Shajara | Eunice Wangui asimulia madhila yake baada ya mwanaye kujitia kitanzi Saudia (Part )

  Рет қаралды 88,349

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 126
@aminasaid8311
@aminasaid8311 Жыл бұрын
From 2012 adi waleo naenda nyumbani nikirudi boss mzuri nishikwapo na tatizo ndie wa kwanza kuniokolewa hapa nipo kama nyumbani Alhamdulillah lakini Niko kipindi cha mwisho sirudi tena
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Niunganishe mm Nije hapohapo kwa huyo boss ninapspot
@aminasaid8311
@aminasaid8311 Жыл бұрын
@@shuwehaharuna6309 nitamuuliza kama nimtaftie mtu akisema yes nitakujulisha,mwenye atapata hapa atakua na bahati juu ni madam mzuri sana understanding,one day i will share my story vle amenisaidia
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar Ай бұрын
Wllanapenda Shagala zaidi, akiwa Muislamu mwenzao. Nilikutana na wasichana wawili wakirudi Saudi kazini. They were happy na kazi yao. Walikua wakikuyu but wame silimika.
@fhhfd8449
@fhhfd8449 Жыл бұрын
Mi kwanza ile nyumba niko ni ngorofa 5 but nimejipangia kazi, job yangu niya usafi peke yake but nashukuru mungu kwa hii nyumba nimekaa 3 years nami ni kemboi sichoki sana tuko wawili mshahara mi 2 500 riyal, nimefanya mambo zangu kenya nimenunua migunda magutamaguta saudi sitoki
@wanjiruciru6237
@wanjiruciru6237 Жыл бұрын
Hiyo Migunda umehakikisha ipo au ni hot air
@fhhfd8449
@fhhfd8449 Жыл бұрын
@@wanjiruciru6237 nimenunulia jirani yetu
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 Жыл бұрын
Good mm nipo Qatar 2000qr but I'm not a kemboi j thsn God .Good job dear ❤
@d.a.sreallife3414
@d.a.sreallife3414 Жыл бұрын
Utalilia chooni ukifika kenya
@fhhfd8449
@fhhfd8449 Жыл бұрын
@@d.a.sreallife3414mimi sitalia coz nimenunua shamba ya jirani yetu
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
Saudi is all about God's mercy .
@moniquewanjui1481
@moniquewanjui1481 Жыл бұрын
May GOD come through for you Eunice 🙏
@gideonkhisonz5626
@gideonkhisonz5626 Жыл бұрын
We Lulu mbona unahoji mtu kwa kumharakisha ilhali amepitia mateso,una haraka kwa kuwa ni kazi sawa, lakini usimmalizie maneno yake jamani juu ya muda, hauna remorse kweli...we hujapata shida naona
@asisohcaleb9594
@asisohcaleb9594 Жыл бұрын
Do we have a government as Kenyans working in the diaspora? All these good things about diaspora is only on papers. May God always bless this woman.
@happytimes9747
@happytimes9747 Жыл бұрын
Mungu naomba tulindie watoto wetu.
@mwangililian8963
@mwangililian8963 Жыл бұрын
May God comfort you dear mum🙏
@janegithinji9507
@janegithinji9507 Жыл бұрын
May God give you strength
@marlineisiji414
@marlineisiji414 Жыл бұрын
Am in Saudi from 2011nov upto now naenda home narudi sijawahi teseka
@ladyy-bug
@ladyy-bug Жыл бұрын
By now ungekuwa ushajipanga vizuri with something here ukuje ukule matunda yako
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar Ай бұрын
Shukuru Mungu.
@salomewanjiku3705
@salomewanjiku3705 Жыл бұрын
Woi sorry sana Eunice God is with you mi dear Sister its soo sad to hear that that's the work of the Devil be strong and you accept what happened so that you can be able to bring up the other Children's
@roseodipo9868
@roseodipo9868 Жыл бұрын
Pole mum, sending hugs 🫂 ❤surrender it all to God
@valentineajepkoech5879
@valentineajepkoech5879 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Dada. Uliyopitia ni mengi lakini umetoka pale. Mbele iko sawa
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar Ай бұрын
Grieving inachukua mda. Na watu hu grieve differently. Kwani unamharakisha? Au unataka nini?
