SHAJARA | Simulizi ya Nancy Kerio ambaye mwanawe, mama yake na mumuwe waliuwawa mbele yake [Part 1]

  Рет қаралды 49,692

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

#CitizenTV #citizendigital

Пікірлер: 212
@baddiebooo
@baddiebooo 13 күн бұрын
This woman just made me appreciate so many things that I take for granted.
@glorygakii6654
@glorygakii6654 10 күн бұрын
Me too
@dennisnyamweya6974
@dennisnyamweya6974 13 күн бұрын
You can imagine if she had an opportunity of going to school.That Kiswahili with no school,is something.May she succeed..
@gracewehrle6813
@gracewehrle6813 Күн бұрын
Sure,with some English nonyms..
@bobbybettyofficial72
@bobbybettyofficial72 13 күн бұрын
If beauty was a person, Nancy Kerio is that person, she an incredible person
@kipronosilas6796
@kipronosilas6796 7 күн бұрын
Hicho kiswahili bila kuenda shule is special. We need to appreciate God.
@NdindaFlorence
@NdindaFlorence 6 күн бұрын
Kiswahili safi imgn nakukaa msituni mbila hata kwenda sokoni.
@phynkinya9378
@phynkinya9378 2 күн бұрын
Iam equally shocked
@ruthnjeri2049
@ruthnjeri2049 15 күн бұрын
Aaw. I love this lady......as soon as she opens her mouth. God bless you sister ❤️❤️
@leahwanjiku3566
@leahwanjiku3566 3 күн бұрын
Much love ❤️❤️❤️🎉
@lindaamwayi7073
@lindaamwayi7073 12 күн бұрын
Her Kiswahili is top notch 🎉🎉. This has taught me to appreciate my life... wueh! Nancy is beautiful....and joyful despite the circumstances na sisi vile hununa bcos of the petty occurrences of life? God forgive us.
@catherinegathecha
@catherinegathecha 15 күн бұрын
This shows how Kenya we need to wake up.... especially the government!😢
@lydiahgeorge5124
@lydiahgeorge5124 14 күн бұрын
Si mkenya huyu mama...hujaiskia?
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 14 күн бұрын
​@@lydiahgeorge5124 Ni mkenya. Lakini alivyosema hapo awali, nikama anatofautisha u-masaaini na Nairobi. Kukiwa ni huku amekuja hii interview na...
@RUTHWAITHIRAWAIRIMU-mi6oh
@RUTHWAITHIRAWAIRIMU-mi6oh 13 күн бұрын
Am here frm tiktok
@monicamose1710
@monicamose1710 9 күн бұрын
My sister you have made my day more blessings from above 🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@bilha-f6x
@bilha-f6x 14 күн бұрын
This has really touched my heart. May God give me the spirit of gratitude. See how this beautiful lady felt good when she reached Nairobi, and some of us are always complaining yet we are in the same country. God am grateful for where i am today, for what i wear it for what i eat and for everything that i have 🙏
@jacklinemuthoni9401
@jacklinemuthoni9401 14 күн бұрын
I cried entire session.God I thank you for my life,what I have and want I don't have I thank you and trust you. Ooooh my can't help but cry. Thanks for sharing mpesa number,will support her
@bernardmulwa2382
@bernardmulwa2382 Күн бұрын
It's very painful Jackline Muthoni, the devil hides in culture & traditions, most of African cultures & traditions are demonic. And people have guts to oppose the gospel of salvation & claim that mwacha mila ni mtumwa? shetani ashindwe katika jina la Yesu.
@bernardmulwa2382
@bernardmulwa2382 Күн бұрын
This culture is criminal for sure, what? pure devil...
@bernardmulwa2382
@bernardmulwa2382 Күн бұрын
One day's problems for her is equal to an entire life's challenges combined for the ordinary people, we take alot of benefits in life for granted.
@princeali2280
@princeali2280 14 күн бұрын
My tears cant stop flowing, 😢I like her , 🎉wishing her the best in her endeavours.
@FaithGakuya
@FaithGakuya 14 күн бұрын
Yaani this is ready anajua yeye sio mkenya😢😢😢,coz anasema sio kama vile wanafanyanga hapa kenya
@carolynekadesa
@carolynekadesa 4 күн бұрын
Imagine so sad 😢
@Sahra3718
@Sahra3718 3 күн бұрын
Sio kupenda kwake ata mimi tulikuwa tunaishi kitale na kusomea uko ilikuwa natusiwa na walimu mturkana wakukula nyama na damu ya ngamia sio mkenya ili ni heart sana nikajioea na kujua kumbe mimi sio mkenya, kamliza baba na kumwambio si tuame hapa kenya baba akaniambia aina shida ni chuku tu na ukabila.
