Zambian players must be careful before joining Tanzanian clubs Their fans wanh players to be scoring in every match already they want Joshua Mutale out of simba after only 6 months
@alihumaid34922 күн бұрын
UMESEMA KWELI KABISA MUTALE HAENDANI KABISA KUWA MCHEZAJI WA SIMBA..... TUNAOMBA VIONGOZI HATA KWA MKOPO AENDE... SIO SAWA MUTALE KUCHEZA SIMBA
@ShameNgeza2 күн бұрын
Apewe muda mutale ni mapema mno kuondolewa
@halidimgonza59452 күн бұрын
mashabik wengine ni wapumbav ivi unawezaje kumlaumu mchezaji (mutale) na kusema aachwe ndan ya nusu msimu, acheni ufala wachezaji wote ni wazuri tuwape muda sio kulaumu ujinga tuu
@honesthenry9012 күн бұрын
Naumia sana Joshua mutale akisemwa
@onesmothimos26352 күн бұрын
Una vimba nn kuhusu kuachwa mutale
@JILBERTDaniford2 күн бұрын
WEWE usitukane ila pia usikurupuke. Saizi ni NUSU msimu KIWANGO CHAKE hakieleweki
@BADILIJUSTUS-fs3oo2 күн бұрын
Mtale Yuko vizuri anajua mpira tumvumilie aise
@yunusimchala65692 күн бұрын
Kibu bila john boko asingekuwapo simba washabiki walimkataa sasa anakiwasha
@ImakulatafrankAthumani-kb4bl2 күн бұрын
yes
@hassanrashid-l3u2 күн бұрын
Ni washabiki wa Simba tu ndo wenye. Tabia ya kuwasema wachezaji na kuwatukana kwenye mitandao na ndo mana hata seidoo alilalamika alafu cha ajabu hao washabiki wenyewe hata mpila hawajawahi kuucheza wakajua changamoto zake
@AshelyAbel-x1q2 күн бұрын
Mtale atupishe anazingua
@wilisonsanga37052 күн бұрын
Fact
@bk85162 күн бұрын
kweli kbsa ateba ni mzito ..mutale hamna kitu arudi kwao zambia hana msaada kwny timu.
@HernandezChelesi-l2r2 күн бұрын
badaa muwape moyo mnawalaumu
@BalakaNchimbi2 күн бұрын
uposaii
@FrancisLamya-o2c2 күн бұрын
Naungana na ww uyo Joshua mutale aondoke uyo hana mfumo wa goli