SEMAJI AHMED ALLY ATEMA CHECHE KATAVI BAADA YA KUMCHAKAZA TABORA UNITED 3G/"SIMBA YETU NI BORA SANA"

  Рет қаралды 40,183

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC KZbin Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Пікірлер: 80
@JamesMaiga-z1n
@JamesMaiga-z1n 6 күн бұрын
Tunaomba viongozi wa juu wafungue ofisi ya vifaa vya Simba hapa LAMADI Simiyu ambapo ni mpakani mwa Mwanza/ Simiyu na Mara na Kenya. Ukanda huu una Wana Simba wengi sana.
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 6 күн бұрын
Simba raha sanaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 semaji wetu
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 6 күн бұрын
Mungu ibariki simba sc
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 6 күн бұрын
Msemaji anazidi mbunge wa katavi duuu mweshimiwa semaji❤❤
@lauriankisala-cz3fp
@lauriankisala-cz3fp 5 күн бұрын
Hiyo ndo ubaya ubwela😂😂
@yagwishamajige1324
@yagwishamajige1324 5 күн бұрын
N I got u semaji..from uganda
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt 6 күн бұрын
Hongera semaje letu Ubaya ubwela
@zaitunimalessa269
@zaitunimalessa269 6 күн бұрын
Semaji lakafu hachagui habagui kila sehemu anaenda mungu akubiriki sana naakupe maisha marefu naakuzidishie upendo zaidi na zaidi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rajabhussein-e3f
@rajabhussein-e3f 6 күн бұрын
Hatimae simba imefika kwetu katavi
@kakore_jr
@kakore_jr 6 күн бұрын
UBAYA UBWELA 💯🦁🔥♌
@JaysonDamian-r1h
@JaysonDamian-r1h 6 күн бұрын
Sema karibu mpanda
@imanmasawe749
@imanmasawe749 6 күн бұрын
huyu semaji anafaa kuwa kiongozi mkubwa nchini
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 6 күн бұрын
Tumefurahi hamjafunzu,a.k.a utopolo 🤔😂😆🤣🔥
@MussaLepani-fk9yj
@MussaLepani-fk9yj 6 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@emmanuelmachibya2034
@emmanuelmachibya2034 6 күн бұрын
Siyo suala la kumkumbatia na kumuacha,ni suala la kulala nae usiku kucha🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@EvaDonatus
@EvaDonatus 5 күн бұрын
Ubaya ubwela semaji la ukweli maua yako 🎉🎉🎉🎉 kalibu katavi
@nauwarykabuma3793
@nauwarykabuma3793 5 күн бұрын
Ubaya ubwela Simba nguvu moja
@DaudMakoyejr
@DaudMakoyejr 5 күн бұрын
Jamaa mbunifu
@shairankhamisi875
@shairankhamisi875 6 күн бұрын
Ubaya ubwela 🦁
@AzizaSakumi
@AzizaSakumi 5 күн бұрын
Jitu mwitu msitu
@PetermsafirPetermsafir
@PetermsafirPetermsafir 5 күн бұрын
❤❤makopa kwa semaji la kafu🎉🎉🎉🎉
@AshuraMnubi-qe4vy
@AshuraMnubi-qe4vy 6 күн бұрын
Ubaya ubwela 🔥
@nlema25
@nlema25 6 күн бұрын
@WendeMposola
@WendeMposola 6 күн бұрын
Semaji la Fifa 🎉🎉🎉🎉
@SarahMathias-v1g
@SarahMathias-v1g 5 күн бұрын
Hataliiiiiii
@nyamisimbaonlinetv9757
@nyamisimbaonlinetv9757 6 күн бұрын
Duh baba una simamishwa njiani wana simba
@graceliwanda1533
@graceliwanda1533 6 күн бұрын
Semaji unajua unajua unajua Tena kuwakera watu
@WaziriKamba
@WaziriKamba 6 күн бұрын
Mpanda hoyeeeeee!!