@gracewehrle6813
@gracewehrle6813 Күн бұрын
Aki..He knows no leader..
@florencegatuku3479
@florencegatuku3479 15 күн бұрын
Kiswahili chake ,waah,such a great woman she is,i celebrate her
@eunicebaya1378
@eunicebaya1378 15 күн бұрын
Yes anaongea kiswahili kizuri kushinda wasomi
@foundmee
@foundmee 15 күн бұрын
This is so traumatic... Where are the women reps or the people in authority to create awareness of these horrible tragedies??
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 14 күн бұрын
Na ati tulijikomboa kutoka kwa minyororo ya mabeberu. That is independence na kujitawala, kikwetu. Na haya, si mambo ya zamani. Yanaendelea hata, hivi, hivi, hivi,hiviii, sasa. That is Kenya for us. That is Kenya to the world. Na tukumbuke au tujue , haya yanatokea kwa nnchi nyingi sana au zote, barani Afrika. La ukweli ni, bado hatujapata uhuru. Km huu ndio uhuru, naukae. Tupoleni.
@FridahKananu-zh8se
@FridahKananu-zh8se 13 күн бұрын
This is not a laughing matter but vile Nancy anaongelelea hii story inabidi...àko na kiswahili mwaah alaf ni mroho safi aki😂
@KikiKikih-g9l
@KikiKikih-g9l 14 күн бұрын
I wish I could talk this much. She made me laugh abit ati mzee amezeeka mpaka ananuka😂😂😂
@faithndegi
@faithndegi 15 күн бұрын
Touched by the story and I feel for her.
@lindahvusha3790
@lindahvusha3790 14 күн бұрын
Am 5min in an am crying and laughing at the same time, she's so sweet❤
@pendo6
@pendo6 9 күн бұрын
She’s fluent in kiswahili no school. Wise mama
@Janice-sd7hl
@Janice-sd7hl 5 күн бұрын
Azaidike aende adult education,wapi mbunge wa hii area?
@user-wl1cr3sf5q
@user-wl1cr3sf5q 13 күн бұрын
Her story is so sad and emotional 😢nimejipata nalia😢😭😭
@NdindaFlorence
@NdindaFlorence 6 күн бұрын
Imgn 10 yrs unapanuliwa mzee aingie, wheee so so sad.
@davidmaina9758
@davidmaina9758 14 күн бұрын
It's so heartbreaking she thinks that she is does not live in Kenya
@liliannjue1768
@liliannjue1768 14 күн бұрын
It's heartbreaking 😢
@DavidOuma-g6r
@DavidOuma-g6r 11 күн бұрын
Na cerikali imetulia 2
@bahatiwaeldoret9241
@bahatiwaeldoret9241 14 күн бұрын
Waaahu❤❤❤❤she never went to any class and her kiswahili is better that most Learned Kenyans❤❤❤❤how i wish she had gone to school
@liliankerubokenyatta8831
@liliankerubokenyatta8831 14 күн бұрын
Sure
@user-kp9ll1qu5n
@user-kp9ll1qu5n 14 күн бұрын
Ukweli
@DavidOuma-g6r
@DavidOuma-g6r 11 күн бұрын
Kabixa ako bie
@winfredndunda8709
@winfredndunda8709 14 күн бұрын
Woi haki amepitia😢 bt ni msafi na mroho safi mungu amfugulie njia sasa🙏
@JayseeKesumo
@JayseeKesumo 14 күн бұрын
Her voice is so lovely
@mercychebichii8551
@mercychebichii8551 Күн бұрын
The way she says, Huku Kenya ni kama hawako kenya😢😢
@kelvinmutwiri1529
@kelvinmutwiri1529 15 күн бұрын
This is so traumatic experience,mrembo anasema eti mambo ameona Kenya Swali langu ni wapi women rep wa hiyo county?
@olivenjagi696
@olivenjagi696 14 күн бұрын
Kama hajui pia huko kwao ni kenya you think she knows who her leaders are?