@davidnjenga3167
@davidnjenga3167 Жыл бұрын
This why people join the big brothers big sisters foundation they help in this kind of cases
@steveirungu3132
@steveirungu3132 Жыл бұрын
My favourite county to visit ie India and lastly New Zealand by Steve Irungu Jermaine
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
Pray against spirit of death in the family
@salomenewsome4188
@salomenewsome4188 Жыл бұрын
Death is ultimate. Thats something that we are all sure of. Timing is different for all of us
@owino.nowino3169
@owino.nowino3169 Жыл бұрын
Pole mum ...Mungu awe nanyii😭😭
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 Жыл бұрын
Pole sana Eunice May God comfort you abundantly May your son rest easy
@millmine3255
@millmine3255 Жыл бұрын
I'm very sorry I can understand everything 😢😢😢😢...Pole sana mum❤❤❤❤
@emarsonjuma9045
@emarsonjuma9045 Жыл бұрын
I love the advise from Lulu mitihani katika maisha lazma ikue..do t loose hope mam ipo siku💪💪
@emmanezzywaera3778
@emmanezzywaera3778 Жыл бұрын
May God see you through
@TeacherNyoks5258
@TeacherNyoks5258 Жыл бұрын
Kwani watu wenye hurudi Kenya kama hawajamaliza contract wanarudingi aje,lakini shetani akikuamlia aki,pole sana mamaa
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
Eee coz kuna watu ata 3wks mtu akikataa anarudishwa tu
@Elliana2014
@Elliana2014 Жыл бұрын
​@@janet7740 three weeks is a no lazima umalize probation period which is three months if not utahitajika kulipa mwarabu pesa alitumia kukutoa kenya which is not a small amount. Ama unless you're terminally ill hapo ndiyo utarusiwa to go back to your country without paying in this case agent ndiye atarudisha pesa
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
@@Elliana2014 I connected a lady to come but after one month she started crying akarudishwa lakini office inkenya wakachukua passport I don't know to edit or what
@jfhg1154
@jfhg1154 Жыл бұрын
​@@Elliana2014 i had a friend alimaliza wiki alirudishwa na boss juu mamake alikufa na hakua na mtu wa kulea ndugu zake na ni wadogo
@elizachilla934
@elizachilla934 Жыл бұрын
God is powerful mum, some altars may God help you
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 Жыл бұрын
Hugs mummy Pray against spirit of suicide in your family
@joycewangechi3833
@joycewangechi3833 Жыл бұрын
May God comfort you Eunice.
@rehemaabdul9853
@rehemaabdul9853 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu maana yeye ndie mueza wa yote na pole sana
@dfdt50op39
@dfdt50op39 Жыл бұрын
Pole sana sisterngu mwenye ajapitia maisha ya saudia ataropokwa vibaya,Nashangaa niko Qassim mahali penye umesema ulikua job je mimi pia niko kwa msafara wa deportation nitafika vipi jameni,pole sana.
@mosesmutuiri6703
@mosesmutuiri6703 Жыл бұрын
Nilisoma high school na Moses na it's shocking
@trendinggossip8692
@trendinggossip8692 Жыл бұрын
😢😢 such a sad situation
@davymarshah39
@davymarshah39 Жыл бұрын
May God see you through eunice
@brigitlameka5030
@brigitlameka5030 Жыл бұрын
May God hear your cry
@mariamgadaffe7986
@mariamgadaffe7986 Жыл бұрын
Pole mum hebu mtafute linn ngugi,utuelezee vizur huyo lulu yuwakupeleka mbio hata hatuelewi
@gideonkhisonz5626
@gideonkhisonz5626 Жыл бұрын
Lulu in mtoto amewekwa soft, hajui shida uyu...yaani ataka tu kumharakisha haezi sympathise na hayo mateso yote..
@elizabethnjoki6186
@elizabethnjoki6186 Жыл бұрын
May God see you through 🙏
@aminayunis7545
@aminayunis7545 7 ай бұрын
Pole sana Eunice may God comfort you and may ur son rip 😢😢😢😢
@stellamarisokoko1073
@stellamarisokoko1073 Жыл бұрын
Mungu na akufariji
@sharonmwita8907
@sharonmwita8907 Жыл бұрын
May God be with you
@cindyokomba3536
@cindyokomba3536 9 ай бұрын
Lulu give her time please..... I feel her pain💔
@theprudentialshow7681
@theprudentialshow7681 Жыл бұрын
How can I help? This is sad
@clintonmotonu9220
@clintonmotonu9220 Жыл бұрын
Pole sana man
@moniquengugi8998
@moniquengugi8998 Жыл бұрын
It's true...a ta mimi nilipitia mengi na sikulipwa for almost1yr..Jehovah hmm.
