Simulizi ya Emmanuel Nyongesa ambaye anakabiliwa na mzigo wa ulezi. Bibiye Emmanuel alifariki kutokana na saratani ya matiti.
Пікірлер: 87
@RichardOtieno-me5ip4 ай бұрын
We respect to this man mm niliachiwa mtoto masaa mawili nilikua nimelia yangu yote we ihad to beg nikiwa nimepiga magoti
@sharonchebet17452 ай бұрын
Pole kaka ,,Mungu yupo usife moyo
@sofiawanjiru51954 ай бұрын
Nimelia adi kichwa inaniuma woiiii Mungu akukumbuke Manu aki🙏🙏🙏🙏
@BelindaNaliaka-ho6rf4 ай бұрын
Lulu you are God send. May he use you to heal hurting souls 😢
@afuetecomedian4 ай бұрын
True
@loner_wolf4 ай бұрын
Wakenya mm napenda mnavyolitumia neno "kabisa" .....😅😅😅 Bro pole sana from Tz . Hakika unapitia magumu sana lkn mungu ni mwema inshallah utatoboa na utakuwa sawa . Mungu akunyooshee mkono .
@aliceoking33864 ай бұрын
Maisha ni njia panda. I believe better days are coming your way. There's a saying that say, " there's two days for in life: a day for you & a day against you. When it is for you, don't be reckless. But when it's against you trust God. For all these two days will pass, none of them is permanent. Pole Emmanuel
@nekesahnoel56434 ай бұрын
Luhyas firaka joined,manu you are strong man❤
@ericmwebi17824 ай бұрын
loving ur work lulu...ur an inspiration 🎉🎉 congratulations
@JaneWanjohi-s2p4 ай бұрын
Mungu akutie nguvu na siku moja utafurahia na usahau yenye umepitia
@divinakerubo27154 ай бұрын
Lulu you are a God sent God bless you
@cecilia1950Wambui_4 ай бұрын
Pole sana Emmanuel.Mungu atakuonekania.Atakubariki kwa sababu anyone bidding yako
@cecilia1950Wambui_4 ай бұрын
bidii yako
@galaxyqwer74384 ай бұрын
Obinna plz kujasaidia huyu ndugu yetu aki
@Zolar4284 ай бұрын
Am crying with a stranger i feel his pain like it was mine ,God be there for him
@leahwanjiku35664 ай бұрын
Emanuel mungu akutie nguvu wakati huu..kuna siku uta furahia maisha ❤
@mercykariithi79193 ай бұрын
I can relate with that young man haki pole Sana young man
@Ken_W2544 ай бұрын
See how Education sector has been ruined such that a class one kid can't access education due to luck of school fees{Bad governance}
@LinahNafula-f8c4 ай бұрын
Manuel let's God guide you.. nothing impossible in God's y... continues working hard
@themswatii51574 ай бұрын
Sad he my neighbour at home.. I feel suddened
@florarwegerera80254 ай бұрын
Pole sana kaka najuwa changamoto za malezi ya watoto mama akifariki nimeshaleo mtoto mama yake alimuacha na suku tano na sasa amekuwa anamiaka 2, ningekuwa Kenya ningekusaidia kulea ao watoto wakifika miaka 3 uwachukuwe
@AmelliahSimeons4 ай бұрын
Pole brother. I feel your pain😢😢😢
@maryfridahndunge56164 ай бұрын
So painful 😢😢 May God see you through Emmanuel
@catenjeru56614 ай бұрын
So painful😭 take heart Emmanuel...may the almighty God wipe your tears
@ivyjerono61284 ай бұрын
You're such a strong man🎉
@arshadmohammed32074 ай бұрын
Cancer ilikua tayar imeshaenea kwenye mwili😢😢,pole sana
@ApostleE-W4 ай бұрын
It's so painful, so painful my brother Emmanuel, you really went through a difficult moment 😭😭😭😭,, May God give you strength and take you through
@LavenderAmboko4 ай бұрын
Pole sana Emanuel
@lilianokella358314 күн бұрын
Aki nmelia yangu yote😢😢
@ambogojosephine22564 ай бұрын
God please remember this guy 🙏🙏🙏
@puritymiwa5014 ай бұрын
Pole sana bro.
@gladysbenson39434 ай бұрын
Mungu atakuzaidia, usife moyo. Ipo siku utauona wema wa mungu.