@ruthbosy
@ruthbosy 13 күн бұрын
May good Lord open doors of blessings to you ❤❤
@lollitahsharon72
@lollitahsharon72 13 күн бұрын
Oooh noo the pain of being 'teared' during delivery 😢😢
@liliannjue1768
@liliannjue1768 14 күн бұрын
Yet this country has resources to develop every part of this Kenya,no one is less Kenyan 😢
@GerishomShamiah
@GerishomShamiah 15 күн бұрын
Kiswahili Kiko wow. Na angesoma je😀
@annaharper8420
@annaharper8420 3 күн бұрын
You look so beautiful with your green head scarf. Keep up as you continue inspiring other young ladies/ older.
@njihiapeter8564
@njihiapeter8564 15 күн бұрын
i just send tears, does where she lives have leaders??, useless leaders
@angelinekemboi1020
@angelinekemboi1020 15 күн бұрын
Kiswahili chake ni kizuri kulingana na mazingira anapotoka.
@annkathomi1905
@annkathomi1905 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂na hii ngari inaenda aje sasa,umenifurahisha aki,uv made my day dear😂😂
@florencenjeru9000
@florencenjeru9000 15 күн бұрын
So sad in this century, shame to the leaders of wherever she comes from 😥
@BettyNick
@BettyNick 14 күн бұрын
Lulu mpeleke road trip haki she's beautiful
@lucymwai7645
@lucymwai7645 15 күн бұрын
Na vile Hayati mzee Mwai Kibaki alituleteya shule ya Msingi ya bure.
@stellakerubo4834
@stellakerubo4834 14 күн бұрын
Hata anajua kwao sii kenya..wooi.may God see her through
@rosajames1312
@rosajames1312 15 күн бұрын
Lulu we can change/transform this life.
@venickemuma
@venickemuma 15 күн бұрын
Asirudi Baragoi haki
@carlangel428
@carlangel428 13 күн бұрын
​@@venickemuma tutakusalimia wewe
@roselenaimado8583
@roselenaimado8583 10 күн бұрын
What a sad story..woi😢
@agriculture_munyendo
@agriculture_munyendo 3 күн бұрын
It's evidence that we need to get together and change the situation there.
@melvineotieno1323
@melvineotieno1323 15 күн бұрын
Waaah!!!! still in Kenya thiz 2024
@elizabethmureithi5051
@elizabethmureithi5051 15 күн бұрын
Mama mzuri sana, na roho safi.
@leahwanjiku3566
@leahwanjiku3566 3 күн бұрын
Aki wooiye ushango manenos..God bless you mammy 😂😂❤
@alicealeyo4801
@alicealeyo4801 15 күн бұрын
Some cultures are so scaring 😢😢😢 , mm nipeleke mtoto wangu Kwa life kaa hii juu ya mali
@sarahndungu2023
@sarahndungu2023 12 күн бұрын
If this lady could have a chance to be taken to school she would be a great lady. She is very wise. She has really gone alot 😢😢. May God remember her 🙏
@myexpatlife9179
@myexpatlife9179 13 күн бұрын
Very good swahili for person who did nto go to school. She would have been a great person lakini baba aliona tu mbuzi
@winniemaina8990
@winniemaina8990 11 күн бұрын
Bless her she thinks her place is not kenya
@EmmahOgera
@EmmahOgera 15 күн бұрын
Hugs mummy,,na vile ajielezea vizuri kuliko sisi tulio enda shule
@emilyobiri1716
@emilyobiri1716 14 күн бұрын
😢😢 This is hard to imagine is happening to Kenya.
@lucymwai7645
@lucymwai7645 15 күн бұрын
Ndie sababu umasikini haiwezi Isha in Africa.
@lucymwai7645
@lucymwai7645 14 күн бұрын
Ukiona pahali kanisa ya Catholic haija fika kweli ni mbali.
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 14 күн бұрын
Haujui flag ya beberu followed the cross? Hao so called Catholics na Protestant, walikua wanakuja kukagua na ku spy nnchi zile watateka nyara wagawane. Kisha unasema Catoliki haijafika. Haijafika wapi?
@danielmghongo7508
@danielmghongo7508 11 күн бұрын
May God bless you Nancy and u r 100% Kenyan …Ruto instead of fighting Gen z please check these people who even think hawako Kenya just listen to her yeye anaishi msituni hakuna kitu lakini Kenya ameona manyumba Wooi hii story imenigusa nikifikiria vile politicians wanaloot our country May God bless Kenya 🙏
@carofred1104
@carofred1104 15 күн бұрын
So heartbreaking
@carolinematianyi5212
@carolinematianyi5212 14 күн бұрын
Weeh kutoa meno na msumari🙆, this woman has suffered
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 9 күн бұрын
Heri kutoa meno, umesia alivyo zalishwa eeeh MUNGU awasaidie duuh.
