SHABIKI wa YANGA APATA MAJERAHA ya KUTISHA BAADA ya AJALI MBAYA - INAHUZUNISHA - AOMBA MSAADA...

  Рет қаралды 1,456

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 3 сағат бұрын
Pole sana jamani mungu yupo utapata msaada
@samkoka3
@samkoka3 12 сағат бұрын
Pole sana mkuu
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm Сағат бұрын
Walijua unapata pesa masikini wakakuloga utapona kaka
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 7 сағат бұрын
Umerogwa kaka 💔💔
@Dafetty
@Dafetty 11 сағат бұрын
Subhannallah 😢😢
@BeaSHAYANAHunterson
@BeaSHAYANAHunterson 19 сағат бұрын
pole kaka! hongera kuwa shabiki wa Yanga. sasa mambo ya utimu tuwekeni kando timsaidieni Mtanzania huyu wote kwa umoja wetu
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 11 сағат бұрын
Nikweli yanga inawatu wengi hata tujichangisha buku inafika hebu tufanye harambee jamani
@annamashauri7421
@annamashauri7421 8 сағат бұрын
Jaman wekeni namba tumchangie mtanzania mwenzetu ally kamwe anzisha mkeka tena wa mwanza jaman😭😭😭😭
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 9 сағат бұрын
Jaman musichoke kutupa mrejesho wa huyu kaka tujue anaendeleaje😢😢😢😢nimelia duh kijana ambae alikua anajituma leo hii yupo chin 😢😢😢 Allah wetu ni msikivu atakusikia kilio chako atakupa tahafifu 😢😢😢
@annamashauri7421
@annamashauri7421 8 сағат бұрын
Mwandishi weka namba
@brycesonmathias6112
@brycesonmathias6112 11 сағат бұрын
Ally Kamwe abuni Mbinu ya kumsaidia kama alivyomsadia Mzize ili asaidiwe haraka aweze kupata tiba hata ikiwezekana ajengewe nyumba!
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 20 сағат бұрын
Jamani tumchangie huyu kijana viongozi wa Yanga tusimame imara tumchangie huyu kijana
@MamaCathe-f6m
@MamaCathe-f6m 20 сағат бұрын
Nenda kwa mwamposa utapon ndg
@rebekaadorphine8296
@rebekaadorphine8296 15 сағат бұрын
Mtiye namba yake tumsaidiye mimi nahishi America
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 16 сағат бұрын
Weka namba Yako tumutumie pesa
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 19 сағат бұрын
Hao ndio yanga sio watu wapo na wewe kwenye furaha tu. Kuna wachezaji wa zamani wana hali inafanana na wewe hawapati msaada
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 2 сағат бұрын
Lione hili kolo sasa we umemsaidia nini
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 2 сағат бұрын
@flavianajohn5250 mmelaaniwa nyinyi ndio Hali kama hizi zinawakuta.
Kadyrov Went Against Putin? / Poland Declares War on Russia
11:17
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
🔴HABARI YA SAA MBILI KAMILI USIKU,  JANUARI 09,  2025
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,8 М.
Сборник Эксклюзивов 2024 - Уральские Пельмени
1:33:24
Уральские Пельмени
Рет қаралды 955 М.
MAAJABU: MATUNGURI YAKUTWA KANISA "WAUMINI WANACHAPWA VIBOKO"
7:24
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН