7886 6 жыл бұрын
mbona amji mikoan uku nasi tupate unabii in DSM tu ndo kunawatu jamon
@bartonntimba1223
@bartonntimba1223 4 жыл бұрын
Hili kanisa lipo maeneo gani? Anaejua anisaidie
@rutinwamuhamba6340
@rutinwamuhamba6340 4 жыл бұрын
Barton Ntimba Makongo juu Dar
@carenesendi4623
@carenesendi4623 5 жыл бұрын
Napenda Sana unabii wako nakuona yu tube Caren from kenya
@tummahpretty8645
@tummahpretty8645 6 жыл бұрын
Hili somo nabii linanihusu kabisa
@isackkadilo9352
@isackkadilo9352 3 жыл бұрын
Nimelipiwa deni
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 2 жыл бұрын
Hahahaha, Tuchukuwe madeni ili Mungu aje ku clear???
@godwilljesus3505
@godwilljesus3505 6 жыл бұрын
Please do we have ECG IN KENYA ?? I WOULD LIKE TO KNOW
@SupernaturalRevelations
@SupernaturalRevelations 6 жыл бұрын
Oh yes. Nrb
@caritasmushi4092
@caritasmushi4092 5 жыл бұрын
Ili somo nabii linanihusu kabisa
@marrymohamed412
@marrymohamed412 6 жыл бұрын
Namimi Mungu amtume mtumishi wake popote alipo deni la 369,000/=linanitesa saana namba yangu ni 0788127715.Mungu anisaidie!!
@matridalule9918
@matridalule9918 4 жыл бұрын
😂😂😂😂we Kaden ako mm milio n mbil keshi
@user-md7xn9ez9t
@user-md7xn9ez9t 5 ай бұрын
Am very confused pastor why in your church women wear trousers??
@ianmaseko6272
@ianmaseko6272 6 жыл бұрын
Pastor kanisa lipo wapi siku moja nije nitembelee ? Hakika nimebarikiwa sana, somo hili limejengwa katika msingi wa upendo i can see !! Upendo husitiri wingi wa dhambi, sasa nimeng'amua. Barikiwa Mtumishi wa Bwana. Nahitaji sana kuja kutembelea church one day, 0629139123/0684215215 please let's communicate Pr
@elisha5693
@elisha5693 6 жыл бұрын
Naomba msaada mtu yeyote anilipie deni la laki 4,kwakweli hili deni linanitesa sana.namba yangu ya m-pesa ni 0757 21858 jina Elisha,Ahsante na Mungu ambariki yeyote atakayeguswa .kunisaidia.mimi ni mwanafunzi niko chuokikuu mwaka wa 2
@elisha5693
@elisha5693 6 жыл бұрын
Namba yangu ni 0757218582
@thomasgodfrey8421
@thomasgodfrey8421 5 жыл бұрын
Fuatilia somo vizuri,Ni jinsi gani Mungu atakapo muinua Mtu akulipie.Sio ww ujitafutie wa kukulipia.
@bonifacemmassy5523
@bonifacemmassy5523 5 жыл бұрын
Ukitaka kulipiwa Deni kaa katika utii wa Mungu hakika hutaweza kuamini
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 3 ай бұрын
Elisha laki 4 ngoja nikupe yangu ni milioni 15 nadaiwa na sijui pa kupata natamani kukimbia dunia
@dullyprinc7886
@dullyprinc7886 6 жыл бұрын
prophet hayo maneno unayotoa ni kunena kwa lugha au ndo style yako
@gainambalase4160
@gainambalase4160 6 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu huyu anapatikana wapi? Tafadhali nisaidie namba yangu ni 0743 601904. Asante kwa msaada wako na Mungu akubariki sana.