@LinnetMaleve
@LinnetMaleve 18 сағат бұрын
😢😢 hio kulala kwa mgongo ya mtu ananuka ndio imeniumiza😢😢😢😢
@donaldorina46
@donaldorina46 14 күн бұрын
A real testimony of first time experience...Mungu ambariki
@Okwomib
@Okwomib 2 күн бұрын
In my 30s na sijui kukamua ng'ombe 😂😂😂😂😂
@synaidasuccess
@synaidasuccess 10 күн бұрын
I love this lady she is very pride ❤❤❤
@maureenouma-b5e
@maureenouma-b5e 4 күн бұрын
Kama huyu hakukanyaga hata shule na kiswahili chake ni sanifu hivi hadi anazingatia ngeli , mwingine nae ni graduate lkn kiswahili kama hiki haizi zungumza,haki culture zingine nazwo zimepitwa na wakati sasa, Mungu akurehemu
@linahliz6912
@linahliz6912 15 күн бұрын
The honesty in her😢
@gracewehrle6813
@gracewehrle6813 Күн бұрын
No wonder this ppl are like animals.. Anyway;it doesn't matter where you are when God's eye's hv mercy on you,his grace must shine you..Lulu Hassan ww niwa Maana...Long live..
@irenesawe7648
@irenesawe7648 14 күн бұрын
What a strong woman!!!
@Sheecrytal
@Sheecrytal 7 күн бұрын
Wah,,i have no words to say😮😮😮
@lucymwai7645
@lucymwai7645 15 күн бұрын
Oh my God, Kumbe kuna watu hawajawai fika Matown kumbwa 😢😢
@EmmanuelMwenda-cn6ps
@EmmanuelMwenda-cn6ps 14 күн бұрын
Very bright i wish could have schooled. But mungu azidi kufungulia milango
@liliannjue1768
@liliannjue1768 14 күн бұрын
She make me 😢
@LucyCurlN
@LucyCurlN 15 күн бұрын
Very painful story
@anisiahNjura-i6u
@anisiahNjura-i6u 14 күн бұрын
Nimeskia hiyo uchungu,ati walimrarua ouch
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 9 күн бұрын
Duh, nimesikia kulia MUNGU tuokoe🤦
@carolineawinja4635
@carolineawinja4635 14 күн бұрын
Anasema watu huku Kenya. Oooh my God!
@janekamitii1473
@janekamitii1473 15 күн бұрын
This is unacceptable, surely how.....is this Kenya? in 2024....oh no this is so sad
@janetnyamoita1888
@janetnyamoita1888 2 күн бұрын
Huyu ni Cindy 2.....hajasoma na anaongea kiswahili mzuri hivi SIMPING
@BeatriceMmboga-c7z
@BeatriceMmboga-c7z Күн бұрын
Mungu jamani pole sana mama
@ChristinaJulius-q5y
@ChristinaJulius-q5y 8 күн бұрын
Mh so sad
@mamakekasupu
@mamakekasupu 15 күн бұрын
Lord Jesus 😱😱😱😱, things like this happen still????how awful is this?, This is lack of awareness, schooling , poorness, naivety & also ignorance!!!, but still going through all this, this lady is a joyful one!!!, so amazing. Watching this from Switzerland where people actually have more than they need, but sadly most of them still unhappy!!!! Its crazy, its so unfair
@translationafrica2629
@translationafrica2629 15 күн бұрын
Oh No! What is this surely.
@beatricekwamboka3093
@beatricekwamboka3093 15 күн бұрын
Waah!
@phoebetaylor7911
@phoebetaylor7911 14 күн бұрын
Honestly , I like this lady . Is it a shame that some Kenyan have never gone to the big town . I wish.
@lydiahwanjiru1752
@lydiahwanjiru1752 14 күн бұрын
This Kenya,na wako na ,gavana, senator,mp , women rep,.mca, God have mercy,kile wadharau,ni luxury kwa mwingine, God will lift her
@danielmghongo7508
@danielmghongo7508 11 күн бұрын
Useless people my dear and as Kenyans we need to vote people with a passion for change not these old leaders aki
@lucymwai7645
@lucymwai7645 15 күн бұрын
My sister uko na kiswahili mzuri, Ata mtu hawezi fikiria umelelewaa ( Ushago.
