Napenda unavyotema misemo na kukilonga kiswahili ewe Ustadh Nuru. Nimezaliwa bara nikampata banati mmoja wa kiislamu na nakwambia aisee kiswahili nitakienzi aushini. Ninakipenda kiswahili licha ya kuzaliwa barani. Aisee, kiswahili lugha aina yake
@barkehussein-jq8jd Жыл бұрын
Ninapenda sana mashairi . Naomba unikubalie nikutumie maashairi yangu kama utayapenda