@dotytydo2342
@dotytydo2342 Жыл бұрын
Pole sana naelewa uchungu umepitia mmi wangu alipatikana na barua anataka kujiua nani wacha tu yaani nilitokwa na wazimu lkn sahii yuko sawa
@reachelmutuku9366
@reachelmutuku9366 Жыл бұрын
Hii ofisi rahat/refd na huko Kenya inaitwa afaq hii ofisi madem wanateseka huko Sana mm nikiwa mmoja wao huku twaishi kwa neema ya mungu tu
@steveirungu3132
@steveirungu3132 Жыл бұрын
I will never return to Kenya period so help me God in Jesus Christ name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Dah pole sana mamaa
@steveirungu3132
@steveirungu3132 Жыл бұрын
I would rather go to Europe ie scandavanian countries ie Sweden Denmark Norway Finland etc but to go to Middle East Countries ie Saudi Arabia etc to me it's a hell NO period so help me God in Jesus Christ name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
@ritahkhaeka8480
@ritahkhaeka8480 Жыл бұрын
So sorry for everything my sister
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 Жыл бұрын
Me pia nilitoka Saudi kama sina exit Sababu walitaka ni extend contract
@ruthmukoya1161
@ruthmukoya1161 Жыл бұрын
Pole Sana dear
@Musungusarah
@Musungusarah Жыл бұрын
Woooi Eunice take it easy mummy.. shiet does happen but strong you will conquer
@lydiapolesanafamily7219
@lydiapolesanafamily7219 Жыл бұрын
Pole sana mama nimungu tu
@njambiwakamau6684
@njambiwakamau6684 Жыл бұрын
Lol siku ile blakman atajua nchi za warabu sio majuu😢
@teklamatingu254
@teklamatingu254 Жыл бұрын
Pole snaa Eunice,it's well
@editholoo6180
@editholoo6180 Жыл бұрын
Rosemary is blessed.
@ggfftggfft9235
@ggfftggfft9235 Жыл бұрын
pole.sana
@reachelmutuku9366
@reachelmutuku9366 Жыл бұрын
Eunice kwani ulikuja na ofisi gani coz afice ya refd in Saudi au afaq in Kenya hio ndio iko na huo ujinga aki madem wanateseka Sana huko
@alicewangui9656
@alicewangui9656 Жыл бұрын
You are in mourning and they were denying you exit.Thats cruelty of the highest order.
@samirhamza9541
@samirhamza9541 Жыл бұрын
dahh pole sana mama i say mungu atakusaidia sana mama..Hakuna watu wabaya kama waarab hata afadhali ukae na mnyama kuliko muarabu but God he will punish them..
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar Ай бұрын
Saudia si ati sio educated. Ni vile tu language wanayotumia sio km yetu, ya English na Kiswahili. Sisemi ati kila mmjoja wao amesoma. Lakini, ki education, wako juu sana kuliko Kenya. Tafathali, tuwache kuthani watu wa nnchi zengine, ati hawakusoma, cz hawajui kiingereza au kiswahili. Kwani utasema Germany or France hawakusoma bcz hawaongei kizungu au kiswahili? La, hatuezi sema hivyo.
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar Ай бұрын
Phone number ya Eunice ni ipi? Nimesikia Lulu akimharakisha guest. Kisha quickly akasema nambari ya Eunice is something like; Ati, rafa 2, 2. Or something like rafa mbili mbili. Hii ni number aina gani? And what does it mean? Mtu atatuma msaada vipi, Please Eunice, hebu andika number yako, pale utatumiwa msaada. Labda kuna wengine wameelewa huyu host amesema nini. But marafiki zangu nikiwauliza, hata wao hawakuekewa what host amepeana as phone number or whichever kind of number alioisema. Pls usikimbize guest. Pole Sana Eunice. Pole.
@dotytydo2342
@dotytydo2342 Жыл бұрын
Hope wale wanasema walikuja uku kuchange home wanaelewa feeling zawatoi wao
@salomenewsome4188
@salomenewsome4188 Жыл бұрын
Enda kwa Lynn Ngugi show
@agneschelangat5315
@agneschelangat5315 Жыл бұрын
Eunice please jipe moyo Mungu aendelee kukufariji kukufariji
@maryamimo3039
@maryamimo3039 Жыл бұрын
Pole kwa mapito mummy
@steveirungu3132
@steveirungu3132 Жыл бұрын
Kenya to me it's a hell NO period so help me God in Jesus Christ name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Irungu Jermaine
@samuelnjuguna6688
@samuelnjuguna6688 Жыл бұрын
Pesa za saudi arabia uwa zimerogwa if ur not keen umsdkini utaishi
@maryblessings-ff7xi
@maryblessings-ff7xi Жыл бұрын
Ya mungu ni mengi ... I know that lady
@zuhuramwawimo2824
@zuhuramwawimo2824 Жыл бұрын
Pole sanaaa daa😢
@SSs-fn4hs
@SSs-fn4hs Жыл бұрын
Hawa watu wa office wanaeza hata ambia mwarabu akuuwe office in saudi arabia are very wicked
@clintonmotonu9220
@clintonmotonu9220 Жыл бұрын
You tried mama kujinga nyumba SI mchenzo
@raelsarange638
@raelsarange638 Жыл бұрын
Eunice pole, God of heavens comfort u 🤔🤔
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Why Kenyans mnapenda kwenda uarabuni kwa ajira?