@fridahjose2445
@fridahjose2445 13 күн бұрын
Just cried 😭😢
@samonelke
@samonelke 14 күн бұрын
African we need total change full stop 🛑.
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 4 күн бұрын
Kiswahili kizuri alijifunza wapi? Note vile anasema "Izo vitu nimeona huku Kenya"
@janetnyamoita1888
@janetnyamoita1888 2 күн бұрын
Uongo uongo but ni vizuri ulipata chenye ulikua unataka😊
@annnthenya4881
@annnthenya4881 8 күн бұрын
😂😂😂😂she is funny aty kiti unakalia unasikia ndu😂😂
@sarahnjeri6111
@sarahnjeri6111 15 күн бұрын
I will never again support one man one shillings 😢😢this people need help more than us from the mountain
@lucymwai7645
@lucymwai7645 14 күн бұрын
Hakuna kitu kama hiyo, Coz hawa Politicans wanarundishaa pesa kwa ( Treasury after 5years coz hakuna hawataki watu waelefuka.
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 14 күн бұрын
Hiyo slogan ya one man 1 shillings ni ipi?
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 14 күн бұрын
​@@lucymwai7645 Ati wanaregesha kwa Treasury? Mifuko yao unaita Treasury?
@velma798.
@velma798. 14 күн бұрын
So sad😢
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 9 күн бұрын
Pole wadada Kuna mambo unapitia pagumu Sanaaaa.😭😭😭
@peninnahwachira8557
@peninnahwachira8557 15 күн бұрын
This story is so sad. Surely, even after the new 2010 constitution. So sad
@evelineevaluna6988
@evelineevaluna6988 14 күн бұрын
I find myself crying😢😢
@JoyceMuigai-y1i
@JoyceMuigai-y1i 14 күн бұрын
Governor wahuku ameiba pesa sually😭😭
@azizamuhambe9236
@azizamuhambe9236 15 күн бұрын
Kiswahili cake ni safi mama aenda shule jameni bado ako mdogo
@Sahra3718
@Sahra3718 3 күн бұрын
Ukabila ni mbaya itafanya ufikirie wewe sio mkenya😂😂😂 mimi nilibaguliwa uko kitale na walimu eti mimi sio mkenya ni mturkana wakunywa damu awafai nguo addi nikashindwa kuenda shule juu walimu walinichukia juu tu ya uturkana ata watoto wengine wakinichokoza akuna action walimu watachuku. Add now nikikutana na makabila mimi sisemi mi ni mturkana😢
@PaulineSheku
@PaulineSheku 14 күн бұрын
Weee yaani kiswahili chake is so greatful
@anniscascmwende7146
@anniscascmwende7146 15 күн бұрын
Napenda vile Ako open......mnishike mikono
@jemimahnjeri3409
@jemimahnjeri3409 14 күн бұрын
Waaaah so painful
@ruthnjeri2049
@ruthnjeri2049 14 күн бұрын
So painful 😭😭😭😭
@JoyceMuigai-y1i
@JoyceMuigai-y1i 14 күн бұрын
Imagine she have never see road and government and county
@judithakello9479
@judithakello9479 9 күн бұрын
These story is so painful
@jecinternjeri4363
@jecinternjeri4363 15 күн бұрын
Kiswahili chake ni kizuri mungu akuonekanie naako na roho safi
@Emmaben10show
@Emmaben10show 13 күн бұрын
@dela
@lidyasash7212
@lidyasash7212 14 күн бұрын
Very painful story😢😢
@robbinahemoru4493
@robbinahemoru4493 14 күн бұрын
She so funny
@Delilah-12
@Delilah-12 11 күн бұрын
So sad how she says nimeiona hapa kenya
MEET A  KENYAN HIGH SCHOOL TEACHER WHO CHANGED CARREER TO ABUS DRIVER IN AMERICA
33:40
Kenya Diaspora Media USA
Рет қаралды 3,4 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 13 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
Nuru okanga meets Oscar Sudi
5:07
LAWI KORIR
Рет қаралды 2,4 М.
My friends said I embarrassed them for marrying such a man  | Tuko TV
40:08
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 38 М.
KIPESILE   | 3 |
24:37
Adery Masta
Рет қаралды 18 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 13 МЛН