Seikh MWAIPOPO Amlipua Askofu BAGONZA na Askofu MWAMAKULA, Kisa Mkataba wa BANDARI Asema.........

  Рет қаралды 1,218

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks Жыл бұрын
Hongera sana sheikh! Endelea kuwazindua na kuwaelimisha WATANZANIA@
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Жыл бұрын
kwaiyo waislam wote wapo ccm?
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Жыл бұрын
fugeni ndevu munyolewe
@JuonrBraya
@JuonrBraya Жыл бұрын
Ivi uyu akili yake ipo peponi make anavyo viongea nisawa na mtu aliyechanganyikiwa
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 Жыл бұрын
Mmh kwan unaongea nn we kiumbe mbona hatukuelewi naomba na mm unipe hyo conection ya aliekupa ela ili uje kuongea hayo maneno...😅
@williams979
@williams979 Жыл бұрын
Unatumalizia bando
@johnphaceluhigilo-zy7on
@johnphaceluhigilo-zy7on 11 ай бұрын
Unacho walaumu wenzio nawewe unafanyahayohayo unawachagulia waisilamu wenzio chama wewe mwehukabisa
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Mwaipopo sio shekhe mbn mnampa jina na sifa ambazo hanazo
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Жыл бұрын
kwani uyu ni msemaji selekali?
@NioneKaili
@NioneKaili Жыл бұрын
Anatoka hd jasho la kwapa kwa kuongea ujinga kabisa
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Жыл бұрын
Nyani haoni kundule na wewe unafanya hichohicho unacho wasema wengine
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Жыл бұрын
Kwani ww unalopoka nn ww kafili je wewe kuna mhamadi hapo wapotoshe makafili wenziyo
@2002-h6c
@2002-h6c Жыл бұрын
Jamaa kawapasheni kisawa sawa, haiyumkiniki Mchungaji ajiingize kwenye uana harakati, ili hali kapewa platfoms za kutosha kutoa mawazo yake kama kiongozi wa kidini, vinginevyo utakuwa sawa na akina Lissu, mabangi 🤔
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Жыл бұрын
@@2002-h6c Ni heri nikawa mbumbu kuliko kuwa kama kafiri Mwaipopo sijui nishekhe wa kiaje inashangaza jifunzeni kwa viongozi wa kristo muone wanavyo tangulia poanti huyu Mwaipopo sijui anafundisha je msikitini
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
​@@FrankNzombo-ps8gwkafiri ni nyie wakristo...
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Жыл бұрын
@@hamisimkoma7380 wakristo wanayoupeo mkubwa sana Mungu azidi kuwaongoza
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Sema unaropoka siyo unalopoka kiswahili jamani kiheshimiwe
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Sura sasa da!
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Ww unatafutann kwenye siasa? Mbonaukokuongelea siasa?
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 Жыл бұрын
Serikali mkamateni mwaipopo haraka ,halafu unasema wasilamu wasikubari kuongozwa na vyama vinavyo ongozwa na wakristo mwaipopo hapo ndo unagawa nchi kati ya wakristo na waislamu ,pia mwaipopo unajijengea chuki kubwa sana ,
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Kama serikali inaweza tetewa na mtu hohehahe wa fikra kwa hoja muhimu kama hii kama huyu na yenyewe ika-applause kuna cha maana tena?! Watanzania tutalaumiwa na vitukuu vyetu kwa kuruhusu mpaka akili ndogo kama hii na nyingine zilizo na mamlaka makubwa zenye uwezo mdogo kama huu kuamua hatma ya maisha yetu 200 ijayo!😔
@utafitiimanitv6641
@utafitiimanitv6641 Жыл бұрын
Acha ujinga mwaipopo hapo haki wanasimamia haki tatizo selekali so sikivu ingesikiliza watu mapema wAla isinge kuwa hivi leo
@utafitiimanitv6641
@utafitiimanitv6641 Жыл бұрын
Dah mm sikuelewag kabisa mwaipopo una matatizo ya dhaifu sana
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Жыл бұрын
ivi wewe mwaipopo kama nyinyi waslam munauza viwanja vya msikiti leo mtaweza kutetea bandali kweli?
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 Жыл бұрын
ushauli wangu waislam tuweke akiba ya maneno kwani kipindi waislam walivyo wekwe magelezani na wengini kupotea uyu mtetezi alikua wapi? na iyo selekali ilikua ya chama gani?
@adamsmanyara24
@adamsmanyara24 Жыл бұрын
Wewe ni kibaraka, hujui lolote, umenunuliwa ila ipo siku
@hamadkhamis6572
@hamadkhamis6572 Жыл бұрын
Wasiomfahamu inawezakana ni wahitimu wa mirembe.
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 Жыл бұрын
Wewe naye ni wale wale majizi
@utafitiimanitv6641
@utafitiimanitv6641 Жыл бұрын
We unachochea udini
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
إذا لم تعترف بيسوع المسيح ربًا ومخلصًا لحياتك ، فأنت بالتأكيد في الجحيم.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Mmhhh miwani ya mbao
@oseamkama6264
@oseamkama6264 Жыл бұрын
Huyu ni mwehu
@JuonrBraya
@JuonrBraya Жыл бұрын
Chizi ww
@DoganJagard-dn2sk
@DoganJagard-dn2sk Жыл бұрын
Pumbafu
@alexngowo2757
@alexngowo2757 Жыл бұрын
Kwani viongozi wa siasa huwa wanafuata nini makanisani? Ukiona jamii (nchi) inapotea, jua viongozi wa dini wanapotea, maana jinsi jamii ilivyo ndivyo nyumba za ibada zilivyo. Ma askofu pigeni kazi, huyu hajitambui
@FrankNzombo-ps8gw
@FrankNzombo-ps8gw Жыл бұрын
Wanaakili kuku zidi wwe acha ukafili fungeni vilemba mkasapoti ufisiccm
ULIMWENGU WA SOKA
BBC News Swahili
Рет қаралды 45
Nigeria Billionaire Dangote on Fuel Subsidy, Oil Prices, Football
26:00
Bloomberg Television
Рет қаралды 309 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 9 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 17 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 54 МЛН
What the Maker of Ozempic Doesn't Want You to Know: It's Bankrupting America
12:01
Prophet Muhammad and Aisha's Adultery (Al-Ifk)
16:31
Nabi Asli
Рет қаралды 722 М.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
MAKONDA ATANGAZA BALAA HUKO ARUSHA, 🙌🙌
5:35
HABARIMPYA TV
Рет қаралды 3,1 М.
Ruge Kuhusu Uhusiano Wake na Zamaradi
1:26
Papo Kwa Papo
Рет қаралды 453 М.
Language Review: Arabic
21:44
Language Simp
Рет қаралды 258 М.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 9 МЛН