Рет қаралды 278
SIMU. Tv
Serikali imeanza kufanya matengenezo ya meli zake tisa ambazo zimesitisha kutoa huduma ya usafirishaji katika ziwa Victoria ili kuboresha huduma za usafiriri katika ziwa hilo.