@Fatmaahmedi255-p5l
@Fatmaahmedi255-p5l 5 күн бұрын
Ahmed ally unafaa ukagombee ubunge kura yangu nakupa
@MtungaJunior-w4o
@MtungaJunior-w4o 6 күн бұрын
Ndugu yangu
@debolaseleman4394
@debolaseleman4394 5 күн бұрын
😂😂😂❤❤❤
@stevenhassan269
@stevenhassan269 6 күн бұрын
Hapo ndipo unapoharibu kusema katika wapinzani wetu 14 waliobakia hakuna atakaetusumbua wewe sema hivi bado tunajenga timu basi inatosha hii ndio kauli ambayo yanga inawakera kuona kila mechi tunashinda halafu kauli yetu bado tunaijenga timu
@SamsoniKaka
@SamsoniKaka 6 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏🦁♥️♥️♥️♥️💪💪💪🙏🙏
@nlema25
@nlema25 6 күн бұрын
🎉
@eliakimedward7863
@eliakimedward7863 6 күн бұрын
🎉🎉🎉
@keisamamek327
@keisamamek327 6 күн бұрын
OMBA VYOTE ILA USIOMBE UFUNGWE NA SIMBA
@maigemayasa3382
@maigemayasa3382 6 күн бұрын
😂😂😂😂 Simba wanakera sana Ila Raha sanaaaa
@FelicianaMalya
@FelicianaMalya 6 күн бұрын
😂😂😂
@MasoudMganga
@MasoudMganga 6 күн бұрын
Wote malimbukeni ila yanga washika vibendera
@keisamamek327
@keisamamek327 6 күн бұрын
@MasoudMganga HAITUHUSU
@ZuuKijangwa-g9w
@ZuuKijangwa-g9w 6 күн бұрын
Wanakera simba nyiee
@MusaSeme
@MusaSeme 6 күн бұрын
Timu kubwa kwa sasa
@MajaliwaAdam-dz6xl
@MajaliwaAdam-dz6xl 6 күн бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@abellutonja4589
@abellutonja4589 6 күн бұрын
kuna wawili mtu na shoga ake😂😂😂😂😂😂
@MethodMagowa-p7d
@MethodMagowa-p7d 6 күн бұрын
Ali komwe anaumia akiangalia semaji la Caf anavyotamba kwa kuwabonda wababe wao😂😂😂
@DaudMakoyejr
@DaudMakoyejr 5 күн бұрын
Jamaa anafaa kwakweli anajali watu
@KhamisTablei-c4c
@KhamisTablei-c4c 5 күн бұрын
Basi wamekwishaaaaaaaaaa😅😅😅
@SundayMwakasege
@SundayMwakasege 6 күн бұрын
Mwakani tunaingia na ubaya ubwele seoson 2
@Drezeqsweya
@Drezeqsweya 6 күн бұрын
Yana ki movie flaniiii ivi😂😊
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 6 күн бұрын
Iyo ubaya UBWELA seoson2 watu siwazimia maana hatari😂😂😂😂
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 5 күн бұрын
Semaji
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 6 күн бұрын
Mnaongeza nguvu,kwenye kampeni yetu ya kuwapa dozi wadhaminiwa wote wa gsm,mpaka maji waite maa😢😮😮😮
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 6 күн бұрын
Ubaya ubwela😢😮😅😊
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 күн бұрын
Siyo kwamba nyuki tumemkumbatia na kumpiga busu tu ,,tumelala naye usiku kucha ,,, ubaya ubwelaa....
@omarysaid8725
@omarysaid8725 5 күн бұрын
Ila semaji ana ushawishi aisee
@MkudeRobert
@MkudeRobert 6 күн бұрын
Ubaya ubwela
@UchebeVich
@UchebeVich 6 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣 semaji bhana km anko magufuli upo juu kwny ndinga yako miksa unasepa na kijiji, kula👉👊
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e 5 күн бұрын
😂😂😂
@ChristopherMateru
@ChristopherMateru 5 күн бұрын
Raha tujipe wenyewe bwana,kuna watu wanataka kupasuka kwa hasira.
@DaruweshiMohamed-t1i
@DaruweshiMohamed-t1i 6 күн бұрын
Sawa mpenzi wa watu
@salvinamakare7364
@salvinamakare7364 6 күн бұрын
And here you are pretending like your team haijawahi kufungwa
@Abdulrazaak5Mussa
@Abdulrazaak5Mussa 5 күн бұрын
Tumefurahi hamujafuzu utoo MAX😂😂😂😂😂😂
@IbrahimKitipu
@IbrahimKitipu 6 күн бұрын
😂ubaya ubwela tu
@davisbwatwa115
@davisbwatwa115 5 күн бұрын
huo ndo umoja timu inafuatiliwa kuhujumiwa ubayaubwela uendelee
@melissa_garden
@melissa_garden 5 күн бұрын
Mtunna Shogaake.ni Azam na Yanga😂😂😂😂
@NuruFrank-c9u
@NuruFrank-c9u 3 күн бұрын
Mmenifanya nikumbuke nyumbani
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 6 күн бұрын
UBAYA UBWELA , PUMZI YA MOTO
@reneemwenda7306
@reneemwenda7306 6 күн бұрын
@WamburaGetene-b2
@WamburaGetene-b2 6 күн бұрын
Ubaya ubwela
@neemashukia
@neemashukia 6 күн бұрын
Ubaya ubwela
@eliabumalibu3637
@eliabumalibu3637 6 күн бұрын
Ubaya Ubwela
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e 5 күн бұрын
🎉🎉🎉😂😂
@migodionlinetv
@migodionlinetv 5 күн бұрын
Ubaya unwela
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
SIMBA DAY: FULL HIGHLIGHTS:  SIMBA SC 6 - 0 VITAL'0  - 22/08/2020
26:41
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН