Achana na penzi la sulubu🤣😂😂,Njoo uchukue penzi la zabibu🥰😂😂
@ustadhemmanuel87973 ай бұрын
Falsafa yake ya utunzi unitia maswali mengi
@dosaathman21762 жыл бұрын
Allah akuzidishie kipaji chako mwanamkuu abdallah
@webstersinje7712 Жыл бұрын
Mwanamkuu hakika ana makuu sauti yake karafuu...Kunta...Kinte.
@webstersinje7712 Жыл бұрын
Nami pia ni malenga kutokea Tanzania-Morogoro ningependa kazi zangu zisikike katika jukwaa lako,kama una email au namba ya simu ningefurahi ungenitumia ili nikutumie kazi zangu tafadhali muungwana....Kunta...Kinte.