@catherinembinya29294 ай бұрын
😢😢😢 very painful story 😮yaani kila kitu inafail,mkienda hapa mkienda pale hakuna usaidizi😭😭
@irenegakii-td2eu4 ай бұрын
God yuko bro,atajibu maombi na kuna siku utatoa usuhinda yeah
@hildahnalias80054 ай бұрын
Pole kaka Mingi yupo hatakuachilia
@bnjoki53444 ай бұрын
Molla akupe nguvu ya kulea hao mapacha na pia kuweza kuwaleta wale watoto wengi kila kitu ina sababu yake kubali yote na mke wako rest in peace all will be well mwisho itakua furaha Inshalla
@marylelei23724 ай бұрын
😭😭😭😭 shedding tears
@collinsmasika93954 ай бұрын
This is my youngest bro 😢... He went through alot
@rosendunge42174 ай бұрын
😢😢😢Veronica was my cousin
@wangagirl35084 ай бұрын
@@rosendunge4217😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢poleni sana
@stellahokworo39474 ай бұрын
Mungu yupo kaka ❤❤
@galaxyqwer74384 ай бұрын
Bro mungu akupe nguvu
@Nora-v1m3p4 ай бұрын
Mungu akupe nguvu kakangu
@estherwamalabe564 ай бұрын
Mungu akuonekanie dungu si rahisi aki but Tuko ni watu hawawezi zaidia mtu nilikuona Kwa king'ori but nikama hakuna kitu walikuzaidia, kama hamuezi zaidia mtu mbn mkimbie kimbie huko na camera, lulu Mungu akubariki sana umezaidia wengi
@HjfhfhDhhhd4 ай бұрын
Siz kumbuka shida Ako nayo anatumia pesa 5k per day. Milk, diapers, chakula ya wtt, sabuni, nguo za wtt, mafuta pia Ako n wtt wengine wawili wako shule. Vaa hicho kitu siz, utatimiza every day?
@estherwamalabe564 ай бұрын
Sijaongelelea about yy nimesema Tuko nikama hawakumzaidia,nimeona watu wengi hawazaidiki Tuko only lynn ngugi ndo huzaidia watu but hawa wengine ni biashara tu
@asinamakokha52224 ай бұрын
So painful bro we are praying for you may God"s favor locate you
@SofyNoi-zo8ms4 ай бұрын
Life can be cruel may God see h through
@ambogojosephine22564 ай бұрын
Obinna where are you
@paulmito4174 ай бұрын
So painful,,I remember how I suffered with my mother in MTRH due to Breast cancer singlehandedly barely 1 month after writing my final college paper ,,, Mama may your soul continue resting in peace
@lucynthenya29434 ай бұрын
😢
@AmAb-t6y4 ай бұрын
Wacha Mungu amutie nguvu
@sarahmutuko20534 ай бұрын
It is well be strong❤
@lucykenzi41064 ай бұрын
It shall be well, God will see you through.
@marychepkorir1795Ай бұрын
Nimelia yangu yote
@nancyjamila24924 ай бұрын
Obinna come help a brother 😢
@RUTH-h5u4 ай бұрын
Pole sana
@ruthchepngeno5204 ай бұрын
😢 mungu saidia wanawako
@charlesotieno39764 ай бұрын
Jitie moyo bro nimapito na inawakati wake yatapitatu!!!
@jnn17154 ай бұрын
This man was employed by m neighbor and he is a pathological lier. After all his employer did for him, including paying for taxis to take his wife to the hospital without even deducting his salary.. This man is so ungrateful and he won't go far. God is watching. At least the community around know the real story. The rest doesnt matter.
@milanwazula39103 ай бұрын
Ur not God shut up
@EugeneJeremiah4 ай бұрын
Pole
@LydiahMasika-gw2kx4 ай бұрын
Najikuta nalia tu😢😢😢😢😢😢
@wangagirl35084 ай бұрын
Pia mimi 😢😢😢😢😢😢😢😢😢ni uchungu sana
@Namwekazi4 ай бұрын
So painful,
@MERCYLINENALIAKAWANJALA4 ай бұрын
Aki si mnichanue which medical cover is friendly apart from hizi NHIF
@annembenda37504 ай бұрын
CIC medical cover
@josephinekaloki-yn8kq4 ай бұрын
God's favour will locate you
@maulinemakungu53224 ай бұрын
Cancer ni pepo😢😢😢😢😢
@afuetecomedian4 ай бұрын
Mmmh😢😢
@wangagirl35084 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@iam-sham-4z4 ай бұрын
Where is the guys number,we send him something
@irineirine98404 ай бұрын
😢😢😢😢
@maulinemakungu53224 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@MbathaMungala4 ай бұрын
😭😭😭
@mpefu_49364 ай бұрын
Wasipelekwe kijijini watakuwa na utpia mlo
@mpefu_49364 ай бұрын
Msaidie watoto waende kituo Cha watoto yatima uko Kenya amna jamani msaidie
@MERCYLINENALIAKAWANJALA4 ай бұрын
I wish utembelee hicho kituo cha yatima ,hautawai tamani mtoto wa mtu aende huko
@annembenda37504 ай бұрын
Wewe koma. Watoto si yatima sii babayao ako..
@marylelei23724 ай бұрын
Watoto sio yatima wewe 😢😢
@jnn17154 ай бұрын
This man has been living with his sistet since the wife gave birth and he never worked carrying those children. Ask the neighbors and the community.
@muthoniivy3684 ай бұрын
🫂🫂
@jizelasi3424 ай бұрын
men should lern this very pain story bro pole iwont forget this haki wanaume tunapitia