@sheltermnzava8096
@sheltermnzava8096 5 жыл бұрын
Kanisa liko wap? Mbona no zenu hazipatikan
@gerumanaanatoly1355
@gerumanaanatoly1355 5 жыл бұрын
Piga tena
@julianlukindo4623
@julianlukindo4623 5 жыл бұрын
Ila kanisani lipowapi dar? Uwe unatangaza
@tuttibujiku2544
@tuttibujiku2544 5 жыл бұрын
Makongo Juu kituo cha basi Machine au kanisani
@claudetambwe6674
@claudetambwe6674 5 жыл бұрын
Hao wanaosema yes kila mara, waache, kwasababu wanasema maneno ambayo it doesn't make any sense. Can you, please, stop saying that word yes kila mara Kwanza wewe sio muhubiri, why are you making kelele. God bless
@rebecamichael5594
@rebecamichael5594 4 жыл бұрын
Somo limenigusa sana ninamadeni nisaidieni namba yangu ni 0764726366
@naomilemi4717
@naomilemi4717 5 жыл бұрын
kanisa ni neno. lenu linajengwa nn. injili hakuna. mbunguni no
@elisha5693
@elisha5693 6 жыл бұрын
Namba yangu ni 0757218582
@abelsj9964
@abelsj9964 6 жыл бұрын
These are typically doctrine of devils (1st Timothy 4:1)
@SonofMajor1
@SonofMajor1 6 жыл бұрын
This is what we call loving a man of God mpaka unakuwa chizi. Kusema kweli unampenda sana Chief wa watu Abel. Endelea kujifunza ipo siku utapata unachotafuta tu. Cybercrime on the way just wait and see.
@julianamsofe6445
@julianamsofe6445 6 жыл бұрын
Chizi wewe unafuata nini hapa kama Humpendi, wewe unampenda sanaaa unahangaika kila sehemu kumtafuta mwenyewe una madeni mpaka basi unakuja kuiba nondo zetu halafu unaleta ujinga hapa ebu tuondoleee kiwingu kama hupendi si uondoke unanadika ujinga ujinga kwendraaa acha kutuibia mafundisho yetu baki na madeni yako na umaskini wako uiliojaaa mpka kwenye akili yako kutwa kuchungulia page za watumishi wa MUNGU si ufanye yako hatukutaki hapaaaaaa kwendraaaaa Jezebel wewe
@graysonsekimanga5821
@graysonsekimanga5821 6 жыл бұрын
wewe acha kukosa imani unaboa sana lakini haina shida maana hata Yesu alisingiziwa kuwa anatoa pepo kwa mkuu wa mapepo
@abdulmingange7416
@abdulmingange7416 5 жыл бұрын
Aaaaaaah Mungu ni mwema kwakila jambo
@tuttibujiku2544
@tuttibujiku2544 5 жыл бұрын
Waefeso : Mlango 4 11 Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;
@enlightenedtv7231
@enlightenedtv7231 6 жыл бұрын
false and fake prophets acheni kuwaibia watu kwa kuwahadaa watu 1 sasa hivi hakuna Nabii unajiita wewe mwenyewe Mathayo 11:13, 1wakorintho 13:9-10 kumbukeni mtahukumiwa kwa kila tendo mnalolitenda
@graysonsekimanga5821
@graysonsekimanga5821 6 жыл бұрын
Amini manabii wa kristo acha ubishi
@graysonsekimanga5821
@graysonsekimanga5821 6 жыл бұрын
Siku zote Mungu hutumia mtu hawezi kushuka yy kama yy eti akuondolee tatizo lako hata hivyo wana wa Israel iliwabidi wamwamini Musa kuwa Mungu amemtumia awaokoe.ww vp acha ujinga wa kuto fahamu maandiko
@kephamuro9410
@kephamuro9410 6 жыл бұрын
WAONGO SANA HAWA MANABII, SHIDA YAO KUU NI PESA NA NGONO KWA WASHIRIKA WAO.
@tuttibujiku2544
@tuttibujiku2544 5 жыл бұрын
Waefeso : Mlango 4 11 Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;
@deboraadam6379
@deboraadam6379 5 жыл бұрын
waongo tu hawa
@lidasimon1807
@lidasimon1807 Жыл бұрын
Amen
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 3 жыл бұрын
Hakika Mungu amejifunua ndani yako . Binafsi nimemshangaa Bwana Mungu atukuzwe kwa neema hii kubwa.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 16 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 57 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН