ZAKA (fungu la kumi) HATUTOI ILI TUBARIKIWE

  Рет қаралды 15,385

WAPO TV ONLINE

WAPO TV ONLINE

4 жыл бұрын

Пікірлер: 29
@mapendoimani2462
@mapendoimani2462 2 жыл бұрын
Kwa hiyo matoleo yote kanisani inatakiwa iwe hiari kama uwezavyo.kila mtu atende kama kama alivyokusudia moyoni mwake siyo kwa huzuni wala si kwa lazima ili iwe baraka.sasa unatoa fungu la kumi moyo umesononeka maana haujakusudia mbali umelazimishwa na kuhani wako.i akuaje hapo
@loycep7785
@loycep7785 Жыл бұрын
Amina Amina sana Askofu kwa maelezo mazuri ya kutoa kuhusu matajiri Yule mama mjane alitoa zaidi ile cent lkn matajiri walitoa vingi kwa kujionyesha mama mjane alitoa vyote kutoka moyoni Ndy mtu unaweza ukashangaa Kuoakwa lmani na kwa kuongozwa na Rohoni jambo jema sana
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie Hekima Askofu!
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Mada Mubashara kabisa!! Tunabarikiwa sana
@patrickjohn627
@patrickjohn627 2 жыл бұрын
Nabarikiwa kwa mafundisho haya ubarikiwe na Bwana wetu
@greenusangu953
@greenusangu953 2 жыл бұрын
Mungu Ni Mwema
@venturebown6983
@venturebown6983 3 жыл бұрын
Bless up
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 3 жыл бұрын
Swali muhimu ambalo halijaulizwa moja kwa moja na ni changamoto ktk makanisa ni hili: Je, Wakristo ktk Agano Jipya wanalazimika kutoa Zaka na Dhabihu pamoja na sadaka zote kama zinavyoelezwa ktk Biblia hususani ktk Agano la Kale (malimbuko, shukrani, n.k.)?
@kivuyoloishoki6304
@kivuyoloishoki6304 3 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa kutufafanulia maandiko matakatifu ubarikiwe na bwana Amen
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 2 жыл бұрын
Changamoto inayohusiana na Zaka kwamba Wakristo wengi siyo (waaminifu kutoa?) ; Ni matumizi yenyewe ya zaka makanisani. Je, zaka inatumika kama BWANA Mungu alivyoagiza ktk Agano la Kale? Je, Wakristo wanatoa zaka kwa moyo wa ukarimu au mpaka watishwe? Kwa nini Watumishi wa Mungu wanatofautiana ktk jambo la zaka ilhali Roho Mtakatifu (Mwalimu wetu) ni yule yule! Inakuaje Jambo hili?
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Nashkuru kwaufafanuzi kuhusu fungu lakumi nanifurahika mana nimepata tabu sana mpaka ikafika wakati hela ZANGU nikakubaliana nabosi zikae benk mpaka nitapoondok mana nilipenda.kutowa zaka sadaka LAKINI kwavile SIKUWA namuhubiri maalumu wakunijenga nikawa naangalia WATUMISHI TOFAUTI WENGINE wanakataa zaka WENGINE wanakubali nikamuomba MUNGU ANIPE MTUMISHI ATAKAEIKUZA IMANI YANGU NANDIP TOKEA MWEZ WA 8 NILIPOANZA KUMSIKILIZA BABA HAPO SIJAHAMA TENA NIPO NAE NAOMBA MUNGU ANIRUDISHE SALAMA NITAKACHORUDI NACHO YESU NIKIPAUMBELE CHANGU AMIN
@lwimboderick7479
@lwimboderick7479 4 жыл бұрын
Sarah Abdulatif askofu ninwa huduma gani ,,, nimempenda ghafla
@jeremiahmwalukosya8431
@jeremiahmwalukosya8431 3 жыл бұрын
Hapo ndo nashindwa kuelewa kama wachungungaji kama wanapingana na biblia kuhusu zaka yeye anasema nijalibuni mwone kama sintawafulia madilisha ya mbinguni na pasiwepo mahali pa kuweka
@nicholausmushi44
@nicholausmushi44 4 жыл бұрын
Kama mtu anapokea mshahara wa shilingi laki tano akitoa asilimia mia anabaki na nini ,mtu atoe sawasawa na alivyokusudia moyoni mwake na kwa moyo wa ukunjufu
@jesusmwitila2215