@mercywanjiku3592
@mercywanjiku3592 Жыл бұрын
Wacha nikae Kenya mm haki Mimi Sina mzaidizi ni Mimi na watoto wangu
@abdalaambongo6471
@abdalaambongo6471 Жыл бұрын
Gulf ni kufata sheria ukiwa kimila ya kwenu ati uzike mutoto utalaumu watu bure nivile amujui warabu umununua na bado munalipwa
@josephinechege3066
@josephinechege3066 Жыл бұрын
Mtu akitaka kumtumia kitu kidogo anampata aje..
@pirisatlynnet9937
@pirisatlynnet9937 Жыл бұрын
She needs counseling 😢😢
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Yesu ni MZUNGU. HAWEZI kuja kuwa 'okowa' WaFrika! 😅 Wacheni ujinga yaku fikiria Mzungu ana weza kum jali MuAfrika!
@alicemalombo6813
@alicemalombo6813 Жыл бұрын
😭😭😭
@vivianwanini9169
@vivianwanini9169 Жыл бұрын
Aki watu huuzwa like slaves hizi nchi ni Mungu tu husaindia mtu kurudi nchi yao akiwa hai😢😢
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Omg
@angelousnjoki8751
@angelousnjoki8751 Жыл бұрын
Those agents are real devils
@HelenahSian-hl5ue
@HelenahSian-hl5ue Жыл бұрын
Inafaa Serikali ikue na sheria mtu akifiwa anafaa kurudi
@elidaelida6978
@elidaelida6978 Жыл бұрын
Mugu..akusadie..aki..mum
@d.a.sreallife3414
@d.a.sreallife3414 Жыл бұрын
Waharabu ni ubwa
@viviannthambi8390
@viviannthambi8390 Жыл бұрын
Am sorry mum but Arabia is not "majuu!!". I wish you well n God's blessings
@ashleypetertv5894
@ashleypetertv5894 Жыл бұрын
Any country outside your country is abroad
@carollukandu6495
@carollukandu6495 Жыл бұрын
But Kenya is not in the same continent with Saudi
@blessingsblssd
@blessingsblssd Жыл бұрын
​@@carollukandu6495 😂😂let me laugh in capital letter,eti saudi sio majuu,
@aminasaid8311
@aminasaid8311 Жыл бұрын
Bora ndenge imepitia juu kwahio Saudi ni majuu
@yazu3007
@yazu3007 Жыл бұрын
Kweli ukiamuwa kusema urongo utaongea ile yako yote 😂😂😂😂 umezingirwa na watu mia moja 😂😂😂😂😂😂 ungetosha mboga kweli watu wakiwa mia moja wacha ww !!!!!! Kiukweli tunajuwa watu wanapitia wakati mgumu huko but usiweke urongo ingine ndani
@sandialyn
@sandialyn 9 ай бұрын
Really ????
@terryramucheru4523
@terryramucheru4523 Жыл бұрын
Poor story teller but it's painful
@vionanyantaroka2986
@vionanyantaroka2986 Жыл бұрын
It is not story telling......it is reality on how it was. Don't be judgemental.
@gideonkhisonz5626
@gideonkhisonz5626 Жыл бұрын
ni kama hujai pata shida wewe..
@ezranjehia8384
@ezranjehia8384 Жыл бұрын
Stop complaining stay in Kenya
@janewyman9909
@janewyman9909 Жыл бұрын
Why now? She was going to look for green pasture for her kid's, if you are blessed just be human being,whatever she went through is painful, God bless her nothing last for ever.
@gideonkhisonz5626
@gideonkhisonz5626 Жыл бұрын
We Lulu mbona unahoji mtu kwa kumharakisha ilhali amepitia mateso,una haraka kwa kuwa ni kazi sawa, lakini usimmalizie maneno yake jamani juu ya muda, hauna remorse kweli...we hujapata shida naona
Shajara | Pandashuka za maisha ya Linet Kagasa na Peter Odiwuor (Part 1)
23:19
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,6 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Fumanizi la Usagaji: Wajakazi wajipata katika biashara hatari Nairobi
7:29
Mother recounts devastation after losing twins in a span of 3 years
46:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 101 М.
❗️заступился за девочку✊🏻 #pov #story
0:45