Yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele
@JohnJoseph-qq7ow18 күн бұрын
Yanga wanabebwa sana aisee huo ndo ukweli
@loishiyesamwel137418 күн бұрын
Huu ni ugonjwa mkubwa Sana, Huyu Bwana GSM kudhamini timu nyingi. Nimemshuhudia Coucher Meksime akishukuru kuwa wamecheza vizuri sana
@JohnJoseph-qq7ow18 күн бұрын
Yaani dodoma wakishuka database nitafurahi sana
@tisamkenda828419 күн бұрын
Duh, mbona km kweli,,!!
@Christopher-c1x18 күн бұрын
jamani wanasimba wenzangu kuiongelea yanga ni kupoteza muda , nguvu tu. yanga kafunga sana magoli ya mikono, offside , penati zisizo penati. lkn Bado marefa wanabariki uovu.
@vitusgeorgeluhuza883018 күн бұрын
Kwel inasikitisha mambo haya kuyaona Tena kwenye Ligi Bora hapa Tanzania
@issaomari529719 күн бұрын
Kiukwel bench la ufundi wa DODOMA nimewachukia sana
@SaumuSaidi-z2v18 күн бұрын
Wameuza mechi hasa yule.kocha waokala bahasha gsm
@ibrahimuakwilombe18 күн бұрын
Tuna jambo.linahitaji mjadala kwa afya ya mpira wetu' udhamini wa GSM kwa vilabu vya ligi kuu'vinavyoshindana na YANGA ambayo yy ni mmiliki mwenza pamoja na wanachama wa yanga
@Lulaboytz19 күн бұрын
Kaka yangu shabani mpira pesa mbona amupazi sauti kitendo cha bodi ya ligi kupanga mechi za yanga?kuchezwa badala ya simba ikisha cheza?
@fatumakibwana180319 күн бұрын
Dodoma hatuna Tim tunamzoga
@raymondsekabigwa590719 күн бұрын
Hivi kama wanatoa rushwa takukuru moo wapi? Wakamtwe ujinga uishe.