@jesusmwitila2215 4 жыл бұрын
Zaka ni % 10 sio mia!!
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 4 жыл бұрын
Laki 5 Cha kumi Ni 50,000
@wambuakasimu2431
@wambuakasimu2431 Жыл бұрын
Umekula sadaka ukashiba Sasa umeanza kuongea ovyo🤣
@davidbenson661
@davidbenson661 3 ай бұрын
Kumjua mtakatifu ni ufahamu
@barnabazawadi5686
@barnabazawadi5686 4 жыл бұрын
Me naomba kuuliza, hivi kama mtu akiwapa wahitaji pesa ambayo ulikuwa kwa ajili ya fungu la kumi inakuwaje? Yuko sahihi? Au kama kuna ujenzi wa kanisa mahala fulani halafu nikachukua pesa ambayo ningetoa fungu la kumi, je niko sahihi?
@gospotv
@gospotv 4 жыл бұрын
Upo sahihi kwa maana umetoa kwa moyo
@wambuakasimu2431
@wambuakasimu2431 Жыл бұрын
No no no 10💯 hio Ni ya Mungu,usijaribu kujichanganya juu imewekwa wazi
@emmanuelgeorge6295
@emmanuelgeorge6295 3 жыл бұрын
Naomba kuuliza umepewa hela ya mkopo ni haki jutoa fungu la kumi
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 2 жыл бұрын
Hapana
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Haitakiwi kutoa fungu la kumi kutoka kwenye hela ya mkopo na hakuna andiko linalo sapoti hivyo na kwamba usipotoa basi unahesabiwa hatia!! Kwani hata hivyo kwa ujumla biblia inapinga sana kukopa
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
Malaki 3:8..Je mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema tumekuibia kwa namna gani? ..Mmeniibia zaka na dhabihu.. 9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana, maana mnaniibia mimi ,naam, taifa hili lote 10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo asema BWANA wa majeshi ',mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwa mwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye... Unaweza kuendelea Sijasikiliza clip ya mtumishi wa Mungu .iLa maandiko yanasema ukitoa zaka Mungu anaachilia baraka tena baraka tele..Sidhani ...Pia hata fungu la kumi lina baraka maana kuna andiko linalosema tunapotoa tunakuwa na hazina mbinguni ambako hakuna kutu wala nondo watakaoharibu...
@samwelilazaro2835
@samwelilazaro2835 3 жыл бұрын
sasa humwamini Mungu mpaka unamjaribu? hapo alizungumza na watu wa malaki waliokua wamekwisha kukata tamaa na yalikua mafundisho ya kale chini ya sheria
@greenusangu953
@greenusangu953 2 жыл бұрын
Mungu Akubari Sana
@yohanaben-yosef9325
@yohanaben-yosef9325 Жыл бұрын
Muktadha wa Andiko Hilo ni upi?
@shuhudiamtasiwa6646
@shuhudiamtasiwa6646 Жыл бұрын
Fungu la kumi kazi yake ni ulinzi wa Mali zako yaani ukipata Hela usipate matumizi yasiyo ya lazima mfano magonjwa ya kipepo ili upoteze hela
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 57 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 17 МЛН
#LIVE: ISRAEL KATIKA UNABII.
1:02:22
WAPO TV ONLINE
Рет қаралды 401
MARUDIO MEZA YA BUSARA ALHAMISI: FUNGU LA KUMI LITOLEWE AU LISITOLEWE!
1:20:54
BEST SDA  T.B.T MUSIC COLLECTION SONG 2024
56:33
AMAX MEDIA
Рет қаралды 146 М.
TAZAMA JINSI NABII HUYU ALIVYOFUNGUA VIFUNGO VYA WATU HAWA
13:24
COVENANT HOME TV
Рет қаралды 7 М.
PART1:UNAWEZA KUWA MASIKINI KWA KUTOA FUNGU LA KUMI KISHERIA
39:19
Davistar Mata Media
Рет қаралды 7 М.
Afrika tumeondokewa na baba sikiliza hekima na busara zake kwetu.
30:54
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 57 МЛН