SHAMSA AWACHANA MASTAA KUHUSU NDOA, AFICHUA ALICHOAMBIWA NA RICH KUHUSU WOLPER KUACHANA KWAO

  Рет қаралды 18,375

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@StiveIrakoze-k9q
@StiveIrakoze-k9q 15 күн бұрын
Nawatakia happy new nyinyiwote wanangu Mimi nik Nairobi ✊
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 15 күн бұрын
A station with handsome, beautiful, cool, calm and collected young people. Quite an improvement from the screaming uncool stations. Kudos!!🎉🎉🎉
@hawababy120
@hawababy120 15 күн бұрын
Asante san millard ayo najifunza kitu hapa❤❤
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 15 күн бұрын
Wewe nae ndoa ya kwanza ilikushinda yapili ikakushinda lakini ona unavoongea pumba mdomo mrefuuu we shamsa mdomo mrefu lakini jack namfahamu atakupa unacho sitahili na ulichukua mume wamtu usisahau mwanamke mwenzako yuko analia
@marymanoni5536
@marymanoni5536 13 күн бұрын
Anamdomo mchafu shamsa tena mnafki sn mwizi yule mnafiki mkubwa anamkea mwanaume anajifanya anaweza
@halamascat2816
@halamascat2816 15 күн бұрын
Kweli. Hakuna. Kamaduwa❤
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 15 күн бұрын
it's💯 true Millard Ayo communication and appreciation is really important in a relationship and night dates out its every important too and Trust 😊
@lucianuisso4564
@lucianuisso4564 9 күн бұрын
Jackie pliz forgive plizzzzzzz naomba. Ni madaraka Haya dada yangu najuwa inauma Ila piga konde dada pliz plizzzz nakupenda Sana usinilize
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 15 күн бұрын
Amina Shamsa❤❤❤🙏
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 14 күн бұрын
Na libwana la shamsa linajua kuigizaa kama hii Tufani linauwa ❤sema shamsa nawe c kwa maombi hayo lakini kwa chiddy mapenzi mliachana 😂😂😂🏇
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 14 күн бұрын
Usifanye mchezo na mtu kuitwa mapenzi 😂😂
@FettyCharata-f9v
@FettyCharata-f9v 13 күн бұрын
Yey mwenyew hana imani na maombi yang uwiiiii akwende zake tu lolote limkute 😏
@StiveIrakoze-k9q
@StiveIrakoze-k9q 15 күн бұрын
Vip frida nipo nawew
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 14 күн бұрын
Shamsa mwenyewe kaiba mume wa mtu Atafurahishwa soon.ASIJISAHAULISHE.LEO HII ANAMUOMBEA.JACK NAE BAADA YA KUTULIA NA KIBENTEN CHAKE MUME HALALI....ANAENDA KWAMUME WA MTU MLASADAKA😂😂😂ATAKUJAJUTA
@salcle9702
@salcle9702 13 күн бұрын
Tatizo mshazoea kudonyoa na kudonyolewa hovyo hovyo
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 15 күн бұрын
Wanaume wengi wanazaa nje na watu hawaachani,cha Muhimu ni kuombeana,Mungu anatenda🙏
@JujuGurugu04
@JujuGurugu04 15 күн бұрын
This nonsense keep it for ur self and ur generation 😅 kiss cha kufa kisa ubakie ktk ndoa 😅 do u guys still have these mentality 😂😂😂lol ndoa vyenyewe inamfaidisha mwanaume bado uwe mtumwa😢 I pity Tanzanians ladies lol ur selfless just because of marriage 😂😂😂😂
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 15 күн бұрын
Mimi ni mke wa mtu but siwez amini eti atakuwa na mimi 100%.kama mitume walishindwa na wanaotuongoza kwenye vitabu vya dini walishindwa huyo wangu ni nani na katokea mbingu gani?kwenye ndoa cha msingi ni heshima na kila mtu kuwajibika eneo lake basi!!!hayo mengine ni ziada tu jack.
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 15 күн бұрын
Ukipata magonjwa ya zinaa usilalamike wala kulia. Umejitakia mwenyewe
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 14 күн бұрын
Ndio maana yake heshima na kuwajibikia familia hayo mengine yakuongezea tu
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 14 күн бұрын
Matatizo huletwa na watu kutaka maisha ya juu kuliko vipato vyao.Ikiwa mumeridhia mbona maisha simple tu
@Shishinaya1554
@Shishinaya1554 12 күн бұрын
Ukiiba na wewe unaibiwa
@ZenabazigaZenabaziga
@ZenabazigaZenabaziga 15 күн бұрын
Jack ajuwe kama akuna mwanaume asiye chepuka ao kuzaa inje ya doa mungu amsimamiye jack
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 15 күн бұрын
Kama wewe unaweza kucumilia huo ujinga wakati kuna magonjwa fanya yako
@SafiaOmar
@SafiaOmar 15 күн бұрын
​@@nightwishisthegreatestband6355ni ujinga ambao tunauendekeza Sana. Kiasi ambacho wanaume wengi wanaona ni jambo la kawaida
@GiftAbduly
@GiftAbduly 14 күн бұрын
Hio n yako na mume wako usituhushe ww wako akizaa uko nje n sawa mawazo ya hovyoo kabisa 😕
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 13 күн бұрын
​Duh pole msemee huyo wako wetu wametulia tunashukuru sana km una hayo mawazo yabakie kwako ..maana kusema hivo kuwapa nguvu wanaume waone kutoka nje ni jambo la kawaida...mi miaka sasa na anajitunza ..mwanamme anaotoka huwa hajielewi tu hakuna kisingizio...tuambie mtume gani alikua na michepuko??usitudanganye. ​@@nightwishisthegreatestband6355
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 13 күн бұрын
Mmh
@Kabwela776
@Kabwela776 15 күн бұрын
Upuuzi mtupu leteni habari za maana
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 15 күн бұрын
Zako labda😢
@NeyratZubeiry
@NeyratZubeiry 15 күн бұрын
Alitumw askilz ​@@Brunn-mh2bq
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 14 күн бұрын
😂😂😂makubwa bongo
@AishaZuber-z6g
@AishaZuber-z6g 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@Brunn-mh2bq
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
LIVE: EXCLUSIVE INTERVIEW NANDY NA MILLARD AYO, NANDY AFUNGUKA
1:13:16
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 122 М.
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН