Mungu atasimama na ww kaka ukimwamini Mungu mambo yako itakua sawa my his near na yako
@khalfannyanje8970 Жыл бұрын
Huyu kijana ana busara sana...natamani nimsaidie ila sina uwezo me namuombea mungu tu amfungulie koz ni kijana mdogo sana na mwenye umri mdogo ila anapitia mengi magumu...lingine wazazi tujitahidini familia zisivunjike
@franklinebosire Жыл бұрын
Very painful my story is almost the same but we thank God for where we're today and what we can do for our lives 😢
@eugeneambwenze Жыл бұрын
I feel for you bro
@davidolal4108 Жыл бұрын
So sad 😞. Mungu akulinde .
@liliankemuma9475 Жыл бұрын
Huyu kijana ana nidhamu angekuwa mwengine angeanza kutumia mihadarati lakini yeye ako sawa.